Тёмный

TENZI ZA ROHONI - Usinipite mwokozi 

Sammy Muriuki
Подписаться 38 тыс.
Просмотров 2,6 млн
50% 1

Опубликовано:

 

11 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 615   
@lulupeter-xf9gs
@lulupeter-xf9gs 7 месяцев назад
Ee bwana naomba usinipite mwaka 2024 Kwa upendo wako juu yangu hata wengine ambao ukuwajibu mwka 2023. Mwaka huu uwajibu maombi yao Amin🙏
@iddymkeamkea4034
@iddymkeamkea4034 7 месяцев назад
@josephnganganjoroge6275
@josephnganganjoroge6275 6 месяцев назад
Mungu atakujimbu, God always replys most times not the way we expect, check well maybe your prayers have been answered only that the answer is where you're not expecting so you're not checking. Joseph had dreams and were answered by him being sent to Egypt as a slave
@user-md7ks7um4o
@user-md7ks7um4o 5 месяцев назад
Kama bdo ukizkiza hii nyimbo wabarkiwa kma mm kwenye huu mwaka Eka like bila kupita amen tarehe 31/3/2024❤️❤️❤️❤️ asante mungu
@getujackson5346
@getujackson5346 3 месяца назад
Amen❤
@carolynewanjiru4557
@carolynewanjiru4557 3 месяца назад
❤❤❤
@LuciaEzebius-dk6eh
@LuciaEzebius-dk6eh 2 месяца назад
@LucasNgigi
@LucasNgigi 21 день назад
Amen
@JohariLunjenje
@JohariLunjenje 10 дней назад
😂❤
@glory.nyimbozadinishirima2825
@glory.nyimbozadinishirima2825 6 месяцев назад
Usinipitee mwokozi mwaka huu 2024
@DanMutiso-um7uv
@DanMutiso-um7uv 13 дней назад
Angel amesema nikusalimie
@user-ps5uh8xy3f
@user-ps5uh8xy3f 7 месяцев назад
Ee yesu usimipite katika katika shughuli ninazo zifanya hata katika masomo yangu hapa chuo kikuu , amina 🙏🙏
@user-qp9ve6gc6v
@user-qp9ve6gc6v 13 дней назад
Unapozur wengin usinipite uniepushe na Magonjwa Amen 😢🙏🙏
@user-qp9ve6gc6v
@user-qp9ve6gc6v 13 дней назад
Ee Mwenyez Mungu usinipite Mwaka huu uniepushe maovu natak kuon Baraka zako 😢
@josephatonyambu108
@josephatonyambu108 9 месяцев назад
Yesu yesu ... unisikie .unapozuru wengine usinipite ..Ameeeeeen
@IreneKalugendo-r9s
@IreneKalugendo-r9s Месяц назад
Usinipit bwan unapozuru wengne niponye na magonjwa yanayoundam mwili wangu amen
@floridamuthoni5166
@floridamuthoni5166 9 месяцев назад
Remove the poverty that is following my family in Jesus name I trust and believe Amen
@josephnganganjoroge6275
@josephnganganjoroge6275 6 месяцев назад
God will remove poverty, remember hagar cried to God and the bible says God opened Hagar's eyes and she saw a well of water. ask God to open your eyes and see the well. God bless you and your family
@higenyijoramraulings
@higenyijoramraulings 8 месяцев назад
Naomba usinipite mwokozi,wapendwa mniombee sana nilipoteza mume wangu last yr,nikaachwa na twins wa miezi mbili,wako mwaka mmoja na miezi,landlord amebeba funguo za nyumba nafukuzwa kwa hao sijui niende wapi sina kazi,familia ilinifukuza niko na watoi watatu mniombee nahisi kujiua tu😭😭😭😭😭😭😭
@elijahjosephgmail
@elijahjosephgmail 6 месяцев назад
Pole sana😞
@GradnessMarico
@GradnessMarico 5 месяцев назад
Mungu wa mbinguni akutendee update pa kuishi
@OctavianNgunwa
@OctavianNgunwa 4 месяца назад
Tuwasiliane kuona namna ya kusaidiana
@user-qp9ve6gc6v
@user-qp9ve6gc6v 13 дней назад
Pole San 😢😢
@CharlesChangwe-uf8rz
@CharlesChangwe-uf8rz 6 месяцев назад
Napenda sana huu wimbo baba wa mbinguni tubariki sisi wanawako katika pilika zetu amen
@agnesjeptum7020
@agnesjeptum7020 3 месяца назад
Usinipite Yesu wangu this is the time I need you oh mighty father 😭😭😭😭😭😭😭
@user-cr9hr3el7g
@user-cr9hr3el7g 5 месяцев назад
Hata na mimi naomba usinipite unapo gusa wengine na mimi niguse mwokozi wangu
@AnnethIssaya
@AnnethIssaya 3 месяца назад
Eeeh! Mungu usinipite na haya majaribu ninayoyapitia. Mungu nishike na kuniinua tena🙏🙏
@JoharBreeze
@JoharBreeze Месяц назад
Usinipite mwaka huu tenda miujza 2024
@MaxwelKipkemboi
@MaxwelKipkemboi 2 месяца назад
bwana naomba usinipite huu mwaka nataka kuona baraka zako..
