Тёмный

TESSY AFUNGUKA UKARIBU WAKE Na DIAMOND/SABABU Ya KUTOONGEA na UWOYA /MAWASILIANO Na ASLAY/MPENZI.. 

Rick Media
Подписаться 887 тыс.
Просмотров 6 тыс.
50% 1

Leo tumepiga Story na Mzazi mwenza wa Aslay 'Tessy Chocolate' na ametupa story nyingi kuhusu aina ya maisha aliyochagua kuishi kwasasa huku akiweka wazi sababu zinazomfanya asiwe karibu na watu aliokuwa na urafiki nao wa karibu sana zamani mmoja wao akiwa ni Irene Uwoya.
...........................................................
Contact Us : 0742447854
-------------------------------------------------------------------------------
Instagram www.instagram....
---------------------------------------------------------------------------------
Facebook / rickmediatz
---------------------------------------------------------------------------------
Website www.rickmediatz.com
-----------------------------------------------------------------------------------

Опубликовано:

 

15 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 17   
@chany9950
@chany9950 Год назад
Ka tesse kazuri saaana👍🏽👍🏽👍🏽
@esthermwaivu888
@esthermwaivu888 Год назад
Tessy twataka Momo Kenya
@saidiwakufuta
@saidiwakufuta Год назад
Unasema unahofu na mungu jee hzo nguo vipi hauna hofu nazo kwa mungu😂😂
@Queensagarika887
@Queensagarika887 Год назад
Nguo zina husiana Vp na kumuamini mungu? Acheni ushamba nyie ndio mnao wafanya watu wengine wakae mbali na mungu kwa kuhisi imani ni mavazi miaka ya nyuma hakukuwa na nguo kwahio wote wamemuasi mungu tuwe n mawazo chanya
@zeddymourice4249
@zeddymourice4249 Год назад
Yaani Kuna dini flani ni shida sana,mnaona nguo tu Ila nyie mnamaovu mengi mnayafanya kazi kubwa nikukosoa tu yawenzenu,kwendraaa.
@saidiwakufuta
@saidiwakufuta Год назад
Skilizeni nyinyi wajinga kila.kitu kwa mungu ni kujistiri ukiseme kipindi Cha nyuma hakukuwa na nguo ni saw sabbu ndo hakukuwa na nguo Ila saiv si zipo Sasa kwann watu wasivae na pia hakuna dini ambayo inaridhia mavazi hayo tusidanganyane na Wala tusipotoshane shehe kujistiri no Jambo la lazima na Wala so Jambo baya na mim namkubali Sana huyu Tessy Ila kuhusu mavazi lazima nitaongea sabbu sijamzoea hvi bhna
@suntzu8959
@suntzu8959 Год назад
Sio nguo inayozini.
@saidiwakufuta
@saidiwakufuta Год назад
@@suntzu8959 hatujaongelea kuzini sisi tumeongelea kujistiri
@ruzaunahemed5948
@ruzaunahemed5948 Год назад
Ww dada wa Ricmedia acha kuongea English haujui dada Haujui😅😅😅Aibu kabisa
@suntzu8959
@suntzu8959 Год назад
Mbona hajaongea English? Neno moja moja tu? Bongo bhana, kama wewe hujui si muache tu mwenzio🤔
@FatumaShabani-mp9vt
@FatumaShabani-mp9vt Год назад
Mbona amekua mweusi sanaa jaman kumbe alikua anajichubua mbwa uyu😮😮😮😮😮
@speciosermusika2009
@speciosermusika2009 Год назад
Ana ji bleach alikuwa ana rangi nzuri sana kama ange maintain tangu awali.
@missmajor254
@missmajor254 Год назад
Mwacheni dada wa watu. Hajichubui
@victoriamatei7757
@victoriamatei7757 Год назад
Sasa camera utajudge mtu aje na humuoni nyooo
@aishaissa2512
@aishaissa2512 Год назад
Anatatizo huyu asijifanye alipunguza mwili kwa kupenda mwili wake hata alikua sio mnene sema anakitu labda maradhi
@spreadlove5300
@spreadlove5300 Год назад
Sasa yeye akiwa mbwa wewe utakuwa nani???
@wahidaabeid5712
@wahidaabeid5712 Год назад
Nimemsikiliza sana wewe kama hujuwi English kwa nini inazungumza acha umesoma wapi ulivyo mpokea bwana wa hamisa ukawa unaboronga halafu maswali unamuuliza hamisa ni kumuharibia unaleta habari za rajabu imehusu nini wambea wachonganishi acheni hizo tumieni taaluma zenu bila uchochezi acheni njaa zenu
Далее
Wildest 10 SECONDS OF HIS LIFE 🤯 @TomIsted
00:14
Просмотров 1,4 млн
ROBLOX TRAND AGAIN. Part 7☠️🗿🙋🏻‍♀️
00:16
MASAI APAGAWA NA YANGA | NG'OMBE WANGU NAWAPA YANGA
14:25
NURU SHORTFILM
23:18
Просмотров 439 тыс.