Тёмный

Lost LOVE 💔//BabaOlivia Episode 15 

Henry Mwakajumba
Подписаться 101 тыс.
Просмотров 303 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

27 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 997   
@preciousmarrytz
@preciousmarrytz 2 месяца назад
Nishakanwaaaaa mama mtoto Gani😂😂😂😂😂 eeeee Gabs 😂😂😂
@preciousmarrytz
@preciousmarrytz 2 месяца назад
Cjapenda 😂
@henrymwakajumba
@henrymwakajumba 2 месяца назад
😂😂😂😂 Polee!
@shahrayn93
@shahrayn93 2 месяца назад
@@preciousmarrytz hajui km ushambebea kidume hpe🤗atarudi kwako2 dia ucjli 😍
@rafiaahmad168
@rafiaahmad168 2 месяца назад
I feel sorry 4 u 😂😂😂
@PhonexPhonex-u8e
@PhonexPhonex-u8e 2 месяца назад
😂😂😂😂
@binamubinamu1151
@binamubinamu1151 2 месяца назад
Ebu jaman walee woote wanao Amin kma gabo anaishi na hisia za watanzania tujuwane✅
@LatifaSaid-xk8tt
@LatifaSaid-xk8tt Месяц назад
mm piaa yan gabo anatembea na hca zangu
@SelemaniIddy-nc1n
@SelemaniIddy-nc1n 2 месяца назад
Hivi nyie ambaò mnaomba like kwann msinge kuwa mnaomba kwa wiki vitoke vipade viwili au mnasemaje mashabiki wenzangu ambao hatuombi like❤❤❤❤ kazi nzuri gambo
@Movie_bongomedia
@Movie_bongomedia 2 месяца назад
Apo umesema kiongozi
@Amina-u8o
@Amina-u8o 2 месяца назад
Hata kila siku watowe tu mana kusubili siku 7 wanatuuwa jamani nakuwa nime miss saana mwalimu janet na baba olivia na mama mwenye kutongozwa na mzungu hhhhhhh mimi na mwitaga mama mishemishe
@shamsa-v3s
@shamsa-v3s 2 месяца назад
Kweli umeongea point
@shukransadala
@shukransadala 2 месяца назад
😂😂😂😂😂
@BrownMichaelsikila
@BrownMichaelsikila 2 месяца назад
umenena ndugu
@jumaamtambuki791
@jumaamtambuki791 2 месяца назад
Mimi na huatilia nikiwa Kenya kipindi kizuri sana na hongerani mlohusika kwenye tamthilia hii Ndugu Gabo na wenzako kazi nzuri
@Kalifraofficiel
@Kalifraofficiel 2 месяца назад
Hapa nyinyi watanzania muna jua sana ku toa filamu nzuri sana, tatizo like zenu muna jipa wenyewe 😢 🇨🇩🇨🇩 ila sisi wa congo na inchi zengeni nikama tunajipendekeza tuu
@LuciaMagari-h8o
@LuciaMagari-h8o 2 месяца назад
duh pole😢😢
@mohamedrajabu8375
@mohamedrajabu8375 Месяц назад
Tusamehe kwani hatukujua kama litakua ni tatizo na hatuna maana ya kwamba tuna dharau congo kuna mziki mzuri na tunasikiliza pia so hatuko hivyo tuta jitaidi ku like
@alimwegio7869
@alimwegio7869 Месяц назад
We love you sana
@FridaManga-i8q
@FridaManga-i8q 2 месяца назад
Kazi nzuri sana jamani,Mama Tina ananifurahisha na hekaheka zake mjini akha
@Gdggfhtz
@Gdggfhtz 2 месяца назад
Asante sana Napenda jinsi Baba Oliver anavyo igiza kila igizo zake Napenda kuzifuatilia zinamafunzo ndani yake❤❤🎉❤❤🎉❤🎉❤ nipo Africa kusini South Africa 🇿🇦🇹🇿 Thank you 🙏👍Mwali Jannetti namsalimia aendelee kuigiza anajuwa sana pamoja na Olivia🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳
@OfficialAichi
@OfficialAichi 2 месяца назад
Bora wewe❤
@nadhirikilangi-fh6gx
@nadhirikilangi-fh6gx 2 месяца назад
