Тёмный

The Man who Lost Everything 💔💔 // Baba Olivia Episode 16 

Henry Mwakajumba
Подписаться 101 тыс.
Просмотров 273 тыс.
50% 1

Кино

Опубликовано:

 

27 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 843   
@ALIMOHD-bk9lr
@ALIMOHD-bk9lr Месяц назад
Matured story Matured chacters Matured viewers Matured in every aspects. Tupo pamoja na hii movie insha'Allah
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba Месяц назад
Amina! 🙏🏾
@ramadhanathuman990
@ramadhanathuman990 Месяц назад
Wanao tamani penzi la Baba Olivia na Mwalimu Janeth liwe la kwel ,wagonge like hapa.😅
@Noelezekiel-l7j
@Noelezekiel-l7j Месяц назад
Haliwez kuwa la kwel maan baba Olivia an maisha yake na familia yake
@stamiliramadhan1556
@stamiliramadhan1556 Месяц назад
Pepo lishindwe kwa jina la yesu
@RamadhanJuma-l8z
@RamadhanJuma-l8z Месяц назад
Hapo pagumu haliwezi
@HappyButta-c1p
@HappyButta-c1p Месяц назад
Weee mke wagabo anacoma comment jmn punguzen cauti
@georgejohn6070
@georgejohn6070 Месяц назад
Una uhakika gan kama hawajakulana😅
@BARAKAMKASA
@BARAKAMKASA Месяц назад
Gabo this talent is so hot bro nakukubali sana nawish siku moj niwe kwenye mpang kazi wako
@MateiHermann
@MateiHermann Месяц назад
Penda sana mama tina. Mtu wa varangati😊
@Realme-xm3sh
@Realme-xm3sh Месяц назад
Sana😂😂😂
@MohamedAli-fq7qw
@MohamedAli-fq7qw Месяц назад
Mie wa kwanza from🇰🇪 tuendelee kuenjoy na movie yetu wanopenda iendelee gonga 👍
@FatmahHamisi
@FatmahHamisi Месяц назад
Yaan Kuna mda vibe lamama Tina linanifanya ni enjoy yaan mwanamke ana confidence ya Hali ya juu😂😂😂🤗
@GraceLazaro-s5u
@GraceLazaro-s5u Месяц назад
Baba Olivia ameshaowa kwenye real life anmke na mtoto na pia mwalimu Janet anmtoto
@celinebitwale
@celinebitwale Месяц назад
sanaaa salout kwa mama t
@GainoGabone
@GainoGabone Месяц назад
Napenda mama james anavoongea kingereza chake et jaman kumbus mzungu😂😂😂
@mosesmwabati
@mosesmwabati Месяц назад
Wapi like from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@MZUGITZ-d6b
@MZUGITZ-d6b Месяц назад
Mwalim janet dah aiseee wallah uko mbali tu yani ningekua nanafasi yakukutana nawew yani ningethibitisha uzuri wako mbele yauso wako wew nimzuri
@ezekielwilliam5520
@ezekielwilliam5520 Месяц назад
Wa pili jamani, naomba like zangu
@AlanwizBoyg
@AlanwizBoyg Месяц назад
Henry mwakajumba ningependa nikuulize hili swali next week hii tamsilia ya baba olivia season 1 inaisha je tutapata season2 au mnaandaa aje kusema tupate season2 ama ndo inaisha kabisa hakun season2 sababu kuna interview ya mwalim janet nimeona yestrday akiongelea season2 je tuisubilie au? Wanao niunga mkono kwa hio.swali gonga like?
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba Месяц назад
Yes Season 2 inakuja na ni ya moto sana! Subscribe usipitwe!
