Bro kusema ukweli unatujuza mengi mno kuhusiana na hii dunia,,ombi langu kwa Mungu ni kwamba namsihi 🙏Mwenyezi Mungu mfalme wa mbingu na dunia ili aweze kukulinda na watakao kujia kinyume🙏
Kipaji halisi cha Mtanzania. Namuomba Allah akupe maarifa zaidi, safari yako ni ndefu na kila muda nawaza Kesho utakuja na nini. Nashukuru msaka ngawira jangwani utakuja na tende na maji ya kutosha. Nachukua nukuu yako. "ukitaka kuwa mkubwa hakikisha anayeondoka katika maisha yako hakupi madhara"
Nashukuru saana kaka Jamal kwakuwa niliwahi kuomba hii documentary ya Salem witches nashkuru saana umeileta nimejiskia fahari saana kuwa mfuatiliaji na shabiki yako namba moja.
❤prof jamil Asante kwa kuludi na story wenzetu walipitia haya mambo na kuwatesa sana nilikuwa najiuliza hawa watu ulaya haya mambo vp kumbe walinyoshwa 😊
Prof unafanya KAZI kubwa na ngumu Sana hongera Sana Kwa kipaji na ubunifu huo. Ila naomba uwe unafanya bidii Zaidi ili angalau iwe Kwa muda mfupi tunapata kitu kipya
Nimetoka kusikiliza story ya Lilith na Adam na eva jaman huyu msimuliajii asisimulie tena …ameniboa sana jamal your the best we love your work and voice aiseeee!.
Jamali mustapha nakufuatilia sana Leo ndiyo mara ya kwanza kufualia makala zako nyingi uko vizuri Hebu tupe historia ya OLIVA NGOMA NA LAANA INAYOTAFUNA KIONGOZI ALIYEPINGULIWA URITHI WA BABA YAKE ALL BONGO