You put put put halafu kalasi! Mama Tina just waooo. Jamii zetu linapokuja jambo la MTU na mzazi mweza ni habari nyingine! Miaka itaenda kumbukumbu zinaishi nimemuona yule baba Olivia alivo poa
@anithamaganga
@anithamaganga 2 месяца назад
Watu mnapenda likes😂,baba Olivia fanya haraka urudi kwa mwalimu bhana ❤❤kuna kiumbe kipya sisi hatuna kifua tutakuambia huku huku msibani😅
@mariammohamed8499
@mariammohamed8499 2 месяца назад
😂😂😂
@salama2625
@salama2625 2 месяца назад
😂😂😂😂😂😂 ila we Anitha wewe
@MariamMmbaga-bu2fl
@MariamMmbaga-bu2fl 2 месяца назад
😂😂😂😂😂😂
@MariamMmbaga-bu2fl
@MariamMmbaga-bu2fl 2 месяца назад
We ather weweeee,ucmpe nafas hyooo,heb msiba uishe urud kwa teacher, loh wengne tuna wivu akhaa
@mrsabdul-mz8hh
@mrsabdul-mz8hh 2 месяца назад
Nimecheka wallah 😂😂😂😂😂tn
@khadijayusuph9316
@khadijayusuph9316 2 месяца назад
Watu wazma hatuombi like tunaomba kwa wik viruke vipande 2
@BrownMichaelsikila
@BrownMichaelsikila 2 месяца назад
kweli kabisaa wawe wanatoa ata episode 2 kwa wiki tunaombaaa
@khadijayusuph9316
@khadijayusuph9316 2 месяца назад
@@BrownMichaelsikila zmebak episode 2 et ili ziishe
@Credo_bwax
@Credo_bwax 2 месяца назад
Zimebaki Episode mbili, watutumie zote next week
@Credo_bwax
@Credo_bwax 2 месяца назад
@@khadijayusuph9316 Yeah sure
@MassoudBoateng4
@MassoudBoateng4 2 месяца назад
😅😅😅
@ASSUMANIJOHN
@ASSUMANIJOHN 2 месяца назад
❤kwekweli iyi ni fundisho sana nahamini Gabon kafikiya atuwa kubwa sana na ashukuriwe allah kwa kila kitu napenda sana izi episode inaubora wake kwakweli kwaio ndo ivo
@NizigiyimanaEmmanuel-c7f
@NizigiyimanaEmmanuel-c7f 2 месяца назад
Ingekua ivo kuwiki tunaipata marambiri njo vzr zaudi movie nzr yny mafunzo nawapenda sna❤❤❤
@adela-adella
@adela-adella 2 месяца назад
hii tamthilia ni nzuri sanaa, lakini ijumaa mpaka ijumaa nyingine tena ni MBALI SANA mpaka tunasahau ilipoishia...Kwako ndugu Mwakajumba..naomba kuwasilisha😊
@MiriamShani
@MiriamShani 2 месяца назад
Ila ww hapo kwenye mwakajumba naomba kuwasilisha me hpi
@TAJIRICALVIN
@TAJIRICALVIN 2 месяца назад
😂😂😂😂
@dr.mgungo1429
@dr.mgungo1429 2 месяца назад
Unasahau vipi kwa kukaa wiki? Hebu tuwe wavumilivu kuweka interval ya wiki inatoa nafasi kwa watu kuendelea kutazama sehem iliyopita hiii ni biashara na channel inatakiwa ikue. Kama unahitaji kutazama thamthilia nzima nenda Kweny website kuna maelekezo pale
@eliadamwandumbya734
@eliadamwandumbya734 2 месяца назад
Huyo mama olivia 😂😂😂 atuachie single dady wetu, team Janeth tutaandamana 😅
@nickmoshi8243
@nickmoshi8243 2 месяца назад
Na Janeth sahz ana mbami
@samsongikenyi7700
@samsongikenyi7700 2 месяца назад
😂😂😂
@NiyonkuruEmmanuel-b1z
@NiyonkuruEmmanuel-b1z Месяц назад
Kbs
@charlesfundimwaniki9664
@charlesfundimwaniki9664 2 месяца назад
Kenya tuko locked Ni pewe likes 😊
@SirKinyogoli
@SirKinyogoli 2 месяца назад
Yes wakwanza kabisa jumaa mubaraq kwa wote mnao fatilia tamdhilia hii
@MwanatumuJumaa-rj4fg
