Тёмный
No video :(

TAZAMA BABA YAKE TUNDA AMUITA WHOZU MBELE KWENYE BIRTHDAY PARTY YA MWANAE AMWAMBIA MANENO HAYA 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 145 тыс.
50% 1

#Tunda #Whozu

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 315   
@junuferjinu1444
@junuferjinu1444 4 года назад
Kama baba yangu yani mababa wakichaga wapo hivi daima mwenyenzi mungu atutuzie mababa zetu🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@rihannajackson7957
@rihannajackson7957 4 года назад
Kabisa mchaga mwenzangu
@juliaayieta2578
@juliaayieta2578 4 года назад
Amina 😘😘
@junuferjinu1444
@junuferjinu1444 4 года назад
😘😘😍😍🥰🥰🙏🙏🙏🙏
@kingkipusa9483
@kingkipusa9483 4 года назад
Ni yeyeeee
@noellahtheodory56
@noellahtheodory56 4 года назад
Oyeeee wachaga😘😘😘😘
@hassanramadhani2450
@hassanramadhani2450 4 года назад
Mashaallah Whozu anakubalika ukweni hii n mara ya kwanza kwa msanii wa kiume kukubalika ukweni kwa mwanamke Tunda una familia bora mungu akuekeee 😍
@chundabadsingasinga3130
@chundabadsingasinga3130 4 года назад
Billnas kakukosea nini
@prettyh7509
@prettyh7509 4 года назад
Mzee ameongea maneno ya busara Sana hongera tunda kwa kumpata baba mzuri katk dunia hii ukipata upendo bas ww ni Tajiri saaana
@uwimanacitegetse9926
@uwimanacitegetse9926 4 года назад
Wow wazaziwazuli ❤🖤💚nimewapenda 💯👌🏽kweli heshima nikilakitu🥰💞
@mwaminindayishimiye4434
@mwaminindayishimiye4434 4 года назад
Ana wanzazi wenye kumpenda sana na wanamjali kwanini asituliye? 🤣👌👌👌👌👌👍👍👍👍❤ Happy birthday kipenzi chawatu
@esthergasper8086
@esthergasper8086 4 года назад
Good daddy...hongera sana Tunda
@dianaamon9844
@dianaamon9844 4 года назад
Basi leo ndio nimeelewa... Tunda starehe zake hategemei wanaume... Yeye mwenyewe tu anajiweza kutokana na kuwezeshwa na wazazi wake.. Loh kuna wazazi na nusu Duniani.👌
@floridajonhmatata4365
@floridajonhmatata4365 3 года назад
yaan dah
@roselinezakaria4362
@roselinezakaria4362 4 года назад
hongera sana tunda.pia hongera kwa kufanya bday yako na kuwahalika wazazi wako.wasani wengi hawafanyi hinyo. hongera mkuu saba sita wa kiteto kwa kuwa na binti anayejitambua .nimefurah sana.
@mariamzukas500
@mariamzukas500 4 года назад
Nimelia nimemkumbuka my dad he was there for me but allihamdullah kwa mapenzi yako baba leo hii nimekuwa mama bora maadili yako naupendo wako yamenifanya niwe mama bora dada bora rest in peace my Daddy ❤🙏🙏🙏💔
@juliaayieta2578
@juliaayieta2578 4 года назад
Beautiful.......jamani kuna wazazi na nusu humu duniani 🙏🏾🙏🏾🙏🏾 yani imenifanya nitamtamani familia yangu 😘😘😘😘
@mabyserolouchcraig2431
@mabyserolouchcraig2431 4 года назад
Tunda wamechukua uzuri wa mama yao😚😚😍 happy birthday bby girl
@salimmohamed694
@salimmohamed694 4 года назад
Babamkwe eti kijana kavaa hereni na ww unamuangalia kisha mnasapoti mambo haya subhanallah Allah akuongoze jmn
@paulpeter6454
@paulpeter6454 4 года назад
Aliesikia dc kule kiteto weka like yako twende sawa
@lilianjeremia1024
@lilianjeremia1024 4 года назад
Nimewapenda wazazi wapo peace 🙌🙌ila wolper n kibent chake dah🙌
@karembovellmah6449
@karembovellmah6449 4 года назад
😂😂😂😂
@mirynjeri5850
@mirynjeri5850 4 года назад
Huyu baba nimempenda zaidi sana.
