We pluto endanga hizi vitu na Felicity ju hapa mmevamia this girl ju girl power ilikua less huyu kijana amesema ati atashikwa na "mashetani zake " wakirudi kwa nyumba...wdf! Alafu kabla wewe useme the guy aachane na kina kate unaambia girly princess ampee attention (side eye). Hiyo mambo ya attention ni EXCUSE! Mi naona the guy kama alikua anaona hapati attention angemwambia tu instead ya kucheat #...
Mm naona pluto to be calling the other party like in this case angekol cate to ask her boi wake anaitwa aje..to know the flow of cheating na make the content more interesting
Wangu ni hio rangi my Dr amenisubua na madem kumtaka na awajui ata rent awezi afford hako hivo juu yangu na mamake aki na anawa entertain tu ngombe sana😂😂😂