@MwanatumuJumaa-rj4fg 2 месяца назад
Mabrouk kipenzj
@kamarhelo
@kamarhelo 2 месяца назад
Allah ebarick
@1599k6g
@1599k6g 2 месяца назад
Allah ma barik❤
@nassoroathuman-ei3pv
@nassoroathuman-ei3pv 2 месяца назад
Hii bonge 1 la series🎉🎉🎉
@TeacherMeki
@TeacherMeki 2 месяца назад
Jamani hii movi nzuri nawaombeni muteleteeni vipande vyengine muzidishe jamanii 🎉🎉❤❤ tuna ipenda sana hii hatari mana inafunza
@DavidMbwilo-qk1bz
@DavidMbwilo-qk1bz 2 месяца назад
Beautiful movie, beautiful scenery, this story, we are proud of Tanzanians, we appreciate the good work, father Olivia 🔥🔥🔥
@everlinekenga437
@everlinekenga437 2 месяца назад
Hicho kipande cha mama Olivia akipokea mwanawe ila kutazama mwili wa bibi yke kimenitoa machozi nisiwe muongoo😢😢❤❤
@geraldinho240
@geraldinho240 2 месяца назад
Jamaa Ana fanya kazi nzuri nazipenda Sanaa kazi zake nimependa ❤👍
@fadhatbakar3646
@fadhatbakar3646 2 месяца назад
Ndugu zangu like hazina faida yoyote hapa chakuomba watoe mara 2kwa week hapo mnaonaje
@perpetuaakoth
@perpetuaakoth 2 месяца назад
Kweli kabisa
@SalmaSwaleh-wf8yk
@SalmaSwaleh-wf8yk 2 месяца назад
Pia ww wazitaka kierevu
@EfremKambanga
@EfremKambanga 2 месяца назад
Hapo umenena
@francistadayo1569
@francistadayo1569 2 месяца назад
Kweli kabisa
@ketchmanmpandela602
@ketchmanmpandela602 2 месяца назад
Mi naona ata maratatu itapendeza sana
@maseleenaesleen8149
@maseleenaesleen8149 2 месяца назад
Hatimaye siku ya Olivia imefika kweli cku hazigandi❤❤🎉
@HamzaNgozi-ur1lu
@HamzaNgozi-ur1lu 2 месяца назад
Tunaempenda mama Tina na mishemishe zake tujuane
@TausiMasumbuko
@TausiMasumbuko Месяц назад
Tembea yake😂
@RusyJackson
@RusyJackson 9 дней назад
😂😂😂
@mwinyimatopa2283
@mwinyimatopa2283 2 месяца назад
Olivia i just love you "ati usiogope hakuna kitakacho tokea as long as am with you nothing will happen 😂😂😂😂
@shahrayn93
@shahrayn93 2 месяца назад
Mama tina utaniwa kwa kucheka,,eti super star😂😂😂aaah bac tna nakupenda bure mm maua yko🎉
@MussaSalehe-uk5gl
@MussaSalehe-uk5gl 2 месяца назад
Gabo Broo fanya kwa wk mara 2 tu ata trela
@edisontobias6811
@edisontobias6811 2 месяца назад
Yan nasema ukweriii to uyuu jamaa Gabo anastairi kuvyaa viatu vya marehemu kanumba aseeh 🙌
@musamasunga5979
@musamasunga5979 2 месяца назад
Sio viatu tu hadi nguo kabisa😂
@ericksylivester8757
@ericksylivester8757 2 месяца назад
Sio nguo tuu hata kuigiza😂😂
@trueone6943
@trueone6943 2 месяца назад
ALL in all yaan baba olivia unacheza vizur character yako
@MwanamisiMuna
@MwanamisiMuna 2 месяца назад
Wow movie fantastic wallah but kuna mahali utamu ukianza kutiririka muda ndo huo kwao halafu kibya zaid n mara moja kwa wiki kwel baba Olivia hebu jitahid utuletee angalau part 2 per week nawapenda nyte waigizaji mko makini sna🥰🥰🥰🥰
@trueone6943
@trueone6943 2 месяца назад
Mama yake olivia tayar ameshakuwa hawezi kuwa mama wa kushuhulikia family na akimtaka mwaname anamtumia na anamuacha kwa tabia hii ni bora abakie na mwalim Janet hasa pale ambapo wamepata mimba ❤❤ ya mahaba makali
