Huyu Harmonize nilikua sijamsikia akiongea lakini leo nimesikiliza nikiangalia na kusikiliza hii imenifanya niwe na moyo wa kusupport kazi zake zaidi. He’s a very humble person na hiyo itamfikisha mbali sana. God bless him.
Safi sana Simba, najua Harmo amejifunza kitu... kwa jinsi ulivyokuwa serious na hiyo project, the energy, mavazi, moves, sura ya kazi n.k. He has learnt the hard way...
Hii scene ilikuwa na vitu vingi sna vya kuchekesha xna lakin napenda mond +Harmo == Brothers Harmo Mpole xna kwa Mond na alionesha big respect although kuna sehemu mond alionyesha ukubwa na akili nyingi
Duuuuh,iyi ilikuwa Big shooting kwa kweli Congratulations @harmonize Wangapi tumeona hii behind the scène mwisho wa mwaka huu 2023? Tujuani kwa ku like hapa
hapa ndipo nina gundua kitu kimoja katika Maisha Daa ebhana Diamond harmonize mi napenda sana life style mnaloishi pamoja yaani ni full kuzinguana drama kibao na hakuna anaemjia juu Mwenzie ndio maana mnafanikiwa #BLESSED
Harmonize am from Kenya I am not so much of a bongo fan but the character of accepting things the way you did behind these scenes is what makes you a big start bro, you know Diamond has been in the game and I think by now you see how big the video is big, here in Kenya Kwangwaru is played in every matatu here in Nairobi keep working hard team Wasafi
Scene kali, big up Harmo en Simba u guys u both soo humble. Harmo usifeel vbaya wen ur dad akikusoa kwa kazi juu he is expert in de game en he luvs u dats y then hii B the Scene iko na itilafu sna huku mbele
Mbona diamond yupo sahihi coz hapo hizo nguo za harmonize hazinge lifaa wala serious.harmo mbishi sana xo right upo konde shoti tu Man.but nasikia hadi jina walikubadilishia kukupa harmonize.
Can't hear all u saying bt u guys put effort on yo videos shem kondeboy & Diamond 4 the world & yo crew ...u deserve every cent u gain...love 4rm Zim🇿🇼
But surely Harmonize had to leave wasafi to find himself, i think it was a good move, Diamond is so full of himself, i kind of felt bad for Harmonize in this clip, the way they were making fun of him.
hahaha.... üoor Harmonize!! Diamond shamelessly full of himself, but he was right on the mavazi bit. I salute Harmonize´s humility- its what makes him greater than Diamond. Thank you freaks for embracing brotherhood and giving us a lovely video