Тёмный
No video :(

Tazama ujifunze: Ujenzi wa Banda bora la Nguruwe 

RUBABA TV
Подписаться 56 тыс.
Просмотров 51 тыс.
50% 1

Playlist zetu mbalimbali
SHAMBADARASA
Jifunze Mengi kuhusu kilimo na ufugaji Bora👇
• SHAMBA DARASA
UFUGAJI WA MENDE
Jifunze kwa kina Kuhusu ufugaji wa mende👇
• UFUGAJI WA MENDE
UFUGAJI WA NGURUWE KIBIASHARA
jifunze ufugaji wa Nguruwe kibiashara👇
• UFUGAJI WA NGURUWE KIB...
UFUGAJI WA KUKU WA ASILI KIBIASHARA👇
• UFUGAJI WA KUKU WA ASI...
MAFUNZO YA UJASILIAMARI 👇
• MAFUNZO YA UJASILIAMALI
SUBSCRIBE KUJIFUNZA MENGI ZAIDI
#ShambaDarasa
________________________________
For Business & Enquires
Website: tanzanianakili...
Email: rubabaimani@gmail.com
Instagram: @RubabaMedia
Phone: +255764148221

Опубликовано:

 

27 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 53   
@Faby-p7r
@Faby-p7r Месяц назад
Nmeipenda sana iyo broo
@lucasluvanda2250
@lucasluvanda2250 Год назад
Nawashukuru sana Kwa eimu hii keep it up
@rozkiwale912
@rozkiwale912 2 месяца назад
Nimeipenda sana
@bonfacejoseph6346
@bonfacejoseph6346 Месяц назад
Naomba ramani ya hilo banda
@RubabaTv
@RubabaTv Месяц назад
Wasiliana nasi 0764 148 221
@jameskisaka8203
@jameskisaka8203 Год назад
Hongera sana, banda nzuri. Sijaona milango na tayari plasta. Milango naweza ona imekaaje
@joshuamassawe2474
@joshuamassawe2474 2 года назад
Asee kuna watu walikua wanakusema vibaya ila bro una mchango mkubwa sana kwa sisi wakulima wapya. Be blessed!
@RubabaTv
@RubabaTv 2 года назад
Asante Sana, usijali hata yesu alisemwa vibaya
@suemutajaa1140
@suemutajaa1140 4 года назад
Naomba ulishaji.kutengeneza chakula. Bei nafuu
@RubabaTv
@RubabaTv 4 года назад
Tunaweza kuwasiliana 0764148221
@chrispinemwinuka8982
@chrispinemwinuka8982 2 года назад
Vizuri saana
@regantemba6032
@regantemba6032 3 года назад
Thank you so much
@amosimichael208
@amosimichael208 4 года назад
Dah banda makini
@christelle9690
@christelle9690 3 года назад
Congratulations
@tullysovellaamina5112
@tullysovellaamina5112 4 года назад
Chakula bora cha Nguruwe
@RubabaTv
@RubabaTv 4 года назад
Unaweza Kutazama yote hayo katika video list
@PatrickKarugaba-xz7rw
@PatrickKarugaba-xz7rw 9 месяцев назад
Ufugaji wa nguwe wakisasa
@christelle9690
@christelle9690 3 года назад
Good sir
@user-wg3zf9gf2f
@user-wg3zf9gf2f 3 месяца назад
Samahan banda kama hili linagarimu kiasi gan cha pesa
@christelle9690
@christelle9690 3 года назад
Yes
@user-hf4yn1qm7y
@user-hf4yn1qm7y 3 дня назад
Shida ya hizi video zenu hazitoi namna ya kupata hiyo huuduma ...mfano unasema watoto Bora wa nguruwe lkn husemi wanapatikana wapi kwahyo tija ya elimu yako unakuwa butu
@RubabaTv
@RubabaTv 3 дня назад
Ukiwa interested piga simu usaidiwe. Hatuwezi kuweka kila kitu kama unavyotaka. Tuna huduma tofauti tofauti za kulipia karibu
@gwamakamartin7090
@gwamakamartin7090 4 года назад
Kweli nimejifunza kitu...
@RubabaTv
@RubabaTv 4 года назад
Asante kwa kua nasi 🤝
