Тёмный

The Story Book : Kweli Kula Nguruwe Ni Haramu Au Uzushi Tu !? 

Wasafi Media
Подписаться 4,8 млн
Просмотров 512 тыс.
50% 1

WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 2 тыс.   
@officialkamdudu
@officialkamdudu Год назад
kwa wale tunaomuamini Mwenyezi Mungu,Mtume wake na Siku ya mwisho basi hatuna budi kujitahidi kuacha yale tuliyokatazwa na Mwenyezi Mungu.
@jumannemohamedy1456
@jumannemohamedy1456 Год назад
Professa Jamaal una toaga mafunzo mengi sana katika stori zako hakika Mungu awe na ww kwa kila jambo ulifanyalo uwe na afya njema akila kukuchapo ili uendelee kutufundisha Life ya vitu mbali mbali ambavyo tulikuwa hatuvijui
@enosscolonely7629
@enosscolonely7629 Год назад
Hii inanifunza vitu vingi huwa najitidi sana kufatilia jamal April unajua sana
@jumannemohamedy1456
@jumannemohamedy1456 Год назад
@@enosscolonely7629 sio ww peko yako kiti kizuri lazima watu wajifunze wengi kuna kubadilishana mawazo ya hapo na pale life ina zidi kwenda
@frankmfuse6990
@frankmfuse6990 5 месяцев назад
Waislamu wengine tu wasiowahi kula nguruwe kabisa ,ila wanakifafa Ni uongo tu
@goodluckmwagubili6713
@goodluckmwagubili6713 Год назад
Mwamba wew ungekuwa mwalimu wangu .....nisingekuwa hapa nilipo yaan nakuelewa sana
@BonifaceChaula-gx7xb
@BonifaceChaula-gx7xb Год назад
Ubarikiwe hapa umeokoa wengi Mungu akupe maisha marefu zaidi.
@NicholasOuta
@NicholasOuta 5 месяцев назад
No one comes close to this guy in this field. You are a professor bro. You are doing a great job; a lot of investigation and research goes into this! Kongole from Kenya!
@Ombenikishombo
@Ombenikishombo 7 месяцев назад
Asante Kwa elimu nzuri , Kwa mwenye akili atang'amua kweli
@victormuskato61
@victormuskato61 10 месяцев назад
Jamal always makes my day by just listening to him, feel ranked from Kenya
@taajirimwanaharakati7392
@taajirimwanaharakati7392 Год назад
Usiache kufanya hiki kitu ni vzr sana na upo vizuri sana kiukweli 🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿
@nicholasokoth7666
@nicholasokoth7666 Год назад
Story nzuri sana naenjoy nikiwa Kisumu Kenya. Tafadhali utuletee uhondo kamili kuhusu huu mchezo wa Wrestling sababu hatuelewi ni kweli ama uwongo. Big up Man,🙏🙏🙏
@AntonyStarboy
@AntonyStarboy Год назад
Wrestling imeandikwa na mshindi hujulikana hata kabla ya mchezo
@Thekidp3702
@Thekidp3702 Год назад
Wrestling ni scripted kila kitu wanaigiza
@servantofallaah4865
@servantofallaah4865 Год назад
Siku ukijua wrestling ni acting kama tu movie zingine utaacha kupoteza muda kuangalia wrestling
@MarcelUsseni
@MarcelUsseni Год назад
Wrestling ni kama video za ngono tu
@MarcelUsseni
@MarcelUsseni Год назад
Kitu alichokikataza mungu lazima kiwe na madhara
@dianandabirorere6365
@dianandabirorere6365 Год назад
Asante kwa story nzuri umetuletea🙏wenye kuelewa wameelewa
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 Год назад
Hongera Sana umejuwa kutuelewesha vizuri ndugu jamari
@LtW2-om6yj
@LtW2-om6yj Год назад
Wanao sikiliza hii story nzuri uku tunakula ngulue tujuane apa
@jjkinara6576
@jjkinara6576 Год назад
Tamu sana
@goodluckygobam4477
@goodluckygobam4477 Год назад
Tena rost ndo usisemee
@tecratzmwakyambomwakyambo7243
Kavu bhanaa na kachmbariii uwii
@raiszongo4136
@raiszongo4136 Год назад
🤣🤣🤣
@hassanihussein4479
@hassanihussein4479 Год назад
Mtakuja kupata magonjwa kwa uroho wenu
@cammackmarck
@cammackmarck Год назад
Mungu haHaramishi ispokua kisicho bora kwenu sisi
@daisybelle6485
@daisybelle6485 Год назад
Watu wenye fikira ndogo huwa wapinga ukweli hata wakiona dhahir, You did your part thanks lecture 👏🏾👏🏾👏🏾 watakaosikia watasikia watakao bisha wabishe haujalazimisha mtu.😎
@LucksonEdwardmgallah-tf5nc
@LucksonEdwardmgallah-tf5nc Год назад
Napenda sana kipindi hiki kwakuwa kinatoa funzo na kutukumbusha ❤ don’t quit
@mercyogolla8633
@mercyogolla8633 Год назад
Jamal Asante kwa story zako nzuri, Kenya 👏
@Thekidp3702
@Thekidp3702 Год назад
How
@WastaraJuma-p7c
@WastaraJuma-p7c Год назад
Iam proud to be a Muslim...Allamdhulillah
@AliBazenga
@AliBazenga 2 месяца назад
Same to me bro or sister
@mussamwamoto8231
@mussamwamoto8231 Год назад
Unachagua kumsikiliza Paolo au Mungu.?hongera sana Jamaal,napata élimu nyingi sana kwa kufuatilia makala zako.Tatizo ni Paulo na bible kupingana na magizo ya vitabu vya kale,Yesu hakuja kutengua maandiko yaliyo pita ila kukamilisha yaliyobakia.
