Тёмный

TFF NA BODI YA LIGI WATOA TAMKO,KAYOKO APELEKWA KWENYE KAMATI,RAIS TFF WALLACE ME ATOA HUKUMU NZITO 

BM NEWS Tz
Подписаться 25 тыс.
Просмотров 28 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

24 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 243   
@PeterHona
@PeterHona 4 дня назад
Unapotetea ujinga Leo kwenye viatu vinaonekana wazi bila VAR unamaanisha Nini? Au lenu lilikuwa Moja?
@raymondsekabigwa5907
@raymondsekabigwa5907 4 дня назад
Jamani jamani acheni utani atakujaumia mtu
@drankskhally7019
@drankskhally7019 4 дня назад
Anajibu Kama sio raise Kama yy hakemei maovu kyoko Ana lost maisha ya watu mpaka kifo kwanini asifungiwe maisha kayoko
@FabiolaTriphon
@FabiolaTriphon 4 дня назад
Tff unatetea ujinga kamalaisi unashindwa endesha mpila watazania,kwaiyo tunajuawanasimba mmewaandaa yanga wachukue kombe malayanne,kayoko mnampa iliiweje ,tunajua yanga niyaccm Simba hanamlezi, ila nauchanguzi wafanye awo wayanga Simba mtuache nchukue iyo timu yaccm yanga ikapigekula,zakalia jitasimini mpila umeingiliwa nasiasa
@ReylaSele
@ReylaSele 4 дня назад
TFF ,GSM ,CCM NAYANGA OTE LAO MOJA MSITULEE VINI MACHO TUTAONGEA MPAKA MWiShO
@lawinundu9870
@lawinundu9870 4 дня назад
Kawe mwenyeki wewe ujinga TU
@ezzepuritykamwene2121
@ezzepuritykamwene2121 3 дня назад
Hizo penalt za wazi haziongelewi,, dadeek nchi imebebwa na yanga tupu. Hakuna ligi tz ila ni kuwafurahisha wachache miaka yote.
@petermasanilo732
@petermasanilo732 2 дня назад
Siasa Hadi mpirani basi nasi Simba tuingie chadema
@muhammadmuhammad5043
@muhammadmuhammad5043 4 дня назад
Simba Mbona Mnalalamika Sana Mbona Nyie Mmewadhulumu Dodoma Jiji Na Upo Ukweli Mmedhumu Azam.. Hakusema Leo Ndio Mnajuwa Kusema
@HasaniHamisi-gg5kq
@HasaniHamisi-gg5kq 4 дня назад
We umeona wapi Simba inachezesha mpira
@franktarimo271
@franktarimo271 4 дня назад
Waache washamba hawa na bado wataendelea kuisomaa
@isaackaitira7654
@isaackaitira7654 3 дня назад
Penalt ya Dodoma jiji ina tofauti na nyie mliyopewa kwa Pamba
@petermasanilo732
@petermasanilo732 2 дня назад
Tumbafu masala gako gihaligile
@AndrewAristaricko
@AndrewAristaricko 2 дня назад
Achaaa ufalaaa
@joelmichael9752
@joelmichael9752 4 дня назад
Matukio yalikuwa ya haraka,kwani alikuwa haoni?Unatetea ujinga na upuuzi?Huyo Kayoko alishafanya makosa mara ngapi na kufungiwa,mbona habadiliki?
@maryamabdalla-xj3jr
@maryamabdalla-xj3jr 4 дня назад
wanakula peas za gsm
@AhmedRawahi-i4q
@AhmedRawahi-i4q 4 дня назад
Muheshimiwa mpira sio solomotion ya sinema kwa maana hio unatetea dhuluma wakati watu wanatoa mamilioni Yao na muda wao na kujinyima mambo Yao mtaharibu mpaka mapato ya vilabu kwa kuegemea kilabu fulani
@Princeking-t4f
@Princeking-t4f 4 дня назад
Boss kayoko apelekwe mahakamani basi
@Allyabdalamjambo
@Allyabdalamjambo 4 дня назад
Karia unafurahia kufungwa Simba mana unatetea ujinga wa Kayoko
@kazinaimwishehe-ec3xu
@kazinaimwishehe-ec3xu 4 дня назад
Kaka uyo bado anabifu lake la uzamini awalio ukataa simba ulaji ulikatika analipiza maisha yake yapo poa sana
@IbrahimJabu-o8x
@IbrahimJabu-o8x 3 дня назад
VAR ni Gharama siyo? Fedha ni zako? au Kodi zetu!
