Тёмный

TAZAMA SIFA ZA MTU ANAYEFAA KUWA KIONGOZI WAKO HAPA 

Chunya Dc Online
Подписаться 482
Просмотров 33
50% 1

Msimamizi wa Uchaguzi Halmashauri ya wilaya ya Chunya anawakumbusha wananchi wa Chunya kwamba Muda wa Kuchukua fomu za kugombea nafasi mbalimbali za Uongozi umefika, Ni kuanzia tarehe 26/10-01/11/2024
Fomu hizi zitatolewa bure kabisa na zitatolewa kwenye ofisi za Watendaji wa Vijiji lakini kwa wale wanaoishi Mamlaka ya Mji mdogo kwa maana ya kata za Matundasi, Bwawani, Makongolosi na Mkola fomu zinapatikana ofisi za watendaji wa kata
Tazama sifa za anayefaa kuwa kiongozi na ikiwezekana hata wewe kama sifa unazo jitokeze kuchukua fomu kuwania nafasi ya Mwenyekiti wa Kijiji, Mwenyekiti wa Kitongoji na wajumbe wa Serikali ya kijiji
Endelea kufutilia mitandao yetu taarifa mbalimbali zitaendelea kutolewa kupitia mitandao hiyo pamoja na vyomba vya habari

Опубликовано:

 

26 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии    
Далее
МЭЙБИ БЭЙБИ - Hit Em Up (DISS)
02:48
Просмотров 385 тыс.
How To Read Russian In 9 Minutes (Seriously)
9:10
Просмотров 1,7 млн
HATIMAYE MZEE ALIYETEKWA NA WANAWE AFUNGUKA MAZITO
7:53