@chikwela
@chikwela 4 месяца назад
Hakika. Hata yeye alisema sijaja kutangua tolati bari kuitimiliza
@MATWIGAMATWIGA
@MATWIGAMATWIGA Месяц назад
Paulo alikuwa msomi sana vitabu vyake kama huna maarifa huwezi vielewa akuruhusu kula vichafu
@PaulChibility-gt1og
@PaulChibility-gt1og Месяц назад
Unafanya kZ kubwa ambayo mm inanfunza mengi God bless you and expand your wisdom 🙏🙏🙏
@rutashubanyuma4546
@rutashubanyuma4546 Год назад
Nimekupa big up vile ambavyo umebalance story nilidhani utaegemea upande wa imani yko lkn umenyoosha namna ambayo mtu mwenyewe anachagua upande wa kufata!!!
@catherinecostantino2034
@catherinecostantino2034 Год назад
Kazi iendelee
@rachelsamson2860
@rachelsamson2860 3 месяца назад
Elema neno professor😂
@poolkingservices6928
@poolkingservices6928 Месяц назад
Hivi hao WHO wanafahamu madhara ya aina mbalimbali za pombe wanadamu wanazotumia kila kukucha? Wanafahamu aina vya vitoweo vya aina nyingine tofauti na nguruwe kama kuku zinazokuzwa kwa wiki 4 hadi 6 na wanakuwa na kili 2 hadi 3? Wanajua madhara ya chanjo mbalimbali ua madawa yaliyo isha mwisho wa matumizi na kubadilishwa tarehe tu? Msitudanganye. Kama imani yako haikuruhusu kula, acha! Mbona Kuruan imekataza pombe mnakunywa? Na uzinifu je?
@businesstanzania
@businesstanzania Год назад
Wewe Jamaa Unatisha Sana🙏 Ukipata Muda Tuletee Bomu Lililowafanya Wajapani Kuwa Wafupi, (Au Tuliongopewa)
@josephsimba3007
@josephsimba3007 Год назад
Kweli tuleteye tunatamani kujiwa
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 Год назад
Weee wajapani gani hao ?? 😂😂😂🙌🏻
@vicentedgarchipasula2393
@vicentedgarchipasula2393 Год назад
Aliwahi kugusia kwenye stori ya Nyuklia ipitie
@marymolel800
@marymolel800 Год назад
🤣🤣🤣🤣🤣
@bahatihemes9843
@bahatihemes9843 Год назад
Naunga mkono hoja
@tiffusumaiya1342
@tiffusumaiya1342 Год назад
Asante jamal aliesikia kasikia so ni chaguo lako kula ama kuacha
@MaryAlbert-zl9sn
@MaryAlbert-zl9sn Год назад
Dah! Mduduuuu
@maiwiwiABC
@maiwiwiABC Год назад
Well done! Professor, Jamal Mustafa. Nimepata uelewa mzuri kuhusu uzuri na ubaya wa mdudu
@yunusmussa7980
@yunusmussa7980 Год назад
“Sema: Sioni katika yale niliyo funuliwa mimi kitu kilicho haramishwa kwa mlaji kukila isipo kuwa kiwe ni nyamafu, au damu inayo mwagika, au nyama ya nguruwe, kwani hivyo ni uchafu; au kwa upotofu kimechinjwa kwa jina la asiye kuwa Mwenyezi Mungu.” (al-Anaam, 6/145)
@josphatwambua3475
@josphatwambua3475 Год назад
A well researched narration.