@jescamuijsers4206
@jescamuijsers4206 Год назад
Usinipite mokozi nikumbuke na mimi na familia yangu Amen
@northwest8516
@northwest8516 Год назад
Gonga like kama we ni mkristoo
@HellenOira-gu9de
@HellenOira-gu9de 4 месяца назад
Ee yesu usinipite jioni ya Leo nione mkono wako niguse baba❤
@user-ep7lm5hv5h
@user-ep7lm5hv5h Год назад
Hata Mimi usinipite mwokozi,Unapozuru wengine,naomba usinipite mwokozi 🙏🙏🙏
@mildredijai9024
@mildredijai9024 2 года назад
Oooh yesu sikia kilo cha moyo wangu nko chini ya miguu zako😭😭😭🤲💔🙇‍♀️🙇‍♀️
@jeffmuriuki9426
@jeffmuriuki9426 Год назад
you will have a testimony soon. Amen
@stevestephy1677
@stevestephy1677 Год назад
Yesu usiniache, nisamehe makosa yangu usinipte baba
@Flah2024Kina
@Flah2024Kina Месяц назад
Yesu yesu unisikie unapozuru wengine usinipite
@brenderlelei4321
@brenderlelei4321 3 месяца назад
Usinipite Yesu wangu unapozuru wengine
@user-gw7ko9ic3h
@user-gw7ko9ic3h 9 месяцев назад
Asanteee Sana yesu usinipite kwa Kila Jambo bwanaa
@user-fs9ss8ef3h
@user-fs9ss8ef3h 8 месяцев назад
Eee mungu usinipe mokozi wangu na familiya yangu naiombea ndungu jamaa na marafiki wangu wote ❤🎉❤❤❤
@miriammusuvi7912
@miriammusuvi7912 Год назад
Maombi yangu huu mwaka wa 2023 Bwana naomba, usinipite Bali unikubuke ,Amen
@GraceSanka
@GraceSanka 4 месяца назад
Eee MUNGU wangu wa mbinguni usinipite nifungulie milango ya ridhiki huu mwaka 2024ukawe mwaka wa baraka kwangu🙏🙏🙏🙏
@user-dn5yb2ry6t
@user-dn5yb2ry6t 6 месяцев назад
Usinipite mwokozi unisikie unapo wazuru wengine usinipite baba nakuomba don't left o God please🙏🙏🙏🙏🙏🙏🤱🤱AMEN
@user-jw6co2ji2s
@user-jw6co2ji2s 3 месяца назад
Usinipite Bwana unapodhuru wengine usinipite yesu mwaka 2024
@user-wv6rc1yq5c
@user-wv6rc1yq5c 7 месяцев назад
Naomba usijaribu kunipita God plz I have a hard time plz 🙏🙏🙏😭😭😭😭 just say one ward to me if u see this massage plz
@user-uw9it7hn5d
@user-uw9it7hn5d 3 месяца назад
Kwa haya ninayopitia kwa Jina la yesu anitakase kwa damu yangu 😢
@GraceSanka
@GraceSanka 4 месяца назад
Na majaribu katika ndoa yangu yesu usinipite,unapodhulu wengine na mm usinipite bwana 🙏🙏
@Ericmui-lu5dv
@Ericmui-lu5dv 5 месяцев назад
yesu usinipite I know I love me and care about me
@jerubetjoan20
@jerubetjoan20 9 месяцев назад
Mungu unapozuru Nchi zingine usipite Nchi yetu ya Kenya, watu wanalia juu ya uchumi lakini Baba tunajua wewe ni mwaminifu utatutetea. Kenyans tushike Imani.
