Тёмный

#TBCLIVE 

TBConline
Подписаться 416 тыс.
Просмотров 16 тыс.
50% 1

Fuatilia habari na matukio mbalimbali kwa saa 24 kupitia tovuti yetu, www.tbc.go.tz au App yetu ya “TBC Live” inayopatikana
Play Store (Android): bit.ly/3kYnnsr
App Store (iOS): apple.co/31Yxjta
Tufuatilie pia kwenye kurasa zetu za mitandao ya kijamii;
Twitter: / tbconlinetz
Instagram: / tbc_online
Facebook: / tbconlinetz

Опубликовано:

 

20 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 27   
@moseskaluwayo2836
@moseskaluwayo2836 2 года назад
Mh Nnauye, hongera kwa kuamiliwa na Mh Raisi. Chapa kazi, taifa lisonge mbele.
@zabronjisena7976
@zabronjisena7976 2 года назад
Serekari imeshindwa kazi serekari yaawamu ya6 ijaribu kumhofu Mungu bira Mungu mtapata tabusana madeni kibao maendereo hatuoni wanainchi kwanza bira Mungu mnataka kutupereka pabaya
@robertjunior9916
@robertjunior9916 2 года назад
Nchi zingine afrika mashariki zipo bize kuwaletea wananchi maendeleo tz wanahangaika na kuteua na mabadiliko ✍️ R.I.P jpm
@robertjunior9916
@robertjunior9916 2 года назад
Shikamoo mstaafu jakaya mrisho kikwete 😂😂😂😂
@kingswebe3251
@kingswebe3251 2 года назад
hakika hii nchi ni ya watu wachache sana
@kakorejrboyz6447
@kakorejrboyz6447 2 года назад
Safi Sana RIZIWANI KIKWETE💪💪💪💪💪👍👍👍👋👋👋💥💥🏆🏆🇹🇿🇹🇿🇹🇿🤣🤣🤣🤣💎💎Kweli RIZIWANI hata unaibu Waziri kweli jaman acheni ROHO mbaya BIG UP MAMA Rais WETU Yani Baba yangu awe Rais NCHI hii Mimi mtoto wake ninavigezo vyote nimesoma nikose hata unaibu Waziri ,...#Riziwani big up
@zabronjisena7976
@zabronjisena7976 2 года назад
Ridhiwani hataweza wizarahio kwani nchi imekosa viongonzi hakika magufuri hatasahaurika apa Tanzania na Afirika nzima badara ya kazi ienderee imekuja mikopo ienderee nahuko kubadri wizara kitanda nikuharibu maendereotu Mungu awasaidie
@mohamedngaja4983
@mohamedngaja4983 2 года назад
Safi sana kazi iendelee💪🙏
@ntegwamachibula5083
@ntegwamachibula5083 2 года назад
Hongera sana mheshimiwa kwa kupanga baraza jipya kuogeza ufanisi
@emmanuelminja9687
@emmanuelminja9687 2 года назад
Walioachwa wanaenda kujipanga 2025.
@richardmziba55
@richardmziba55 2 года назад
Let's wait and see, time will tell. Kama hakutakuwa na "kikulacho ki nguoni mwako" !
@kassimualli1600
@kassimualli1600 2 года назад
Safi sana,hata magu aliwatoa watu wa kikwete na akawachukua watu ambao walimpinga na kumtukana kikwete ndo akawapa uongozi,hivyo msitake watu aliwachukia Magu na mama pia awachukue,kila Rais anatazama watu wake wa kufanya nae kazi,hivyo Mama kazi iendelee,
@ntegwamachibula5083
@ntegwamachibula5083 2 года назад
Kwa Nnape powa sana na kilimo upande wa Bashe we acha tu
@joshuabryson8044
@joshuabryson8044 2 года назад
Kwa bashe hapo 100%
@keffasleo7067
@keffasleo7067 2 года назад
Ila Mavende wagg walishamkataa anatakiwa abadilike sana asipandishe mabega awasaidie kutatua kero zake.
@ramadhansasamalo8920
@ramadhansasamalo8920 2 года назад
Kila la kheri
@joshuabryson8044
@joshuabryson8044 2 года назад
Kabudi yuko wapi ???
@keffasleo7067
@keffasleo7067 2 года назад
Nje ndio wanamtandao hao labda
@keffasleo7067
@keffasleo7067 2 года назад
Njeeeeeeeee
@joshuabryson8044
@joshuabryson8044 2 года назад
@@keffasleo7067 isije ikawa ndo waziri mkuu ajaye ....................maana naona kuna mkato hakuna nukta
@eliazarinyakiema1969
@eliazarinyakiema1969 2 года назад
Paramagamba kabudi
@mwakipundahenry5235
@mwakipundahenry5235 2 года назад
Nape kapelekwa Wizara sahihi sana, Nape aliiweza Wizara ya habari kuliko Waziri yeyote tangu UHURU wa nchi hii
@emmanuelminja9687
@emmanuelminja9687 2 года назад
Kabudi aliokotwa jalalani amerudi huko.
@charlesjoseph1081
@charlesjoseph1081 2 года назад
Nape na ridhwani wore hawafai ni upuuzi mtupu
@keffasleo7067
@keffasleo7067 2 года назад
mama ameona na kusikia kilio cha kero za ardhi kwa hiyo mi huyu mama Mabula na naibu wake Ridhiwani Kikwete naona poa sana maana ndio waliowezesha kung'oa Lukuvi na wamtandao wa ardhi
@davidsimbeye1548
@davidsimbeye1548 2 года назад
Uamuzi mzuri Ila kiuongozi kumuacha mtu anauepingana na wewe hadharani Kama Mkenda ni kosa kubwasana
Далее
Impeached DP Gachagua speaks after leaving Hospital
14:16
1 Subscriber = 1 Penny
00:17
Просмотров 46 млн
The Strongest Militia in the Middle East
13:49
Просмотров 1,1 млн