Тёмный

KISA CHA MFALME MWENYEKUCHUKUA KILA MWANAMKE MZURI //SHEIKH OTHMAN MAALIM 

arkas online tv
Подписаться 131 тыс.
Просмотров 194 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 122   
@ismailhussein9734
@ismailhussein9734 Год назад
Huyu bwana ni mwamba kwa kueleza mashaalah mungu amjaze hadha fadhili rabbi.
@zubedamituro6606
@zubedamituro6606 Год назад
Mashallah ostadhi wangu mungu akujaze neema kubwa sana kwa mawaidha yako mazuri♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
@ZuwenaIssa-k6c
@ZuwenaIssa-k6c Год назад
Kwanza anahadhir kama atak😅mashaaallh❤hatumii nguvu😊wallhah nakupenda allh akuwek natamn skunikuone😊
@husseinibrahim5438
@husseinibrahim5438 6 месяцев назад
MA SHA ALLAH
@Aminachande-wg6vi
@Aminachande-wg6vi Год назад
Na mungu akujalie mwisho mwema
@haoranyusuf6164
@haoranyusuf6164 Год назад
Alhamdulillah Allah akuzidishie ilmu uzidi kutuilimisha
@salsashmomy
@salsashmomy Год назад
MashaAllah shekh Othman Allah akupe umri mrefu wenye manufaa
@AbdalaMauya
@AbdalaMauya 2 месяца назад
Maashallah hakika shekh inapendeza sana
@salimawishenga7588
@salimawishenga7588 Год назад
Barakallahu fiyk yaa Shaikh Uthuman ❤❤❤
@NimcoSMursal
@NimcoSMursal 6 месяцев назад
Mashaallah mashaallah tabarakallahu.Allah ikhaliki yarab tawilliki umuriki🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@ShahaMakame-ei2ri
@ShahaMakame-ei2ri 2 месяца назад
maashAllah shehe wng Asante sana kwa kumtupa vitu km hv
@fatumasalim1946
@fatumasalim1946 Год назад
Mungu akupe umri mrefu
@gamblilekamau129
@gamblilekamau129 Год назад
Mash Allah Jazaqah Lau Kheor
@zuhoor-mc7hq
@zuhoor-mc7hq Год назад
MASHA LLAH... wajazakam llahu khaira 🙏 shekh wangu Othman jamaani napenda Sana mawaidh Yako ...Niombee shekh wangu mola anijalie mume mwema nakuomb Sana shekh wangu....Yaa الله nakuomb ukiniruzuku mume mwema naomba Yaa الله nijaalie NAMI nije kuwa zawjaatii swaliyhina AMIIN 🤲 THUUMA AMIIN 🤲 YAA WADUDU 🤲 mola akupe umri mrefu katika kulingania dini ya Allah AMIIN 🤲
@hanifaally4694
@hanifaally4694 Год назад
Ameen Yarab ALLAH (s.w) KAREEM atakuwa haja ya moyo wako Ameen
@zuhoor-mc7hq
@zuhoor-mc7hq Год назад
@@hanifaally4694 shukran Sana UKHTY Hanifa niombee Sana dada yangu katika imaan.... mtume anasem ukimuombea mwenzako nawe malaika watakuombea....mola akubariki sister ahsante... 🌹🌹Nimekupenda Bure wallah ❤️❤️
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz Год назад
Kheri In Shaa Allah waume tupo Alhamdulillah ww mwenyewe 2
@hanifaally4694
@hanifaally4694 Год назад
@@zuhoor-mc7hq shukran mumy nakupenda pia M/mngu atakujaalia kuna nguvu sana kwenye kumuomba M/MUNGU omba subir SUBRAH pia uwe nayo maana watakuja wengi Alhamdullilah nmeiyona nguvu hy na nmepata mumewangu Alhamdullilah
@OsmanMshindo
@OsmanMshindo Год назад
​@@hanifaally4694 ❤
@haoranyusuf6164
@haoranyusuf6164 Год назад
Mashallah Allah akuzidishie ilmu uzidi kutuilimisha
@حمدانالحويطي-م8ك
Shukran shehk kwa nasaha hii nzuri ya kutupambanuwa mawazo na kutufanya kuitumia imani kama ngao yakutukubusha tuitunze furaha na amani kwa wenza wetu barikiwa
@sadanahimana7193
@sadanahimana7193 6 месяцев назад
Allahu akulinde sana Mwaalim mimi akiwa anaweza kutimiza matumizi siwezi nikakataa sababu najua Dini inakubali
@Munayya-g2p
@Munayya-g2p 5 месяцев назад
Hilo jambo lina VIGEZO vinne vilotimilika ikiwa mume hana walau kimoja bsi yy si miongoni anoruhusiwa kuwa na mke hata mmoja au kuoa kabisa🙌🤝
@TwalaaTaib
@TwalaaTaib Год назад
Mashallah Sheikh jazakallahu Kheri Frm Kenya
@ramlazubery1682
@ramlazubery1682 Год назад
MASHAALLAH ALLAH KARIM akuzidishie umri mrefu. Sheikh wetuuu.
