Nashindwa kujua Mungu ana makusudi gan na mm maana nimekuwa na mzigo sana juu ya waimbaji,nimekuwa nikiugua sana kwa ajili ya huduma zao ....kaka Gwamaka kupitia ushuhuda Mungu wa mbinguni akuinue viwango visivyovyakawaida KATIKA JINA LA YESU!!! 🙏🙏🙏
Hii ilikuwa vita ktk ulimwengu wa roho, na ni pepo hilo na hii nikutokana na huduma yako Gwamaka, but still God is good na Mungu anakupeleka kwenye kiwango kingine
Gwamaka ulikuja mwanza ukafanya uduma ya uimbaji kanisan wakati uo nilikuwa naomba nakusifu saaaana ndani yangu nilikuwa najikuta naomba maombi ya shukran Yan na bubujika kwa shukran tu ulisogelea unaniambia unaona kitu ndani yangu na pía ukasema mungu anakitu kikubwa kwangu wakat unaniambia vitu hivyo nilikuwa nimetoka kwenye ujane wa miez mitatu nyuma lakin bado nilikuwa ninamshukuru mungu sana sana hivyo hapa nilipo napaswa kusema niña aman na nime stawi kama gustan yenye rutuba kabisa mungu apewe sifa
Mungu atakuponya Mtumishi, Kama ulivyosema kwamba kuna ujumbe ambao Mungu anataka upate na kupitia hapo wengi wataponywa na Mungu Wetu Mkuu, Na Mwenye Nguvu... Mungu aendelee kukuandaa kwa ajili ya kusudi lake hapa duniani.
Mtumishi wa Mungu Mfinanga nakumbuka wakati unafundisha somo la kukinywea kikombe kijitonyama. Nilikuwa napitia mahali paajabu sana na baada ya kuvuka nikakushuhudia. Namshukuru Mungu kwaajili ya huu ushuhuda wa mtumishi Gwamaka maana MUNGU amenithibitishia kwa mara nyingine kwamba yupo na anafanya mambo yaajabu sana. Vitu vingi ameongea Gwamaka nami nilivipitia , kumsikia MUNGU kwa wazi na wakati mwingine kujikataa na Mungu kuachilia vitu vingi sana hizi nyakati ngumu. Naelewa na ni watu wachache sana wenye hii Neema! Namfurahia huyu Mungu sana. Moyo wangu unafurahia sana alichofanya kwa Gwamaka 😭😭😭
MUNGU wa mbingu na nchi akuponye Gwamaka.Bado una kusudi la MUNGU ndani yako na MUNGU hana tabia ya kuitelekeza kazi yake iishie njiani!always MUNGU akianzisha lazima akamilishe!You are blessed in JESUS NAME!
Uponyaji.🙌🙌.uponyaji Kwa ndugu Gwamaka Mungu ni mwaminifu ashafanya sikujua haki🤔 vile naimba nyimbo zenu Uminiliwa zaidi ya milima' my favorite. You're blessed 🙌 and family
Mungu ana mambo yake ya sirini ndo maana ukifika hatua za juu Sanaa unasema neno Moja tu "mwache Mungu aitwe Mungu".....bro nakumbuka ulivyokuja dodoma ukaja ICC be healed and anointed for the Kingdom glory of God.
Stay strong man of God that's the sign that yr service is accepted to God! Tunapenda huduma yako u will live to the fullest and all these challenges shall turn into testimony Amen Amen Ame
Kaka Yangu nashukuru sana kwa kutiwa moyo ili uje ushuhudie.... Kwa neema hyo hyo sisi Daktari kiganjani tunatoa elimu kwa namna rahisi. Tunamshukuru Mungu kwakua sisi tunatoa elimu, Mungu anaponya.. Na wewe ubarikiwe kwa kushare.
OMG!!!!!!!! Suffering from Diabetes is one of the worst challenge. To see how strong GWAMAKA was in 2020 and the current video, all i can say, MAY GOD BE PRAISED FOR YOUR HEALING. May His protection be on you always. May this challenge strengthens your faith in the Lord.
Yeah! Ni wakati wa kuinua madhabahu halisi ya Mungu Aliye Hai ktk Tanzania bara na Visiwani. Asante sana Mtumishi wa Bwana Yesu Kristo kwa ushuhuda nimejifunza na kunifanya niendelee kumuangalia Mungu Aliye Hai.
Kwakupigwa kwa Yesu tumepona. Kaka, you are such a blessing to God's kingdom. hee upone kwa jina la Yesu Kristo. we are praying and we love you Minister of the gospel.
Mtumishi kaka g waombaj wa dodoma tunakusubir kwa ham kwenye across of the year inayoandaliwa na mwalim Emanuel shemdoe 1.6 next week na pia miez mitatu nyuma kwenye madhabahu ya kkkt cathedral dodoma tulikataa magonjwa na vifo kabla ya wakat na mtumish mfinanga naiona asgment ambayo Mungu amekupa mtumish hongera kwa kaz nzur mtumish ss ni washind kaz ya Mungu iendelee tunakupenda mtumish Mungu akupiganie
Kaka G , thank you for the interview... ila niombi tuu kuwa kusiwepo wa interruptions kwa muongeaji ..inasaidia kwa sisi tunaowasikiliza kuweza kufocus
This is true kaka mfinanga don't jump to much to conclusions or too fast aisee muache mtu ajielezee vizurii kwa wakati mpana hata kama unajuwa history ya mtu unaye mhoji just give him a space ili sisi tunaongalia tuweze kujifunza n.k aisee ,also pangilia maswali vizurii punguza speed .All in all ubarikiwe saana kaka mfinanga na Gwamaka mnafanya kazii nzurii Mungu awabariki .🙏
God of Glory Tunamtukuza Mungu pamoja na wewe Nyimbo zako zina upako na zinaendelea kuminister ndani yangu..be Blessed man of God..wewe ni mshindi na ww ni afya
No premature death in Jesus name. Yote Bwana aliyokusikiliza it's a great prove that God still has plan ahead of you bro.Mtu wakufa hasikii mambo yajayo anachoona ni mwisho wake lakini wewe mwisho unakusogelea but still Bwana anakutazamazisha mbali namna hiyo.Bado Bwana anakushirikisha mambo ya wengine ?Bro umebeba matumaini ya wengi hutakufa utaishi ili Bwana ajitukuze zaidi.
Interview nzuri lakini Ushauri wangu kwako kaka G, punguza miguno wakati mtu anaongea inazingua balaa lakini pia mpe mtu gep lakuongea ukimuuliza swali mpe mda ajielezee hadi amalize ndioo umuulize sio zile naelewaa mnhh zinazingua igeni kwa Millard basi