Тёмный

THE JUNCTION S1: E37 | TOPSY & MARCELO GITTO 

iRoc Networks
Подписаться 14 тыс.
Просмотров 10 тыс.
50% 1

Развлечения

Опубликовано:

 

10 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 55   
@Tariq_Tryagain
@Tariq_Tryagain 25 дней назад
I got a lot of things in this episode S/O to u guys🙌 Yote tisa kumi.. episode ina 2h na 40' sijawah enjoy episode kama leo😅 tho imeisha kinyonge ila those are lessons to us🙌🔥🔥
@thabitdaudi9815
@thabitdaudi9815 25 дней назад
My favourite podcast. Nimependa how educative it is. Totally worth my internet MB's.
@Lucy_ikupa
@Lucy_ikupa 26 дней назад
Marcelo mi mteja wako sana na naleta watu ila bei kidogo punguza kazi yako nzuri sana
@holly-q2n
@holly-q2n 24 дня назад
TOPSY ANATULISHA KAMBAAAAA, BIG ROPESSSSS😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@rebbywealth9869
@rebbywealth9869 26 дней назад
Finally done.... huu mwezi ni wa moto sana.... episodes zote hooooot. Binti kadri unavyomsikiliza kuna hints zinaonesha ni wa kishua na wamelelewa vizuri interms of vitamaa tamaa, hata hiyo hela itakua ni ya kutoka home sababu kama aliikataa wakati mdogo and now not less than 3 years same person anaweza kumpa tena plus kamsaidia kupata mkopo, huyo ni mshua au bi mkubwa New parents tuitafute hela watoto wasiwe washamba wa hela, na pole kwa kufiwa na dada ako Mzee mwenzangu wa early 90s biashara yako imenyooka sana, big up sanaaaaaaaa
@iRocNetworks
@iRocNetworks 26 дней назад
🙌 🔥🔥
@bigbro-my6xj
@bigbro-my6xj 26 дней назад
Nasemaje sidhani kama sasa hivi katika podcast kali sanaa hapa mjini [top 3] sidhani kama the junction ikosekane ,,vibes ni kibaooo
@iRocNetworks
@iRocNetworks 26 дней назад
show ni mojaa tu 🔥🔥🔥
@abdullahmapesa
@abdullahmapesa 25 дней назад
Fire fire 🔥🔥🔥🔥🔥
@johnkipkemboi
@johnkipkemboi 26 дней назад
My all time favourite podcast from Tanzania!
@iRocNetworks
@iRocNetworks 26 дней назад
🙏🔥🔥
@rebbywealth9869
@rebbywealth9869 26 дней назад
Page zao za biashara zimeshiba... they are doing a very good job Future client nipo hapa😅😅😅 Dada wa jewellery has gained an instant buyer weekend lazima tujibambe hapo shop
@iRocNetworks
@iRocNetworks 26 дней назад
🔥🔥🔥
@Zenny89
@Zenny89 13 дней назад
Mmh!!! Hakuna Tuzo ya mtesekaji bora..Mtu yeyote anayetaka kuwekeza Mil 50 nipo Jamaniii!!!🙋🏾‍♀️
@zedekiasamara1783
@zedekiasamara1783 25 дней назад
Topsy katuchota
@rebbywealth9869
@rebbywealth9869 26 дней назад
Charles keep them good episodes coming...... show kubwa sana hii❤
@iRocNetworks
@iRocNetworks 26 дней назад
kubwaaa🔥🔥
@kingmalcom4046
@kingmalcom4046 22 дня назад
🔥
@user-wh7gr8ln7k
@user-wh7gr8ln7k 26 дней назад
Marcelo nimekupenda bure eti mtiani wanafanyaje
@marlonstudios4408
@marlonstudios4408 25 дней назад
Mlete lunya na sishkiki
@anolddavid2585
@anolddavid2585 26 дней назад
kaka safi sana naona umepnguza kucheka😂
@iRocNetworks
@iRocNetworks 26 дней назад
🤣🤣🤣
@anolddavid2585
@anolddavid2585 26 дней назад
@@iRocNetworks afu kaka another day ulete watu wa graphics watupe madini kidogo🙏
@manaalahmed3541
@manaalahmed3541 24 дня назад
kwendaaa ukoooo 😏
@esthermatisho2604
@esthermatisho2604 15 дней назад
Please,msiharibu show nzuri,kwanini hampi the lady nafasi ajielezee story yake? Boys mmenikera,fujo tu
