Тёмный
KuviFacts
KuviFacts
KuviFacts
Подписаться
Комментарии
@Ebendentalclinic
@Ebendentalclinic 6 часов назад
daaah masanja nimekubali,daah haya maisha
@yudaogonyi2383
@yudaogonyi2383 День назад
😝😝😝😝😝 jamaa ni storyteller mzuri sana . Hyu atafutiwe EP ingine
@mussaochola5306
@mussaochola5306 День назад
Dizasta vina 👑
@erickothegreat8353
@erickothegreat8353 День назад
uwezi mpata mtu wa hip pop kwa saivi kwani wengiwapo kwenye commercial zaidi,Hip Pop ni kwa ajili kwa wana harakati.
@westcijosh
@westcijosh День назад
mbona makasiriko sana master J
@justcruised
@justcruised День назад
Ngwair was crazy 😢 RIP brother
@theknowledgevault4600
@theknowledgevault4600 3 дня назад
Legend!🎉🎉🎉
@blaynchich9765
@blaynchich9765 3 дня назад
186 hatari xaana 🔥
@nemessenguo6195
@nemessenguo6195 3 дня назад
😢😢😢 boreshen
@dennisraphael96
@dennisraphael96 4 дня назад
Jamaa anachana kama boo nako
@Moneyprinter7
@Moneyprinter7 4 дня назад
Roma Mkatoliki ndio Hip hop KING
@hajibhai6064
@hajibhai6064 4 дня назад
Mm nataka nimuulze moe alivukaje na madawa ya kulevya wakati mazingira yke na masela wake wote walikua watu wa mandumu
@Optionxll_Playz1
@Optionxll_Playz1 5 дней назад
Sasa nirazima mukumbuke sio 1990 Ni 2024
@brianambuyo9867
@brianambuyo9867 6 дней назад
Kenya iliwakosea nini jamani. Why are some Tanzanians bitter with kenyan over english issue? dragging kenya in almost all your conversations is quite absurd. wacheni chuka kwa Kenya
@Luliofficial
@Luliofficial 6 дней назад
Kuvi huyo Noel chiko mimi namfahamu alipo nimeishiinae sehemu moja yupo mpaka leo.
@noahb2009
@noahb2009 4 дня назад
Nasikia ni polisi
@latinochancy191
@latinochancy191 7 дней назад
Respect is not expected it's given cause it's real.
@ejtjr2647
@ejtjr2647 7 дней назад
Kalapina was STUPID na hujui Hiphop . Mwili mkubwa akili KISODA.
@HassaniMohamedi-lk7ow
@HassaniMohamedi-lk7ow 7 дней назад
MSHAMBA NI TRACK HATARI JAY MOE ALIPIGA MISTARI MOTO 🔥🔥🔥
@nakalikyumile3234
@nakalikyumile3234 8 дней назад
Baada ya kufa kinyambe,sasa comedian wangu ni mtanga,na senga
@prankmealways9254
@prankmealways9254 8 дней назад
Gen z inaanza 95
@MackameHassani
@MackameHassani 8 дней назад
Nimeifatilia vizuri hii interview but kitu nilichogundua kwa wote wanaomchukilia poa Master-j ni wale ambao hawaujui muziki vizuri na historia yk kiujumla. Kizazi cha 2000,2005 na kuendelea chote hakiwezi kujua nn alifanya huyu mtu meyb awe mfatiliaji wa muziki sn.
@G_mafic
@G_mafic 8 дней назад
Shout out kwa Dizata Vina, Nash Mc na P Mawenge. HIP HOP
@abuubaqr5808
@abuubaqr5808 9 дней назад
TID hacheleweshagi 😂😂😂
@bakarikayugwa3295
@bakarikayugwa3295 9 дней назад
Da Jo wali imba na sugu yupo wapi jamani
@nicksoncharles-kx3gr
@nicksoncharles-kx3gr 9 дней назад
Watu waedia shida mnawapa airtime wasanii wabovu Leo lunya ana tamba ata mbele ya pmawenge 😂 ila Bongo
@nicksoncharles-kx3gr
@nicksoncharles-kx3gr 9 дней назад
Unjuuuuuuuuuuuuuu The Best of the Best All Day
@nicksoncharles-kx3gr
@nicksoncharles-kx3gr 9 дней назад
Nikk mbish ana deserve kbsa iy crown, Alaf wngne wafate unamwekaje d Wakat Kuna mocco wamiujiza
@user-lj8nk9xd6d
@user-lj8nk9xd6d 9 дней назад
Haha 😂.. unakimbia swali kuvi…Crown nani anayo. All the way from US ✌️
@KuviFacts
@KuviFacts 9 дней назад
Haha mgumu sana
@RonnieHezron
@RonnieHezron 9 дней назад
Huyo rashid anazingua kishenzii yanii, anaropoka ropokaa tuu
@ambokileasheengai1140
@ambokileasheengai1140 9 дней назад
ofisi za mawingu studio sio sinza pale ni mwenge kijijini...sinza ni upande wa pili wa ile ilipo shule ya kenton
@kenyzach9124
@kenyzach9124 9 дней назад
master jay 🤣🤣🤣. baba zao mauno walikata kwenye nyimbo zangu 😂😂😂😂😂
@Ngudure
@Ngudure 9 дней назад
Buibui alizalishiwa Barnaba 😂😂😂
@Ngudure
@Ngudure 9 дней назад
Nikki Mbishi anadeserve amekua na consistent
@magesawaryoba9483
@magesawaryoba9483 9 дней назад