@salamakombo3257
@salamakombo3257 3 года назад
Hunizidi mimi
@aishasalum4601
@aishasalum4601 4 года назад
☺☺☺baba mshua hadiraaaha
@angelfransisco7839
@angelfransisco7839 4 года назад
Baba la baba! He is talkative 😁😁 Hadi raha
@ashwramashallah7242
@ashwramashallah7242 4 года назад
Tunda penda sana mie wew..mngu akulinde
@beautymasatu1200
@beautymasatu1200 4 года назад
Awwwwww i love her parent😍
@nesielias317
@nesielias317 4 года назад
Wababa wa Havi Ni wachache Sana , hivi wababa mnakwama wapi
@berthandollo3227
@berthandollo3227 2 года назад
Kwa mimi simuelewi 7 6. Profile lakeni chafu kwa mkoa wa morogoro anajikosha tu hapo. Anatabia mbaya mbaya kwa ufupi
@iviejustified8109
@iviejustified8109 3 года назад
Nice, Mungu ni mwema people.... Love to see this evolution
@martalositotiktok6590
@martalositotiktok6590 4 года назад
Hongera Tunda
@eclatsadam95
@eclatsadam95 4 года назад
Nmempenda mzee
@setiseti5281
@setiseti5281 2 года назад
Baba oyeeeeee
@glorymangowi4976
@glorymangowi4976 4 года назад
Baba zetu wa kichagga really Mungu awape maisha marefu yani
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 4 года назад
Huyu baba ni bonge la mzazi
@justinemsimbe2677
@justinemsimbe2677 4 года назад
Hadi rahaaa
@rehemamohd6746
@rehemamohd6746 4 года назад
Mashallah baba kwel dunia tunapita
@salhamrishoaish9292
@salhamrishoaish9292 4 года назад
Mama tunda mzuri
@timothmwakakusyu4563
@timothmwakakusyu4563 4 года назад
Ana roho nzuri pia, amewahi kunipa juice huyu mama nyumbani kwake CCP moshi
@mariyaal5366
@mariyaal5366 4 года назад
Kama mwanae Tunda kachukua weupe kwa MAMA
@mishibabu8946
@mishibabu8946 4 года назад
Like mam like daughter
@mabyserolouchcraig2431
@mabyserolouchcraig2431 4 года назад
Samaaa
@aggyparty2990
@aggyparty2990 4 года назад
Tunda anaonesha kapitia magumu hapo katikati wacha afurahie kwa neema hii ya mara nyingine aliyopata
@esterwakidunda6248
@esterwakidunda6248 4 года назад
Wawe wanaenda na kuombewa sio bata tu mungu yupo ndio maana wanapitia magumu yanawatetelesha 😂😂😂
@aggyparty2990
@aggyparty2990 4 года назад
Ester Wakidunda hakuna binadamu asiyepitia magumu na yasimteteleshe hata walokole wanapitia ugumu haswa hadi wanakaa kujiuliza labda wamemkosea Mungu nn na wengine ndy wanaamuaga kabisa kuacha hata wokovu kwa taarifa yako hakuna binadamu asiyepitia changamoto na walokole au wenye imani kali ndiyo wanaongoza kwa kujaribiwa
@esterwakidunda6248
@esterwakidunda6248 4 года назад
Sa uombi kila siku hotel 😂😂😂😂
@aggyparty2990
@aggyparty2990 4 года назад
Ester Wakidunda unakuta mwenzio anakesha hotelin yupo salama ila ww unayekesha kanisani ndiyo kanyagio la wachawi wanakugeuza kwa miguu na kukutimba watakavyo🤣
@irenewilbard2513
@irenewilbard2513 3 года назад
@@aggyparty2990 kabisa 😂😂😂😂😂
@alipqasse9967
@alipqasse9967 4 года назад
This is the best dad😍😍😍
@natasharajab6650
@natasharajab6650 3 года назад
Ni yeyeeeeee
@subrynerysegerow1323
@subrynerysegerow1323 4 года назад
Wazaz wanampenda binti Yao sana baba yuko vizuri unaweza kumfanya rafiki kindakindaki
@mimiapa8436
@mimiapa8436 4 года назад
Wababa wanapenda binti zao mara nyingi
@mimiapa8436
@mimiapa8436 4 года назад
Wababa wanapenda binti zao mara nyingi
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 4 года назад
@@mimiapa8436 yaa hata wakiwa Malaya wanafurahi tu Hakuna shida 🤔
@abubakaryalmas7673
@abubakaryalmas7673 4 года назад
Yani anapendwa alafu anakua na skendo za ajabu yani anazalilisha wazazi tu
@suzanemartine5976
@suzanemartine5976 4 года назад
Tunda kapitia magumu hapa katikati kiukweli MUNGU ni mwema tunakuombeae tunda 💖
@yumna128
@yumna128 4 года назад
Wakwanza nipeni like zenu jamanj
@beatricekingsley5062
@beatricekingsley5062 4 года назад
Utapata pesa
@landmadvdmbeyacity9561
