am watching from Kuala Lumpar. i really love that song 'tetema'.It has a classic video and the flow is lyrically speaking...i am in my level 6 of learning Swahili language and soon i will be speaking swahili fluently
Napendea Mondi kitu kimoja, ako very simple. Huwezijua yeye ndio CEO ya wasafi. Hapendi kujionyesha. Keep it up bro. Ngoma za wasafi zimeweza. Kenya, Nairobi.
Ata Mimi napenda wa Tanzania wakiongea kiswahili sanifu. Shida ni ukianza kuongea hii kiswahili Yao Say BYE to Speaking English 😃😃 English itakuwa mzito Kwa ulimi uanze piki piki ponky😃😃