Тёмный

The story book : Mfahamu Christina Shusho Je ni Malaika au Shetani wa Injili Aliyevunja ndoa yake 

EPIC BONGO
Подписаться 10 тыс.
Просмотров 161 тыс.
50% 1

#christinashusho #freemason #injili #gospel
Maisha ya christina shusho kutoka mahali alipozaliwa Tanzania mkoani Kigoma,kusoma shule yake ya msingi Mpaka sekondari, ndoa yake, maisha yake binafsi mpaka kuwa mwanamuziki wa injili.
vipande vya video clips nilivyotumia katika video hii vinatoka kwa christina shusho mwenyewe kuwa huru kumsapoti katika channel yake ya youtube, kuna nyimbo nyingi za kuburudisha na kufurahisha Asante. / @christinashushomusic

Опубликовано:

 

24 фев 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 110   
@user-ck7ip4qr1o
@user-ck7ip4qr1o Месяц назад
Napenda sana nyimbo zako dada na zina ni tia nguvu kwa mapito mbali mbali na ubarikiwe na Mungu akutie nguvu ya kuendelea❤
@THEKINGBROWN-Top_angrybadman
@THEKINGBROWN-Top_angrybadman Месяц назад
Uyo shusho ni mcongo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 twamjua vizuri alikua naishi kambini Tanzania ndo Aka anza imba uko , alikua muimbaji tokea Congo drc 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 alikua bado kujulikana ,nyie wa Tanzania amna vipaji acheni Kuji Tia Ku vitu visio vyenu,
@reubenjoram9675
@reubenjoram9675 Месяц назад
​@@THEKINGBROWN-Top_angrybadmanSasa kama nimkongo kilichomleta Nchini kweri TANZANIA n nn? Kwann asingekaa hkohko cngo kwenye mpaka aibuke. Huku alifata Amani wakongo Nchini yenu imewashinda
@fabianmkemesa9606
@fabianmkemesa9606 День назад
Nampenda sana dada yangu shusho pamoja na nyimbo zake mungu akutie nguvu na ujasir
@lydiamburia4113
@lydiamburia4113 Месяц назад
The story book : Mfahamu Christina Shusho Je ni Malaika au Shetani wa Injili Aliyevunja ndoa yake. THE DEVIL IS A BIG LIAR IN HIS NATIVE LANGUAGE.
@carolinenyemba2412
@carolinenyemba2412 28 дней назад
I love this woman with my heart, may God fight for her devil will never shake this woman because she carries a big God in her
@nicenard5749
@nicenard5749 Месяц назад
Pole Christina Shusho, shetani anatumia watu kukupiga vita, usikate tamaa ifanye kazi ya MUNGU,taji yako ipo mbinguni
@user-dr7si9qw6e
@user-dr7si9qw6e Месяц назад
Ni hatari sana kumaliza Kwa mwili maana unakuwa mhalibufu kuliko ata wapagani Christina Mungu amsaidie sana maana ni siku za mwisho hizi asema bwana watu wataikana imani
@MarthaNyanmech
@MarthaNyanmech 27 дней назад
Napenda nyimbo za Christina anasauti ya ajabu mungu hakutiye nguvu na kukuinua zaidi
@esterkabigili
@esterkabigili Месяц назад
Neema ya Mungu na izidi kwa christina shusho
@EliaLazaro
@EliaLazaro Месяц назад
Jamnii na mm na mpnd sana
@user-kb8wv6kg8g
@user-kb8wv6kg8g Месяц назад
Mungu Anazo nguvu njia zake hazichunguziki ngoja tuone
@woissopaschal6391
@woissopaschal6391 Месяц назад
Sielewi sana haya. Maana kama amejitenga na ndoa kwa ajili ya kristo ahakikishe anaendelea naye vinginevyo matokeo yatakuwa fundisho.
@Inkubutembo7779
@Inkubutembo7779 Месяц назад
Huyo sasa ni sawa na Yezebeli.
