Тёмный

RASMI KAMATI SAA 72 YAMFUTA LESENI KAYOKO,TFF NA TPLB WATOA TAMKO,MECHI IMEFUTWA SIMBA NA YANGA...? 

BM NEWS Tz
Подписаться 25 тыс.
Просмотров 30 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

24 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 251   
@josephatilunde9329
@josephatilunde9329 14 часов назад
Hamna kitu hapo ni kuweweseka tu, unafikiri ligi ya NBC kushika nafasi ya 6 Africa ingewezekana kama porojo unazozisema zingetiliwa maanani?Tafakari
@sundaymsomi6284
@sundaymsomi6284 2 часа назад
Oya huyu jamaa anaongea upupu mtupu hata simuelewi kama kweli ni mtu wa football
@EmanuelMuna
@EmanuelMuna 5 часов назад
yani hata akili ya kawaida tu mnatunga vitu ambavyo hamna uhakika na mnacho kifanya una jua kabisa hizi Tum kubwa zina uadui huoni anaweza kujitokeza shabiki feki na akafanya hayo na kupoteza point kwa mpinzani wake ebu acheni kua watoto
@DoreenMlay-e8g
@DoreenMlay-e8g 4 часа назад
kwa maana hiyo mnaona kuna cha maana ambacho mnaongelea apo mm naona mmekosa kazi yakufanya
@zuberhamza7852
@zuberhamza7852 Час назад
Kwakweli
@rizyoneboffi3662
@rizyoneboffi3662 13 часов назад
Kuhusu kocha msaidizi mzawa ni utayari wa mtu matola mwaka wa ngapi huu na hakuna anachojifunza hapo mmefeli
@Hamyder
@Hamyder 10 часов назад
Kuhusu matola utamwonea ajawai kabiziwa timu kama kocha mkuuu sasa wapi utaona kile ambacho anacho
@anthonyboniface4181
@anthonyboniface4181 3 часа назад
Hizo kanuni hakuna hata moja itakayopita mpira ni Biashara muwekezaji anafanya Biashara kwa kanuni hizo sioni wawekezaji wakifadhili ligi ama timu tutarudi nyuma miaka 20 iliyopita
@AbuuMbarouk
@AbuuMbarouk 4 часа назад
Njaaaa zinawasumbuwa sana tafuteni mqshambar mukalime
@haidarykufakunoga8869
@haidarykufakunoga8869 15 часов назад
Mapendekezo ya Hovyoo. Hapo kwenye GOAL KEEPER MMEMLENGA DJIGUI DIARA. PILI VIJANA WATAFUTE TIMU YAO. MPIRA NI BIASHARA. ACHA UJINGA.
@SurprisedFullMoon-gg9vu
@SurprisedFullMoon-gg9vu 14 часов назад
Wamlenge diara kwa lip?shat kama lilee
@salimmalaka256
@salimmalaka256 12 часов назад
KWANI TIMU ZINGINE HAWANA MAKIPA ILA NYIE TU UTOPOLO KANYOKO FC?? MWEHU WEWE
@Majhidymhessa
@Majhidymhessa 15 часов назад
Katika watu wapuuzi wewe ni mwalimu wa wapuuzi wote. Hayo mapendekezo anzisha team yako ukifanikiwa utakuwa umeshawishi..... Mpira ni biashara siyo maneno maneno.
@DakiaNzunda
@DakiaNzunda 13 часов назад
Kwa kifupi hakuna mlichojadili hapo. Sifuri!
@khajihamisi5054
@khajihamisi5054 13 часов назад
Kwa mara pili tunaona waandishi wa habari wanakuja mapendekezo,mapendekezo kwani Kuna nini au huu mpira ni waandishi wa habari? mbona wanao endesha hizo timu na wanacheza na ndio wavuja jasho hamuwashirikishi? Unasikia waandishi wa habari wanawasiwasi, ni Tanzania pekee waandishi wamekuwa ndio wenye mpira, kanuni kanuni, wao ndio makocha wao ndio wanacheza! Tujiangalie!!!!
@YohanaMwakaje
@YohanaMwakaje 5 часов назад
Achen ujinga mnataka kuturudisha tuliko toka kiufupi lilamtu acheze na nafasi yake anzeni natim ya taifa luchezesha wachezaji wandan tu halafu kuhusu matola nimiaka mingapi nimsaidizi naye mdokalizika na kazi yake na ety mashabiki waingie nachungu wannjani timu ikatwe point ujinga huo alafu serikali haiamini uchawi vipi hoja izo me zitoa wapi.