@GilbertMushi-fz7ut
@GilbertMushi-fz7ut 2 месяца назад
Naweza kupata mawasiliano yako ya WhatsApp tuweze kuwasiliana vizuri kuhusiana na utengenezaji wa banda kama hilo
@RubabaTv
@RubabaTv 2 месяца назад
0764 148 221 wasiliana nasi
@chrispinemwinuka8982
@chrispinemwinuka8982 2 года назад
Mangonjwa gani hatarishi zaidi
@RubabaTv
@RubabaTv 2 года назад
Kuna magonjwa mengi Sana. Ila swine fever ni hatari Sana pia. Wasiliana nasi kufahamu Zaidi 0764148221
@GeradiJohn-ro8fl
@GeradiJohn-ro8fl Год назад
Mbna mafupi hawezi ruka
@abelraphael9746
@abelraphael9746 4 года назад
Et nikwel nguruwe akiwa na mafuta mengi hashiki mimba
@RubabaTv
@RubabaTv 4 года назад
Nguruwe anapokua na mafuta mengi, inaweza kusababisha kuongeaza uwezekano wa Nguruwe kushika mimba kwa shida, lakin sio Moja kwa moja kwamba lazima hashiki mimba,
@regantemba6032
@regantemba6032 3 года назад
Ahaa sawa sawa
@frolianclaudian8652
@frolianclaudian8652 3 года назад
@@RubabaTv et kiongozi iloo Banda kinaweza mudu ngurue Kama wangapi ??
@evancekimath7405
@evancekimath7405 4 года назад
Boss rubaba nikuombe unisaidie formula yanguruwe aliyejifungua kutoka siku anapozaa nakuendelea
@RubabaTv
@RubabaTv 4 года назад
Tunaweza kuwasiliana 0764148221
@regantemba6032
@regantemba6032 3 года назад
Je endapo nikajenga Banda nje kwa tofali Kisha ndani nikatenganisha kwa nondo Kuna shida?
@RubabaTv
@RubabaTv 3 года назад
Aina shida Unaweza kuweka namna unayooma inapunguza gharama
@sniper250goloit3
@sniper250goloit3 3 года назад
Hi, how much did this cost u?
@RubabaTv
@RubabaTv 3 года назад
It may cost up to $3000
@sniper250goloit3
@sniper250goloit3 3 года назад
@@RubabaTv still cheap sir 👌🏿 Asante 👏🏿
@sniper250goloit3
@sniper250goloit3 3 года назад
How can i contact u bro?
@RubabaTv
@RubabaTv 3 года назад
+255764148221
@regantemba6032
@regantemba6032 3 года назад
Je unaweza kutupa namba za huyo mfugaji?
@RubabaTv
@RubabaTv 3 года назад
Tunaweza kuwasiliana 0764148221
@regantemba6032
@regantemba6032 3 года назад
Inafurahisha kupewa majibu on time Thank you so much
@RubabaTv
@RubabaTv 3 года назад
Karibu na endelea kua nasi na kuwajulisha wengine
@regantemba6032
@regantemba6032 3 года назад
Okay fine
@ngailengaile2230
@ngailengaile2230 3 года назад
Mvua ikinyesha watoto hawawezi kudhurika na maji
@RubabaTv
@RubabaTv 3 года назад
Katika sehemu ya watoto ni vyema kuweka mazingira mazuri kuepusha baridi na unyevu
Далее
Ufugaji wa nguruwe kisasa.
34:35
Просмотров 54 тыс.
TENGENEZA CHAKULA CHA MAYAI KWA BEI NAFUU.
8:39
СМАЗАЛ ДВЕРЬ
00:31
Просмотров 263 тыс.
WILL IT BURST?
00:31
Просмотров 26 млн
I Built a WATERPARK In My House!
26:28
Просмотров 18 млн
UFUGAJI WA KISASA WA SAMAKI KWENYE MABWAWA
9:36
Просмотров 10 тыс.
BANDA LA KUKU 1000 - 1300, SEHEMU YA TATU
11:17
Просмотров 38 тыс.
BIASHARA 21 ZA MTAJI MDOGO ZENYE FAIDA KUBWA
18:45
Просмотров 110 тыс.
СМАЗАЛ ДВЕРЬ
00:31
Просмотров 263 тыс.