Maashaallah Allah akulipe 🎉sheikh hassan uli shawi kutoa mawaidha mzazuri niliyapenda sana tokea mwaka elfu2012 naomba uyaludie nakumbuka kipande kidogo yanasema hutuful habil mwenyez mung nimpole anahalaka naww lakini atambua kila unalolifanya sheikh ludia tena nikop inshaallah
MashaAllah! Hakuna siku niliyofarika ni ile siku niliyokutana na Sheikh Hassan live kwenye kongamano la Kiislamu pale kwenye viwanja vya Usagara Secondary, nikamkumbusha kisa cha dirham 99 MashaAllah tukafurahi pamoja. Sheikh Hassan Allah Swt! Akujalie umri mrefu wenye tija ili uendelee kuwalingania Waislamu. Allahuma Amina!
Asalam alykum warahmatulahi wabarakatuh.Alllah akulipe kheri ya Dunia na kesho akhera innshaallah. Niombee dua nipate kkufanye kheri niipate pepo ya Allah.
Thank you so much our Sheikh. I am from Canada and your lectures strike lessons fairly deep into the heart. Your examples are sweet, and make one think of our short and GHAFLA { deception} lives on earth. Bless you my brother. Ray from Canada