Тёмный
No video :(

THE CLASSIC MASANJA PT 4 EP 2 : TULIVAMIWA NA MAJAMBAZ WAKIDAI HELA/ MABAPA YA PANGA/MANJI ALITUOKOA 

KuviFacts
Подписаться 11 тыс.
Просмотров 18 тыс.
50% 1

Sehemu ya pili ya kipindi cha nne cha The Classic na Masanja ambapo anatusimulia siku waliovmiwa na majambazi wakidhani wana hela,jinsi walivyohama kituo cha kazi na kupitia kipindi kigumu hadi kuokolewa na aliekuwa mfadhili wa Yanga Yusuph Manji na mengine mengi

Опубликовано:

 

12 апр 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 48   
@user-qc5kq2zm2b
@user-qc5kq2zm2b 3 месяца назад
Tunaomtaka na joti aje atupe story ya maisha yake tujuane hapa kwa like
@franklinbernard4367
@franklinbernard4367 4 месяца назад
Wameshawah kukaa kwetu mbezi beach shule kwa mama frank walikuwa wanakaa nyumba moja😂 ukitoka sebulen chumba cha pili kulia kilikuwa cha masanja, kinachofuatia master kilikuwa cha wakuvanga halafu chumba cha kwanza kushoto kilikuwa cha maclegan na cha mwisho kushoto kilikuwa cha joti😂😂 nakumbuka hiyo moment ilikuwa raha sana
@bennyframa4505
@bennyframa4505 4 месяца назад
Muda hautoshi mnaacha Holes nyingi kwenye story. Mfano story ya gari na ya ukonda mmeacha mashimo. Watu wanataka kujua iliishaje. Nadhani masanja ungemtengenezea tu segment yake hii story yake ni ndefu na inakuwa demanded sanaa na watu. Kwaiyo awe anasimulia taratibu tu haijalishi atachukua mda ganinkuimaliza lakini asiache holes
@elizabethhonere2931
@elizabethhonere2931 День назад
Habari ya ukonda na pia kuhusu kununua gari alivyoenda kwa seki nini kilitokea na gari yake ya laki saba
@lusogoalbert138
@lusogoalbert138 2 месяца назад
Aludi tenaaa🎉😂😂
@Eustacengweshemi
@Eustacengweshemi 4 месяца назад
teh teh teh teh teh teh teh huyu jamaa ni kitabu cha kujifunzia. Hongera sana kwa harakati na Mungu anampenda sana huyu jamaa. Aletwe aendelee na simulizi zake tutumie kuwafundisha vijana wetu kuhusu maisha.
@Globaletz
@Globaletz 4 месяца назад
NEXT....WEEEK....AENDELEEE
@yjkbcdghjb
@yjkbcdghjb 4 месяца назад
Next week aendeleee mpaka sisi mashabiki tuseme imetosha ila bado sanaaaa . Utuletee Mussa kipanya atupe historia ya maisha yake
@giztony2009
@giztony2009 4 месяца назад
The best storyteller@Masanja mkandamizaji
@Globaletz
@Globaletz 4 месяца назад
NEXT....WEEK...AENDELEEEEEEE
@musimumagai7936
@musimumagai7936 3 месяца назад
😂😂😂 lazima unuke petrol😂😂
@dengahmediatz1230
@dengahmediatz1230 4 месяца назад
Kuna sehem mmeruka ilikuwaje pale aliporudi kutoka tunduma na kwenda kazini baada ya kukiuka sheria??
@derickjuma4251
@derickjuma4251 4 месяца назад
Meongelea sikuliza 4pat1
@lubavacastory1831
@lubavacastory1831 4 месяца назад
Ata iyo part 1 haijaongelea..wmeruka vipande. Vingi sana..baada yakununua gari hawajaelezea gari aliendanalo ofisini..pia kuna kipande cha Daradara ukonda ameushia njiani​@@derickjuma4251