binafsi MJ ni kizazi zaidi nyimbo za diplomatz , Mawingu Band, Nigga 2 Public, KWANZA UNIT, GWM na Gangwe Mobb pindi iyo P Funk bado ajaanza kuzipika tv TV steshen ilikua ITV mtangazaji Othuman Njaidi ambaye alikua ni muimbaji wa Mawingu Band OLD IS GOLD
@kennedymaende5297
@kennedymaende5297 9 дней назад
Mzee hatari sana professor....kumekucha na nonini moto sana
@gekstamina8332
@gekstamina8332 9 дней назад
Vijana wa BM 😂😂😂😂
@emilyvicent1969
@emilyvicent1969 9 дней назад
part 3 usisahau kumuongelea kar P
@BabuuWakitaa-pb6gr
@BabuuWakitaa-pb6gr 9 дней назад
Kwa kukusaidia kwenye io list yako namba moja ni Dizasta vina
@BabuuWakitaa-pb6gr
@BabuuWakitaa-pb6gr 9 дней назад
Leo ndo nimekupitisha mwanangu kuvi...list yako ya current bongo hip hop artist nkajua utaniletea watu wako kina cjui maarifa cjui lunya cjui conboi au hawa kina country boy ....ila umeleta list ya kibabe sana big up
@emilyvicent1969
@emilyvicent1969 9 дней назад
Leo ndio nimegundua kumbe ule wimbo wa akuna mungu kama wew eumetengenezwa MJ recods
@Upendogospelchoir
@Upendogospelchoir 10 дней назад
Mika mwamba sijui mnamsahau vipi
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 9 дней назад
Hayupo tz yuko kwao Finland labda upatikanaji unakua mgumu
@johnmathew9994
@johnmathew9994 10 дней назад
Hii video siangalii nitairudia ukimpata Mika Mwamba kwenye The Classic yako bila hivyo bado sio classic
@samirmswahili
@samirmswahili 9 дней назад
Kuvichaka 🐐 wa hiz mambo alaf yko smatiiiiii sana unahitaji kukua kiakili kwanza alaf rudi ule madini
@johnmathew9994
@johnmathew9994 8 дней назад
​@@samirmswahili.Hiz, alaf, yko, smatiii? Rekebisha kwanza uandishi huo wa kifacebook ndio uje kwenye midahalo hii migumu ya kuchambua mmoja kati ya watayarishaji bora kabisa kwenye historia ya mziki huu wa kizazi kipya #MikaMwamba
@KuviFacts
@KuviFacts 7 дней назад
Sikua nataka kukujibu ila baada ya kuona unamyeyusha huyu msela hapa nkaona nkujibu leo ,Mika Mwamba amerudi kwao Finland miaka mingi kwa hiyo kumpata nia aidha tuende Finland ama aje yeye Bongo,hivyo usiangalie tu mkuu mpaka moja kati ya hayo mawili yafanyike panapo uzima
@mindrest.2879
@mindrest.2879 5 дней назад
Nenda kwa Millard Ayo utakuta inter view yake ya mwaka 2017.
@johnmathew9994
@johnmathew9994 5 дней назад
@KuviFacts Sawa mtalam ila ukimpata Mika Mwamba itakuwa poa sana
@user-gf9pb5jz9j
@user-gf9pb5jz9j 10 дней назад
Hizi ndio interview sasa sisi wakongwe tunaelewa
@MadembweDickson-ur4kl
@MadembweDickson-ur4kl 10 дней назад
Watoto wa 2000 Watuache turudi Utoton sisi Wahenga✊✊✊
@ShedrackSylvester-yl6be
@ShedrackSylvester-yl6be 10 дней назад
Sema bg mtafute sam misago na junior jr
@nassorsuleiman9155
@nassorsuleiman9155 9 дней назад
Wewe asaaa chale kumbe sassa Sam misago aje aseme nini??
@FrankMbuna
@FrankMbuna 3 дня назад
Who are they? they are not classic..hapa ni watu classic tu kama,Sunday shomar,Mike mhagama,Taji,etc sio hao wtt wadogo..
@hafidhissa4405
@hafidhissa4405 10 дней назад
Diplomatic, Are you down ipo You Tube mbona ❤
@victormkello9575
@victormkello9575 10 дней назад
Crown ya Bongo Hip hop ya kizazi hiki hawezi kupewa msanii mmoja ana ladha yake kwa mashabiki wake. Binafsi namuona Young Killer anastahili
@gregorymalogo3435
@gregorymalogo3435 8 дней назад
Always kila msanii ana ladha yake lakini kinachofanya msanii apewe crown ni album bora kwa mda huo anayo nani, Hit song anayo nani, lakini kwenye tuzo nani yuko nominated zaidi
@therevolutionbrandtanzania4909
@therevolutionbrandtanzania4909 10 дней назад
Mpen tunzo uyo Saigon maan kila m2 anamtaja
@uwezokinahi7870
@uwezokinahi7870 4 дня назад
Saigon Eeee bwana Daahh
@user-hi8le2vb7z
@user-hi8le2vb7z 10 дней назад
Alisemaga haongei😊..juz kaitwa crown kaenda😊..leo kwa kuvi kaja😊...yani we utasema usotaka kuyasema...
@johnchakupewadc4679
@johnchakupewadc4679 10 дней назад
The Legendary 😀💯🇹🇿🇹🇿