@sanchodybala4580
@sanchodybala4580 Год назад
Ahsante mwanangu boraa unifarijii kwa storii book nipate walau ahuenii
@KelvinMyamba
@KelvinMyamba Год назад
Your Genius Mr Professor Jamal
@odoramadhani8631
@odoramadhani8631 Месяц назад
Asante saaaaaana kwa m😮aelezo mazuri mpendwa
@Monstaramosi-vv3hw
@Monstaramosi-vv3hw Год назад
Nakubali kiongoz weka mawe juu y mawe
@avilapetro6179
@avilapetro6179 Год назад
Ukitafiti zaidi tunaweza sama.kilakitu nisumu Mana wengine ndio hawali lakin wanamagonjwa Kama hayo Mimi nakula tu alichokiumba mungu sio halam halam matendo mabaya.kufa nikufa tu ata ule sisimizi itakufa tu
@FemasDanny-si5gw
@FemasDanny-si5gw 2 месяца назад
Sana wanao leta ni uzushi tu😂 kilicho umbwa na mungu sio halamu
@KaisamFredrick
@KaisamFredrick Год назад
“A true educator always act as a facilitator of learning” your a true educator. Mungu awe nawe man
@pembemussa2804
@pembemussa2804 Год назад
Wazee wa Mdudu tujuane japo kwa likes. 👍
@sirangoclassic9555
@sirangoclassic9555 Год назад
Asante professer Kwa simulizi tamu
@aishasifungo8541
@aishasifungo8541 Год назад
Mungu akuongezeee zaid prof. Jamal utoe mafunzo zaid
@limitationmachinery5714
@limitationmachinery5714 Год назад
Sababu za wengi kutetea kula humu sijaona zaidi ya utamu. Ok ila utamu wa pipi mate yako mwenyewe. Ila mimi naona magonjwa mengi yanasababishwa na vyakula tunavovipenda au kula chakula kingi. Mimi kuna ndugu yangu anasumbuliwa na kujikuna na kuota vipele kwa sababu ya kula nguruwe. Walimwengu wanaelewa na kufanyia kazi
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 Год назад
5. AL - MAIDA 3. Mmeharimishiwa nyamafu, na damu, na nyama ya nguruwe na mnyama aliye chinjwa si kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, na aliye kufa kwa kunyongeka koo, na aliye kufa kwa kupigwa, na aliye kufa kwa kuanguka, na aliye kufa kwa kupigwa pembe, aliye liwa na mnyama, ila mkimdiriki kumchinja. Na pia ni haramu kula nyama aliye chinjiwa masanamu Na ni haramu kupiga ramli. Hayo yote ni upotovu. Leo walio kufuru wamekata tamaa na Dini yenu; basi msiwaogope, bali niogopeni Mimi Leo nimekukamiliishieni Dini yenu na nimekutimizieni neema yangu na nimekupendeleeni UISLAMU uwe ndiyo Dini. Na mwenye kushurutishwa na njaa, bila ya kupendelea dhambi, basi hakika Mwenyezi Mungu ni Msamehevu na Mwenye kurehemu
@waynekennedy9521
@waynekennedy9521 Год назад
Amin, but hatutoacha hii 🪑🔥.....😁😁😁
@mistasaa9214
@mistasaa9214 Год назад
@@waynekennedy9521 nyinyi endeleeni kula ndugu zanguni hamuwakomoi waislam wala yule alieharamisha.
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 Год назад
@@waynekennedy9521 hakuna tetizo we kula bibi zako tu
@nancyg8664
@nancyg8664 Год назад
@@waynekennedy9521 kabisa👌
@Tukujuze
@Tukujuze Год назад
Makafiri hawataki kuelew
@aminaally7622
@aminaally7622 Год назад
Kila mtu afate imani yake sisi kwetu haramu ambao imani yao wanasema halali basi wale hamna sababu ya kugombana kila mtu afate akili yake uzur ubaya wataona wenyewe
@amanichanga3448
@amanichanga3448 Год назад
Hakuna kitabu ambacho kimesema sio haramu, vyote vinasema ni haramu
@madetetv6576
@madetetv6576 Год назад
​@@amanichanga3448 una uhakika? Nioneshe hilo andiko Kwa injili
@ambarnelly6071
@ambarnelly6071 Год назад
​@@madetetv6576kumbu kumbu la taurat ,14:8
@nouraynaasheikhunkabir3749
@nouraynaasheikhunkabir3749 Год назад
​@@ambarnelly6071uko sahihi man , hakuna bible iliyosema nguruwe ni halali
@bellalygeomecky1145
@bellalygeomecky1145 Год назад
Iyo biblia inasema haramu......
