Тёмный

TANZANIA IMETUMIA VAR KWA MARA YA KWANZA LEO MECHI ZA NDANI 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 17 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

11 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 30   
@adolfmathew9698
@adolfmathew9698 2 года назад
Nimependa hii so kama itatumika ktk ligi yetu nafikiri italeta haki. Big up
@vibetz9991
@vibetz9991 2 года назад
RIP simba ,iliozoea kubebwa..
@dyakinyamadyaki8908
@dyakinyamadyaki8908 2 года назад
Dah ingefungwa mapema siku ya Yanga na Geita nazan leo tungezungumzia mengne, Utopolo kwisha yao.
@Tee-King
@Tee-King 2 года назад
Camera ziongezwe angalau zenye uwezo wa 960FPS mana slow motion aikuwa sawa kabisa. Mungu ibariki Tanzania. Msimu ujao inshaallah tuone zile penalty za mchongo 😎.
@enickosanga4921
@enickosanga4921 2 года назад
Hivi bongo mnanini lakini hawa sindo walisema inagharama kubwa sana hawawezi kutumia bongo siasa nyingi nyie
@mcdunstanandrew9455
@mcdunstanandrew9455 2 года назад
Si wangeboresha kwanza viwanja vya mikoani ndio waendelee na VAR
@jamesmwita2995
@jamesmwita2995 2 года назад
Si ndo hapo sasa ,,,yani ndo unasikia unakimbia kudandia mbele ya gari
@jafarsalum8656
@jafarsalum8656 2 года назад
Aya tuwe na michezo ya haki
@littlesakhoiv1893
@littlesakhoiv1893 2 года назад
Waamuz Var wapo ndani ya gari kwelii
@isdorchuvu6280
@isdorchuvu6280 2 года назад
🤣🤣
@sabinaonline6575
@sabinaonline6575 2 года назад
😅😅😅😅🤣🤣🤣🤣🤣
@jelasnkoma4240
@jelasnkoma4240 2 года назад
Hata mimi nashangaa maana hilo ni Gari la Matangazo la AzamTv sasa wanakaaje waamuzi kwenye OB VAN badala la kiwanjani
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 2 года назад
Leo nime angalia mechi hiyo kwa kweli VAR ni muhimu sana na ita saidia kuna mda refa alijua ni penalti aka angalia VAR ika onekana sio penalti 🙏🙏
@seifsase2436
@seifsase2436 2 года назад
Mbona waamuz kidogo
@sabinaonline6575
@sabinaonline6575 2 года назад
Utopolo🐸🐸🐸🐸 walizoea kubebwa sasa watakoma
@issaalfani1030
@issaalfani1030 2 года назад
Makolo walizoea kubebwa mwaka huu hawatoboi
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 2 года назад
Hakuna kitu hapo,walokaa hapo wote makolo
@isdorchuvu6280
@isdorchuvu6280 2 года назад
🤣🤣
@jelasnkoma4240
@jelasnkoma4240 2 года назад
😂😂
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 2 года назад
@@jelasnkoma4240 😂😂😂au uongo??
@jelasnkoma4240
@jelasnkoma4240 2 года назад
@@kassimrajabu7805 kweli kabisa😂😂
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 2 года назад
@@jelasnkoma4240 😂😂
@badenbensoni7516
@badenbensoni7516 2 года назад
Makolo mpo???
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 2 года назад
😂😂😂😂😂😂
@josephmalik7780
@josephmalik7780 2 года назад
Haya tupite hapa waungwana 👇👇 ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-KgvKJ0gI_Js.html
@labanakyoo4177
@labanakyoo4177 2 года назад
Itakuwa vizuri maana utopolo huwa anabebwa sana
@issaalfani1030
@issaalfani1030 2 года назад
Wewe hazikutoshi na ma K wenu toka lini YANGA imewahi kubebwa na mlizoea vyakuvyonga na uchawi mwisho wenu umesha fika
@labanakyoo4177
@labanakyoo4177 2 года назад
@@issaalfani1030 mnabebwa sana usikatae labda tuwaangalie sasa hv maana mna kikos kizur, kama waamuz watatenda haki maana wengine wanameza filimbi
@magrithaboay5905
@magrithaboay5905 2 года назад
Makolo FC mtajuwa hamjui
@JOHNJOHN-pu7wb
@JOHNJOHN-pu7wb 2 года назад
Sasa sisi yanga tulivyozoea kubebwa itakuaje
Далее
УДОЧКА ЗА 1$ VS 10$ VS 100$!
22:41
Просмотров 227 тыс.
iPhone 16 для НИЩЕБРОДОВ!
00:51
Просмотров 1,1 млн