@gerphasntaziha4475
@gerphasntaziha4475 6 часов назад
Hamna point ya msingi alioongea huyu mtu, kwani mnashindwa kutafutia timu za nje makipa wenu nao wakachezeshwe huko ili timu ya taifa inufaike?
@ibrahimmwaya3929
@ibrahimmwaya3929 14 часов назад
Naongeza nyingine Kama Ikibainika kuwa mchezaji alipewa KADI nyekundu kimakosa na ikatengliuliwa wakati mpinzani amenufaika kwa kupata point 3 kwa kupungua kwa mchezaji huyo basi points 3 hizo zifutwe ili ilete uwiano kwa kuwa kuendelea kwa mpinzani huyo kunufaika itakuwa bado haisaidii chochote kufutwa huko kwa KADI hiyo
@yilodhasunga3967
@yilodhasunga3967 14 часов назад
Andaeni academy za vijana vilabu vinatumia gharama kubwa hamjaongea point hata moja😂😂😂
@stalinmkumbo8564
@stalinmkumbo8564 12 часов назад
Mbona hamkuwa na utulivu kwenye hayo. Mmekurupuka. Mpira ni biashara msilete porojo. Anzisheni timu za kwenu muone kama ni rahisi kama kuongea ongea.
@michaeljoseph7745
@michaeljoseph7745 13 часов назад
yaani team km simba au yanga isajili wachezaji wa 4 tu pumbavu sana halafu unategemea ukachezea na mamelod au Al ahaly aisee acheni upuuzi wenu huo
@jacksonndutu4024
@jacksonndutu4024 13 часов назад
Kwenye Kigezo cha Goal keeper yaani naona kabisa mnavyourudisha nyuma mpira wetu wa Tanzania, sidhani kama mmeliangalia hilo kwa mapana.
@MbendaHalfan
@MbendaHalfan 4 часа назад
Tumieni akili mnaotunga sheria shabiki. Ni shabiki tu anaweza kua shabiki wa yanga kwenda kufanya ujinga kwa simba na wa simba akaenda kufanya ujinga kwa yanga mnaweza kusababisha timu zikapolwa pwent kwa sababuya shabiki wa mchango kama mchome
@adamlubawa1281
@adamlubawa1281 12 часов назад
Hawa waandishi ni wapuuzi Pamoja na huyo msemaji wao anaeongea hapo
@hamadmasoud490
@hamadmasoud490 3 часа назад
Wanatapatapa maji ya YANGA MAKUBWA
@ChristopherMisungwi
@ChristopherMisungwi 14 часов назад
Mukosaw lakini kwanza mwafaja kuhusu hujuma waliyofanya yanga narefa wao ilitujue kwer mnataka haki
@bakarisaid2023
@bakarisaid2023 13 часов назад
Posho za kikao zimeenda bure mawazo ya mwaka 47 hivi Nani katuroga?
@TariqKununginoti
@TariqKununginoti 14 часов назад
Kaka hapo amjafikiria je shabiki wa timu nyengine akajigeuza shabiki wa timu nyengine na kufanya madudu ya kishirikina
@willymdeka6034
@willymdeka6034 4 часа назад
Mnajisahau mpila ni biashara msilazimishe huo mpango wenu unataka vijana wanne wacheze Kila mechi na kama hawana uwezo wa kuisaidia timu je acheni mambo ya kizamani hayo
@JeremiaMwambamba
@JeremiaMwambamba 3 часа назад
mimi simba ilikuwa simba 2 yanga 1bila upizani lefa kaegemea upande wayanga
@vallentinemakuka6965
@vallentinemakuka6965 4 часа назад
Mnalenga ushabiki tu ili kuilinda simba .Timu inanunua wachezaji ili wacheze wote sio kulipa fedha bila kuwatumia.