@LawyerKalikumbi
@LawyerKalikumbi 3 месяца назад
As a Tanzanian i' m very proud of you prof. Jamal April your very talented brother
@JumaSaad-su1cc
@JumaSaad-su1cc 2 месяца назад
Mungu akuweka maisha marefu
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 Год назад
Hongera Jamali profesa mim naitwa Jamila,,like sister and brother,,unazo akili nyingi Sana professor Jamali,Kwa makala hii najua wengi wataacha kula nguruwe,,ama kwer dini ya kislamu ndo din ya haki mana haidanganyi
@christonchristian7448
@christonchristian7448 Год назад
kwani dini ni tiketi ya kwenda peponi au ni uaminifu na moyo watu? namaanisha who he follows Gods commandments shall inherit the heaven!!@
@gilmangeorge366
@gilmangeorge366 Год назад
Mbona mm nakula huku nasikiliza???hakuna dini bora kama ukristo kima ww upo busy mitandaoni baada ya kutulia na mume ahahah ahaaa nimekumbuka mmeo yupo kwa mke mkubwa ahahahahah
@christonchristian7448
@christonchristian7448 Год назад
@@gilmangeorge366 ni anazngua uyoo
@ramlanassoro538
@ramlanassoro538 Год назад
@@christonchristian7448 ndio kumbe ujui 😂 din yakiislam ndio din yakweli ata wew unajua sema unakaza tuu👐
@Jeff-vs3oc
@Jeff-vs3oc Год назад
U Muslims u prove to be special more than other humans as if others are animals u need to understand we are equal in the eye's of God
@jackrenesanga3889
@jackrenesanga3889 Год назад
Mimi sio muislamu ila sili kitimoto kuanzia leo Mungu anisaidie katika maamuzi haya kwa ajili ya afya yangu
@saddamhussein9054
@saddamhussein9054 Год назад
Story book nakubali kaka from Mombasa Kenya 🇰🇪
@frankmayala4564
@frankmayala4564 Год назад
hongera sana jamn kaz nzur thank U much very U
@issabaraka2850
@issabaraka2850 Год назад
Wewe upo vizuri Mungu akulindi
@adamsimkonda4543
@adamsimkonda4543 Год назад
Nimekula Kilo leo hakika hii ni nyama tamu zaidi Duniani😋😋
@nancyg8664
@nancyg8664 Год назад
Kitimoto tamu aisee kah
@chafimabdulbacar9902
@chafimabdulbacar9902 Год назад
Hata umbile lake la nnje tu silipendi nguruwe ni kiumbe ambacho sikipendi kabisa
@nancyg8664
@nancyg8664 Год назад
@@chafimabdulbacar9902 pole yako, Nguruwe mtamu aisee na umbile lake zuri
@nasibshabani7740
@nasibshabani7740 Год назад
😀😀
@monicageorge2181
@monicageorge2181 Год назад
😂😂😂😂
@yuzzleskillsm3054
@yuzzleskillsm3054 Год назад
GOAT Jamal you're the best
@alibinjuma793
@alibinjuma793 Год назад
Jamal always talks about facts, the choices is ours
@jacksonkabede7929
@jacksonkabede7929 Год назад
Vipi nyama ya ngamia siyo haramu
@khadijazungu8627
@khadijazungu8627 Год назад
​@@jacksonkabede7929 kwa kweli nyama ya ngamia tumeneemeshwa Nayo nasi Waumini tunasema ALHAMDULILLAH ❤❤❤❤
@LORDRICKNKYA
@LORDRICKNKYA Год назад
@@khadijazungu8627 si amesema kati ya wanyama walikatzwa ngamia pia ni mmoja wapo
@jamesmzaki6041
@jamesmzaki6041 Год назад
Ngamia,Sungura,Kunguru na Kambale HARAMU usiikaribie wala usiiguse ni chukizo kwa Bwana.