@rebbywealth9869
@rebbywealth9869 26 дней назад
Dada katupiga hapo.... kitu cha 20000 bongo kuuzwa laki saba UK haiadd up unless hicho kitu kinazalishwa bongo ndo kikaenda huko
@iRocNetworks
@iRocNetworks 26 дней назад
😊😊
@infiniteabundance2024
@infiniteabundance2024 26 дней назад
@@iRocNetworks designs za jewelry anazouza zipo hata kwa designer pages, tofauti ni quality
@juliethdionise6448
@juliethdionise6448 25 дней назад
TOPS usiseme ivyoooo!msikilize Marcelo 😄😄😄!Watu wanaiga na wanakuzidi trust me😀😀
@calvintemu2289
@calvintemu2289 26 дней назад
GenZ ni kuanzia late 90's Kuja 2000
@iRocNetworks
@iRocNetworks 26 дней назад
Spot on📌
@bronykenzie2322
@bronykenzie2322 25 дней назад
97 to 2000s
@siamacha3749
@siamacha3749 26 дней назад
Unasuburi Mzee arudi na gazeti liloandikwa mziki ya west life na Celine Dion na hizo lyrics unazibandika kwenye ukuta 😅😅😅
@nienproduction7304
@nienproduction7304 21 день назад
Moto na Jina😂😂
@khadijauledi3293
@khadijauledi3293 25 дней назад
BONGE LA KIPINDI,YAANI UNAJIFUNZA NA UNAFURAHI.
@khadijauledi3293
@khadijauledi3293 25 дней назад
VERY TRUE KUHUSU PARTNERSHIP ALIVYOONGEA TOPSY JAMANI UWIIII
@user-oh6kz6gg4j
@user-oh6kz6gg4j 25 дней назад
Nimepata kitu kikubwa sana.... Marcelo amesema "Brand iendane na uwezo"...
@ChrispinDevan
@ChrispinDevan 25 дней назад
Mnapatkana audio platform nyngne mkiachana na utube huku?
@khadijauledi3293
@khadijauledi3293 25 дней назад
TOPSY I LIKE YOU GIRL
@user-hz4lb8pe1m
@user-hz4lb8pe1m 24 дня назад
Irudiweeee yaani this combo ni 🔥🔥🔥🔥
@moriceisaiah8152
@moriceisaiah8152 23 дня назад
Charles tunamsubiria Mondi aje hapo, niliona picha yenu na airtel
@dankhany3385
@dankhany3385 26 дней назад
nikki mbishi tunamtaka mwanangu chaz
@almaxmovies
@almaxmovies 26 дней назад
My lecture room
@iRocNetworks
@iRocNetworks 26 дней назад
always 🧨
@achynyawale397
@achynyawale397 25 дней назад
Kukataaa milioni hamsini na duka lenye vitu ndani??? Aaah uwongo uo
@khadijauledi3293
@khadijauledi3293 25 дней назад
TOPSY😂 ETI SAHV NAPOKEA
@dankhany3385
@dankhany3385 26 дней назад
nikki mbishi anakuja lini chaz
@khadijauledi3293
@khadijauledi3293 25 дней назад
MATUKIO ANAVYOCHEKA MINAENJOY
@dj_davietz
@dj_davietz 25 дней назад
Hii nayoniikose
@khadijauledi3293
@khadijauledi3293 25 дней назад
MATUKIO NEXT TIME WAGENI WASIVAE HIZO MIWANI NYEUSI BWANA HATUWAONI VIZURI WENGINE HATUWAJUI NDOTUNAWAJULIA KWA KIPINDI CHAKO
@ibrahimchove7400
@ibrahimchove7400 24 дня назад
Njombe🫠
@stanslauskailembo3535
@stanslauskailembo3535 25 дней назад
Mseminari..! Unasema ndoa ni taasisi.?
@JoanFredrick
@JoanFredrick 26 дней назад
Anacheka cheka sn uyo host too much noise
@user-hz4lb8pe1m
@user-hz4lb8pe1m 24 дня назад
Acha makasirikoo tunaenjoy the vibe iko soo🔥🔥🔥ongeza kucheka kaka
Далее
THE JUNCTION S1: E38 | ADAM MCHOMVU & JESSICA MSHAMA
2:18:28
Китайка Шрек поймал Зайца😂😆
00:20
🤯️ Vini Jr. ✖️ Brahim 🤯
00:13
Просмотров 3,1 млн
OBINNA SHOW LIVE: MY WEIGHT IS MY CAREER - Kabuda
59:44
THE JUNCTION S1:E11 |  MIMI MARS & ATUZA
1:03:18
Просмотров 18 тыс.
THE JUNCTION S1: E28 | ROSEY MANFERE & FIZO DAILY
2:07:33
THE JUNCTION S1:E29 | FARHAN KIHAMU & NUREEN KHAMIS
1:22:44
Магия вне Хогвартса
0:11
Просмотров 1 млн
Ах как прекрасно
0:17
Просмотров 29 млн