@AndrewAristaricko
@AndrewAristaricko 2 дня назад
Hahaaa waambieee kakaaa
@AbdallaAli-dn6xp
@AbdallaAli-dn6xp 4 дня назад
Nyote mnahongwa na gsm acheni ujinga.
@Yohanal-j2l
@Yohanal-j2l 4 дня назад
Duuuuuh mnazingua sana bodi ya ligi
@LorynNila
@LorynNila 4 дня назад
Please why kayoko and Arajiga btn simba and yanga?
@MussaKanoni-r9o
@MussaKanoni-r9o 4 дня назад
Hakuna unachoongea refa razima alaumiwe kukosea unaweza kukosea mara moja siyo zaidi ya mara moja Kwa hiyo jibu kitaaram acha siasa tatizo siasa sana bongo ndo maana waamzi wkibongo Hawapo hata caf.kwa kauli yako hakuna unachowaambia wanamichezo
@EmanuelMwambu
@EmanuelMwambu 4 дня назад
Maelekezo mbona makosa yalikuwa wazi sana.tutaona kwenye champion league watabebwa?
@AdolphMbuta
@AdolphMbuta День назад
Na ww chizi haraka sana wakati alikuwepo jurani,alafu hizo VAR unaongeza tuu lkn wizi ndio umekithiri humo achia ngazi kama hutaki,mwisho kabisa hatumtaki kayoko achezeshe mechi za Simba ,mwisho Sasa jichanganyeni aje tena
@raphaelnovatus7085
@raphaelnovatus7085 4 дня назад
Matukio ya haraka sawa kwamba unatuambia kibu hakuanguka akagaragara zaidi ya mara4 na kàyoko akawa anamfokea kwamba anadanganya.
@kelvinwilfred-p2e
@kelvinwilfred-p2e 4 дня назад
SWALI MBONA YA YANGA SIO YA HARAKA HIYO HARAKA NI KWA SIMBA TUU AU SIELEWI😂
@RamadhanyKhamis
@RamadhanyKhamis 2 дня назад
VAR toka mmeanza kuisema lin. Tff ela mbona ipo simba na yanga ela zote zile mkizichanganya aipatikaniki VAR juz uwanja umeja ela zilizoingia ni mabilion ya kutosha. Aya bc wamuzi tuwatoe nnje simu awa mashoga wa umu tz. Sisi simba inatuuma sana refa yupo apo apo eti ajaona penarty ya wazi
@hendricksjohn6201
@hendricksjohn6201 4 дня назад
Matukio ya haraka kwani refa alienda kulala pale uwanjani msituletee siasa kwenye mpila
@GodfreyJames-zt6ig
@GodfreyJames-zt6ig 4 дня назад
Ilisha fahmika kalia anawatuma malefa ilikuiujumu simba
@franktarimo271
@franktarimo271 4 дня назад
Kwani simba ni timu ndogo?
@petermasanilo732
@petermasanilo732 2 дня назад
Watu wameumia kwanza halafu ndiyo unaongelea var maajabu haya
@EzekielKandonga
@EzekielKandonga 4 дня назад
Wewe mpuuzi,ninyi ndio mnaaribu Mpira kwa Rushwa zenu za kipuuzi,hachia ngazi mprira umekushinda😮
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 4 дня назад
RAIS KARIA MWANGALIE SANA KAYOKO CY REFA SAHIHI. CJUI AMESOMEA WAPI? MAREFA YA NCHI YETU NDY MAANA HUWA HAWACHUKULIWI KWENYE MICHEZO MIKUBWA SABABU WANAUPENDELEO SANA.
@gilbertmaganga9370
@gilbertmaganga9370 4 дня назад
Et matukio yamefsnyika kwa haraka acheni kutupanga
@leonardfungo
@leonardfungo 4 дня назад
Karia unaposema jambo ni la haraka sana tusimlaumu kayoko unakosea maana yake kayoko hafiti nafasi hiyo ubongo wake wakuona na kufikiri na kutoa maamuzi ni mzito atolewe urefa
@ahmedhamad5522
@ahmedhamad5522 2 дня назад
Kwani nyinyi TFF sheria hamuzijui na hamna mamlaka ya kutoa adhabu kwa refa au wasaifizi Kama hamna basi hapo mnafanya nini Ila mnaipeleka pabaya ligi ya mpira wa Tanzania kimataifa msije mkalalamika kuwa mmeonewa ni makosa yenu na tamaa zenu.