@AlanwizBoyg
@AlanwizBoyg Месяц назад
Oooook that good but niko najifunz mengi kupiitia hii movie God bless all kusema ipatikane nikma how many days
@DionizAmos-u2v
@DionizAmos-u2v Месяц назад
Tunaweza kusubilia
@EradiusMwemezi
@EradiusMwemezi Месяц назад
Kuchelewa kidogo mmeshaniwai,basi naombeni like za kuchelewa 😂😂
@mbembaomega
@mbembaomega Месяц назад
Aya izo Apooo
@petrogelard3700
@petrogelard3700 Месяц назад
Raia wanaingoja ijumaa kwa hamu
@EradiusMwemezi
@EradiusMwemezi Месяц назад
@@petrogelard3700 Wapo makini kiasi kwamba wanamtangulia muhusika😂
@uwaridially5684
@uwaridially5684 Месяц назад
Uzipeleke wap
@CharlesRastaman
@CharlesRastaman Месяц назад
Liendeleee tena na alivo mzuri huyo dada kha
@YvonneOtieno-vc5cs
@YvonneOtieno-vc5cs Месяц назад
Wa kwanza kutoka Kenya ,, like tano tuu yatosha
@SuleimanJuma-yz7xv
@SuleimanJuma-yz7xv 9 дней назад
❤ iwe kweli
@ShedrackBishaza-qd4vq
@ShedrackBishaza-qd4vq Месяц назад
Wanao kubali hii filam gonga like❤❤❤
@joshuamwigowe1676
@joshuamwigowe1676 Месяц назад
Kwaio cc watu wa Morogoro comment zetu haziguswi😂😂
@YoungblackPeople-qf7vx
@YoungblackPeople-qf7vx Месяц назад
EE MWENYEZI MUNGU TUNA KUSHUKURU KWA KILA JAMBO 🙏MBALIKI KILA ATAKAYE SOMA COMMENT HIII NA KU MTUMIZIA MALENGO YAKE KAMA UNA AMINI LIKE NA KUSEMA AMINA 🙏
@Rania-q6u
@Rania-q6u Месяц назад
Amina
@shanimbaruku2071
@shanimbaruku2071 Месяц назад
AAMIN AAMIIN YAARABBAL ALAAMIIN
@NurudinZuberi
@NurudinZuberi Месяц назад
Amina
@FghgRyy
@FghgRyy Месяц назад
Aamiyn ya'Rabby
@hariethsamwel8948
@hariethsamwel8948 Месяц назад
Amen
@NizigiyimanaEmmanuel-c7f
@NizigiyimanaEmmanuel-c7f Месяц назад
Congratulation nimekua nimeisubiri kua hamu nyingi serie tamu afu nzuri yeny funzo❤❤❤
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba Месяц назад
❤️❤️❤️
@LuciaMagari-h8o
@LuciaMagari-h8o Месяц назад
@@henrymwakajumba Hv jmn k2chunia huko maan ake nn, au haipo Hy season2?!!
@RahmaIddi-s2s
@RahmaIddi-s2s Месяц назад
😂😂😂 jaman cjawah kubusu mzungu 😂😂😂mwehu huyu kwa kwel 😂nikirud nitalipa 😂
@WaydaHaji
@WaydaHaji Месяц назад
😂😂😂
@PillyYusuph
@PillyYusuph Месяц назад
Mam Tina ananikosh na mamb yak 😂😂😂😂
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba Месяц назад
😅😅
@EliyaMaiko-u2v
@EliyaMaiko-u2v 11 дней назад
Dahn mwalimu janeth katisha sana iyo confidence nimeikubal bigap sana
@deejaychaggabyyta9578
@deejaychaggabyyta9578 Месяц назад
coment unayoitafuta iandike mwenyewe😂😂😂 nipeni like zangu
@sommohd7903
@sommohd7903 Месяц назад
Mazingira ya kijjn Kwa kina bibiolivia nimeyapenda mno ..(Tutunze mazingira yetu
@JeannetteManirambona-o6m
@JeannetteManirambona-o6m Месяц назад
Na mimi pia
@NeliaSanga-n7s
@NeliaSanga-n7s Месяц назад
Hata na mm jmn ❤
@anoldikimario2813
@anoldikimario2813 Месяц назад
Marangu
@NeliaSanga-n7s
@NeliaSanga-n7s Месяц назад
@@anoldikimario2813 panaitwa marangu???
@webnet5652
@webnet5652 Месяц назад
Wa kwanza ni mimi nampenda baba olivia na Mwalim janeth
@alhimnamussasaid3619
@alhimnamussasaid3619 Месяц назад
ILA HII FILAM KAMA HAUPO MAKINI HUWEZI KUIELEWA, BIG UP DARASA TOSHA HILI KATIKA MAISHA YETU ❤❤😂🎉🎉🎉🎉
@JeannetteManirambona-o6m
@JeannetteManirambona-o6m Месяц назад
Kweli
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba Месяц назад
Umejifunza nini tuambie?!