@simbascdailysimbasctanzani2835
​@@khadijazungu8627 Kula nguruwe weww hata Mtume MSW alimla huyu kiumbe
@juicewrld5114
@juicewrld5114 Год назад
Daa..... Izi Iman izi daa.... Sijuii tuamiin kipi APA 🤲🤲🤲
@mashakabundala9955
@mashakabundala9955 Год назад
Jazzaka Allah kheir brother jamaal keep up bro
@mdouharoon66
@mdouharoon66 Год назад
Baada ya mnyama kufungwa bora nije kujifuta machozo na the story book 🔥🔥🔥
@eliasmaspela1728
@eliasmaspela1728 Год назад
We upo kama mm
@jumannemohamedy1456
@jumannemohamedy1456 Год назад
Tupo wengi
@aminasultan7287
@aminasultan7287 Год назад
Hahahahaaapoleni sana
@mdouharoon66
@mdouharoon66 Год назад
@@aminasultan7287 tushapoa asee acha tu
@gladnesskawanga1127
@gladnesskawanga1127 Год назад
Mmmmh Kwa Nguruwe mnisamehe jaman🤣🤣🤣🤣siachi
@mohamediomari1614
@mohamediomari1614 Год назад
"Indeed ,It's not the eyes that are blind, but the heart.'' Quran 22:46
@odoyo2553
@odoyo2553 Год назад
Note the heart it is the core al-qalb sio moyo ni core...sijui core inaitwaje kwa kiswahili
@paulpeter9655
@paulpeter9655 Год назад
Uhalali wa Kila kitu ni kwa Mungu maana yeye ndie Alie umba Kila kitu. Kula au kutokula ni juu yako.
@mohamediomari1614
@mohamediomari1614 Год назад
@@paulpeter9655 kama ndo hvyo mle wale nyoka porini, mkalee na mende wa chooni, msisahau pia mijusi na kenge wa vichakani, na kuna wale nyani pia pamoja na sususungu pia kuleni, mana aliyeviumba mungu vyotee ni halali kula na pia mnaweza kula nyama ya waanadamu wenzenuu mana ni uumbaji wa mungu pia.
@Familyhope1
@Familyhope1 Год назад
@@mohamediomari1614 🤣🤣aah nyani babu zao hawawez kula
@mukrimmohd8954
@mukrimmohd8954 Год назад
@@paulpeter9655 kakataza kwenye maandiko
@mosesnafungo4595
@mosesnafungo4595 Год назад
Asante kwa mafuso hao sana.kenya tunakusalimia sana.
@RauhiyaIddi
@RauhiyaIddi Год назад
Jamal Allah akuhifadh kuwa makini na dunia
@jean-Robert
@jean-Robert Год назад
Mimi nitaendelea kula nguruwe hadi mwisho wa maisha yangu nakupenda sana kiti moto ivi unajuwa utamu wa nyama yake ?❤❤
@mahadboy5124
@mahadboy5124 Год назад
Mungu ajalie utakapo kula tena kwa mara nyengine ayo madhara yote yalotajwa apo uyapate
@mohatz7161
@mohatz7161 Год назад
@@mahadboy5124 hakuna mungu wa ivyo hahahahahahahahahahahha
@festovenas502
@festovenas502 Год назад
@@mahadboy5124 uko kwenu yupo MUNGU wa hivyo au una bahatisha naww 😅
@DanielMndeme
@DanielMndeme Год назад
@@mahadboy5124 hahahha na hayawezi nipataaa
@merryjeremiah7533
@merryjeremiah7533 Год назад
😂😂😂😂😂
@japhetfisha6299
@japhetfisha6299 Год назад
Incredible Jamal. MARVELOUS
@machaliakulima76
@machaliakulima76 Год назад
Mimi ni mkristo sili kwasababu ya afya ya mwili, minyoo wake wanafika zaidi ya mita moja.
@ErickThomas-r3v
@ErickThomas-r3v Год назад
hii vita huiwezi mjomba!!! acha kabisa kitimoto ❤
@upyahalisi98
@upyahalisi98 Год назад
Hatuli nguruwe tunakula nyama ya nguruwe hakuna alichoumba muumba ni najisi mwanzo1:31 ila kwa matakwa ya imani ya mtu imetafsiliwa hivyo.
@jackrenesanga3889
@jackrenesanga3889 Год назад
😂😂Nimecheka
@renatusrevocatus3895
@renatusrevocatus3895 Год назад
Bahati nzuri kila nyama hususani nyama nyekundu zina madhara makubwa saaaaaana
@joesplatnumz
@joesplatnumz 6 месяцев назад
Asante Jamal kwa uchambuzi wako,wwanaokula wamejifunza kitu
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 Год назад
Alhamdullilah sili hii kitu🙏🏼🥰 Ila Unazani hao watu watakuelewa juu ya my wao hawawezi ata useme inaleta corona wao watakula tu 😂😂😂
@jentomwawa7228
@jentomwawa7228 Год назад
Hahahaaahah
@jentomwawa7228
@jentomwawa7228 Год назад
Tuache kidg apo apo mzeee
@ivankinabo1226
@ivankinabo1226 Год назад
Ww fanya yako na ya dini yako yasiyokuhusu achana nayo
@frankfrancis5736
@frankfrancis5736 Год назад
Tafiti zauongo izo kwaio walio pata Kansa ya utumbo dunia wamekula Nguluwe
@allyshabani4151
@allyshabani4151 Год назад
Aliyekataza nguruwe ndiye huyo huyo aliyekataza Ngamia, sungura, kambale nk. Ajabu ni Kwa Nini anakazaniwa sana nguruwe kuliko hao wengine?