@geoffreyrusibamayila8366
@geoffreyrusibamayila8366 4 дня назад
Karia bodi yaligi na T FF hatuwaelewi Ni vipi mnaruhusu GSM kufadhili timu zaidi ya nane kwenye ligi moja mmechukua bahasha?
@franktarimo271
@franktarimo271 4 дня назад
Wewe acha ujinga kwani Mo amenyimwa kufadhili timu nyingi?
@lwitikomwakilebwa4493
@lwitikomwakilebwa4493 3 дня назад
Kwa mtaji huo vyura waitaishia makundi clab bingwa
@hassanabdala7383
@hassanabdala7383 4 дня назад
Karia league inaharibiwa na marefaa
@OmaryNayungi
@OmaryNayungi 4 дня назад
Ww unateteatu lakini unajua kwann munaalibu mpila
@OmmySumuyao-g4r
@OmmySumuyao-g4r 4 дня назад
Tunajua young ni timu ya CCM ndiomaana mnapanga matokeo
@JeniferNgata
@JeniferNgata 4 дня назад
Mnaongea. Wakati tayari wengine wamwshaumia, , Kwa hiyo mnaamaamuI gani kama mchezo ulikosewa
@SamiiNassib
@SamiiNassib 3 дня назад
Niwaongo tff acheni kutetea ujinga wakat kibu anafanyiwa madhambi rifa yupo pale pale acheni hizo mmesha wapanga yanga wachukuwe kombe sawa watachukuwa
@augustshirima9726
@augustshirima9726 4 дня назад
Aendelee kuwa kipofu hivyo hivyo karia kasema marefa wanamapunguvu ya kawaida na anajuanhilo
@MusaStephano-s9c
@MusaStephano-s9c 19 часов назад
Nyie mnadai penat mbil, penat hizo nyepesi yanga wslitakiwa kupewa pia penat 2, pacoume alisukumwa na mutale, musonda aligongwa na camara, pia hamza tunamdai redcard. Simba walioewa gori 2 za offside na azam, penat ya bure dhid ya dodoma jiji. Mbona hawakulalamika dhuruma dhidi ya azam na dodoma.
@deonsemwa3834
@deonsemwa3834 3 дня назад
Huyu nae anachukua mshahara GSM
@MwitaChacha-l9t
@MwitaChacha-l9t 4 дня назад
We zekaria yaani makosa ya yanga alikuwa anayaona lkn ya Simba yalokuwa hayaonekani ujinga sana
@gideonmwaweza8177
@gideonmwaweza8177 День назад
Leo ndo mnataka viara mda wote mlikuwa wapi mpeni tu ushindi yanga
@Princeking-t4f
@Princeking-t4f 4 дня назад
Huyu anaonekana ni fisadi
@isaackaitira7654
@isaackaitira7654 3 дня назад
Acha kutetea matatizo mnayoyalea hivi hii ina waamuzi watatu wa derby yaani Sasii, Kayoko na Aragija haya mambo mnayajua mnatakiwa kuchunguzwa ngoja tumuombe mbeshimiwa Rais awachunguze itajulikana tu
@kalebphilip3426
@kalebphilip3426 4 дня назад
Kwenye ngao ya jamii penat ya kijir live live Kama mnataka yanga awe bngwa milele anzishen ligi ya yanga peke yake,tmu unatumia garama kubwa kuiandaa Leo anaibuka mjnga mmoja anatetea upuuz
@romanambelle6356
@romanambelle6356 День назад
Hovyoooooooo umeshamega chako natamani ungerudi kwenu
@yasminmohamed604
@yasminmohamed604 4 дня назад
Hakuna waamuzi hapa wala viongozi kwy tff mtakosa mapato tumechoka kwenda viwanjani wakati tff mnajuwa mshindi nani?
