Hii siku sitaisahau. Mimi ni no 1 fan wa Fally. Nakaa mkoani, kiu ya burudani ya Fally ikanisukuma kulipia tiketi yangu kwenye nilipe App ili nishuhudie historia hii. Basi Jumamosi mida ya saa 5 nikaanza safari kwenda DSM kuangalia hii show. Wakati naingia DSM bodaboda kishandu akanisababishia Ajari mbaya sana na Gari yangu ikapata Demage kubwa tu, nimehangaishana na yule Boda mpaka saa 4 usiku. Lakini namshukuru Mungu nilifanikiwa kuingia MCity by saa 6:30 na Fally alifanikiwa kunirudishia furaha yangu kwa burudani kali kabisa. It was a bad day and good day at the same time. I real enjoyed the show.
Thanks for sharing with us your story at the moment all African eyes are I Tanzania because we have one of the greatest respectful african musicien who takes seriously his work. Thanks fally and all the Tanzanian for putting on a show for the all work to watch . Big up king aigle emperor 243k viva la musica 🦅🦅🦅🦅
The Man was born for this take it from me.. Honoring October 09/2021 in Tanzania 🇹🇿 thanks Ipupa for everything... those watch this in 2050 will agree Man is Legend 🤩
Fally Ipupa Official music du courage toujours aigle 🦅🦅 Fally Ipupa depuis butembo Nord Kivu Roger ndonga félicitations my Big Fally Ipupa in Congo Kinshasa tuna kupenda bien sana
@@yuzotv458 the first song is call (mannequin fally ipupa) and the second second song is call ( libre parcour ) they are both on RU-vid. Enjoy the videos .
Kwa viuno hv fall ipupa Nakupenda haki ya mungu mwenzako ☺️☺️natizamaga kiuno tu apo jmn😋😋😋😋😋🙄😋.... Mahari natoa mm ww nipe nafasi tu...Sijui kwa bed inakuaje apo 🙄🙄..
Fally is an eagle soaring higher in the sky with his music , nostagia only made in congo . Keep it africa to the world . El ray margo, yasmine mtoto wa dar easalme ,piga manenoooooo😂😂
Natamani kujua waliosimamia sound ni hatari unaskilza music unapita mpaka raha yani sauti usikii sehemu inakwama naomba wapewe uwanglizi kwa Kweli na ikiwezekana wasimamie show zote wao