Тёмный

THE BEST BUS IN EAST AFRICA? 

Dutch safari
Подписаться 10 тыс.
Просмотров 95 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 130   
@philipisohe8035
@philipisohe8035 4 года назад
Basi lolote ambalo nimetengezwa locally katika nchi hizi ni bora kuliko mabasi ya kuagizwa kutoka China sababu kiwanda hutoa nafasi za kazi kwa wananchi wa kawaida na kuongeza kipato cha East Africa. Kwa hivyo ni bora nchi za Africa kujivunia vitu ambavyo vinapatikana na kutengezwa na waafrika wenyewe kuliko kujivunia vitu ambavyo vinatoka nje ya Africa. .
@dutchsafari7562
@dutchsafari7562 4 года назад
Fact
@Kny-tn1mg
@Kny-tn1mg 3 года назад
Itisha unachotumia kwa bill yangu.👍
@martinsianya4367
@martinsianya4367 Год назад
I really like buses from Tanzania@they attractive, nice and comfortable
@GitauMuiruri-qw9bw
@GitauMuiruri-qw9bw 6 месяцев назад
Buscar kiboko Yao , keep it up a well design bus presentable even when your traveling you fill comfortable watching in Mombasa Kenya
@gracedaffa1606
@gracedaffa1606 4 года назад
Vizur sana kaka kazi nzur mabasi yapo vizur
@blairkphotography256
@blairkphotography256 3 года назад
This is nolonger the most beautiful check Kiira motors Uganda hybrid coach made in Uganda there u will know what it means to say the most beautiful bus
@abrahamzulu5639
@abrahamzulu5639 Год назад
Abraham zulu from Zambia 🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲
@benjaminlonyaman1233
@benjaminlonyaman1233 3 года назад
Me I will go with Dreamline, modern coast, Mash poa, Tahmeed and Panther.
@dmwau
@dmwau 4 года назад
Top buses in East Africa are three Modern coast scania touring, a grey mash scania touring and a white one mash twin to they grey one Anyway I just saw you refer the emiratas as scania p360 but they are f360
@nabsgilo4896
@nabsgilo4896 Год назад
Buscar & Classic are the best on the route to the Ugandan capital kampala end to South sudanese capital too ;with affordable prices ...big ups🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@Busmania_ke
@Busmania_ke 4 года назад
Mash east africa Modern coast Dreamline Tahmeed
@karimhamisi4627
@karimhamisi4627 2 года назад
Dreamline naona nae ana mchina kakacha mabody ya home
@isaacnyangaresy7813
@isaacnyangaresy7813 4 года назад
Dreamline
@gilbertojode5073
@gilbertojode5073 4 года назад
At the end of the day is level of craftsmanship... Go for the best techs and designers ...
@sugengrahayu7179
@sugengrahayu7179 3 года назад
want to ask, is that an Adiputro lamp?
@dutchsafari7562
@dutchsafari7562 3 года назад
Yah the headlight is Adiputro
@stardreyworldwide6443
@stardreyworldwide6443 4 года назад
Very Amazing buses
@dutchsafari7562
@dutchsafari7562 4 года назад
Stay tune for more contents boss
@umitabot5302
@umitabot5302 Год назад
Tahmeed and modern coast ❤❤
@dintazdintaz7311
@dintazdintaz7311 4 года назад
Hiv hizo bas znamfika hata kimbinyiko kwel au shabiby au dar express
@abdulhalim-rt3kq
@abdulhalim-rt3kq 4 года назад
Waijua bascar ww
@derrickmuse8517
@derrickmuse8517 4 года назад
Nyinyi watanzania MNA shida kubwa,you have got a lot to be done dont thing mmefika ,bado na bodo kabsa.
@ototek8037
@ototek8037 4 года назад
Hata kama bado huwezi kuweka utopolo hapo alafu useme east africa yote huo ujinga ndo best..hakuna basi hapo wakenya acheni ujinga.
@aliyahkhamis7472
@aliyahkhamis7472 4 года назад
@@ototek8037 jamani Tanzania kama mko na bus mzuri zaidi wivu ya nn?
@merozay5199
@merozay5199 3 года назад
ukweli
@paulchristopher3802
@paulchristopher3802 4 года назад
Am i seeng Taqwa & falcon ?
@duthedj
@duthedj 4 года назад
kenya mkonyumba kwa usafiri
@abdulhalim-rt3kq
@abdulhalim-rt3kq 4 года назад
Aliyekwambia tz hamufiki kenya
@dintazdintaz7311
@dintazdintaz7311 4 года назад
Eti caption anauliza huku umeweka bas za kenya tu hivi we datch safar unaijua saratoga kweli?? Weka bas zote watu tukupe majibu
@kelvinjohn6851
@kelvinjohn6851 4 года назад
Waje Ubungo waone Best Buses sio hicho walichokiweka hapo.