@MogelaSaileni
@MogelaSaileni 4 часа назад
Nikweli kwamfano mchome tunamnua nimshabiki wayanga sikumoja likafanya bitendovyakishilikina nalimevaajezi yasimba naniaukumiwe
@GeorgeRichard-ww1cb
@GeorgeRichard-ww1cb 16 часов назад
Acha sisa kwenye mpira
@shabaniramadhani8026
@shabaniramadhani8026 4 часа назад
Mliokaa kwenye kikao wote majunuun
@oleoles9424
@oleoles9424 4 часа назад
Hakuna kitu apo,pelekeni huo upuuzi kwenye nchi ya kufikirika
@mussamussa952
@mussamussa952 10 часов назад
Hapo kwenye mashabiki wa timu mumevurunda maana shabiki anaweza kuvaa jezi ya timu ya simba na akawa ni shabiki wa timu ya yanga .
@abdallahmaganga5806
@abdallahmaganga5806 4 часа назад
Kweli kabisa kwa upande wa Simba anamagolikipa wawili i Mimi nashauri kuwa timu ambayo inagolikipa was kigeni na mzawa ifanyike hivyo
@saidihaibe2375
@saidihaibe2375 14 часов назад
Mnataka ligi iwe ya mwaka 47 mmechemsha
@CornenciaFaustine-pd2rc
@CornenciaFaustine-pd2rc 6 часов назад
Hii mnakuja na mbinu nyingine ya kunyang'anya points za timu chukiwa kwa manufaa ya timu pendwa
@PiriminMkamati-t2f
@PiriminMkamati-t2f Час назад
Sijajua mnafikiria kutumia kiungo gani? Hv karne hii bado mnazungumzia habari ya ushirikina kweli km taifa? Hv shabiki wa simba avae kibuyu shingoni akawa anakimbia uwanjani,, yanga wakatwe point na mashabiki wasiingie tena uwanjani. Kwanza mnaaibisha taifa, inaonesha taifa halina watu waelewa. Kwa hilo mmefeli....ushauri wangu kaeni na watu walioelimika kupitia maswala hayo ndipo muweze kayaainisha kwa uma.
@MussaMachano-t8j
@MussaMachano-t8j 2 часа назад
Tujitayarishe kuagiza marefa wa kigeni kwenye ligi
@SudyMohamedy
@SudyMohamedy 4 часа назад
Mmekosa kazi ya kufanyaj ligi yenyewe inaharibiwa na marefa leo hii mnaleta hoja isiokuwa na mashiko
@tegemeakyangenyenka6111
@tegemeakyangenyenka6111 Час назад
Simuangalie timu za nnje wanafanyaje,au mnataka kubomoa timu zetu
@KieleniALLY
@KieleniALLY 10 минут назад
Ww mjinga sana sasa kama kipa wa bongo wanauza mechi sasa hzo mechi s majanga
@Khatib-xp6fp
@Khatib-xp6fp 4 часа назад
Refa yupo sahihi bana acheni uonevu sio kila kitu penati eeeeh
@burtonbrown5548
@burtonbrown5548 4 часа назад
baadhi ya mapendekezo mliyoyatoa imeonyesha mnataka kuua soka hapa nchini, imeonyesha baadhi ya watu waliotoa mapendekezo siyo watu wa soka Aiwezekani kipa ambaye ajitumi anapewa nafasi kwa kuwa ni mzawa kwenye ligi ya NBC wakati timu ikitafuta ubingwa, Kazi ya kupanga timu uwanjani ni mapendezo ya kocha , awezi kumpanga mchezaji wa kigeni ambaye ajitumi kwa hilo tumeona kwenye timu za simba na Yanga. Watu wamewekeza wanatoa fedha kwa wachezaji wa kigeni, nawashauri kama kweli nyie mnataka kukuza mchezo wa soka nchini wachezaji wa timu za vijana watafutieni vyuo vinavyokuza mchezo wa soka nje ya nchi Kwa mfano nchi kama Senegali ilipeka vijana wengi nchini Ufaransa, sasa angalia Senegali kisoka wakoje. Mpendekezo yenu kwanza yengepelekwa kwa watu wataalamu wayapitie arafu mtangaze, siyo kutangaza kwa kuwa ni kamati ya masaa 72.
@barakamwantolwa4336
@barakamwantolwa4336 3 часа назад
Acheni siasa...Mpira ni fedha
@MokiwaKaskaz
@MokiwaKaskaz Час назад
Ni kweli, lazima uwe na pesa zakutosha kufanya usajili mzuri, kuhonga marefa na kuhonga wachezaji kuhujumu team yao lkn pia kuumiza wachezaji muhim wa tim pinzani kabla ya mechi kwa kutumia mechi zingine zitakacho chezwa karibu ya Darby.