@SamsonEzekiel-or9xc
@SamsonEzekiel-or9xc Месяц назад
Anasura nzuri yuko bombaa
@catherineangaufoo2530
@catherineangaufoo2530 Месяц назад
She not he
@user-ml4of7yu5g
@user-ml4of7yu5g 21 день назад
Mbona sia mini
@jacsax3436
@jacsax3436 Месяц назад
Aliyesimama aangalie asianguke hizi ni siku za mwisho. Tumwombe Mungu atupe kusimama siku hizi za mwisho
@user-hv1rg1be4w
@user-hv1rg1be4w 28 дней назад
Jmn wat u eating Mung u tusihuku Tusije Tula hukumowa na Mungu mwenyewe🙏🙏🙏🙏🙏
@stephaniakanka8178
@stephaniakanka8178 Месяц назад
Ni kweli kabisa shushu ni wa kwetu Congo Kalemi njoo kwao na hiyo jina ni za kwetu 🙏🙏🇨🇩🇨🇩🇧🇻🇧🇻
@RwachiryoraWema
@RwachiryoraWema Месяц назад
At this point hata shusho mwenyewe hatambui congo. Wacongo mnashida. Haya Bolingo tumekuskia shida ni hatuezi kuja hatujui kwenyu ni wapi mwaya
@EzekMhale
@EzekMhale 28 дней назад
Mungu ndie atoaye hukumu acheni afanye kazi yake
@FredyMsigwa-ul5kr
@FredyMsigwa-ul5kr 29 дней назад
Da! Yote anayajua mungu mimi ninani hata nihukumu
@MiruhoFaida
@MiruhoFaida Месяц назад
Ulianza kwa roho umemaliza kwa mwili😢😢
@basilisamsaka8469
@basilisamsaka8469 Месяц назад
Mwacheeeeni jmn
@herimornchriston6083
@herimornchriston6083 Месяц назад
rip my mbs
@THEKINGBROWN-Top_angrybadman
@THEKINGBROWN-Top_angrybadman Месяц назад
Uyo shusho ni mcongo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 twamjua vizuri alikua naishi kambini Tanzania ndo Aka anza imba uko , alikua muimbaji tokea Congo drc 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 alikua bado kujulikana ,nyie wa Tanzania amna vipaji acheni Kuji Tia Ku vitu visio vyenu
@rabilubinza7661
@rabilubinza7661 Месяц назад
hahaaaaa
@ElizabethFaimu
@ElizabethFaimu 21 день назад
Christina muogope Mungu
@PeterKyamba
@PeterKyamba Месяц назад
ubarikiwe neno Mchungaji
@michelinemapendo6652
@michelinemapendo6652 Месяц назад
Nishetani kajiunga nawa imbaji waduniyaaa khaaaa 😢😢😢😢
@gibranmwasi-kw8px
@gibranmwasi-kw8px 2 месяца назад
Hapa mmegonga pahali sipo
@user-fc2rk1rp2z
@user-fc2rk1rp2z Месяц назад
Kwa Nini??
@everfredrick4979
@everfredrick4979 Месяц назад
Ukisikia siku za mwisho ndo hizi paka watumish nanamsema mtumishi mwenzawo Sasa nani atamuombea huyu dada ? Mungu atusaidie sanaa!
@saumbliz8983
@saumbliz8983 Месяц назад
Wasanii wote wa tanzania freemason
@user-lo9kv9vv3n
@user-lo9kv9vv3n Месяц назад
Acheni uongo
@user-hr7ep8zt2r
@user-hr7ep8zt2r Месяц назад
Uleamechanganyikiwa mungu amukumbuke amekuwa ikabodi
@joannesmalipo3008
@joannesmalipo3008 Месяц назад
Christina Shusho akuzalia Tanzania! Ni mu Congo wa DRC kwabo Uvira nimukimbizi wa vita DRC mwaka 1996. Nimu Congo wa baba na mama kwa Uvira jina yake ya kweli ni CHRISTINE NONDO.