@landmadvdmbeyacity9561 4 года назад
Nan akupe boya we
@cuteme4870
@cuteme4870 4 года назад
Za nn sasa
@juliaayieta2578
@juliaayieta2578 4 года назад
Haya wapenzi njia kadhaa za kuondoa harufu mbaya ....wadada najua itakua mumenielewa ....douching ikiwa mmoja ya sababu za harufu kutokea kama hujui douching ni nini .......link hii hapa 👇🏾👇🏾ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE--P-WKpKl1cM.html Usikose ku subscribe na ku like ikiwa utajifunza kitu pia nidondoshee wazo lako hapo kwenye comment. Shukran 😘😘😘😘
@juliaayieta2578
@juliaayieta2578 4 года назад
Nimekupa like kipenzi
@khadijauwimana2357
@khadijauwimana2357 4 года назад
Baba tunda ana wa fungisha vinywa nunao uliza kila siku eti tunda anakula bada sehem nzuru nzuru ndo kama ivi ana wambiya tunda ni tajiri ana ma gari yame andikwa eko tunda🇧🇮🇧🇮
@jeffkitory314
@jeffkitory314 4 года назад
Tunda kashamwambia baba ila usitake kujua😂😂😂😂😂😂
@gilliardgodfriend5745
@gilliardgodfriend5745 4 года назад
Whozu baba kijacho mtarajiwa
@hadija846
@hadija846 4 года назад
kumbe ni mtoto wa tajiri👍💕
@siriyangu4724
@siriyangu4724 4 года назад
Happy birthday 2 you tunda long life and prosperity amen🎂🍹
@jamilajamila4572
@jamilajamila4572 4 года назад
Masha allaah mama WA tunda wazur😍😍
@dorislema1814
@dorislema1814 4 года назад
baba wa kishua sana uyu ad raha
@jahaziletu1186
@jahaziletu1186 4 года назад
Baba anamsifia tunda na kusema ana magari kwani anaona mwanae haolewi tuu anachezewa
@elizaboster9479
@elizaboster9479 4 года назад
Baba mwenyewe muhuni namjua Hadi chumbani hamna mtu hapo
@marypeschke1750
@marypeschke1750 4 года назад
@Eliza Boster 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@agneskadzo9087
@agneskadzo9087 3 года назад
Happy birthday to you Tunda mrembo kweli
@momepeter9161
@momepeter9161 4 года назад
T.i.d 😀😀,bangi ya wapi ana vuta eti ni yeeyeee. But huyu baba nime mwelewa sana.huyu mzee wangu kabisa 😊😊
@naamohamed9964
@naamohamed9964 4 года назад
Dahhh rafiki wa kwelii ni wazazi wako utawakera utawafanyia kila maudhi lkn bado watakua na. Ww kwenye shida na raha
@elickmaendeleo1141
@elickmaendeleo1141 4 года назад
Amen
@abubakaryalmas7673
@abubakaryalmas7673 4 года назад
Haswaaa
@khadijaomar2723
@khadijaomar2723 4 года назад
Kweli kabisa
@naamohamed9964
@naamohamed9964 4 года назад
@@khadijaomar2723 yan mambo anayo yafanya tunda watu wa pemben wanamdharau lkn kwa wazazi wake kama dhaharu unaambiwa mtt mbaya mzuri kwa wazazi wake dahhh tueshimuni wazazi wetu na tuwapende kama w anavyo tupenda
@yuzotv458
@yuzotv458 4 года назад
True blood!!!!
@sophiahmedza929
@sophiahmedza929 4 года назад
Happy birthday Tunda
@evaristlembile7935
@evaristlembile7935 4 года назад
Asante baba,
@mowhozu9446
@mowhozu9446 4 года назад
Bba mkwe umeiyona iyo mkweo whozu iko na elen kulia na kushoto bola unipe mm uyomwanao mm hua napenda kushida na boksa kutwa mzima bola ya mm mzee nakuomba 🙏🙏🙏
@kattymwalongo1523
@kattymwalongo1523 4 года назад
Amina Amina baba ubarikiwe
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 4 года назад
Yeee uwiiii baba bonge la dingi mzuri. Wengine hata ukiwa na miaka 35 bado hataki kusikia unaolewa😁😁😁😁😁
@deboraramadhan8663
@deboraramadhan8663 4 года назад
Ukiwa na baba mcheshi kama hivi ni raha sana
@henriettenkuba7078
@henriettenkuba7078 4 года назад
Baba mzuri
@zabibunduwimana4612
@zabibunduwimana4612 4 года назад
Kumbe Whozu anakubalika ukweni😂😂😂
@happynesskipoya9777
@happynesskipoya9777 4 года назад
Kinababa ndo mnatakiwa kuwa kama ivi sasa
@Waytozanzibar
@Waytozanzibar 4 года назад
Dah ipo siku na mimi baharia nitafikia ktk shuhuli za mastaa nitakulaaaaaaaa yani 😂😂😊
@deotv503
@deotv503 4 года назад
Hahahha yaaaan kwa ajilii ya kulaa tuu
@magrethjohn8576
@magrethjohn8576 4 года назад
Jamani mpaka raha!