@KhadijakassimMwaipaya
@KhadijakassimMwaipaya 2 месяца назад
Mh huyu mama oliva
@faizhassan5029
@faizhassan5029 2 месяца назад
Wakwanza kutoka 254 Nipeni hata Like 500 nionyeshe Gen Z
@JulesMwerera-qm2ki
@JulesMwerera-qm2ki 2 месяца назад
Hata mimi nipeni like zangu, 🇨🇩
@AsamSalum
@AsamSalum 2 месяца назад
😅😅😅😅
@globallife7806
@globallife7806 2 месяца назад
Ko unatk like mia tano ulingane na mweny mov au cy😁
@mohamedsheealom8745
@mohamedsheealom8745 2 месяца назад
Hatuna tabia za kimama kama hizi wataka likes ili utuoneshe ili iweje tunga movie huko ...
@ramadhanathuman990
@ramadhanathuman990 2 месяца назад
Na ww umeomba nyingi yaan 500🤣
@MajimbiTz
@MajimbiTz 2 месяца назад
Wa Kwanza nipeni like 5 Tu ❤❤❤❤❤
@georgecuthbert5230
@georgecuthbert5230 2 месяца назад
Wanao penda vitu vizuri kama mimi ninavyo muelewa maalimu like zote hapa
@njutujedeofficial2998
@njutujedeofficial2998 Месяц назад
😂😂😂😂English good me Shiba stomach full top😂😂😂😂
@ivonrungwe1396
@ivonrungwe1396 2 месяца назад
Hiyo ndo sababu baba olivia alikuw hatak aende na madam kwasababu asingepata mda wa kumfariji mzaz mwenzie🙌
@majalaworldwide
@majalaworldwide 2 месяца назад
Gabon miaka kazaa nililia kwenye bado na tafuta Leo kwenye BABA olivia tena😢😢
@niragirajerome4716
@niragirajerome4716 2 месяца назад
Kumbe wey mwenzangu😂 naivi nikiyiangalia bado natafuta lazma nilie😢
@annaki318
@annaki318 2 месяца назад
Jamaniii mbona kama baba Olivia anataka kurudiana na mama Olivia Na madam janeth tayari mama kijacho❤ Alooooooii weeeeeeh❤❤❤
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 2 месяца назад
Mm niliwaza hivyo alivyomwambia wasiende wote msibani
@annaki318
@annaki318 2 месяца назад
@@m.mmarckus6298 yaani ni huzuni kwakweli😭
@Realme-xm3sh
@Realme-xm3sh 2 месяца назад
Nakwambia yajayo yanafuraisha🤔
@omarhussein-iq7yg
@omarhussein-iq7yg 2 месяца назад
Hii inaitwa piga uwa changanya nyama😂😂
@franksteven7218
@franksteven7218 2 месяца назад
amna bhana dont panic jamaa ni mtu wa huruma na anajali sana na yuko fair anastahili kuwa treated vile kwasababu ya msiba na ni mzazi mwenzie ukiachana na yote hata mama olivia hategei chochote kwa mzee ndo mana amemfungukia tu kila kitu juu ya maisha yake
@TamashaWakilongo-nm3pd
@TamashaWakilongo-nm3pd 2 месяца назад
Ndoivio wanatukatia sana utamu wa mouvie ❤❤❤kwaiyo tunawaomba kwawiki ata vipande viwili vinatosha kwawiki
@jenifaamosi8649
@jenifaamosi8649 2 месяца назад
Movie kali sanaa Baba Olivia umetisha Ikiisha tuletee nyingine
@franksteven7218
@franksteven7218 2 месяца назад
kwakweli binafsi sikuwahi kuwa na tabia ya kuangalia series za youtube lakini hii timu imenibadili mtazamo wangu they're amazing alafu hawakupi nafasi ya kukosoa everything is in place and mavilous Mungu awalinde tu kwakweli
@DidaAlly-iz1it
@DidaAlly-iz1it 2 месяца назад
