Тёмный

TAZAMA WATOTO WENYE KIPAJI CHA UTANGAZAJI WALIVYOWAKOSHA WATU, MWALIMU KASHASHA ATAJWA 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 68 тыс.
50% 1

Seif Ibrahim pamoja na Emmanuel ni watoto ambao wana kipaji cha utangazaji ambapo leo wakiwa katika shule yao wameonyesha jinsi wanavyoweza kutangaza mpira nakusema kwamba wanatamani kuwa watangazaji wakubwa huku mmojawapo akimtaja mchambuzi wa mpira Tanzania mwalimu Kashasha

Опубликовано:

 

18 май 2021

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 83   
@TheTemba1
@TheTemba1 3 года назад
Safi Sanaa Millard Ayo Leo umetupa vitu adimu kweli ntawafuatilia Hawa watoto aisee niwape hata vifaa vya mazoezi
@mtitagirloriginal9472
@mtitagirloriginal9472 3 года назад
Machozi hadi yamenitok wenzetu wanazaa mungu bariki kizazi chang
@ezekieljolam3961
@ezekieljolam3961 3 года назад
Nitafute tujadili kiundan zaidi
@penuelyolotu7113
@penuelyolotu7113 3 года назад
Mwenyezi Mungu awafikishe kwenye ndoto na malengo yenu wanangu
@welcometoeat165
@welcometoeat165 3 года назад
Hao waajiliwe jaman! Ili wawe wanajisomesha wenyewe kupitia malipo yao
@gladysgesare9549
@gladysgesare9549 2 года назад
Nyx one keep up
@mamachris6811
@mamachris6811 3 года назад
Good 👏👏👏dogo yupo vizuri Huyo wa pili bado kidogo
@comrademlewaisavile336
@comrademlewaisavile336 3 года назад
Tunafel kwa kutojua makusudi ambayo mmungu ametutunukia. Lakn ukijua unafurahia kile unachofanya. Passion,hongera kwao vijana uko chugga kuna vipaj vingi
@zabrondaud4221
@zabrondaud4221 3 года назад
Ndogo huyo wa kwanza yuko vizur sana tena sana
@irenematokeo6116
@irenematokeo6116 Год назад
Solute kwao Mungu awasaidie wafanikiwe malengo yao
@futuremwita4383
@futuremwita4383 3 года назад
Daah mwnyezi mungu awasimamie kwa kila hatua wanaoyo ipitia
@Nakwaka
@Nakwaka 3 года назад
The one with wrist watch,very talented
@josephjohn759
@josephjohn759 3 года назад
Madogo wapo good sana
@monicahmbusiro1948
@monicahmbusiro1948 3 года назад
Wooow xo amaizing mungu awatimizie ndoto yenu
@onesmomlinga2739
@onesmomlinga2739 3 года назад
Kashasha amepoa sana seif yupo vxur
@kacherosimba5762
@kacherosimba5762 3 года назад
Ninavyo penda kucheka ninge kuwepo hapo ninge cheka kwasauti sana 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@khadijahali4837
@khadijahali4837 3 года назад
Mwalimu kashasha 🤣🤣 mtangazaji upo vzr
@noxlosingida2369
@noxlosingida2369 3 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣ningekuepo hapo lazima ningewatunza sio kwa kunifurahisha jamani
@elizathomas3055
@elizathomas3055 3 года назад
Mtangazaji wampira yuko vizurii sanaa
@beautymasatu1200
@beautymasatu1200 3 года назад
Shule yangu mringa 😍
@priscagerald2299
@priscagerald2299 3 года назад
Mungu azidi kuwabariki wafikie Malengo yao,
@janepallangyo8111
@janepallangyo8111 3 года назад
Jamn my old school.. Hahaha jamn 2011
@mtaalamwamambo2099
@mtaalamwamambo2099 3 года назад
Noma sana 🤣 Mwl kashasha🤣🤣🤣🤣
@coletashirima2193
@coletashirima2193 3 года назад
Hahahahahah nmecheka jmn ..hongeren Mungu atawajalia mtafika mbali
@maloomaalmnsj5111
@maloomaalmnsj5111 3 года назад
Masha Allah mtafanikiwa
@faridaaloyce7672
@faridaaloyce7672 3 года назад
Ad raha najisikia kuwa mama...
@jovituspontion1147
@jovituspontion1147 3 года назад
Vijana wako vizur sana
@jamesmoindi7278
@jamesmoindi7278 3 года назад
So impressing !!!!
@jovinezekiel3652
@jovinezekiel3652 3 года назад
Dogo yupo vizur saaaana mafansi wa mpenja. Huyudogo alifaa awenaee
@alannyoni687
@alannyoni687 3 года назад
Hongera yao sana
@dicksonmatulile1523
@dicksonmatulile1523 3 года назад
Safi sana dogo
@johfantv1236
@johfantv1236 3 года назад
Dogo pambana dogo nchi yetu, hii amna kukuza vipaji zaid ya kuona na kutengeneza matabaka bac
@aminalafaeringaizangaiza614
@aminalafaeringaizangaiza614 3 года назад
Mhh wako sawa
@davidalphaxady864
@davidalphaxady864 3 года назад
🙌🙌
@twentyacresfarms3464
@twentyacresfarms3464 3 года назад