@lenoxmwambi4505
@lenoxmwambi4505 4 года назад
sasa bongo twaja kuona michina ama?
@BrunoDerick-y5d
@BrunoDerick-y5d 10 месяцев назад
Kaangali hawa hapa ndo ujue huji Allys star Sauli luxury Happy nation Aboud Kandahar Batco coach Tulisho safaris Ratco coach Zuberi Nyehunge Shabiby
@alimwasiri8675
@alimwasiri8675 4 года назад
Zhongtong ndio wabongo mnajisifia
@zachariazacharia7964
@zachariazacharia7964 4 года назад
Hyo bus haiwez kushindana hata na dar lux leo kenya ndo namba one
@benjaminlonyaman1233
@benjaminlonyaman1233 3 года назад
Bado hio Dar lux lilitengezwa huku Kenya uwezo hamna kidomodomo tu na labda haujawai safiri kwenye basi lenyewe .
@Никита-ш4з1г
@Никита-ш4з1г 10 месяцев назад
He's traveling from Rwanda to Burundi through all these countries, but he could just cross the border and that's it.
@HASASON
@HASASON 4 года назад
Bro kwenye suala zima la usafiri wa nchi kavu hamuwezi kushindana na Tanzania, hilo bus likija Tanzania litaonekana la kawaida kichizi kutokana na wingi wa luxury buses
@lenoxmwambi4505
@lenoxmwambi4505 4 года назад
youtong na zhongtong ndio wasema wewe
@abdulhalim-rt3kq
@abdulhalim-rt3kq 4 года назад
Ahhh tanzania wamwisho nyinyi porojo tu tz hamna kitu
@danogeto78
@danogeto78 Год назад
Hatushindani na yeyote bro ,Kenya tunajitengezea mabasi yetu
@kramsjunior4447
@kramsjunior4447 4 года назад
La kawaida sana njoo Tz uone basi za kisasa
@munarnkungu8654
@munarnkungu8654 4 года назад
Waambie ao pumbafu awajaona bus za TZ wanaonyesha ujinga uwo ahahah
@dutchsafari7562
@dutchsafari7562 4 года назад
Hahaha ni swali tu soma caption vizuri kuna alama ya kuuliza mwishoni
@ixelchapo4076
@ixelchapo4076 4 года назад
Bro what is the music called
@dutchsafari7562
@dutchsafari7562 4 года назад
Check on the video description there is the name of the song and it's link..
@abdullahmanalex2306
@abdullahmanalex2306 4 года назад
Hivi mnazijua zilizoko Tz hamfikii
@abdulhalim-rt3kq
@abdulhalim-rt3kq 4 года назад
Tz gari zakichina
@aliyahkhamis7472
@aliyahkhamis7472 4 года назад
Sawa wacha tukubali tu hatufikii lakini pia tunajivunia ma yetu sababu najua hamkubali kushindwa
@iddisillas4522
@iddisillas4522 4 года назад
Best in is kenya...old fashion
@smurf-g9981
@smurf-g9981 3 года назад
al the other majour bus companies your thinking are also all kenyan ......from tahmeed to modern coast
@extramilitary
@extramilitary 4 года назад
TAHMEED is also a good one
@dutchsafari7562
@dutchsafari7562 4 года назад
We will review it soon
@extramilitary
@extramilitary 4 года назад
@@dutchsafari7562 please do.
@tytok5561
@tytok5561 3 года назад
Yessss
@stardreyworldwide6443
@stardreyworldwide6443 4 года назад
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💥💥💥🔥🔥🔥
@munamadilu5325
@munamadilu5325 4 года назад
hamna kitu hapo!njooni tz muone vitu vya hatari
@abdulhalim-rt3kq
@abdulhalim-rt3kq 4 года назад
Tz hakuna magari yakushindana na Kenya uliza magufuli wajua kenya ww
@iddisillas4522
@iddisillas4522 4 года назад
Scaniaa bure kabisal
@phonseman9040
@phonseman9040 4 года назад
😂😂😂hamna kitu hapo njoeni tz dar ubungo muone luxury zenyewe
@allyselemani7302
@allyselemani7302 4 года назад
Hakunabasi kamaile tz wewe
@phonseman9040
@phonseman9040 4 года назад
@@allyselemani7302 aah wap ya kishamba hiyo mje tz muone luxury nying
@HASASON
@HASASON 4 года назад
@@allyselemani7302 ninyi mnabebwa kwenye makenta kama viazi halafu mnasema mmepanda bus
@ototek8037
@ototek8037 4 года назад
@@HASASON wanaita nganya.