Hivi ni hakiri yangu2 au wario ria kire kipande cha baba oIivia na mama oIivia na oIivia mwenye mpo humu ndani maan nimeria😢😢😢😢 daah. Cjw nimewaza nini😭
@shanimbaruku2071
@shanimbaruku2071 2 месяца назад
Alafu baba olivia anampenda sana Mama olivia
@CikeTanzania
@CikeTanzania 2 месяца назад
Wa kwanza like zenu.😂😂
@AbdiKhamis-wp4dc
@AbdiKhamis-wp4dc 2 месяца назад
Tulochelewa kidog weka like hap
@Rizikialiamechannel763
@Rizikialiamechannel763 2 месяца назад
Nasisitiza wakwanza like cpend from Oman 🇴🇲
@MiriamShani
@MiriamShani 2 месяца назад
Timu strong mwenzangu pamoja
@Rizikialiamechannel763
@Rizikialiamechannel763 2 месяца назад
@@MiriamShani❤❤❤
@mchendewarahim5277
@mchendewarahim5277 2 месяца назад
Baba olivia anataka kupadha kiporo 😅 bado anahisia na kumpenda mama olivia 😢😢 so sad kwa mwalim janet kapo ana mimba 😢😢 jamni hii ni situation mbaya sana kwa baba olivia 😢 .. wacha tukamalize majuma mawili 😢😢😢😢 ❤❤❤❤ BEST MOVIE IN 2024 EST AFRICA
@MARIANUS-s2k
@MARIANUS-s2k 2 месяца назад
napenda kazi yako bro,keep it up
@ObbyWilly
@ObbyWilly 2 месяца назад
Ndan ya lesotho 🇱🇸 🇱🇸 from Tanzania 🇹🇿
@ShackEzekiel
@ShackEzekiel 2 месяца назад
Mnaifanya Kaz nzuri Sana,hakika mnaupiga mwingi sanaa❤❤❤,
@ElvisMbogo-i6p
@ElvisMbogo-i6p 2 месяца назад
Olivia kafunzwa ujasiri mpaka nidhamu imetoweka
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 2 месяца назад
😂😂😂
@Luckyme-b4i
@Luckyme-b4i 2 месяца назад
😂
@shanimbaruku2071
@shanimbaruku2071 2 месяца назад
😂😂😂😂
@violethmushy-zs2qy
@violethmushy-zs2qy 2 месяца назад
Mbaya iyo😅
@MdNasr-jm8pj
@MdNasr-jm8pj 2 месяца назад
Penzi la dhat halifi🎉🎉Janet ulie
@EZEKIELCOLONELI
@EZEKIELCOLONELI 2 месяца назад
Ile comment unayoitafuta bora uiandike tuu mwenyewe
@BadoMartense
@BadoMartense 2 месяца назад
❤❤❤❤ tunao subiri siku ya ijumaa
@Grace-kt3yp
@Grace-kt3yp 2 месяца назад
Jamani nilisahau kama Leo ijumaa naombeni like hata 1
@seriousofficialtz3702
@seriousofficialtz3702 2 месяца назад
Namaliza kuwaza tu hii movie kutoka naangalia juu notification hio😂 haya fanyen kulike niwapatie vocha za bure
@soldd-xz5ue
@soldd-xz5ue 2 месяца назад
Baba mzungu nakupa hongera, kweli kabisa mwana mke uajivunia watoto wake
@muksinarchard6496
@muksinarchard6496 2 месяца назад
Leo ndo leo
@ZeituniMalingumu
@ZeituniMalingumu 2 месяца назад
Sijachelewa sana! Lakin tunaomba mtupe vipande viwili kwa wiki jaman🙏🙏🙏
@frankgervase5980
@frankgervase5980 2 месяца назад
kiukwel hii ni filam nzuri sana, nina wazo kama itawapendeza naomba muwe mnatoa vipande angalau viwili kwa wiki moja
@JulianaAdamu-z3d
@JulianaAdamu-z3d 2 месяца назад
Ukisikiliza kingereza cha mama Tina duuuhh,,, nimecheka sana leo
@wigon127
@wigon127 2 месяца назад
Unajua sanaaa okey mm wa kwanza kutoka pwan
@MarimbaStudios6766
@MarimbaStudios6766 2 месяца назад
Safi sana!❤❤❤❤ from Mozambique, I love Tanzanian movies!!! Nimejifunza Kiswahili through your movies!