@ibwaydigo
@ibwaydigo Год назад
Tunao sikiliza hii story nzuri huku tunakula kitimoto tujuane
@polycarpaugustino
@polycarpaugustino Год назад
Niko mzee😂😂😂
@wineljentrix9771
@wineljentrix9771 Год назад
❤🇰🇪
@Bacteria122
@Bacteria122 Год назад
..
@annamachaki3644
@annamachaki3644 Год назад
😂😂😂
@hastatz
@hastatz Год назад
😂😂😂😊
@princeismailsnr291
@princeismailsnr291 Год назад
2 Petro 3:14-18 [14]Kwa hiyo, wapenzi, kwa kuwa mnatazamia mambo hayo, fanyeni bidii ili mwonekane katika amani kuwa hamna mawaa wala aibu mbele yake. Wherefore, beloved, seeing that ye look for such things, be diligent that ye may be found of him in peace, without spot, and blameless. [15]Nanyi uhesabuni uvumilivu wa Bwana wetu kuwa ni wokovu, kama vile na ndugu yetu mpenzi Paulo alivyowaandikia kwa hekima aliyopewa; And account that the longsuffering of our Lord is salvation; even as our beloved brother Paul also according to the wisdom given unto him hath written unto you; [16]vile vile kama katika nyaraka zake zote pia, akitoa humo habari za mambo hayo; katika nyaraka hizo yamo mambo ambayo ni vigumu kuelewa nayo; na mambo hayo watu wasio na elimu, wasio imara, huyapotoa, kama vile wayapotoavyo na maandiko mengine, kwa uvunjifu wao wenyewe. As also in all his epistles, speaking in them of these things; in which are some things hard to be understood, which they that are unlearned and unstable wrest, as they do also the other scriptures, unto their own destruction. [17]Basi, wapenzi mkitangulia kujua hayo, jilindeni nafsi zenu, msije mkachukuliwa na kosa la hao wahalifu mkaanguka na kuuacha uthibitifu wenu. Ye therefore, beloved, seeing ye know these things before, beware lest ye also, being led away with the error of the wicked, fall from your own stedfastness. [18]Lakini, kueni katika neema, na katika kumjua Bwana wetu na Mwokozi Yesu Kristo. Utukufu una yeye sasa na hata milele. But grow in grace, and in the knowledge of our Lord and Saviour Jesus Christ. To him be glory both now and for ever. Amen.
@randabrenda4815
@randabrenda4815 Год назад
Elimu nzuri sana, ukweli watu huchimba kaburi zao na kujiletea madhara kupitia meno zao. Hebu tuletee ukweli kuhusu mpira na kampuni za kubet
@pascopeter7449
@pascopeter7449 Год назад
😂😂😂
@josephevaristi8923
@josephevaristi8923 Год назад
Xaw team konde umeeleweka😁😁😁
@hemedabdalla4171
@hemedabdalla4171 Год назад
Mwenyezimungu akulipe la kheri kwahili.
@greenermichael2057
@greenermichael2057 Год назад
Jamal keep on my son I love your story
@jacqueslukusa
@jacqueslukusa Год назад
Aaah wanadamu awana wema kabisa, mungu ame wapa nyama nzuri ivo kisha munahanza kuhi visha magonjwa yasio eleweka, mutafikiya ku sema kama ina pana na ukimwi. Muhi ondowe basi duniani
@prisilabwassa7659
@prisilabwassa7659 Год назад
Kweli😂😂😂
@ofsakim5608
@ofsakim5608 Год назад
Hii kitu ni tam kijana kufa tutakufa tu ach tuile il story tam😋😂
@PatriceVolonte
@PatriceVolonte Год назад
Kila mtu amesikia hakuna kulazimishana kula ao kutokula. kwani ukila madhara yake unayajuwa nausipokula yote nimaamuzi Yako mwenyewe Shukrani Jamal april kwa story Book nzuri 🙏🙏🙏🙏🙏🇨🇩🇨🇩
@classicvisiononline8334
@classicvisiononline8334 Год назад
Jibu lako tayar linaonyesha ambavyo umeishaathirika na majini wa nguruwe...