@Amahujohn
@Amahujohn 4 дня назад
Tatizo we msomali huwezi penda mpira wa Tanzania
@ramadhanimsangi9515
@ramadhanimsangi9515 3 дня назад
Yani kwa hayo majibi inaonekana wazi kuna mtandao mkubwa kuwahujumu simba kwa faida ya kwenda kunywa supu ya vibudu... jiangalie karia unapoteza heshima yako
@MussaMarwa-r8g
@MussaMarwa-r8g 2 дня назад
Tff mbona sikuwelew wew umekaa apo unalisha tumbo lako unaongea ujinga san kweli kila mbuzi anakula kuligan nalefu Wakamba yake
@romanambelle6356
@romanambelle6356 День назад
Huu nao ni unaweza ita nn eti refa haoni kwa matukio ya haraka ulimpanga akaone matukio yapi ovyoooo
@rexgodwill7353
@rexgodwill7353 4 дня назад
Mbona waamuzi wa nchi za wenzetu wanakuja nakuchezesha mechi vizuri tu bila Var ila hawa wa tff hawaiwezi kuona mpaka Var??? Tanzania yetu hiyo awamu ya sita 😢
@AndrewAristaricko
@AndrewAristaricko 2 дня назад
Hawa jamaa anatuleteaaa siasaa kwenye mpiraaa,,aendee kuuza mihogoo na magimbii
@HANSYJUNIOR-n8x
@HANSYJUNIOR-n8x 4 дня назад
Kwaxx karia n mzr badae 2cje ckia malalamiko kwamba n Simba,hamchelewi kuandamana kwnda kwa mama nyng
@JeniferNgata
@JeniferNgata 4 дня назад
Mm naona like goli lisihesabike
@ShirkoMediaa
@ShirkoMediaa 4 дня назад
Nyinyi bodi ya ligi kuu hamuna mpya munajua wazi kama kayoko hawezi kuchezesha daby mulifanya makusudi kunguni nyinyi mbona hamukumpa kuchezesha muhamed mkono mulijua atauchezesha vizur mumetuekea mbwa kama nyinyi
@ramadhanikuhanga3324
@ramadhanikuhanga3324 3 дня назад
Yaan makosa yote ma 3 ya penart kashindwa kutoa maamuazi half unasema hajaona unatetea ujinga mmeamua kuwapa kombe mwaka wa 4 c mseme tu ukweli
@luvboywcbnyamz534
@luvboywcbnyamz534 4 дня назад
Mashabiki wa makolo wanamlaumu refa wakati walishangilia iliposemekana kayoko ndo atachezesha mechi,leo hii wanalalamika😅😅😅,basi tufanye mechi za mwisho mwisho za Simba ziwe zilichezwa fair,leo hii mngekuwa mnaongea?? Acheni siasa kwenye mpira,aliyepata kapata na aliyekosa kakosa tu... Kenya is watching 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@amosmasele1398
@amosmasele1398 4 дня назад
Na wewe ungekaa kimyaaa,,,,usije ukatukanwa buree,,,
@flova7022
@flova7022 4 дня назад
Kuna siku kayoko atatoka kilema au kazima.he MST change
@MadenjaMasungakabote
@MadenjaMasungakabote 3 дня назад
Rais mzima unaogea matope tupu akuna kitu GSM abaki na yanga kanuni ipo inasomeka kasome leo
@hendricksjohn6201
@hendricksjohn6201 4 дня назад
Analipwa na gsm huyo
@BorySaronge
@BorySaronge 4 дня назад
Karia wewe ni kiongozi kwa majibu hayo unaonyesha wazi kuwa yaliyotendwa na refa ni sahihi hauwezi kusema kuwa matukio yaliyotokea yalikuwa ni ya haraka sana na hii ni kwa Simba ila kwa upande wa yanga hakukuwa na mtukio ya haraka yaliyotokea hapo Karia umekosea sio majibu hayo na ni njia ya kutoa mwanya kwa marefa kuendelea kufanya makosa.
@LokioOgora
@LokioOgora 4 дня назад
Hiyo Sheria ni yawapi kwamba ukicheza na Yanga ucheze Moira waslow?ndo maana refarii anakimbia uwanjani lasivyo angepewa kit akae nje ya uwanja.
@zachariahariohay359
@zachariahariohay359 4 дня назад
Mnatuharibia mpira Karia
@anthonymilinga8696
@anthonymilinga8696 4 дня назад
Yaani huyu jamaaaa anaonekana kabisa usoni kuwa ni mla rushwa mkubwa sana hata anavyo ongea anaongea bila confidence kabisa.