@abdulhalim-rt3kq
@abdulhalim-rt3kq 4 года назад
Nyinyi wabongo hamuwezi bus za kenya kwa uzuri na mbio na kwa madereva wastarabu kenya number one
@AbeidMussa-tw6fx
@AbeidMussa-tw6fx 4 месяца назад
I don't know I mean nimepanda mabasi yanayotoa huduma nzuri na Luxury naweza hata kusema malatatu ya hili gari atakama ni yutong bado ni nzuri kuliko hio Scania labda useme in terms of horse power
@merozay5199
@merozay5199 3 года назад
kujeni kenya muone manganya kali kali
@lenoxmwambi4505
@lenoxmwambi4505 4 года назад
buscar bab laooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
@patrickKitambo
@patrickKitambo 4 года назад
In Tz we used buses like that in the early80s
@wyclifeotieno3147
@wyclifeotieno3147 4 года назад
Just share the photos instead of talking too much
@esperanza3080
@esperanza3080 2 года назад
WAPI ENA COACH EMIRATA??
@josepho3583
@josepho3583 4 года назад
Hazifiki za machakos country bus
@danogeto78
@danogeto78 Год назад
😂😂
@festofokasi4470
@festofokasi4470 4 года назад
Saf ila Tz good zaid
@joxevictus3720
@joxevictus3720 4 года назад
Sasa linatofauti gani na taqmid waje tz huku ndo baba lao waache ushamba wakutuonyesha malori
@abdulhalim-rt3kq
@abdulhalim-rt3kq 4 года назад
Ww chizi bongo kuna magari kushinda kenya munawazimu wabongo
@antonymangaara2022
@antonymangaara2022 3 года назад
Made in Kenya
@abu-hasheem6422
@abu-hasheem6422 3 года назад
In general public transport in Kenya inatia kinyaa.....yaani watu bado wanapanda malori yanayoitwa matatu.....
@dutchsafari7562
@dutchsafari7562 3 года назад
Unatafuta ugomvi😂
@abu-hasheem6422
@abu-hasheem6422 3 года назад
@@dutchsafari7562 hahaha.....unajua wakenya ni watu smart, ila pia siyo smart..... dunia ya sasa watu wako proud na malori ya isuzu....na vipanya......😂😂😂 ubunifu ni matatu kweli.....?? Pia kwa sababu ya ubinafsi wao.....hiyo sekta ipo monopolized kweli yaani......miji yao haina hata stendi lakini ukiwaambia......dah dah dah.....
@neverbrokeagain2547
@neverbrokeagain2547 3 года назад
Isnt P360 truck engine?
@dutchsafari7562
@dutchsafari7562 3 года назад
Typing errors boss
@mwalimubosso1548
@mwalimubosso1548 4 года назад
Haha haha scania Amna kitukwa. Marco polo
@kazikazini1042
@kazikazini1042 3 года назад
Hakuna basi linaitwa marcopolo. Marcopolo ni kampuni ya kutengeneza body na mara nyingi hutumia injini za scania na tata kaka.
@Kny-tn1mg
@Kny-tn1mg 3 года назад
Comments za wa Tanzania hapa ni chuki na ubishi.Nini huwasumbua?? lazima kila kitu mjilinganishe na Kenya?
@moraattitude
@moraattitude 2 года назад
wakenya tunabuni wa tz wanaigiza
@jayceeshapp2327
@jayceeshapp2327 2 года назад
Na wwe mzengu instead we shouldn’t complain about this topic, let’s talk about maintenance costs na vitu kama bei ya mafuta 🤣🤣🤣 because that’s what makes this business go round ✊🏾 let’s make points where it matters because we all matter ASANTE
@BrunoDerick-y5d
@BrunoDerick-y5d 10 месяцев назад
Wapuuzi nyie stendi zenu mbaya alafu makampuni yetu ni mengi kuwaliko
@Никита-ш4з1г
@Никита-ш4з1г 10 месяцев назад
Hmm, it probably looks like India inside
@munarnkungu8654
@munarnkungu8654 4 года назад
mje TZ muone bus sio uwo ujinga
@fabrisiowissa692
@fabrisiowissa692 4 года назад
Shida ni kuwa body built in kenya ndugu,wanastahili sifa
@munarnkungu8654
@munarnkungu8654 4 года назад
Kawaida sana akuna chakutisha apo ww
@HASASON
@HASASON 4 года назад
@@fabrisiowissa692 kwani Tanzania hawapo fabricators?