@sayyedsaeed8089
@sayyedsaeed8089 Год назад
😂😂😂😂😂😂😂❤
@captainb.o.b568
@captainb.o.b568 Год назад
Story nzuri sana professor jamal.keep it up nimejifunza kitu 🙏👍
@toret8327
@toret8327 Год назад
Asante sana prof, naomba utufanyie video kama hii inayoangazia kutumia miraa au jaba
@etengedavid7297
@etengedavid7297 Год назад
Siyo Nguruwe tu ndo ina mahazara. Hata ngombe,mbuzi,kuku, mahana ukila ahina ya nyama moja kila siku au kila mara lazma ugonjwe. Mzee baba tupe story book yenye mazara ya kula nyama ya ngombe mara kwa mara usi bakiliye ku nguruwe tu kwasababu hata mbuzi ukimla mara kwa mara lazma ugonjwe.
@elishalewis255
@elishalewis255 Месяц назад
Haswaaaaaaa.... we unajua
@assateke7199
@assateke7199 Год назад
Better to be informed not influenced~ Judge on what you understand! Keep it up~Jamal-deen🇹🇿
@hafidhouulamaa4262
@hafidhouulamaa4262 Год назад
Jamal nakukubali saaaana illa natamani sikumoja nikutane nawe ili unifunze the story book Jamal Jamal Jamal huu niujumbe kwako I'm from Burundi 😊😊😊
@leonardMjuliy-lh4ck
@leonardMjuliy-lh4ck Год назад
Achaa kutafasiri bibliaa vibayaa kijana na alaaniwe ambae ataenda kinyume na mpnz ya mungu kwhy apo kwny agano jipya haijasema kuwa ngulue analikaa ilaa ombaa sana mungu akufunulie njozi za kusomaa maandiko.
@SolomonMusembi
@SolomonMusembi Год назад
Santiiii Sana Jamal. Tafadhali andaa story ya kuwaokoa Waizraeli kutoka Uganda wakati wa Idi Amin
@reubenhizza
@reubenhizza Год назад
Umeanza bangi tukanyamaza .. tusifike huku bro
@cyperthefactor6651
@cyperthefactor6651 Год назад
😂😂😂😂😂
@udizungwahimalaya5213
@udizungwahimalaya5213 Год назад
😂😂😂😂😂😂
@GracieTyno
@GracieTyno Месяц назад
😂😂😂😂😂
@DirectortristanKevin_POKOTTV
Wow my best series ever 💯
@dastopadady2402
@dastopadady2402 Год назад
Nimeisha mula naleo nime nunuwa nyama yanguluwe naipenda sana😢🎉😅😅
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Год назад
Jiliye tu baba wewe fata pumzi zako zinatakaje
@nasrimbaraka341
@nasrimbaraka341 Год назад
Gonga nyama wewe haina madhara hiyo
@ambarnelly6071
@ambarnelly6071 Год назад
Kumbu kumbu la tauurat 14:8 ni haramu ata kumgusa
@dastopadady2402
@dastopadady2402 Год назад
Amuna sitakudia kula
@ambarnelly6071
@ambarnelly6071 Год назад
@@dastopadady2402 mashallah Allah Mungu akuongoze inaonekana ni mtu ambae ukiijuwa haki huifuata ,Mungu yupmoja nawe insha allah
@LaulentTulagala
@LaulentTulagala Год назад
Jaman
@samsonoundo651
@samsonoundo651 6 месяцев назад
The very best jamal...❤
@pyzzocatto1829
@pyzzocatto1829 Год назад
Hapo mwanzo ulipotamka katikatiyao kunawaumin walichanganyikiwa nimekuelewa sanaaa
@JumaMaurice-i4v
@JumaMaurice-i4v Год назад
I always like your findings Jamaal, you best in what you do salute..
@eliashamis2765
@eliashamis2765 Год назад
Asante Kwa story nzuriiii lkn tusamehe nguruwe mtamu aloo eb muonje Alf utaifuta hii story 😂😂
@anzurunimakala9686
@anzurunimakala9686 Год назад
Wewe kula tu
@abudulingasa6413
@abudulingasa6413 Год назад
Mm ni mkristo ndio ila tangu nikuwe nakujitambua sijawai kutamani kula nguruwe wala kupenda wala kumfurahia ajarishi ni alali kuliwa wala ni aramu ila kamwe simpend nasto mpenda anda ndan mwanyumba yangu akika Mungu anisamehe2🙏🙏🙏🙏
@BethiGody
@BethiGody 5 месяцев назад
Amna tatz Maan sio lazima kumlaa
@RayKakule-yg9fx
@RayKakule-yg9fx Год назад
Nguruwe ni Safi kabisa Jamal Mustafa
@agakibelden
@agakibelden Год назад
I am a student Nurse. The facts here are real.💯 Big up Jamal.