@RamadhaniJaha
@RamadhaniJaha 2 месяца назад
Ni kwelii jamani tuombe viachiwe vipande viwili kwa wiki
@suleimanAlly-e8c
@suleimanAlly-e8c 2 месяца назад
Wa kwanza hapa
@MakululuDanifad-hz4kb
@MakululuDanifad-hz4kb 2 месяца назад
Hahahhhah mmmmh me full tank top ten huyo ndo mam tinaah mwenyewee 😂😂🤗🤗🤗
@halima-o7e
@halima-o7e 2 месяца назад
Jamani mama Tina utanimaliza n hicho kingereza chako jmn😅😅😅😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@alhimnamussasaid3619
@alhimnamussasaid3619 2 месяца назад
Jamani hii pilau ni super star 🌟 and chefuaring my tumbo
@livinholeo7383
@livinholeo7383 2 месяца назад
Wap 2 nimpen like zangu
@NatureMw155
@NatureMw155 2 месяца назад
Tupo wangapi wakutoka mbeya lets gather here❤🎉
@bm4tv602
@bm4tv602 2 месяца назад
Mimi pia
@GodwinMgongo-xi2bm
@GodwinMgongo-xi2bm 2 месяца назад
Nipo isyesye
@JamesJulius-po2ue
@JamesJulius-po2ue 2 месяца назад
Mafyat
@JamesJulius-po2ue
@JamesJulius-po2ue 2 месяца назад
Mafyat
@ShaniphaRamah
@ShaniphaRamah 2 месяца назад
Basi tujuane wa mbeya jamani
@RamaAli-x7h
@RamaAli-x7h 2 месяца назад
Baba olivia unafanya kazi nzur sana hongera
@ElizabethEliza-d4e
@ElizabethEliza-d4e 2 месяца назад
Jamn na mm leo cjachelewa ❤❤
@securityatkizikula9713
@securityatkizikula9713 2 месяца назад
NAMI NIMOOOOOOOOOO😂😂😂 AND 😂😂😢😢❤❤❤❤
@SalumNassor-dd1cb
@SalumNassor-dd1cb Месяц назад
Kazi nzur san tunaomb na vengin 🎉❤
@areyoureal2723
@areyoureal2723 2 месяца назад
@AnnaMundia-d3o
@AnnaMundia-d3o 2 месяца назад
Aki baba Olivia usimuacha mwalimu Janeti ..hili litaniumiza sana..thanks
@ZainabRamadhan-w8s
@ZainabRamadhan-w8s 2 месяца назад
huyu mzungu jmn 😂😂😂😂 hata chips kavu anataka kununuliwa😅😅
@baysuraoman7910
@baysuraoman7910 2 месяца назад
Ana baya
@Is-hakaJuma-ib6ns
@Is-hakaJuma-ib6ns 2 месяца назад
😂
@salama2625
@salama2625 2 месяца назад
😂😂😂😂 mzungu wa buza uyu
@rizikladyherson8451
@rizikladyherson8451 2 месяца назад
Mzungu njaa hyu 😂😂😂
@nickmoshi8243
@nickmoshi8243 2 месяца назад
Nimecheka kwa nguvu😂😂
@queensiku
@queensiku 2 месяца назад
Mtoto siyo bora kuachwa na mzazi yeyote 😢😢iyo nayo funzo ❤
@HARMONITZ
@HARMONITZ 2 месяца назад
Watuuuuuu mpoooooh machoooo,
@TombolaBlack
@TombolaBlack 2 месяца назад
Waouh c'est bon 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@nasibuomary7981
@nasibuomary7981 2 месяца назад
Aiseeeeee! Yan machozi yamenitoka kidume.