@slymusau
@slymusau 4 года назад
Basi lipi? Nimeishi Tz miaka nyingi Sana. Hanna lolote.
@gilbertojode5073
@gilbertojode5073 3 года назад
Funny what guys would argue over
@justinecleophas2950
@justinecleophas2950 4 года назад
Maybe in kenya not in EA...in Tz that is just a crup
@dutchsafari7562
@dutchsafari7562 4 года назад
Hahahaahaa
@lenoxmwambi4505
@lenoxmwambi4505 4 года назад
tz hata fabrication hamjui
@justinecleophas2950
@justinecleophas2950 4 года назад
@@lenoxmwambi4505 your here tell us about that trush matatu very stupid.....🤣🤣🤣 fablication my foot
@lenoxmwambi4505
@lenoxmwambi4505 4 года назад
@@justinecleophas2950 we hujui ata kizungu sioni tukibishana na ww
@justinecleophas2950
@justinecleophas2950 4 года назад
@@lenoxmwambi4505 🤣🤣🤣🤣🤣such an idiot from kunya ....since when do i waste ma loved time over trush thing like you stupid and nincompoop😂😂😂😂 at the sametime.....
@renatusmatungwa6800
@renatusmatungwa6800 3 года назад
Unaeema the best in East Africa Tanzania umefika?njoo Tanzania kwanza uone
@awindaphilip
@awindaphilip 3 года назад
Posti hapa tuone kafiri!
@vincentmokenye4465
@vincentmokenye4465 3 года назад
Tanzania yutong ndo unasema au
@jssaa4733
@jssaa4733 4 года назад
Tanzania ina mabus hatari sijui hapo mnaonyesha nn😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
@johnmbuguah5623
@johnmbuguah5623 3 года назад
Ya kichina. Huku Kenya tunajitengenezea that bus body is 100% fabricated in Nairobi
@jssaa4733
@jssaa4733 4 года назад
hiv mnajua mabus ya TZ. au mnachekesha😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
@abdulhalim-rt3kq
@abdulhalim-rt3kq 4 года назад
Ma bus ya tz hayafikii ya kenya sema kenya sio washamba kama nyinyi kupost ma bus tukianza mutakimbia uliza magufuli
@jssaa4733
@jssaa4733 4 года назад
@@abdulhalim-rt3kq upuuzi unaandika hapo nimekuja kenya magari kama pua la papa had nikataman ningekodi bus nije nalo
@maxkipchumba9872
@maxkipchumba9872 4 года назад
Scania F360** P ni lorry
@dutchsafari7562
@dutchsafari7562 4 года назад
Ni typing error hyo boss
@ototek8037
@ototek8037 4 года назад
Best in Kenya not east afrca..come tz uone vyuma.
@josephmwangi5644
@josephmwangi5644 4 года назад
Hahaha
@stevenikwisa5238
@stevenikwisa5238 4 года назад
By putting those bluish lights?
@greysonsonje1700
@greysonsonje1700 4 года назад
Buscar the best in East Africa..Haina mpinzani..Tahmeed ingewezana Ila hawa jama on their own level..Michina haina kitu on this
@lenoxmwambi4505
@lenoxmwambi4505 4 года назад
best in east africa ...because its fabricated in kenya hizo zingine huwa ni imports
@mlami1101
@mlami1101 4 года назад
Wapi nimekuwa bongo hebu niambie basi gani
@iddisillas4522
@iddisillas4522 4 года назад
HAHA BURE KABISA YANI BADO MNARINGISHIA MASCANIA HIZO BUS NI OLD FASHION
@rollupfashion.
@rollupfashion. Год назад
Acha kusema East Africa wewe sema kenya ,Njoo Tz uone luxury Buses tupo mbele kwanzia Bus station uwezi linganisha na huo uchafu wa kenya
@houseofjudah7470
@houseofjudah7470 4 года назад
HII NI BUS STAND BORA KABISA AFRICA,,,,ONLY IN TANZANIA,,,,HONGERA WATANZANIA ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-_ZircZf__7c.html
@isaacnyangaresy7813
@isaacnyangaresy7813 4 года назад
Dreamline
Далее
Гаджет из даркнета 📦
00:45
Просмотров 125 тыс.
Китайка и Красивые Глаза😂😆
00:20
3 Amazing RC large vehicles 🚌🚚🚧
24:33
Просмотров 6 млн
This is the MOST luxurious truck EVER!
13:39
Просмотров 6 млн
The Scania Marcopolo Bus is Now in Kenya!
7:57
Просмотров 29 тыс.
Гаджет из даркнета 📦
00:45
Просмотров 125 тыс.