Тёмный

The Richest Man in Babylon (Tajiri zaidi katika mji wa Babylon) Sehem ya Pili 

AYAPOA TV
Подписаться 1,1 тыс.
Просмотров 347
50% 1

Utajiri ni hitaji la kila mwanadam, Ili uwe tajiri ni lazima uweze kumilika mali na vitu vya Thamani
Hapo zamani za kale katika mji wa Babylo ambao ndio ulikua mji mkubwa zaidi Duniani na ulifanyika shughuli nyingi za kibiasha
Kama Tunavyojua walipo matajiri masikini pia hawakosi
Video hii itakwenda kukuonyesha historia ya kijana alietokea katika maisha magumu hadi kufikia vilele vya mafanikio na kuwa tajiri namba moja katika mji wa Babylon
JISAJIRI SASA
forms.gle/7k3E...
Sehemu ya Pili
Leo tutakwenda kuangalia maisha ya Kijana alietokea kwenye umasikini hadi kuwa tajiri na kutoe elimu katika jamii yake, na kutengeneza matajiri wendi katika mji wa Babylon. Pia kupata kibali mbele ya Mfalme na kuanzisha shule ya kwanza ya elimu ya Pesa Duniani
Ni imani yangu utajifunza kitu katika safari yako ya kuelekea kwenye mafanikoa
Kama vile kijana masikini alivyoshikwa mkono hadi kufikia katika mafanikio vivyo hivyo nasi tupo tayari kuambatana na wewe katika safari nzima ya mafanikio
Darasa letu la elimu juu ya mambo ya pesa ni jumanne na jumaamosi kwanzia saa 4 asubuh hadi saa 6 mchana
Unaweza wasiliana nasi kwa simu namba
Simu: +255 766887770 Au +255 754 091660
Barua pepe: info@ayapoa.com
Tovuti:www.kikazi.co.tz
Tovuti:www.ayapoa.com
Tunapatikana Tegeta, Nyuki House Ofisi namba 22
#therichestman #therichestmaninbabylon #richest #utajiri

Опубликовано:

 

19 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии    
Далее
IFA.com - The Richest Man in Babylon
13:05
Просмотров 7 тыс.
MAARIFA UNAYOKOSA KWA KUTOSOMA VITABU | Ezden Jumanne
8:01
Unafahamu Juu ya Utafiti (Research)
21:33
Njia Bora za kuwa Tajiri
5:02
Просмотров 160
JE, WALLET YAKO INAPESA??
18:06
Просмотров 40