@Leahmjohn
@Leahmjohn Месяц назад
Kasulu Ndio mjini jamani😂😂
@alhimnamussasaid3619
@alhimnamussasaid3619 Месяц назад
@@henrymwakajumba ni mengi sana lkn Mada ya malezi kwa watoto nimeipenda zaidi
@perajiampipi4473
@perajiampipi4473 Месяц назад
​@@Leahmjohn kasulu mjini ndyo😅
@yusuphdeule686
@yusuphdeule686 Месяц назад
Siku zote Huwa napenda kuangalia movie yote kisha nitowe comment.my brother Gabo kiukweli unajua sana Tena sana na nataman walio sema kanumba NDIE kaondoka na Kibari cha movies zote za bongo Mungu awasamehe sana nakuombea sana sana Mungu akupe nguvu ya kulendelea kufanya vizuri unajua sana my brother good job 🙌🙌🙌🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba Месяц назад
Amina🙏🏾
@soldd-xz5ue
@soldd-xz5ue Месяц назад
Safi Sana baba Olivia nimekupenda Sana, kwa mafunzo mazuri. Much love❤❤
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba Месяц назад
❤️❤️
@lovenessangalo4788
@lovenessangalo4788 Месяц назад
😂Aaaghh mama Tina, mama mishen town😂🔥mama anaheka heka uyuuuu she is totally a vibe🔥thumb up for mama Tina and the whole crew
@ViolethKambona
@ViolethKambona Месяц назад
Wakwanza kutoka Kilimanjaro . Naombeni like zangu.
@fraviusjovin
@fraviusjovin Месяц назад
dah!! big up sana Kilimanjaro. This movie must be in netflix
@DalilaHasani-m2i
@DalilaHasani-m2i Месяц назад
😢😢😢😢jamani olivya
@baysuraoman7910
@baysuraoman7910 Месяц назад
Pongezi kwako
@Mr.Edward-dl7nk
@Mr.Edward-dl7nk Месяц назад
Chukua ulipo ziweka
@MoureenDaniel
@MoureenDaniel Месяц назад
Nani kakwambia wewe niwakwanza😅😅😅
@MohamediJaziry
@MohamediJaziry Месяц назад
Kwa muono wangu tu Baba ulivia ni nzuri mno kuliko mawio bg up sana zigamba na wahusika wote kwenye hii tamthilia
@duncanwandati2111
@duncanwandati2111 Месяц назад
Hapa Kenya mie nimekua shabiki namba moja tangia series ianze... nipeni likes za Kenya jamani
@xadygenious414
@xadygenious414 Месяц назад
Ninavyomutazama Arthur ninamtazama kanumba ndani yake ishi sana Arthur unaujumbe mzuri Sana Kwa familia zetu na watoto wetu keep pushing bro unajua sana.
@EvarJoram
@EvarJoram Месяц назад
hv baba oliva ndy Gabo,..sielewi et
@joe_mziwanda
@joe_mziwanda Месяц назад
Sema huyu mandevu ni talent sanaaa 🔥🔥🔥🔥
@allymwashambwa5920
@allymwashambwa5920 Месяц назад
we love you baba olivia , you are teaching the society brother
@kwasamfilinge9671
@kwasamfilinge9671 Месяц назад
Familia ya Bwana Luka naipenda 😂🙌
@issacklyakurwa2939
@issacklyakurwa2939 5 дней назад
Familia haijitambui😅😅😅😅
@CharlesChacha-r7z
@CharlesChacha-r7z Месяц назад
Move nzuri naitazama kutoka South Africa 🇿🇦
@TightnotChome-fn2jy
@TightnotChome-fn2jy Месяц назад
Olivia utamuua huyu babako jamani usipo rudi😂😂😂
@OfficialAichi
@OfficialAichi Месяц назад
Kazi nzurii ❤❤❤ natamani ningepata cast 😢
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba Месяц назад
❤️❤️
@hamidujumanne3187
@hamidujumanne3187 Месяц назад
Daaahhh kwa kweli hii tamdhilia ni nzuri sana Ina kitu ndani yake
@danmpare7778
@danmpare7778 Месяц назад
Mama Tinah she's the best actor ever walai I like this mama❤
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba Месяц назад
❤️❤️❤️
@godzillarmbeyaboy7967
@godzillarmbeyaboy7967 Месяц назад
Nzur sana hii tamsilia
@augustabernardojosejose
@augustabernardojosejose Месяц назад
Na Mimi pia naomba lake from 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@hamzarashidi-n5e
@hamzarashidi-n5e Месяц назад
sema bab Oliver ana upendo wa dhati na mwanae❤❤❤ nampenda sana👍
@RamadhaniKitala-gx6wc
@RamadhaniKitala-gx6wc Месяц назад
Hii move ni kabambeee gabo congratulations 🎉🎉🎉 kwako na time Zima
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba Месяц назад
