Тёмный

The Richest Man in Babylon Summary in Swahili by Mwl. Augustino Mwogosi 

Elimika Mtandaoni
Подписаться 11 тыс.
Просмотров 10 тыс.
50% 1

Kila mtu anatamani na kutaka sana kuwa tajiri lakini cha ajabu ni kwamba sio kila mtu anakuwa tajiri licha ya kila mtu kutaka sana.Kila mtu anatamani na kutaka sana kuwa na uhuru wa kifedha lakini walio wengi ni wale wasiojua hata huo uhuru wa kifedha wanaoutaka wataupataje.Madeni yanasumbua sana maisha ya watu kwa kweli, madeni yanawafanya watu wanakuwa watumwa, Je! Unataka kujua njia rahisi zaidi zinazoweza kukutoa kwenye madeni uliyonayo? Mwandishi George Clason katika kitabu chake hiki cha Tajiri Mkubwa Wa Babeli anatufundisha nini hasa mtu anapaswa kufanya ili awe na uhuru wa kifedha, Si hivyo tu anatufundisha ni kwa namna gani tunaweza kulipa madeni hadi kuyamaliza tena bila kuumia. Kama unataka kuwa na uhuru wa kifedha, kama unataka kutoka kwenye madeni sugu uliyonayo basi fanya uamuzi wa kusoma kitabu hiki.

Опубликовано:

 

19 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 30   
@hawahamza1085
@hawahamza1085 6 часов назад
Hongera somo lip vizur
@JohnFesto-rd8mz
@JohnFesto-rd8mz Месяц назад
Somo nzuri Richest man in babeylon ❤
@claudjohn
@claudjohn 26 дней назад
Ubarikiwe kaka
@chiddoog8009
@chiddoog8009 16 дней назад
I really needed this .... be blessed 🙏
@becamrindoko
@becamrindoko Год назад
Mwalimu nakuelewa sana ubarikiwe
@onemanvoiceonline901
@onemanvoiceonline901 Год назад
Iko poa sana
@sabinachatila5920
@sabinachatila5920 2 года назад
Ubarikiwe kaka asante sana
@talianmnanga1903
@talianmnanga1903 Год назад
Wealth materials for every body be blessed
@fakisabour2818
@fakisabour2818 Год назад
Nmeipenda sana hii hongera sn mugu Akupe nguvu uzidi kutupa elimu
@ElimikaMtandaoni
@ElimikaMtandaoni Год назад
Asante sana
@ongeshabani8439
@ongeshabani8439 Год назад
Asante sna kaka yangu
@ElimikaMtandaoni
@ElimikaMtandaoni Год назад
Karibu ,dont forget to subscribe
@mohamedame3423
@mohamedame3423 2 года назад
Asanteee sana
@sengakalonga
@sengakalonga Год назад
Nimejifunza kitu kikubwa sana ,,, ✍️
@ElimikaMtandaoni
@ElimikaMtandaoni Год назад
Hongera kujifunza
@SkaVin-fz5hf
@SkaVin-fz5hf 8 месяцев назад
Nzur
@BrightonAlvin-yq3to
@BrightonAlvin-yq3to Год назад
10/10 big up chief
@ginnahdollar2452
@ginnahdollar2452 Год назад
Very good uchambuzi
@stephanomichael1568
@stephanomichael1568 Год назад
Nzuri
@stephanomichael1568
@stephanomichael1568 Год назад
Mambo
@ElimikaMtandaoni
@ElimikaMtandaoni Год назад
Thank you
@Issa1999Ibrahim
@Issa1999Ibrahim 5 месяцев назад
Thanks so much
@samwelmeshack3807
@samwelmeshack3807 3 месяца назад
Thanks bro
@ewardchotara4152
@ewardchotara4152 Год назад
nimejifunza kitu apa bro uzidishiwe maarifa zaid
@Kalengashoppingcenter-y1o
@Kalengashoppingcenter-y1o 7 месяцев назад
❤🎉
@vedastolauriani1466
@vedastolauriani1466 2 месяца назад
brother nipe tafasili yakitabu cha the business school by Richard kiyosaki
@johndevi2153
@johndevi2153 Год назад
Bro naomba ututofasirie kitabu cha Robert kiyosaki
@ElimikaMtandaoni
@ElimikaMtandaoni Год назад
Kitabu kipi cha Robert Kiyosaki?Ameandika vitabu vingi mfano Rich Dad Poor Dad, Guide to investing, Four Quadrant....
@emmamga5495
@emmamga5495 Год назад
@@ElimikaMtandaoni poor Dad and Rich Dad
@ElimikaMtandaoni
@ElimikaMtandaoni Год назад
Ipo tayari hapo icheki tu
Далее
For my passenger princess ❤️ #tiktok #elsarca
00:24
Bike Vs Tricycle Fast Challenge
00:43
Просмотров 32 млн