@DDMGI
@DDMGI 3 часа назад
Kwani huu ubora wa league ambao tunayo Sasa hivi umelewa na vitu gani ukisha kuuliza hivyo ujiulize hivyo unavyoleta mapendekezo hayo unategemea nini? Na hayo mapendekezo je ni ya kimataifa? Msituharibie mpira wetu ilipofika hapa.
@SimonPeter-l7y
@SimonPeter-l7y 12 часов назад
Dah! Vitoto vya 2000 kweli nyie, Zidane alikuwa mchzaji bora wa World Cup na alipewa Kadi nyekundu
@alimohammedomar3412
@alimohammedomar3412 6 часов назад
Ikiwa huyu anayeongea ni mwandishi wa habari basi ndugu zangu tasnia ya habari imeingia chaka, imeingiliwa na wahuni wasiojua wanachokiongea.
@mathiaschoma9527
@mathiaschoma9527 12 часов назад
Ni tff hao hao walipanga time kusajili wageni 12 ili kuongeza ushindani kwa wachezaji wa ndani, sasa hii nadhani ni kutapatapa. Kama ligi yetu ni ya wachezaji wa kulipwa hayo mapendekezo hayana mashiko. Hao waliotuheshimisha ni juhudi za mchezaji binafsi si vinginevyo
@georgehumphreyhaule7426
@georgehumphreyhaule7426 6 часов назад
Hao Sio waliopendekeza bali waharibifu wa Soka letu Akili zao mbuzi. Serikali haitambui Ushirikina mtajuaje huo ni Ushirikina? Mpira unavitu vingi ss hayo mapendekezo yenu utumbo mnampa Nani? Mpira ni gharama useme ww wacheze Vijana Akili kweli? Hao ni waandishi uchwala wakaanzishe Timu zao wawape masharti hayo Utumbo. Tff msiwasikilize wapuzi Hao na njaa zao.
@umalqasimalhamhami6707
@umalqasimalhamhami6707 15 часов назад
Wasege
@SonSon-vg8bd
@SonSon-vg8bd 2 часа назад
POINT TATU NA UCHAWI HAZIHUSIANI
@ELIASJOHN-ur3oh
@ELIASJOHN-ur3oh 7 часов назад
Hivi kweli kamati inakaa kujadili Maswala ya Ushirikina? ✔️Serikali ilitupilia mbali maswala ya Ushirikina Je, KAMATI imeangazia faida na hasara za kujikita kufuatilia Ushirikina?
@elinihakimsuya1673
@elinihakimsuya1673 15 часов назад
Soka letulitashuka sana,tunarudi kulekule,wachezaji wetuhawajitumi mnatakakuwabebatu
@maclaudismail6606
@maclaudismail6606 Час назад
Munaleta mambo yalee ya maduka ya ushirika enzi za nyerere. Acheni ukomunisti tushasonha mbele munataka turudi nyuma Mapendekezo yenu ni ya KIPUUZI
@denisngotezu
@denisngotezu 3 часа назад
Kanuni ya timu kukatwa pointi tatu kwa kutokana na kubainika ushirikina na wapenzi kufanya fujo ni uonezi,kanuni hii imeandaliwa kuikomoa timu
@ELIASJOHN-ur3oh
@ELIASJOHN-ur3oh 7 часов назад
Nchi zilizoendelea haziongelei maswala ya Ushirikina hata kama Kuna fununu ya timu kujihusha na Ushirikina sisi tunakwama wapi!!? ✍️Nilidhani Kamati ingeangazia Makosa ya Marefa, Academics kuanzishwa na VAR yaani jamani Dah!
@alexsanga4506
@alexsanga4506 11 часов назад
Wachambuzi wasihusike kuchagua mchezaji bora
@AhmedMohamed-zj8hi
@AhmedMohamed-zj8hi 13 часов назад
Sio sawa kwahiyo kama hawajuwi wapewe nafasitu sindio?! Binafsi nazani mngependekeza makocha waende shule na zitengenezwe akademi za maana ili kukuza vipaji vya wachezaji na si vinginevyo!
@DDMGI
@DDMGI 3 часа назад
😂😂😂😂 Tatizo ni style ya kunyoa 😂😂😂😂 huu mpira ni biashara na sio mapenzi haya.