Asante
@jumamuhammed6549
@jumamuhammed6549 Месяц назад
Safi sana the best series
@MediiAli
@MediiAli Месяц назад
Viewr1 from zambia ❤
@abdulhakimsaleh6899
@abdulhakimsaleh6899 Месяц назад
It's very sadness 😢 for baba olive , hawa ndio mama walikua ovyo wasiojali maisha ya bint zao , mwisho wa siku huyu mama atamtoa kikao au kumuuza km mfano alivyo uzwa yeye na mamaake
@VexMaizoOfficial
@VexMaizoOfficial Месяц назад
Mwalimu wetu kupigwa na kitu kizito 😊😊 aisey😂❤❤ hongera Gabo
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 Месяц назад
Inauma
@NizigiyimanaEmmanuel-c7f
@NizigiyimanaEmmanuel-c7f Месяц назад
Sicoki kurudilia iyi movie japo inataka kuisha tunaomba seson2 plz maana ni tamu afu nzuri🎉🎉🎉
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba Месяц назад
Inakuja
@selinamwaisakila6856
@selinamwaisakila6856 Месяц назад
Director anajua Kwl Mama Tina ananikosha mimi
@JullianaEmmanuel-tm5xg
@JullianaEmmanuel-tm5xg Месяц назад
Huyu mama Olivia mbn kama mjinga , wanawake wa hv n waovyo sanaaaah, baba Olivia yuko sawa sana, best hvyo vtu vpo tu Olivia
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 Месяц назад
Naona baba olivia anaenda kumpotea kimaadiri kwa oliva
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba Месяц назад
Si ndio ujanja au?
@Aishwaraimasiennah
@Aishwaraimasiennah Месяц назад
Huyu mama akini hana
@EstherKajiru-j9g
@EstherKajiru-j9g Месяц назад
Icho kingereza Cha mama Tina na enjoy 😅😂
@Anitha-h4v
@Anitha-h4v Месяц назад
Yan nacheka kwel naenjoy muno😂😂😂
@esthermalamsha2847
@esthermalamsha2847 Месяц назад
@@Anitha-h4vanajua sanaaaaaaa
@esthermalamsha2847
@esthermalamsha2847 Месяц назад
😅😅😅😅😅😅
@Anitha-h4v
@Anitha-h4v Месяц назад
@@esthermalamsha2847 kbx😆😆
@kwisa4899
@kwisa4899 Месяц назад
Mwakajumba tunaomba uendelee kutengeneza movie kama hizi kwakuto kutukalililsha kwamba majina ndio usanii hii tamthilia ni nzuri sana
@njutujedeofficial2998
@njutujedeofficial2998 Месяц назад
Tamthilia nzuri sana
@KelvinKester-i8x
@KelvinKester-i8x Месяц назад
mwalimu Janet angekuwa ndo mama Olivia angependeza sana mana anaupendo sana na Olivia kuliko mama yake wakumuzaaa
@Salima-nz1qd
@Salima-nz1qd Месяц назад
Big up malez ya baba olivia😊💖 I like it
@Realme-xm3sh
@Realme-xm3sh Месяц назад
Mwalim janet na mama olive wanalafidhi sare mashallah
@paulinekombe3753
@paulinekombe3753 Месяц назад
Ipo vzuri ❤❤
@AliNassoro-r9d
@AliNassoro-r9d Месяц назад
Wanao tak olivia asibak kwa mama yke gong like ap
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 Месяц назад
😂😂😂Mama tina weee tabia yako mwanao ana rithi
@AsiaHassani-kf8ww
@AsiaHassani-kf8ww Месяц назад
Kabisa😅😅
@anithamsigala8395
@anithamsigala8395 Месяц назад
❤❤ kazi nzuri baba Olivia
@AthumaniAlly-t7x
@AthumaniAlly-t7x Месяц назад
Am living alone now go,umepigaje hapo mama Tina?nimeipenda hiyoooo
@ashuramanya9282
@ashuramanya9282 Месяц назад
Mama Tina anajuwaga kunipa maraha mimi😂😂😂😂😂😂 eti kumubusu mzungu jameni😂😂😂
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba Месяц назад
😅😅
@mamasalhat
@mamasalhat Месяц назад
Nampenda mama tina yaani kama kweli vile kumbe daah kuna watu wapo vzr bana
@Grace-kt3yp
@Grace-kt3yp Месяц назад
Jamani tunao jutia mv hii inaishia wangapi waumia
@silverstarflexrono
@silverstarflexrono Месяц назад
Good luck baba Olivia God bless you
@deborahrehema4066
@deborahrehema4066 Месяц назад
Haha😂😂😂😂😂 haki shikamoo watu hamlali nilikesha nasubiri nime fika wa mia something 😂😂😂❤❤🎉
@JoyceNjoki-hb2wk
@JoyceNjoki-hb2wk Месяц назад
Olivia is death 😢 woiyee
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba Месяц назад
😅😅 Pole!