@mwiveimtunguja2693
@mwiveimtunguja2693 4 года назад
Baba yupo social sana
@ladsonmshana9920
@ladsonmshana9920 4 года назад
Wazazi mko poa lakin huko Instagram mtt ni shida tupu abadilike bhana
@saisaikalyasi5998
@saisaikalyasi5998 4 года назад
Uyu mzee🙈🙈🙉🙌🙌🙌🙌
@felixhaule7071
@felixhaule7071 4 года назад
Afande wangu SABA SITA,depo 1998-1999,hatari sana huyu jamaa enzi hizo akiwa Koplo
@mussajoseph3949
@mussajoseph3949 4 года назад
Mzee bado kazi ipo damuni umeona iyo miwani aliyo vaa mzee baba utakuwa umenipata vizur kuhusu iyo miwani
@ismailyusuph740
@ismailyusuph740 4 года назад
Yaa ngoma ngumu hiyo...!
@lilianmlundwa497
@lilianmlundwa497 4 года назад
Ccp moja hiyo Tunda alikua Kinda
@richard2218188
@richard2218188 4 года назад
Dah... kumbe ndio baba yake Tunda.
@mankaswai4507
@mankaswai4507 4 года назад
Kumbe mtoto wa kijijini kwetu aiseee
@jacklineulomi7780
@jacklineulomi7780 4 года назад
Wababa zetu wa kichaga piece saaana hahahahaha kama mzee wangu jmn
@RandB_Channel
@RandB_Channel 4 года назад
Una baba mzuri na mama ila ww utuliye uwache kuwa nawa na umme wengi
@ramadhanimostoni8273
@ramadhanimostoni8273 3 года назад
Mzee 7,6,Salute.
@ukhtynaa1096
@ukhtynaa1096 2 года назад
Kwahyo kaamua kujichimbia kaburi hahahaha
@pericykiko6198
@pericykiko6198 4 года назад
Mshukuru Mungu umepata baba mzuri
@katecaddy7556
@katecaddy7556 4 года назад
Nyashinski
@pendomariki6562
@pendomariki6562 4 года назад
Kumbe tunda ana wazaz wazuri
@mwajumasawema6220
@mwajumasawema6220 4 года назад
Ckuizi hakuna Cha ndoa Bora mfanye tu birthday
@sarahwangari8196
@sarahwangari8196 4 года назад
Really
@joselinemendes6804
@joselinemendes6804 4 года назад
ahaha kabisa dear make ndoa ni kama jela
@eddyeddy2907
@eddyeddy2907 4 года назад
Nakumbuka nlwahi kuwa na namba ya Tunda kipindi bado hata hajawa star nkaishia kuchat nae tuu kila siku mambo, poa.. mweee sahiv kawa star hivi! Ningejua ningemtongoza kipindi kile kile bado tunakua 😆😆😆
@elvistv7601
@elvistv7601 4 года назад
Nimecheka
@elvistv7601
@elvistv7601 4 года назад
😂😂🤣🤣🤣🤣🤣
@happykisota956
@happykisota956 4 года назад
Jamaniii 🤣🤣🤣🤣
@pericykiko6198
@pericykiko6198 4 года назад
Hahaaaaaaaaa
@johnmuro3002
@johnmuro3002 4 года назад
Ulichelewa wap broo
@agnesserasmi1893
@agnesserasmi1893 4 года назад
Mzee kaamua atangaze mali za tunda ili apatikane wa kumuoa au mie ndo sijaelewa 🤗🤗
@jumannepaskary3182
@jumannepaskary3182 4 года назад
Manywele mwishoe yatadondokea kwenye chakula
@23568982
@23568982 4 года назад
Beautiful party with family.God bless you tunda.maisha marefu.xx So she doesn't has a sister or a brother?