@HabibuChalamila
@HabibuChalamila 3 часа назад
Upended makipa wazawa uko long kabisa hiyo kanuni zako.inamaanisha kipa mzawa kama mbovu maanayake timu ifungwe nusu msimu wewe Acha kuchanganya mashabiki. Unajua kabisa mashabiki wanapoteza uhai juzi tu shabiki kafa halafu unaleta uzawa unajuwa machungu ya watu.
@JosphatSonge
@JosphatSonge 4 часа назад
Hu Ni upuuzi wachezaj wakigeni wawe at 16 we unasem wa 4 kweli we nidishi la Azam
@pambaboniface1199
@pambaboniface1199 16 часов назад
Haya mapendekezo na kanuni ni za kijinga...huwezi kuwa na kanuni baada ya ligi kuanzia.....ni ujinga mtupu ilibidi haya yafanyoke kabla ya ligi.....tafutenibibunifu sio kuleta mambo ya kijingan yasiyo na tija hasa ligi ikiww imeanza Upande wa makocha ...angalieni upande timubyavtaifa na siyo kilabu
@SalumRwambo
@SalumRwambo 15 часов назад
Ndiyo yale kocha wa timu Moja kuzuiwa kuvaa pensi uwanjani
@frankmakyao7657
@frankmakyao7657 15 часов назад
Vijana wawe 2 hapa lazima na Tz( wazawa WENGINE wawe 4) . Yaani mechi ya NBC WA Tz wasiwe chini ya wachezaji 6.
@vincentkatabalo286
@vincentkatabalo286 7 часов назад
Ninaandika naduta ! Ninaandika nafuta! Sijui kwa nini
@Salisalum
@Salisalum 9 часов назад
Nyie ni wahuni na itabidi TFF wawaangazie. Kichwa cha habari hakiendani na habari yenyewe.
@twahakabajemi9716
@twahakabajemi9716 3 часа назад
Habari za uzushi na ujinga
@MogelaSaileni
@MogelaSaileni 4 часа назад
Yanga mbona wameingilia mlango sio uosio ushikona mbona hamtoi azabuiyo unayoiongelea nyieleteni izobuabuazenu ilimtende haki mnataka kitokeenini ndiomfuate haki
@HamiduMtemekela
@HamiduMtemekela 15 часов назад
Kissing mapendekezo mengi hayana tija ktk mustakbari ya hadhi ya ligi yetu. Bodi ya ya ligi insoaswa ijitambue majukumu yake mambo mengine yatakiwa yabski kwa timu husika. Pili kuna swala hili la ushirikina na hali ya labia ya sasa kwa baadhi ya washabiki maana utamuona ni shabiki wa yanga lakini anajifanya ni shabiki wa simba sasa kwa staili hii akifanya tendo au mambo ya kishirikina si mtaiadhibu timu wakati kiuhalisia si shabiki wa timu husika..
@NewtonGwamaka
@NewtonGwamaka 3 часа назад
Hoja ya goal keepers mmefeli fanyenyi michanganuo yenu vema msiue kile kikubwa kilicho jengwa na vilabu vyetu
@hendricksjohn6201
@hendricksjohn6201 12 часов назад
Mmekaa chini kuyatafakari hayo au mimekutana vichochoroni mnalopoka tuu simba saivi tutahama nchi
@YusuphMoses-i1l
@YusuphMoses-i1l 3 часа назад
Ammeanza kuharibu tena hakuna ukichoongea zaidi pumbaraization zilizo tukuka.
@JonathanMgaiwa
@JonathanMgaiwa 16 часов назад
Mbona sijaona ishu ya kayoko na leseni yake
@stalinmkumbo8564
@stalinmkumbo8564 12 часов назад
Ndio maana kila kukicha tunahitaji ushauri wa wakoloni tu, maana wenyewe kama ndio mawazo mnadhani mtakuza mpira. Hivyo kabisa. Hata tusiokuwa wanamichezo tunaona udhaifu wa mapendekezo yenu nje nje. Kama huna hoja kunyamaza nako ni busara.
