Hii ni sehemu ya pili ya mahojiano na mkali G Nako toka Nako 2 nako Soldiers,katika sehemu hii G Nako anaeleza namna ambavyo walipita katika hatua za hatari na changamoto,lakini pia alivyoacha kazi sababu ya wimbo wao maarufu '"Hawatuwezi".
12 сен 2024