@QuaretaChitunguluChitungulu
@QuaretaChitunguluChitungulu Месяц назад
Naipenda sana hii filam
@PauloLyimo
@PauloLyimo Месяц назад
Wakwanza from kenya naomben like zangu 🤍🤍🤍
@hamzarashidi-n5e
@hamzarashidi-n5e Месяц назад
sema bab Oliver ana upendo wa dhati na mwanae❤❤❤ nampenda sana👍 30:19
@lamine_yamal19-o1y
@lamine_yamal19-o1y 28 дней назад
Baba olivia anajua kupiga mbizi kinoma 😅
@SadickFilibert
@SadickFilibert Месяц назад
Twende kijiji cha mwalimu ban mm nataman muda wote niwe na janeth jamn duh❤❤❤❤❤
@edxonelmas4700
@edxonelmas4700 6 дней назад
Kitabasam cha juliet akatianaambiwa "mwanamke akienda anapendabkweli""ni balaaa🥰🥰😍
@sommohd7903
@sommohd7903 Месяц назад
Sijapenda kukutana Baba Olivia n mama Olivia 😏
@Salima-nz1qd
@Salima-nz1qd Месяц назад
Ni mzazi mwenziwe so uckacrike😃😃
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba Месяц назад
Kwanini?
@SalmaRandu
@SalmaRandu Месяц назад
Mm pia 😢
@Realme-xm3sh
@Realme-xm3sh Месяц назад
Mi nimependa maana nilikuwa naham nimjue nanipate chanzo chakuachana kwao
@mgobanyapazi7738
@mgobanyapazi7738 Месяц назад
Ni tamthilia nzuri. Nazidi kuipenda
@WaydaHaji
@WaydaHaji Месяц назад
Baba Olivia NAKUPENDA bureeeee kw misimamo y ulez
@ngoshaog1255
@ngoshaog1255 Месяц назад
Hii movie ina mafzo mengi sana na mazuri sana
@BerthaModest
@BerthaModest Месяц назад
Yani olivia upendo ulio pewa na baba ako😩sitegemei uje umuangushe au umpe maumiv yoyot ajiisi upweke
@muniraally6066
@muniraally6066 Месяц назад
Wakwanza kutoka zanzibar ❤naombeni like na mm😂
@trueone6943
@trueone6943 Месяц назад
Mm wa zanzibar mwenziwo😅
@jamesjoseph2421
@jamesjoseph2421 Месяц назад
🎉🎉🎉🎉 hii movie Kali sanaaaa aiseee
@SamTumwesiger
@SamTumwesiger Месяц назад
Kwahyo baada ya kumbusu mzungu ndo akafika nyumban😂
@SirKinyogoli
@SirKinyogoli Месяц назад
Baba Olivia atarudi mjini kweli
@queensiku
@queensiku Месяц назад
Jamn Olivia 😢ndo nn sasa hiyo 😢kumpa tu baba ake stress…..sababu la wigi
@PhonexPhonex-u8e
@PhonexPhonex-u8e Месяц назад
@@queensiku wigi na wigi🤣🤣🤣
@queensiku
@queensiku Месяц назад
@@PhonexPhonex-u8e 😂😂😂
@NdioFootwear
@NdioFootwear Месяц назад
Nimecheka tu sha shangazi olivia alivyosema olivia anahofu ya kudisapoint badala desepear
@Abubakari-pj8jq
@Abubakari-pj8jq Месяц назад
juzi nlimuona baba olivia kwenye tamasha la kizimkazi anacheza kama chiba 😁😁😁😁😂😂
@MohamedAli-fq7qw
@MohamedAli-fq7qw Месяц назад
Hata mie alicheza kama kilema aise alinivunja mbavu kabisa😂😂😂