@bekasoso
@bekasoso 36 минут назад
Kiufupi mmeharisha kwenye maoni na kanuni zenu kiufupi mmefeli sana bado sana na kama mtakua nyie ndo watoa ushauri wasoka wote mufukuzwe sie tunataka kwenda mbele na kitu kizuri,,, na swala jengine lakusema tutaona wachezaji wakigeni tu uwanjani uo utakua uzembe wa taifa na TFF kwasababu Dunia inaanda vipajo mapema sana sie tumechelewa kwenye ilo ila tayar jitihada za serekali na wadau wasoka wanalipambania sana ilo nnaimani baada ya miaka kumi tutakuwa na kina MBAPPE WETU NA NUER WETU soka litakua zaidi ya namba6 tulokua nayo halafu angalia tumetoka wp na tuko wp kwasasa tumecheza na wachezaji wandani zaidi ya miaka 40 hamna jipya
@TABUATHUMANI
@TABUATHUMANI 12 часов назад
Hivi huyu ni nani??😅😅😅😅😅 Umefeli ndugu!!
@suleimansalum4049
@suleimansalum4049 2 часа назад
Tff wacheni kuburuzwa
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu 11 часов назад
Yaani yanga kila kaneno wanatukana hivi yanga waliumbwa na shetani kwanini wameweka matusi mbele
@solomonbenjamin8592
@solomonbenjamin8592 16 часов назад
Sasa mtajuaje mshabiki kama amejifanya simba au yanga,akikutwa na hayomambo ya ushirikina adhabu mtachukua vp?jitafakarin.
@YUSUFUKAMBALE
@YUSUFUKAMBALE 15 часов назад
Bodi mbona mnataka kuirudisha Ligi kwenye kupoteza Ubora? Unamlinda nani wakati Hana kiwango? Naona ninyi munayaendee mambo kimhemko saana na Wala hakuna mnacho kijenga kwenye lingi.Achaneni na siasa ktk Maendeleo ya mpira.
@ommymsangi9182
@ommymsangi9182 9 часов назад
Hii kamati imetoa PUMBA.
@DAUDSOSPETER
@DAUDSOSPETER 3 часа назад
We kichongo utatualibia ligi nena uko tuachie ligi yetu
@jimmymnuano7165
@jimmymnuano7165 12 часов назад
Hiyo mipango unayo panga kwa timu ya taifa au timu za binafsi ? je ? kama timu binafsi nani ataye walipa hao wachezaji ni Club au TFF ? sikia huwo ni mipango ya kuuwa mchezo wa mpira Tanzania ujuwe hivyo
@ndizeyemadjaliwa2024
@ndizeyemadjaliwa2024 15 часов назад
Sasa ligi yenu njo bora zaidi Afrika?kuzidi ligi zote za Afrika 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Tanzania Tanzania Tanzania kama leo munajiona kwenye soka la afrika mko juu siyo wachezaji wa ndani 😂😂😂😂😂😂 acheni utani pesa watu wanaweka pesa zao juu ya club zao leo na kesho iyo kauli zenu mutajuwa amujuwi vimbeni kichwa tu kesho kesho yake mtaviba midom😅😅😅😅
@CharlesWilliam-iz3fz
@CharlesWilliam-iz3fz 15 часов назад
Nyie hacheni mapendekezo yasio na na faida kwa vilabu.namini wenye akili timamu hawezi pitisha zaidi ya 10 % ya mapendeko hayo
@NgamelaYussuph
@NgamelaYussuph 15 часов назад
Anzisheni Timu Zenu Mchezeshe Makipa Wazawa
@PhilimonJosephu
@PhilimonJosephu 15 часов назад
Makolo mnateseka mkiwa wp?