Kaka unaibua sana vipaji vilivyojificha
@saidiramadhani2781
@saidiramadhani2781 3 года назад
Salute 🏇
@catherineawwe4955
@catherineawwe4955 3 года назад
Hongeren sanaaaaa
@aidhaaidh7815
@aidhaaidh7815 3 года назад
Mashallah
@user-ou7pe3mv6k
@user-ou7pe3mv6k 3 года назад
Msshallah
@lovedeetz4461
@lovedeetz4461 3 года назад
Mtangazaji anajua
@mfaumehongwe39
@mfaumehongwe39 3 года назад
Madogo mafundi sana
@mlishkachira2226
@mlishkachira2226 3 года назад
madgo wanaweza\(-ㅂ-)/ ♥ ♥ ♥
@francismkenyi8473
@francismkenyi8473 3 года назад
Mchambuz bado kbs
@ukweliluvinga2726
@ukweliluvinga2726 3 года назад
Wako vizur Sana serikali iwatazame ili watimize ndoto zao✍️
@samjuniortz2559
@samjuniortz2559 3 года назад
gonga like
@marylukungu3383
@marylukungu3383 3 года назад
Wastani baby boys from Kenya
@amosmahona433
@amosmahona433 3 года назад
Chugga kuna vipaji vingi sana kwakweli
@festochristopher7293
@festochristopher7293 3 года назад
Huyu dogo anayetanga yuko vzr saana safi saana
@ignassindabaha1813
@ignassindabaha1813 3 года назад
huyo charlie white noma sana,kashasha kapoaa sana.but wako poa sana
@jamecjohn7318
@jamecjohn7318 3 года назад
Mwalimu kashasha hahahahhaha
@mathiasmassai8747
@mathiasmassai8747 3 года назад
😁😁😁
@r14kgroup68
@r14kgroup68 3 года назад
Mitaala yetu is iangilelie zaidi vipaji
@lightyekonia8662
@lightyekonia8662 3 года назад
Jaman shule ya mringa mringa nimeikumbuka san
@iddyathman5504
@iddyathman5504 3 года назад
Katibu Tawala mmenigusa
@ayishaayishayisha4465
@ayishaayishayisha4465 3 года назад
Yaani dogo anakipaji
@ezekielandirea868
@ezekielandirea868 3 года назад
Madogo wanakipaji nimewakubali
@lightyekonia8662
@lightyekonia8662 3 года назад
Dogo wa kwanza kafanya vzr san
@mdbosco1640
@mdbosco1640 3 года назад
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏👌👌👌👌💞💞💞💞
@OLPrimary
@OLPrimary 3 года назад
Hawa watoto Wana vipaji
@mussaabdiel9797
@mussaabdiel9797 3 года назад
Waoneni ao vijana jaman wanao vipaji Atari
@dinnahhyypollyydinna2346
@dinnahhyypollyydinna2346 3 года назад
Waajiriwwweeeee
@mbukemalugu5974
@mbukemalugu5974 3 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@mussaabdiel9797
@mussaabdiel9797 3 года назад
Dogo yupo vzr Sana'a wa kwanza uyo wa pili bado kidogoooo
@mubarackdimwe1646
@mubarackdimwe1646 3 года назад
Hahahahahaha wapo vizuri sanaaa
@mubarackdimwe1646
@mubarackdimwe1646 3 года назад
Wa kwaza nomaa dogo
@pendonuru6499
@pendonuru6499 3 года назад
😅😅😅😅😅😅💋💋💋
@user-eg1dr6so4c
@user-eg1dr6so4c 3 года назад
Komenti tu nimecheka
@lailatlasway7107
@lailatlasway7107 3 года назад
Nocw
@lailatlasway7107
@lailatlasway7107 3 года назад
Nice
@shadyamollel1453
@shadyamollel1453 3 года назад
Mtangazaji kaweza sn
@abedysteven5397
@abedysteven5397 3 года назад
Had raha dogo mnafurahixha xana
@georgegeorgemtatiro2052
@georgegeorgemtatiro2052 3 года назад
Kisima
@lizzybahati9833
@lizzybahati9833 3 года назад
🤣🤣🤣🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
@isaacmbade6955
@isaacmbade6955 3 года назад
Wametisha madogo aise
@nickomlimbila217
@nickomlimbila217 3 года назад
Tukiwa Angola tumecheka kwa sauti kubwa mnoo
@williamdavid3416
@williamdavid3416 3 года назад
Wapili komed 🤣🤣🤣🤣🤣
@maloomaalmnsj5111
@maloomaalmnsj5111 3 года назад
Aki nimecheka 😂🤣😂
@kuruthumufrank7507
@kuruthumufrank7507 3 года назад
Hahahaaha🤣🤣 kabisaaa
@senseiamazing1823
@senseiamazing1823 3 года назад
Haaaaaaaaaaahaaaaaaaaaa
@mussasony7728
@mussasony7728 3 года назад
Yupo zaidi ya huyo nenda andika mussa Sony (RU-vid) utamwona dogo hatari zaidi ya mpenja
@emmanuelbuyamba5855
@emmanuelbuyamba5855 3 года назад
Duh huyu kashasaha hana mengi🤣🤣
@fatumahengo6849
@fatumahengo6849 3 года назад
Allah awajaalie safari yao ya masomo
@pendonuru6499
@pendonuru6499 3 года назад
Lkn huyo mweupe kanichekesha sana itabidi apambane maana kipaji anacho
Далее
В GEOMETRY DASH СДЕЛАЛИ GTA
00:27
Просмотров 524 тыс.
KISA CHA NABII YUSUF - Sheikh Othman Maalim
1:12:49
Просмотров 25 тыс.