@MohamedShamte-i4l
@MohamedShamte-i4l Год назад
Maa Shaa Allah Allah SW àkupe umri mrefu tuzidi kufaidika na elmu yako sheikh
@AliyaMasud-uk2ox
@AliyaMasud-uk2ox 6 месяцев назад
mashaallah allah akupe umri mrefu amiin🙏🙏🙏🙏🙏😊😊
@rizikishahari6948
@rizikishahari6948 Год назад
Maa shaa Allah! Allah Atujaalie wanawake wote kuwa mfano wa Mama yetu Sarah
@AishaKasabalala-dr5lo
@AishaKasabalala-dr5lo Год назад
Allahumma Amiina Allahakuhidhi shekhe.
@SaleheGiza
@SaleheGiza 20 дней назад
Njoo nikuoe uwe mke wangu nikutuze na kukulea uzae watoto inshahhall
@eshaswalehmohammed3924
@eshaswalehmohammed3924 Год назад
Mashallah ❤️ wajazakam llahu Khaira🙏
@gomesamakota3294
@gomesamakota3294 Год назад
Je dada umeolewa?
@hassanboru4038
@hassanboru4038 Год назад
huyu shehe amejaliwa na mola kwa dini napenda tu sana I always listen to him.
@wizlamability
@wizlamability 6 месяцев назад
Baraka allahu ladhwim shk OTHMAN ALLAH akuhifidhi ndugu yangu.
@miishhassn
@miishhassn Год назад
😂😂😂😂kwel professor wakutoa talaka had jiran😂 alhamdulillah shukran kwa somo zuri shekh wetu Mungu azidi kukuweka❤❤
@bwanabrainex433
@bwanabrainex433 Год назад
Amiin
@sabihahamadi2287
@sabihahamadi2287 Год назад
Subuhanallh yarabi tujaalie wanawake wote tuwe na moyo kama wa bibi sara tusiwe na tamaa za kiibilisi
@mohamednuribrahim1410
@mohamednuribrahim1410 Год назад
Mashaallah
@mudykaila7437
@mudykaila7437 Год назад
shehe mashaallah tunakupenda sana
@DafiMohamed-dz8xk
@DafiMohamed-dz8xk Год назад
Ma Shaa Allah Jazakhallah khairan Sheikh watu
@kabujubuju
@kabujubuju 10 месяцев назад
Allah akujalie umri mrefu sheikh uzidi kutufunza mengi 🤲🤲
@asiamohd5516
@asiamohd5516 Год назад
Alhamdullillah, mashaallah jazakallah kheri.