@colooboy
@colooboy 3 месяца назад
Usinipite mungu unapozuru wengine usinipite huu mwaka
@user-og9go7rg6e
@user-og9go7rg6e 7 месяцев назад
Unapozuru wangeni yesu,usinipite pita n mm
@user-wj6lq4yd6b
@user-wj6lq4yd6b 6 месяцев назад
Usinipite mwokozi unapozuru wengine pia mm unikumbuke mungu
@user-wp4mj4yk6m
@user-wp4mj4yk6m 10 месяцев назад
Pia NAMI yesu naomba unikumbuke katika maisha yangu kwa maana changamoto z magonjwa zimenilemea na mm peke siwezi
@Emmie-rx4dz
@Emmie-rx4dz 7 месяцев назад
My pray this year mungu usinipete 2024
@user-me7lg1dk4f
@user-me7lg1dk4f Год назад
Baba naomba usinipite unisikie kilio changu baba nijibu Sara zangu baba wa mbinguni
@maiaagnes3323
@maiaagnes3323 Год назад
Usinipite mwokozi unisikie unapozuru mwengine huu mwezi wa Tano usipite mwokozi wangu😢 l will come back with a testimony 😢🙏
@MasanjaNdama
@MasanjaNdama Год назад
🛃🚭
@trizahlydiah3652
@trizahlydiah3652 Год назад
Amen unapozuru wengine naomba usinipete yesu wangu
@meshalochieng
@meshalochieng 7 месяцев назад
Nami bwana mungu wangu nami usinipite ameni
@user-lr8ro1ii9z
@user-lr8ro1ii9z 6 месяцев назад
Usipite mungu ninapo ishiwa NGUVU nijaze NGUVU safari ni ndefu nilio nayo bila ww nitashindaa
@PeterMusyoka-fx7pe
@PeterMusyoka-fx7pe 6 месяцев назад
Mungu wangu husinipite naomba unisamehe
@user-tz9gg9gq3c
@user-tz9gg9gq3c 9 месяцев назад
Ata mm yesu usinipite nimepoteza pesa kiac kikubwa na nko chini yako Baba 0ver 60000 kwa ma fraudsters..let God reign
@sammymuriuki
@sammymuriuki 9 месяцев назад
May God remember you
@sizalutavi5418
@sizalutavi5418 7 месяцев назад
Eeh bwana unapogusa wengine naomba uniguse na mim katika jina la yesu amina
@IphineKaarie
@IphineKaarie Год назад
Yesu usinpite ninaomba uniongoze katika huu mwaka hikuwe ni baraka kwangu
@Chef_gaella
@Chef_gaella 5 месяцев назад
Unapozuru wengine,usinipite 😊 Mungu Wangu
@maqueen-rs6in
@maqueen-rs6in Год назад
Hata Mimi usinipite mungu asbuhi ya Leo,, sikia maombi yangu baba,
@user-lp2gy7rg7o
@user-lp2gy7rg7o 6 месяцев назад
Wimbo mzuri sana ....usinipite ukibariki wengine
@Olpha-nk8ou
@Olpha-nk8ou 3 месяца назад
Yesu naomba usikie kilio changu kwa huu mwaka
@user-le5uz9fz3k
@user-le5uz9fz3k 6 месяцев назад
2024 usinipite mwokozi yesu unisikie🙏🙏🙏🙏
@MarryAssey-hy5cy
@MarryAssey-hy5cy 4 месяца назад
Amen
@salomechepkoech5954
@salomechepkoech5954 4 месяца назад
God listen to my prayer...u r God who Ans prayers
@user-hx3lu7op9z
@user-hx3lu7op9z 4 месяца назад
Usinipite mungu wangu 🙏🙏❤️❤️❤️❤️
@renaldamaiwa7266
@renaldamaiwa7266 Год назад
Wimbo huu unatufundisha tusioneane wivu kwa wengine,unapoona mwingine amebarikiwa mwambie Yesu usinipite unapozuru wengine.
