By the way theme ya kipind naona inaendana na uhalisia wa kipindi chenyewe .... binafsi naona kipind kinapendeza sana na kinaburudisha na kufundisha kikiwa na kaubishani kwa mbali ....ni kama chombeza ..And na mdhamini mwenyewe anajieleza jaman🤝
I want to appreciate the host jaman..bro matukio if ur seeing this Unafanya comfortability nzur sana kwa guest to talk and open up…co kelele ila ni seriousness kishkaj…thanks to the team for this show..it’s a blessing
I laughed lik a I never did😂💔 S/O to the whole Junction crew.. Leonardo is so genius n' talented😂n' Khadijah mzee got a sweet voice fr.. Af mbona kama episode imeishia kati like imekatwa flani hiv🤔.. Ila much thanks to u guys🙌
Another episode of this excellent podcast with my Guy Chalz. We appreciate you bro from here Uk 🇬🇧… big up to the guests especially my guy Leonardo .. intellectual 🧐
Tunaomba extended version wakuu, hizo hata kama zina 3hours 😂😂😂, maana haka kaasaa moja na nusu kadogo, see what you can do kama mtaweka kwenye playlist ya extended version or whatever that is creative hizi show ziwe na version ndefu. Matukio ameua hiyo outfit yake 😂😂,
Hapo mwishoni leonard vitu vilishaanza kupanda kichwani🤣🤣🤣🤣 angepiga shots nyingine mbili za John Walker mngemfukuza humo😂😂😂 double penetration zimeingiaje hapo sasa?
Wewe ndo unazingua (sio kwa ubaya) Ila hiyo ndo nature ya kipindi,lower your expectations haha hasa picha uliyoitengeneza mwenyewe kichwani..he is amazing
Show Kali, ila host ndo anazingua bhana, tushasema mara kibao lkn mpaka leo habadiliki. Host wa kipindi anapiga makelele sanaaa. CHARLES KUBALI KUBADILIKA BHANA
Naona hiyo iko ndani ya DNA yake.... itamchukua muda kubadilika and alot of commitment, tujaribu tu kwenda nae hivyo hivyo until further notice ataadopt polepole Sababu ni bonge la show kiukweli, always looking forward to Thursdays
Asante kwa maoni. Theme ya The Junction ni kijiwe smart, hapa we are having fun but tunajifunza pia, kwahiyo hiyo atmosphere ya kubishana na zogo imetengenezwa kwa makusudi ili kipindi kiwe na feel ya kijiwe na ndio maana unaona mdhamini ni Johnnie Walker yupo makusudi ili kuchochea hiyo dhima ya kipindi. Kwa kawaida kijiweni unapata madini lakini pia vurugu za hapa na pale ndio jadi yake😅. Pole kama unakwazika rafiki
Johnnie Mtembezi kashafanya yake kwa Leonardo 🤣🤣🤣 Ila nimependa kipindi kimekaa kibabe sana Mahojiano ya kijiwe yanajenga sana mtu anajisikia huru kwenye story za hapa na na pale Kweli hapa ni Makutano