@MarcelinMashala
@MarcelinMashala Месяц назад
Njo habari ya kweli tunayoijuwa
@AnethSwila-tw9mv
@AnethSwila-tw9mv Месяц назад
Na hizo Pete zake hata Huwa siziamini
@janewasilwa8813
@janewasilwa8813 Месяц назад
Let God who is true speak. The rest are irrelevant
@jamescarloss9671
@jamescarloss9671 Месяц назад
Sio mtanzania uyo ni mcongomani, na alikuwa anaishi pale kambini nyarugusu kijiji cha H2
@JoshuaCharles-jr6ro
@JoshuaCharles-jr6ro Месяц назад
Huyo cyo jamali mdogo wake mandonga
@davejeams
@davejeams Месяц назад
Malaya wa Ch. shusho !
@johngeorge4834
@johngeorge4834 Месяц назад
Mwenye kumhukumu ahakikishe pia yeye hana dhambi hata kidogo ivi😢
@isaacnjoni8021
@isaacnjoni8021 Месяц назад
Shenzi saana
@user-ew4qf9ud4v
@user-ew4qf9ud4v Месяц назад
Naona kama sio jamaal hivi sijui vip
@NiyizigamaClaudine
@NiyizigamaClaudine Месяц назад
Myaka 50 mbona kacelewa Atulite na muze mwenzake Aace vijana huyo ni mubembe
@AlbertYangson
@AlbertYangson Месяц назад
Mamekap2 yanafanya aonekane binti but ni mzee huyo
@theogeorge3773
@theogeorge3773 Месяц назад
1974 kumbe mkubwa aisee
@user-kg7xb4hm5m
@user-kg7xb4hm5m Месяц назад
Hawezi kuwa na 50yrs
@AdolfKitawa
@AdolfKitawa Месяц назад
Haujaeleweka
@zamdanamwenje9415
@zamdanamwenje9415 Месяц назад
Huyu anatangaza vibaya
@hildamsumal8628
@hildamsumal8628 Месяц назад
Kume kucha
@alicekthoya96
@alicekthoya96 Месяц назад
Mungu ndio hukum, msipende kuhukum wengine acheni Mungu afanye kaz yake....
@habililailo271
@habililailo271 Месяц назад
Mungu hadhihakiwi utavuna ulicho kipanda. nuru na giza haviwez kuwa pamoj. Imani bila matendo imekufa. Haiwezekan mtu anatuhubiri kupitia uimbaji na ni mchungaji aseme Mungu amemuita kumtumikia amesema achana na ndoa kwa hiyo alipokua kweny ndoa alikua anamtumikia nani? Na sasa anamtumikia Mungu? Hapo lazm kweny vichwa vya watu kuwe na( ?) kumbuka NURU NA GIZA HAVIKAI PAMOJA YESU ALISEMA.
@yosurekirahuka
@yosurekirahuka Месяц назад
Kumbuka, Mungu hufanya kazi yake pia kupitia watoto wake, au wanadamu wake,
@alicekthoya96
@alicekthoya96 Месяц назад
@habililailo271 there's alot behind the social media zenye ni sababu ya maisha binafs.....I can't judge her bcoz yy mwenyewe na Mungu ndio wanajua kilichomtoa kwenye hio ndoa ....tusiwe wepes wa kuhukum....
@habililailo271
@habililailo271 Месяц назад
@alicekthoya96 yeye anadai kilichomtoa kweny ndoa yake ni Mungu, sababu amemuita kumtumikia kwaiyo asitufany sisi hatujasoma neno la Mungu aje kweny social media atudanganye.
@DomeMasti-jeuneAkilimali
@DomeMasti-jeuneAkilimali Месяц назад
Yaani umependa wamupakae mafuta? Iyo siyo hukumu. Haujue kwamba Yesu kristo alisema hakuna jambo halitafunuliwa! Elle est fausse servante !