@ugaartsfilm9640
@ugaartsfilm9640 12 часов назад
Sikutarajia kama mtaongea pumba hivyo alafu mnajiita kamati😂😂😂😂
@fadhilisheckimweri2512
@fadhilisheckimweri2512 16 часов назад
Wapi academy mlioanzisha acheni kuharibu Biashara ya mpira,watu wameweka pesa ili wapate matokeo msiturudishe nyuma,hawa ndio watu wa kuwapiga chini
@mpekuzimedia-xw1rb
@mpekuzimedia-xw1rb 17 часов назад
Simba wanateseka kipigo tulicho wapiga kenge hawa kila siku wanakuja na hoja nyengine
@LailaLaila-kg2qd
@LailaLaila-kg2qd 16 часов назад
Wacheni uchawi utopolo
@saidjoseph9280
@saidjoseph9280 15 часов назад
Hawa wametumwa na watu walioshindwa hawa wote ni Simba nasema haiwezekani hilo jambo la hovyo kabisa hizo kanuni ni baada ya simba kufungwa mara nne mfululizo hawa wote simba wamechanganyikiwa
@saidjoseph9280
@saidjoseph9280 15 часов назад
Huyu anaweweseka hii kamati haijitambui ni vema ifutwe hovyo kabisa kanuni hizo kapelekeni nyumbani kwenu
@MashakaShabani-s5m
@MashakaShabani-s5m 14 часов назад
We huna akili wacha wenye wanajua sheria za mpira wafanye kazi yao
@taseleli9181
@taseleli9181 14 часов назад
​@@saidjoseph9280Utopoloooooo ukweli utaendelea kubaki kuwa ukweli mnatesekea wapi mmezoea kubebwa eeehhhhh
@AllyAthuman-z9b
@AllyAthuman-z9b 13 часов назад
Uyo jamaa ana akili kweli izi timu zinatumia pesa ao makipa wako azisheni mashidano mengine acheni ujinga uo akuna upumbavu uo kwenye pesa za watu
@denisshimela169
@denisshimela169 15 часов назад
Ujinga mtupu washenzi sana nyie
@NuwairaAbuubakar
@NuwairaAbuubakar 15 часов назад
Hakuna Cha maana kabisa kwenye Hilo na Hilo suala halitoumiza sana yanga TU hata hao makolo pia nao watateseka Bure , huu ujinga unasababishwa uchoyo wa ushindani
@GodfreyGabriel-s7w
@GodfreyGabriel-s7w 7 часов назад
Kama ndo mipango yenu huo ni uzembe wenu vilabu vinafanya biashara peleka wachezaji wenu nje vilabu vinahitaji waliokwiva sio uzawa tu.
@ALBERTNyemba-uk3fr
@ALBERTNyemba-uk3fr 13 часов назад
Mnaacha kuweka sheria ya kila timu lazima iwe na uwanja wake.mnaleta porojo kama za wale wazeeee wetu😂😂😂😂😂😂
@YUSUFUKAMBALE
@YUSUFUKAMBALE 15 часов назад
Hivi ninyi munageuza kama vile hizi timu Kuna kitu mnazisaisia ktk kugharamia! Mnakuja na midomo yenu mioano tu,mkifikiri Kuna kitu mnakiongeza badala ya kubomowa,hivi nani atakubai kuweka fedha zake,kwakuwa na timu ambayo hamfikishi kwenye malengo yake ya kurejesha gharama zake? Achaneni kabisa na mawazo ya kutaka kutawaliwa mambo ambayo hajawahi kushiriki ujenzi wake
@TwahirBurhan
@TwahirBurhan 12 часов назад
HII NI MIPUUZI SANA NA AKILI MBOVU MNO,HAYO MAONI YENU YA KIPUUZI PELEKENI KWENYE NDONDO
@JosephKipingu-b7t
@JosephKipingu-b7t 3 часа назад
Nyie majuha asee mnata mrete siasa kwenye soka
@SurprisedFullMoon-gg9vu
@SurprisedFullMoon-gg9vu 14 часов назад
Hawa supu fc watashuka daraja"msisahau na wanao nunua mechii"
@shabanimbega40
@shabanimbega40 5 часов назад
Huyu jamaa ni kama mropokaji hajui anachoongea.
@renatusnchali7393
@renatusnchali7393 14 часов назад
Mnataka kuharibu mpira wetu tanzania siyo ya wajumbe wa tff ni ya wote, et mashabiki wafungiwe nyi mnajielewa kweli?
@ODENILWILA
@ODENILWILA 12 часов назад
Upumbavu tu huo mbona hamjapendekeza mzamini 1 kudhamini timu 8
@godfreysimoni4270
@godfreysimoni4270 14 часов назад
Andaen academy ya kuwajenga vijana na kujenga timu ya taifa hizi timu achen kuzibana hayo mapendekezo yenu hayana mashiko.
@hafidhhabib7116
@hafidhhabib7116 14 часов назад
Tutashuka hata ya 20 ligi yetu kwa ujinga wa viongozi wa tff waliokuwa wanaegemea kwenye timu fulani
Далее
▼ ЕДУ В ТИХОСРАНСК 💪
37:00
Просмотров 439 тыс.
Пресс-конференция перед UFC 308
49:51