@nadyasalim7956
@nadyasalim7956 4 года назад
Happy birthday princess kila la kheri nakutakia
@chrissjmunga8465
@chrissjmunga8465 4 года назад
Nimeikubaliii hiiii
@saidamatteh5058
@saidamatteh5058 4 года назад
Kumbe tunda baba yake ni saba sita enzi hizo alikuwa morogoro walimwita komesha ya majambazi
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 4 года назад
😁😁😁😁
@ezekiambise2595
@ezekiambise2595 4 года назад
Hahaha!Baba wa kichaga uyu point nyingi.aolewe sasa tunda aache kuhangaika.
@neemasabure9061
@neemasabure9061 4 года назад
Wolper jaman hiloo liwigii kilaa sehem alaf kama umejitwishaa nyumba ya majan duuuh bayaa
@mwangazamsazi3696
@mwangazamsazi3696 4 года назад
hahahaaa
@dechaggagirl1614
@dechaggagirl1614 4 года назад
Hhhaaaa cc wachaga atuna mambo mengi
@oliviamasao2891
@oliviamasao2891 4 года назад
Tunda kabadilika sana, siye yule
@tumainiedgar08
@tumainiedgar08 4 года назад
Huyo kaka anae imba ana sauti nzuri
@tausindekwa7314
@tausindekwa7314 4 года назад
Ningekua mm apo nisinge lembalemba wallah ningejaza mlima Kilimanjaro
@laudakanyika7880
@laudakanyika7880 4 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@rukiamsomi6869
@rukiamsomi6869 4 года назад
Tunda leo kapendeza kajistili vizuri
@adijaniyonkuru9731
@adijaniyonkuru9731 4 года назад
Mimba auioni pale
@mutwalesylvie7443
@mutwalesylvie7443 4 года назад
Nice sana
@jovinessleonard6518
@jovinessleonard6518 4 года назад
Wooooow
@joharhamisi9140
@joharhamisi9140 4 года назад
Jamani mbona kama mjamzito
@adijaniyonkuru9731
@adijaniyonkuru9731 4 года назад
Ana mimba inaonekana
@sadickallykingengena4034
@sadickallykingengena4034 4 года назад
Nani kaniona hapo gonga like huamini kama sikuwepo
@zubedalikunyambi9328
@zubedalikunyambi9328 4 года назад
Good
@dianamsangawale9925
@dianamsangawale9925 4 года назад
Makubwa tutaweka wapi ss sura zetu wambea tuliojua wameachana! Umependeza Tunda na wazazi wako wanakupenda, I like it
@martalositotiktok6590
@martalositotiktok6590 4 года назад
😅😂
@martalositotiktok6590
@martalositotiktok6590 4 года назад
Tumeumbuka
@neemamwabukusi5704
@neemamwabukusi5704 4 года назад
Huku kwetu mzazi akimtoa binti yake bure muoaji anaingia mitini😂
@UzalendoNaUtu
@UzalendoNaUtu 4 года назад
😂😂😂😂
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 4 года назад
😁😁😁😁😁
@marypeschke1750
@marypeschke1750 4 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@dashuusaalim1943
@dashuusaalim1943 4 года назад
Uyo muoaji anaengia mitini kwa kwel ni mzoea punda hawez kupanda farac
@petercley6230
@petercley6230 4 года назад
mzee katisha sana
@bernardchibwana9411
@bernardchibwana9411 4 года назад
Mzeee nimekuelewa sana
@shadrackngovano5747
@shadrackngovano5747 4 года назад
Iv huyu hanangwa maisha bora eee
@joynko4450
@joynko4450 4 года назад
Kapendeza tunda
@sulejmandj7582
@sulejmandj7582 4 года назад
Kwel bab ameongea k2 cha msingi sanaa🙏🏽
@MrSijuiboy
@MrSijuiboy 4 года назад
Tunda Linaliwa Tu .. Baba Anataka Lichumwe Halali
@maryamhamad3485
@maryamhamad3485 Год назад
Na wameshaachana
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 4 года назад
Shkamoo Baba.
@victormushi6641
@victormushi6641 2 года назад
leo mzee umeamua kujijengea kaburi
@magrethbenjamin4969
@magrethbenjamin4969 4 года назад
Sijamuon mdogoake tunda bint matatoo, 😅ila jmn kwaiyo wazaz wanaong yale mapich pich inster
@mwajumaabeidy8137
@mwajumaabeidy8137 4 года назад
Tunda umemranda sana mamako.#wazur
@mussajuma7460
@mussajuma7460 4 года назад
Kama ulishawahi kuskia rihanna au beyonce akafanya hivi gonga like mambo haya kwa ma star wa bongo tuuh
Далее
Kaunti ya Lamu na Garissa wazozania mpaka
3:50
Просмотров 4,5 тыс.