@janewangui7074
@janewangui7074 Месяц назад
Please pray for me stroke paralysis revred
@emoalembe4790
@emoalembe4790 Месяц назад
Que la main puissante de Jesus-Christ notre Seigneur puisse vous toucher dès maintenant et que la guérison entre en vous au nom de Jesus-Christ !!!!
@amoskariuki2881
@amoskariuki2881 Месяц назад
Healing in Jesus name
@jemsjingo483
@jemsjingo483 Месяц назад
Wacha mwenyewe aseme kwa kinywa chake
@salamsabdullah-st9pt
@salamsabdullah-st9pt Месяц назад
Sipendi iruminat
@godlovemalekela17
@godlovemalekela17 Месяц назад
Usihukumu
@zainababdul2704
@zainababdul2704 Месяц назад
Ndo maana sipendagi kufungua video za RU-vid yaan content ya picha nje na video yenyewe ni vitu viwili tofauti
@uzimakwayesutv
@uzimakwayesutv Месяц назад
Sisi Ni Nuru Ya Ulimwengu Nuru Na Giza Havikai Pamoja Tena Nichunvi Ikihalibika Yafaanini?
@NondelaCastro
@NondelaCastro 9 дней назад
Ni hatari kuwaona awa wasani wa kikristo kumbe nima shetani
@johnngugi9552
@johnngugi9552 Месяц назад
Ukweli setani husababisha wanandoa waachane,lakini ki biblia ni kifo tu kinaruhusiwa wanandoa waachane 1corinthians7:39-40.
@johnngugi9552
@johnngugi9552 Месяц назад
Setani hupiga vita ndoa sana maanake nini unanjua sikivunjika Kakuba ufalme wa milele
@user-si3ts1px8z
@user-si3ts1px8z Месяц назад
Huyu mwanamke christina shusho ni malaya tu aliache jina la shusho
@user-go5hd4wl5r
@user-go5hd4wl5r Месяц назад
Storia ya uhongo mmmmm 🤔😳 siji utube tena
@yusuphyusuph1641
@yusuphyusuph1641 Месяц назад
1974 uongo labda 1984
@marionoti5760
@marionoti5760 Месяц назад
Walokole bwana! sio muziki uliompa umaarufu , walokole wanavutwa na sura yake, wanajisikia fahari kuwa na sura ya Delila miongoni mwao.
@imanimulumbilwa6056
@imanimulumbilwa6056 Месяц назад
Mwaka wa 1974,acheni uwongo ninyi .
@EspoirJosueBahizire
@EspoirJosueBahizire Месяц назад
Ni Congolaise ule dada
@user-mf8su7us1j
@user-mf8su7us1j Месяц назад
Kumbe mkubwa Sasa mbona ansonekana Binti
@swalehsalim5576
@swalehsalim5576 Месяц назад
Wanawake waokovu nao pia wana balaa zao
@shabani_Osee_Ngena
@shabani_Osee_Ngena 3 месяца назад
😂😂
@momylaviel
@momylaviel Месяц назад
Mambo ya watu hayakuhusu nyau wewe
@VeronicaKamau-np2si
@VeronicaKamau-np2si Месяц назад
Kama hujui historia yake mwache,,,you cannot understand 😂😂
@beverlykabz5429
@beverlykabz5429 Месяц назад
Hii ni tabia mbovu sana. The creator of this video must repent :/
@mercynina6288
@mercynina6288 2 месяца назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@Farajahelene23031
@Farajahelene23031 Месяц назад
Nonsense
@aidankakulu398
@aidankakulu398 Месяц назад
LIMALAYAAAAAAAAAA HILOOOOOO JIBWAKOKOOOOOO
@stanslaustwanje7543
@stanslaustwanje7543 Месяц назад
Sawa ss unatak kusemaje kwamb na yeye n Freemason au ..?!!tafuta content nyngne
@uzimakwayesutv
@uzimakwayesutv Месяц назад
Shetani huyo Hatufai Kwenye Familia Yetu Watoto Wa kristo Yesu
@esterkabigili
@esterkabigili Месяц назад
Kwani we ni mtakatifu?