@user-sr3eo8mv7c
@user-sr3eo8mv7c 4 месяца назад
Plz he have to come back again ❤
@santatz3240
@santatz3240 3 месяца назад
🤣🤣🤣🤣🤣aiseee et tumeuza na bettery
@kagirasta1476
@kagirasta1476 4 месяца назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂jamaa mleten tena
@user-ps8cz1sf3k
@user-ps8cz1sf3k 4 месяца назад
Masanja bhn😂 Maishani tunapitia mambo mengi sana
@stevewanga957
@stevewanga957 4 месяца назад
Huyu jamaa haboeshi kabisaaa😂
@hitmanhunter9557
@hitmanhunter9557 Месяц назад
😂😂😂😂😂
@kagirasta1476
@kagirasta1476 4 месяца назад
😂😂😂🤣🤣 eti bonge la betri YUASA
@erickmbilinyi2056
@erickmbilinyi2056 3 месяца назад
Aje tena huyu bwanaaaa
@revocatusbyabato6010
@revocatusbyabato6010 3 месяца назад
HUYU BABA MCHUNGAJI ATAFAKARI NENO VIZURI CONFLICT YA MENGI NA MANJI WAKIGOMBEA YANGA ILISABABISHA WATOKE KITUO CHA MWANZO KWENDA TBC,ASEME UKWELI
@Abuukhatibu
@Abuukhatibu 3 месяца назад
😂😂😂😂 joti nayeye aje
@kudadeki00007
@kudadeki00007 4 месяца назад
😅😅😅 boss mbona siioni gari
@mwanakitenge
@mwanakitenge 4 месяца назад
Tunamuomba masanja hiki kipindi kiwe endelevu
@johnmwandu2116
@johnmwandu2116 4 месяца назад
Bado tunamhitaji
@ngido255
@ngido255 4 месяца назад
Ha ha ha masanja sio poa stori zake lzm ufurah
@mwandustar
@mwandustar 4 месяца назад
Masanja😂😂😂😂
@daktanelly
@daktanelly 3 месяца назад
Hv yule Vengu yupo wapi?
@jamalmakishe4850
@jamalmakishe4850 4 месяца назад
😀😀😀
@womanofsteel1402
@womanofsteel1402 4 месяца назад
Masanja kitaulo naona si haba
@gtunewaves2867
@gtunewaves2867 4 месяца назад
kiukweli haichoshi hata kidogo interview yake hata iende mwaka mzima
@edwardasumwisye3010
@edwardasumwisye3010 4 месяца назад
Hiyo nyimbo ni Kilimanjaro ya Joh Makini
@innocentmushi1550
@innocentmushi1550 3 месяца назад
Ipi hio, iliokua sampled?
@abdalamhamed3586
@abdalamhamed3586 4 месяца назад
Mtu na nusu
@daimaabdallah597
@daimaabdallah597 4 месяца назад
😂😂😂
@Globaletz
@Globaletz 4 месяца назад
🤣
@ASALABOY
@ASALABOY 4 месяца назад
Mimi sijapenda mumeanza vizuli alafu munaalibu uku mwisho sitokuja kufatilia tena hiki kipindi
@EdyFlow-zy8gu
@EdyFlow-zy8gu 4 месяца назад
TOKA NA MENO YAKO YA KUUNGUAAA
@KuviFacts
@KuviFacts 4 месяца назад
😁
@ASALABOY
@ASALABOY 4 месяца назад
Mimi nimechukia sana nimeisubiria hii Story kwa mda sana
@melkizedekikalanga3349
@melkizedekikalanga3349 4 месяца назад
Unaliwa wewe
@KuviFacts
@KuviFacts 4 месяца назад
@@ASALABOY hebu elezea tumeahribu nini boss naoma unalalama tu mkuu
@vickysteven1172
@vickysteven1172 4 месяца назад
😂😂😂
@kudadeki00007
@kudadeki00007 4 месяца назад
😂😂😂😂
@Eng2460
@Eng2460 4 месяца назад
😂😂
Далее
ТАЙНЫ И ЗАГАДКИ ИНТЕРНЕТА 2
41:37
Mpoki, Mtanga, Eliudi | Mkutano wa wanakijiji
9:22
Просмотров 420 тыс.
MWALIMU MATIKO |1|
22:43
Просмотров 24 тыс.
Mpoki na Ulaji wa Profesa Janabii
9:18
Просмотров 106 тыс.
ТАЙНЫ И ЗАГАДКИ ИНТЕРНЕТА 2
41:37