@Gbril45
@Gbril45 Год назад
But you are not a doctor!
@agakibelden
@agakibelden Год назад
@@Gbril45 wisdom is important. But you lack.
@prosperpazah60
@prosperpazah60 Год назад
🙏🔥🔥👍
@minabuelysee8
@minabuelysee8 Год назад
Asante
@tupasesamuel2109
@tupasesamuel2109 Год назад
@@Gbril45 I’m reading comment 😂😂😂😂
@alvinmandu6321
@alvinmandu6321 Год назад
Naanzaaje,ooh Mimi naanzaaje..kuacha nyama ya nguruwe ..mwenzako siweezi😢
@nancyg8664
@nancyg8664 Год назад
😆🤣🤣
@jackrenesanga3889
@jackrenesanga3889 Год назад
😢😢😢
@macksonjuma5180
@macksonjuma5180 Год назад
You always spit facts salute jamal
@fauziyaomar7090
@fauziyaomar7090 Год назад
Asante sn kwa darsa
@AthumaniPuchu
@AthumaniPuchu 6 месяцев назад
Umetisha Sana bro
@lareineminah1353
@lareineminah1353 Год назад
Fière d'être musulmane 🥰😘😍❤
@Thekidp3702
@Thekidp3702 Год назад
Proud to be Christian 🙏🥰🥰🥰🥰
@lareineminah1353
@lareineminah1353 Год назад
@@Thekidp3702 l'objectif de choisir mon commentaire ? Tu veux quoi ?
@Thekidp3702
@Thekidp3702 Год назад
@@lareineminah1353 unasema nini?sikuelewi tumia kiswahili au kingereza
@lareineminah1353
@lareineminah1353 Год назад
@@Thekidp3702 we mwenyew umejibu na nimetumiya kifaransa Naku uliza ulikuwa na ulazima gani waku jibu kwenye commente yangu? Lengo leko nini?
@misagosylvestre3356
@misagosylvestre3356 Год назад
@@lareineminah1353 comment vas -tu madame?
@hosianalema7153
@hosianalema7153 Год назад
hatumuachi my wetu😂😂😂😂
@juniorbachelor8296
@juniorbachelor8296 Год назад
Kwani umekatazwa mzee, Endelea tu kaka
@victorbatista659
@victorbatista659 Год назад
😅😅😅😅😅
@hosianalema7153
@hosianalema7153 Год назад
@@juniorbachelor8296 lengo la yeye kutuonyesha madhara tu bila faida zake ni nini?
@mariamutowi7084
@mariamutowi7084 Год назад
😂😂🙌
@Wikitiki1245
@Wikitiki1245 Год назад
na wapunguze bei sasa
@letishiarespicius5440
@letishiarespicius5440 Год назад
Jamal we love you bro😭👋❤️😘🤗👍
@mathiaszakaria7052
@mathiaszakaria7052 Год назад
Japo umechambua ila Sina imani maana ww mwenyew kabla ya kuchambua ni mpingaji wa nyama ya nguruwe.Naomba ulete uchambuzi kuhusu nyama ya kasa maana imehalalishwa lakini ndo inaongoza kwa kuuwa watu kila siku kwa kuwa ina sumu ila kwa aibu waliyo nayo wapinga nyama ya nguruwe hawajawah kuikosoa nyama ya kasa.Naomba ulete uchambuzi wa kula nyama ya kasa ili twende sawa
@MasokaJiko
@MasokaJiko Год назад
Nyama tamu sana
@sircomplextz
@sircomplextz Год назад
Profesa umepiga panapo uma..... 😂 Hongera sana kaka.
@ntakirutimanasidra1637
@ntakirutimanasidra1637 Год назад
Kabisa 😅😅😅😅😅
@royalsecuritysolutions5610
@royalsecuritysolutions5610 Год назад
Kitimoto tamu sana😋😋😋
@michelinebosibori4027
@michelinebosibori4027 Год назад
Professor mwenyewe 🙌 you are always the best bro👍🥰
@Ara-MozDaddyFina-sp6we
@Ara-MozDaddyFina-sp6we 2 месяца назад
Nguruwe nimtamu sana, from 🇲🇿.
@emmanuelalphonce243
@emmanuelalphonce243 Год назад
Big up Jamal kwa makala nzuri sana
Далее
KILICHOMPONZA YONA KUMEZWA NA SAMAKI : THE STORY BOOK
29:26
Million jamoasi - Amerikaga sayohat
12:37
Просмотров 220 тыс.
다리찢기 고인물⁉️😱 Leg Splits Challenge
00:37
The Story Book : Ukweli Uliojificha Kuhusu BANGI
41:40