@esterkabigili
@esterkabigili Месяц назад
Kama neema ya Mungu imekuhifadhi si umuombee neema ya Mungu pia? Si vema kujihesabia Haki kama mkristo. Mwenyewe YESU alikuja kutafuta kilichopotea
@salamsabdullah-st9pt
@salamsabdullah-st9pt Месяц назад
Shetani huyo
@RwachiryoraWema
@RwachiryoraWema Месяц назад
Nani nishetani wewe au yeye we mwenyewe bin Adam kumuita mwenzio shetani ina maanisha wewe una roho ya sherani pengine
@luckymsomba4818
@luckymsomba4818 Месяц назад
Naona kama mmetumwa wajinga nyny
@MolinaSammy-gi1lb
@MolinaSammy-gi1lb 10 дней назад
Asilimia 70 ya unayosema hapa ni uongo mkubwa kwa sababu chanzo cha habari zako ni aidha toka kwa media kama hizi au za christina shusho mwenyewe ambazo anasema uongo mtupu. Historia yako kumuhusu ni uongo mtupu. Hakuna substance katika mambo mengi mnayojifanya mnaandika, mnatafuta views tu.
@user-ew4qf9ud4v
@user-ew4qf9ud4v Месяц назад
Hivi wewe ni jamaal??..nauliza tu
@Epicbongo
@Epicbongo Месяц назад
Hapna hii sio wasafi.
@phanicelidjo8011
@phanicelidjo8011 Месяц назад
Shushos voice is very poor, she can't even perform live. She serves other gods.
@lucytonkei2391
@lucytonkei2391 Месяц назад
Rubbish
@THEKINGBROWN-Top_angrybadman
@THEKINGBROWN-Top_angrybadman Месяц назад
Uyo shusho ni mcongo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 twamjua vizuri alikua naishi kambini Tanzania ndo Aka anza imba uko , alikua muimbaji tokea Congo drc 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 alikua bado kujulikana ,nyie wa Tanzania amna vipaji acheni Kuji Tia Ku vitu visio vyenu
@eliassoingei2046
@eliassoingei2046 Месяц назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@THEKINGBROWN-Top_angrybadman
@THEKINGBROWN-Top_angrybadman Месяц назад
Uyo shusho ni mcongo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 twamjua vizuri alikua naishi kambini Tanzania ndo Aka anza imba uko , alikua muimbaji tokea Congo drc 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 alikua bado kujulikana ,nyie wa Tanzania amna vipaji acheni Kuji Tia Ku vitu visio vyenu..
@AnithaMuvurwaneza
@AnithaMuvurwaneza 26 дней назад
Ayakuusu mu Congo mu tzt wote ni Wa africa 😂😂😂
@THEKINGBROWN-Top_angrybadman
@THEKINGBROWN-Top_angrybadman Месяц назад
Uyo shusho ni mcongo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 twamjua vizuri alikua naishi kambini Tanzania ndo Aka anza imba uko , alikua muimbaji tokea Congo drc 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 alikua bado kujulikana ,nyie wa Tanzania amna vipaji acheni Kuji Tia Ku vitu visio vyenu&
@merinazyd0532
@merinazyd0532 12 дней назад
Kwao Tanzania Kigoma
Далее
NAYEON "ABCD" M/V
03:42
Просмотров 19 млн
Best tutorial💞🤗🕺🏻 #tiktok
00:11
Просмотров 352 тыс.
WASANII HAWA NI NDUGU WA DAMU KABISA UMESHAWAHI KUJUA??
10:15
NAYEON "ABCD" M/V
03:42
Просмотров 19 млн