@ruth-lb4qf
@ruth-lb4qf Год назад
Yesu wangu usinipite unapowazuru wengine na mimi nikumbuke
@JanetAwino-sp3qy
@JanetAwino-sp3qy 3 месяца назад
Usinipite yesu pamoja na familia yangu.
@user-om7nr4gp1s
@user-om7nr4gp1s 10 месяцев назад
Unishikie unapo suru wingine usinipite bwana🙏
@DinnaBhoke
@DinnaBhoke 6 месяцев назад
Huu wimbo unanikumbusha kipindi nilikuwa gerezani 🙏
@kevinwanjala5396
@kevinwanjala5396 6 месяцев назад
Usinipite yesu mwogozi wangu
@user-qz4rf4vv6t
@user-qz4rf4vv6t 8 месяцев назад
Usinipit mwokozi wang yesu unisikie unapo zulu wegine😢
@user-yj1re9sy5x
@user-yj1re9sy5x 10 месяцев назад
Hata Mimi yesu usinipite ninaomba
@Elizaclemess
@Elizaclemess 8 месяцев назад
yesu naomba usinipite kwa watt wang amina
@williamnyekelela5615
@williamnyekelela5615 3 месяца назад
Yesu wang naomba usipite bila kunigusa
@annewanjikunjeri8749
@annewanjikunjeri8749 Год назад
Amen 🙏🙏...unisikie pia usinipite yesu maana wewe ndio msaanda wangu
@Fatima-ks2pk
@Fatima-ks2pk Год назад
Hata mimi usinipite unapo zuru wengine usinipite❤
@lynetwanyonyi-633
@lynetwanyonyi-633 Год назад
Usinipite mwokozi,,nitetee Kwa kila jambo Yesu wangu
@user-ly8go5qy6w
@user-ly8go5qy6w 6 месяцев назад
Yes yes usinipit pamj na ndg zang ee bean naomba unipite
@prudencemxhangao
@prudencemxhangao Год назад
Yesu niongoze katika wokovu bwana n hii safari ya maisha
@VedastinaSosthenes
@VedastinaSosthenes 2 месяца назад
Naomba usinipite mwokozi nipe kukutumainia wewe siku zote
@InnocentParakeet-cv7ke
@InnocentParakeet-cv7ke 5 месяцев назад
Yesu naomba unisikie unapozuru wengine mwaka huu wa 20224. Usinipite
@mariabenjamina6488
@mariabenjamina6488 2 года назад
Amina, mimi binafsi nashukuru sana kwa huu utenzi za rohoni, nimeufurahia sana na umenigusa sana,Mungu akubariki sana na aendelee kukuinua katika kipaji hiki cha kutangaza makuu yake kwa watu kwa njia ya nyimbo.Amina
@sammymuriuki
@sammymuriuki 2 года назад
Amina
@sylviahnekesawak5598
@sylviahnekesawak5598 2 года назад
It's really touching song
@milkakoech
@milkakoech Год назад
Yesu usinipite mwokozi hii wimbo inanipa ujasiri sana
@user-zf8pp7js4t
@user-zf8pp7js4t 5 месяцев назад
God remember me as i fight all the challenges that may come across my life i pray for the defeat of all evils in my family in Jesus name amen
@puritymwendwa9047
@puritymwendwa9047 Год назад
2023 mungu usinipite you know my heart desires ooh Lord 🙏🙏🙏
@user-th4bg2io4r
@user-th4bg2io4r 6 месяцев назад
Dear God don't pass by just touch me and change completely that's my earnest prayer
@user-th4bg2io4r
@user-th4bg2io4r 6 месяцев назад
Thanks bro be blessed
@alicekatush9388
@alicekatush9388 Год назад
God has bless other God please bless ,you desire of heart pliz hear my cry
@JohnMagondu-zg3zx
@JohnMagondu-zg3zx 6 месяцев назад
Huu waka wa2024 mungu usinipite na family yangu amen, amen 👏
@jacklinendinda1495
@jacklinendinda1495 Год назад
Usinipite mokozi nikumbuke na Mimi 👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽
@jacintakadenge9619
@jacintakadenge9619 Год назад
Hata mimi Yesu usinipite leo.l really need you God
@MiriamAmai
@MiriamAmai 5 месяцев назад
Bila yesu sisi ni Bure jina lake litukuzwe
@LucyKomu-yc1rl
@LucyKomu-yc1rl 7 месяцев назад
Ee bwana naomba usinipite mwaka huu wa 2024 Kwa upendo juu yangu 🙏🙏
@josephnganganjoroge6275
@josephnganganjoroge6275 6 месяцев назад
Bwana Hatakupita, imagine the years you have na hakukupita miaka hiyo yote, 2024 hatakupita, maybe what you're expecting is within you.