@benedictokazimoto5187
@benedictokazimoto5187 4 дня назад
Mmeona aibu mnapanga waamuzi takataka wanapendelea team moja mnaharibu mpira wa tz. Hata kama mkileta V. A. R waamuzi takataka kama kayoko watapindisha tu
@SeuriMollel-im5yw
@SeuriMollel-im5yw 4 дня назад
Kwa mara ya kwanza kumwoona karia akiongea sasa kuhusu mechi ya jana kisa simba ameliwa pole yako
@eliashagai7920
@eliashagai7920 3 дня назад
Unaogopa kwanini gharama? Mapato na viingilio mnapelekanwapi? Mgao wa Fifa Mna pelekaga wapi? VAR BEI GANI ,Nunueni kuepusha marefa kufanya madudu aibu ya mpira unaopendwa na watu wengi duniani, efa anadanya utumbo
@augustshirima9726
@augustshirima9726 4 дня назад
Matukio ya mpira yote ya haraka sasa sijui anamaanisha nn
@johnmwita9370
@johnmwita9370 День назад
Wewe Karia unafir utadumu milele? Walikuwepo Marais wa nchi Leo wako wapi?
@simonzelote5998
@simonzelote5998 2 дня назад
Ila bakayoko ndio aliyewamaliza simba nakumbuka arajiga aliwahi kufanya hivyo nakumbuka Kuna cku diara alimvunja kibu Denis makusudi baada ya kumaliza akasema ametumia akili nyingi
@KisagasiLuyangi
@KisagasiLuyangi 4 дня назад
Watu wa mapato msibuguzi GSM
@OmariMwaikema
@OmariMwaikema 4 дня назад
Jamani haongea karia hayo mane ACHA uongo pleas
@AdolphMbuta
@AdolphMbuta День назад
Kayoko asijifunze chochote ,maana hajui chochote
@ganjosuleman9263
@ganjosuleman9263 4 дня назад
Tutasoma alibdiri kila aliye shiriki
@0marFakih-z2n
@0marFakih-z2n 4 дня назад
Kayoko apokonywe leseni Tff wacheni kutetea ujinga
@evancemamba3896
@evancemamba3896 4 дня назад
KISINGIZIO CHA VAR KWA UPUUZI WA REFA KINATOKA WAPI, NAKUSHURI UJINYAMAZIE MAANA UZIDI KUUDHI WATU!
@ConstantineCoscardrov-wb6ih
@ConstantineCoscardrov-wb6ih 4 дня назад
Anaogopa presha ya yanga walishamkalia kooni kumtisha sasa anawaonea simba kwakuwa simba ni wastaarabu.
@Princeking-t4f
@Princeking-t4f 4 дня назад
Huyu anakubali makosa alafu anasema VR watu siku hizi niwahuni,kayoko apelekwe mahakamani
@IbrahimJabu-o8x
@IbrahimJabu-o8x 3 дня назад
Acha Ufala, sema kweli unaogopa nn?
@yohanayohanaadamu6483
@yohanayohanaadamu6483 4 дня назад
Tanzania bado sana sisis tukubari hatna uwezo wskununua A.V.R
@benedictokazimoto5187
@benedictokazimoto5187 4 дня назад
Ww mzee hufai kuongoza mpira bora ukalime nyanya tu huko mabonde Kwinama. Unatetea ujinga wa huyo kayoko. Mbona zamani hapakuwa na ujinga kama huu na huyo muuza magodoro kawashika
@thomaskitemi3283
@thomaskitemi3283 3 дня назад
Tunataka marefa WA nje hatutaki i siasa .
@Kadondo-ne5sl
@Kadondo-ne5sl 3 дня назад
Ss mulikuwa munaizindua vr yann cmungesubiri ss mafunzo kwanza huu ni utoto ulipitiliza
@seiftaji7838
@seiftaji7838 4 дня назад
Karia unaiharibu ligi yetu yani marefalii wanachezesha mpira kwa kufuata maelekezo yani wanauza mechi za simba
@KhalfanHabibu-z3l
@KhalfanHabibu-z3l 4 дня назад
Tff mnakula rushwa marefali awajitambui.njomahana hakuna refali anaetoka tz kwenda kuchezesha match ya kimataifa.TFF ninyi lazima mumtetee.ninyi kule rushwa mwisho wenu utafika.zulma munao fanya mtayalipa tu , naserekali waliangalie hili jambo .