@KinanaSantosy
@KinanaSantosy 2 месяца назад
Watu mpo chap hata hamjanawa uso Yani mshaangalia na mshamalza duu😂😂😂
@suzanangonyani508
@suzanangonyani508 2 месяца назад
😅😅😅watu ataliii
@Ishermoreogfd9un
@Ishermoreogfd9un 2 месяца назад
😂😂😂😂😂😂😂na wamepigia mswaki humu humu
@vijachallenge9881
@vijachallenge9881 2 месяца назад
Ila mom Olivia anajuwa jamani 🙌🙌🙌🙌
@UlomiIsack
@UlomiIsack 2 месяца назад
Uwiiii bana oliver penz la mwalim. Achanq uko msiban mwalimu anajmbo lako mzee baba
@mtonisdachoir217
@mtonisdachoir217 2 месяца назад
🎉mm hapa jmni
@ramadhanially8649
@ramadhanially8649 2 месяца назад
Daaaah ni kweli kabisa na hii kitu hua najiulizaga sana hawa mama wanaocha watoto wao hua inakuaj😢😢
@Marry-u8m
@Marry-u8m 2 месяца назад
Olivea wemtu ana kue pie na akili baba bora🎉❤🇰🇪
@1599k6g
@1599k6g 2 месяца назад
Mama tinah utaniuwa kwa kicheko😂😂😂 Anyway nakupenda bure❤🎉🎉😂😂😂
@geradochuwa7856
@geradochuwa7856 2 месяца назад
Wa kwanza
@RizzyVanny
@RizzyVanny Месяц назад
Dah movie Khali sana, oyaaa eeeh jamaaa anajua
@trueone6943
@trueone6943 2 месяца назад
Baba olivia akimuacha mwalim Janet basi mchezo wetu utakua mbaya kwa kweli
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 2 месяца назад
Atamkosea sana maskini
@phitolyfancy6561
@phitolyfancy6561 2 месяца назад
Wanaume 😢😢
@rizikladyherson8451
@rizikladyherson8451 2 месяца назад
Sidhan kma atamuacha coz mama olivia alizaa nae kitambo n saai washaachana mpka ameanzisha mahusiano mengine
@DishaniDisha-zm2gm
@DishaniDisha-zm2gm 2 месяца назад
Kazinzuri sana kabisa 🙏 🙏 🙏
@SamTumwesiger
@SamTumwesiger 2 месяца назад
Hatimaee❤
@mauriciocristianomardes6295
@mauriciocristianomardes6295 2 месяца назад
Baba oliva ludi kwa mwalimu bwana 🎉❤
@josephfalaghamoja7800
@josephfalaghamoja7800 2 месяца назад
Furaha yetu ya ijumaa hiyoooo 😂😂
@neemamkambwahamisi4718
@neemamkambwahamisi4718 2 месяца назад
Love you from Australia nimechelewa
@johnwafula3555
@johnwafula3555 2 месяца назад
Naipenda Sana watching from the capital city of Africa 🇰🇪
@elibarikinnko2172
@elibarikinnko2172 2 месяца назад
Hatar jaman ili move la kwenda
@Barackswai
@Barackswai 2 месяца назад
Mbn mnawahi sana kuangalia jmn hamna kaz za kufanya nn
@LatifaSaid-xk8tt
@LatifaSaid-xk8tt Месяц назад
nimeliaa jmn kama kwelii 😭😭😭😭😭
@PerpetuaStephano-m9j
@PerpetuaStephano-m9j 2 месяца назад
Leo nimewahi jamani ❤❤❤
@NeemaNjige
@NeemaNjige 2 месяца назад
❤❤❤❤❤ nawapenda sana jamani Mungu awabariki kazi zenu
Далее
Brawl Stars expliquez ça
00:11
Просмотров 6 млн
DUNIA (Ep 01)
18:29
Просмотров 422 тыс.
Salama Na Gabo Ep 25 | MTOGAPAAFWE Part 1
35:07
Просмотров 141 тыс.
PENZI LA MAPACHA EP1
26:08
Просмотров 837 тыс.
Brawl Stars expliquez ça
00:11
Просмотров 6 млн