@rosemarychero7470
@rosemarychero7470 Год назад
Eee yesu namba usinipite katika haya mangumu nilipnayo siwezi kubeba haya nilipnayo baba naomba unipe msaada usinipite yesu wangu
@issayaKagyo
@issayaKagyo 8 месяцев назад
naomba ustupite na wanao mwaka huu 2024 ameen,,,🙏
@AgnesKambua-im9be
@AgnesKambua-im9be Год назад
Usinipite hii mwezi yesu nisikieee yesu unapozuru wengine usinipite ww msaanda wangu wa karibu
@user-cf8fm1bs2d
@user-cf8fm1bs2d 7 месяцев назад
Eee mungu usinipite katika duk languu🙏🙏
@LadonahAzell
@LadonahAzell 4 месяца назад
Mungu remove the poverty in our family none of our siblings will drop out of school please hear my cry
@simonwanjohi-no7jd
@simonwanjohi-no7jd 4 месяца назад
UHIDIMIWE MUNGU WA MANJESHI
@MararmaHomes
@MararmaHomes 5 месяцев назад
Kweli baba ninaomba unisikie naomba usinipite 😢😢😢
@user-oz6vn1xu9g
@user-oz6vn1xu9g Год назад
Usinipite bwana.unapo zuru wengine usinipite eeee mungu wangu nimwambea nn mm nimekuachea wewe unajua ninayopitia❤❤😘😘😭😭
@magrethkimaro5140
@magrethkimaro5140 8 месяцев назад
Usinipite Yesu🤲🤲🤲🤲🙏
@Samwelmangongo
@Samwelmangongo Год назад
Usinibte mwokozi wangu yes ❤🎉🎉❤
@emmanuelshukuran2543
@emmanuelshukuran2543 Год назад
Powerfully this song usinipite yesu wangu unisikie niombapo bwana yesu
@user-wu9gi7vt1b
@user-wu9gi7vt1b 11 месяцев назад
hata mm usnipite mungu wangu❤❤❤❤
@dainesdiocles6739
@dainesdiocles6739 Год назад
Unapozur wengine ucipite yes Wang .asant Kwa song 🙏🙏🙏🙏🙏
@mollynokello8778
@mollynokello8778 2 месяца назад
Listening to this at 2 Am God do not pass me by.😢😢
@user-fo6yi1us2q
@user-fo6yi1us2q 3 месяца назад
Usinipite yesu wangu unisikiiee
@user-dz8nt7pq6z
@user-dz8nt7pq6z 7 месяцев назад
Usinipite mwokozi ,unapobariki nibariki pia
@anastasiamainaministries2700
@anastasiamainaministries2700 4 месяца назад
Nashukuru hukuwahi nipita na hutanipita baba❤❤❤
Далее
ENOCK JONAS  - BADO NAENDELEA
4:22
Просмотров 5 млн
ГИГАЧАД МЭЙКЕР В PLANTS VS ZOMBIES 2!
00:49
ДОМИК ДЛЯ БЕРЕМЕННОЙ БЕЛКИ#cat
00:45
TENZI ZA ROHONI - Liko lango moja wazi
5:42
Просмотров 755 тыс.
Uko wapi- william Yilima  [official lyrics]
8:13
Просмотров 2,3 млн
HAUFANANISHWI OFFICIAL   BOAZ DUNKEN WITH LYRICS
15:00
Roho yangu na ikuimbie-NOW WITH LYRICS
6:02
Просмотров 185 тыс.
SIRI YA MACHOZI BY MERCY KEN OFFICIAL
7:54
Просмотров 8 млн
TENZI ZA ROHONI - Nataka nimjue Yesu
5:28
Просмотров 121 тыс.
PRINCE OREH | KUOSHWA KWA DAMU YA KONDOO LYRICS
5:08
Просмотров 209 тыс.
ГИГАЧАД МЭЙКЕР В PLANTS VS ZOMBIES 2!
00:49