@hamisiomaryi1699
@hamisiomaryi1699 День назад
Tunataka mzamini wa Tim hanazamini Tim moja tutohe hukakas
@NitweleChiwangu-kz6mq
@NitweleChiwangu-kz6mq 4 дня назад
Ilifanyika halaka Kwa hiyo mnakubaliana na ujimga wa kayoko mnahalibu mpira daby ilipo fika pakubwa y4 inaagaliwa Dunia hatutaki kayoko kuchesha simba
@OmaryKiduka
@OmaryKiduka 4 дня назад
Ghali ndo nn kwa mpra wetu inamaana pesa hakuna au
@ODENILWILA
@ODENILWILA 4 дня назад
Wewe huyu mzee nae akili hana nyie watangazaji mnamuhoji huyo ni yanga ataongea ulahisi tu
@GodfreyJames-zt6ig
@GodfreyJames-zt6ig 4 дня назад
Yan nmeleta vr ilikuwatetea malefa vr azfanyikaz na WWE kalia ndio unawatuma malefa waiujumu simba kwa kivuli Cha vr ili uwatetee malefa Tena WWE kalia nimsenge inaonekana ulisha mtomba mama yako ndio maana auna akili
@mikidadiyusufu5666
@mikidadiyusufu5666 4 дня назад
kwakuwa timu ya mfadhili wako imefanikiwa mahitaji yenu ndiyomaana karia umeneemeka nayo
@Princeking-t4f
@Princeking-t4f 4 дня назад
VR au La tuna macho tunawona kayoko apelekwe mahakamani
@hendricksjohn6201
@hendricksjohn6201 4 дня назад
Wewe mzee nae huna macho yale matukio mawili tafuta miwani uvae maana huna macho
@emanuelkilinga9196
@emanuelkilinga9196 3 дня назад
Hii siyo mara ya kwanza utopolo kubebwa kwenye penalt. Utakumbuka kelvin yondani na tshishimbi walishawahi kudaka mipira kwa makusudi ila marefa hawakuona. Mwaka jana ngao ya Jamiii jijini tanga yanga walikomiti penalt mbili kina ndairagije hawakuona, ngao ya Jamiii juzi, kelvin kijiri kapigwa teke la makusudi, marefa hawajaona, juzi penalt tatu zote kayoko na wenzake hawajaona, halafu kiongozi mkubwa kama wewe unasema tunakosea kumlalamikia refa. Kwanza kwanini circle ya marefaree wenu ni hao hao watatu, ndairagije, kayoko na heri sasi kama si upangaji matokeo ninini?. Watu pia wanalalamikia udhamini wa gsm kwa timu nyingine zikihusishwa na upangaji matokeo, I inaonekana karia na wenzako hamna uwezo nalo.
@LokioOgora
@LokioOgora 4 дня назад
Basi wacheze wanatembea ili matukio yasiwe ya haraka ?
@geofreymajaliwa9294
@geofreymajaliwa9294 3 дня назад
Lijitu lizima akili kisoda
@ODENILWILA
@ODENILWILA 4 дня назад
Kwanza uachie ofisi we mzee hovyo ndio maana uyanga wako unapanga Marefa wa yanga
@khadijayusuph5815
@khadijayusuph5815 4 дня назад
Simba mgeacha kucheza ligi za tazania
@barakapjuno9744
@barakapjuno9744 4 дня назад
jamani naomba kuuliza hivi kipinde kile wanafunga V.R.ilikuwa ya nini?
@ShukuTete-wb1fp
@ShukuTete-wb1fp 4 дня назад
Siku akichomewa nyumba apo ndoo mtajua
@HamisisaiddyMkwabi
@HamisisaiddyMkwabi 4 дня назад
Sema hilo goti au sio? Mbona hunyooshi maneno? Sema zile ni penart au sio? Mbona unatetea ujinga?
@LadislausPendokakara
@LadislausPendokakara 4 дня назад
Nawe lais wampila nchini unatetea ujinga uliojaa vichwani mwawenda wazimu ss WA Tanzania 🇹🇿 hatukuelewi
@kazinaimwishehe-ec3xu
@kazinaimwishehe-ec3xu 4 дня назад
Et unakosea ukimlaumu refa mbona alifanya kuwa kibu alijirusha apo vp sema tu ulaji aliyoukata babla gonzatenz ndo anarudishia machungu saizi
Далее
He went ALL in 😭
00:12
Просмотров 1,8 млн
Three NEW MAPS in Update 0.31.0 Nightmare | Standoff 2
01:48
Yaliyojiri Kesi ya TAMISEMI Kusimamia Uchaguzi
14:13
SIMBA WAKIWASHA TFF YATOA TAMKO KWA REFA KAYOKO
10:27