@fatmaally7252
@fatmaally7252 Месяц назад
😂😂😂😂😂😂
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba Месяц назад
Nime mtumi hii comment 😂😂😂
@Abubakari-pj8jq
@Abubakari-pj8jq Месяц назад
@@henrymwakajumba msalmie sana ✊😁
@BrackPetharm
@BrackPetharm Месяц назад
Me nimemona airport kalibu na Baraza la wakirishi anapiga picha kavaa kanzu nyeusi sijaamini ikabidi ni stop gari nihakikishe😂😂😂😂
@abdulhakimsaleh6899
@abdulhakimsaleh6899 Месяц назад
Tuwape watoto wetu elimu na malezi bora sio kuwahashua na kuwangiza kwenye ufuska
@zaitunimwandetele4400
@zaitunimwandetele4400 Месяц назад
Jaman n mim leo nimewai🎉🎉🎉❤❤❤
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba Месяц назад
❤️❤️
@SalomeJotta
@SalomeJotta Месяц назад
Ninzuriiiii ❤🎉
@kelvinmushubiro8187
@kelvinmushubiro8187 Месяц назад
MAMA TINA VP, HAUNA WIGI LINGINE,,Ila unanifrahisha sana
@ashuramanya9282
@ashuramanya9282 Месяц назад
😂😂😂😂😂😂
@SalmaRandu
@SalmaRandu Месяц назад
😂😂😂😂😂😂😂
@lutfiasuleiman
@lutfiasuleiman Месяц назад
Aaah huy mama Tina ananichekesha kwa kwel daaah hz mbio zak ananimalizaa
@PhonexPhonex-u8e
@PhonexPhonex-u8e Месяц назад
Ety bado episode 1 tuu hata siamini😢😢❤❤
@GilbartiDeo
@GilbartiDeo Месяц назад
Best movie season of the week
@RonnyMbogo
@RonnyMbogo Месяц назад
❤ Iko poa sana big up bro
@FrediRajabu
@FrediRajabu Месяц назад
Namkubali Sana mama Tina
@nguyamtwartz5413
@nguyamtwartz5413 Месяц назад
The waiting over❤
@AffectionateCorn-vy1bb
@AffectionateCorn-vy1bb Месяц назад
Safi sana jama. Nimepend hii
@JanethJeremia-nj2mk
@JanethJeremia-nj2mk Месяц назад
Safi sana movr 8nanifundisha hii balaa yani fanyeni vipande 2 basi
@holykim2713
@holykim2713 Месяц назад
This is the best series ever.
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba Месяц назад
Thanks 🙏🏾
@eliamajaliwa5707
@eliamajaliwa5707 Месяц назад
Nimeamka saa kumi na moja kuisubiri baba olivia😂😂
@SalmaRandu
@SalmaRandu Месяц назад
Mm leo nmechelewa😂😂😂😂😂
@Josamjosam8
@Josamjosam8 Месяц назад
Aucio
@Cynthia-nw8kg
@Cynthia-nw8kg Месяц назад
Wanao changanywa na kingereza cha Mama tina njooni ukuu mzungu kazi anayo
Далее
бабл ти гель для душа // Eva mash
01:00
ДУБАЙСКАЯ ШОКОЛАДКА 🍫
00:55
Просмотров 2,5 млн
Family♥️👯‍♀️🔥 How old are you? 🥰
00:20
Ong Bak | Fight Club Scene
15:05
Просмотров 76 млн
UYANGIJOLELA -RENTING A ROOM TO SMESH SIDE-CHICK!!!
33:32
Lost LOVE 💔//BabaOlivia Episode 15
33:08
Просмотров 302 тыс.
Проверил все запреты
0:42
Просмотров 4,1 млн