Cherie Mals is too smart!Charlz umemkata kwa kelele kwenye points nyingi sana please uwe unaruhusu mtu ku air out mawazo yake and you have to respect that.
Oyaa matukio vibe lako ni nomaa 🔥🔥 hawa wanataka show inune tuje kwenye show tumenuna oyaa.. keep it up mtu wangu ✊tunaangalia show mwanzo mwisho kwasababu tunaenjoy mzee wangu 😎😂
huu ni ushauri wangu wa bure kwa huyu matukio its just out of love podcast iko poa sana , sema jamaa ana interrupt sana ,unajaribu kuchekesha wakati watu wako serious just try to give space to the speakers and eventually you will gain more credits ..... much love.
I gained n' learning a lot as always🙌🙏.. brother Matukio u r so energetic bro😂🤝.. yani vibe lako na kupinga kwako wageni ndo huaga vinafanya na-enjoy th show😂😂.. mega S/O to u n' the whole JUNCTION crew.. n' also 3hrs could b more better plzz🙏
George with the awwwww moment .. that’s so romantic .. you won’t survive without her … Lilly … you’re special to this man . Chaz your next ..: my bro one love ❤️
Nafatilia sana hichi kipindi nakubali creativity iliopo ndan ya hiki kipindi watu mashuhuri ambao wapo ila nitafurahi sana siku mkamualika Dr. Galvin Kweka