@AliSuleiman-bo5gq
@AliSuleiman-bo5gq 6 месяцев назад
Mashallah al sheikh othman maalim..Allah akupe umri mrfu en thanks 4 ur beautiful mawaidhwa❤
@rahmamohammed9678
@rahmamohammed9678 Год назад
Assalamu Aleykum warahmatullah wabarakatu Alhamdhulillah ALLAAHUMMA SALII WA SALIIM ALA SAYYIDINA MUHAMMAD WALA ALIHI WA ASS HABIHI WA JIMAIN ❤️ Jazak Allaahu kheri yaa sheikh Allaah akujalie umri mrefu wenye twaa uzidi kutuelimisha Allaah asituharamishie kwako yaa rabb 🤲❤️
@S.Mnguyu
@S.Mnguyu Год назад
Asalam alayka warahmatullah wabarakatu na shida nisaidien namba ya shekhe othuman ninamtihan takriban miaka2 nisaidien mwenye kua nazo
@OsmanMshindo
@OsmanMshindo Год назад
Wallah
@Emedroadtocanada
@Emedroadtocanada Год назад
Aaaamin
@gomesamakota3294
@gomesamakota3294 Год назад
Je umeolewa dada mm naitaji mke
@rahmamohammed9678
@rahmamohammed9678 Год назад
@@gomesamakota3294 Nakuombea kwa Allaah Azza wa jaala Akujalie mke mwema kakangu Na wote ambao wanatafuta wake wema na wote ambao wanatafuta wanaume wema Rabbana Thaqabal Duaa🤲
@rizikishahari6948
@rizikishahari6948 Год назад
Yaa Rabb tujaalie kujitoa mhanga kwa ajili Yako!!!
@AishaAisha-gb2dz
@AishaAisha-gb2dz Год назад
Asalam alaikum warahmatulah wabarakatu mwalimu Wang Asante kwa husia njema Ana Badawi sarmada min Congo
@Faizamideva-bv6oo
@Faizamideva-bv6oo Год назад
Mungu anijaliye moyo kama hiyo Ishaallah
@gomesamakota3294
@gomesamakota3294 Год назад
Mashaalah je dada umeolewa?
@AzaShamba
@AzaShamba Год назад
YA ALLAH AKUHIFADHI SHEKHE OTHUMAN. MASHALAAH. JAZAKHALHERI❤❤
@shabansumaiya4770
@shabansumaiya4770 11 месяцев назад
Ameen
@jamalabdullahjs2646
@jamalabdullahjs2646 Год назад
The presence consciousness among Muslims is one of the best achievements of Islam & the world today. There is, as it turns out, an urgent need for the propagation of this Islamic virtue. May Allah grant you every blessing Sheikh Othman Maalim.👊
@mohamedabdalla4890
@mohamedabdalla4890 9 месяцев назад
Ameen❤
@AliyaMasud-uk2ox
@AliyaMasud-uk2ox 6 месяцев назад
amiin inshaallah
@GemmaGemm-t7f
@GemmaGemm-t7f 18 дней назад
Alaahumma amin anashukulu kwa mawaidha mazuli ishalaa
@user-mq2ip3dh4v
@user-mq2ip3dh4v 6 месяцев назад
Mashaalah, Jazakalahu khair
@tatumaulidudulele5467
@tatumaulidudulele5467 Год назад
Mashallah mungu akujalie maisha malefu vizazi vyetu uwaelimishe kielimu
@DhB-z1p
@DhB-z1p 7 месяцев назад
Allah akujaalie mwisho mwema sheikh
@mbusamuyisa1109
@mbusamuyisa1109 Год назад
Yaani wee unawashinda wote ALLAH akubariki
@rizikibakari3598
@rizikibakari3598 Год назад
Mashallah mashallah 🙏
@SadakatiRamadhani
@SadakatiRamadhani Год назад
Mashanlaaa mm ndoa ishanishinda namshukuru mungu tu
@khadijarashid2291
@khadijarashid2291 Год назад
Maashaallah tabaraka rahmani
@FaimaMakolo
@FaimaMakolo 7 месяцев назад
Mashaallah....allah akilipe insha allah
@AMZASAIDEofficialm6332
@AMZASAIDEofficialm6332 Год назад
Nishallha yako safi
@Abdul-iv4fe
@Abdul-iv4fe Год назад
Mashallah shekh wangu
@MalikiRamadhani-e7v
@MalikiRamadhani-e7v 7 месяцев назад
Allah akupe umrimrefu wenyemanufaa
@حمدانالحويطي-م8ك
Waaoow kwelimimi kama mimi bila unafiki huwa sipendi kumwona mme wangu akiwa hana furaha juu ya kitu ambacho ninauwezo nacho mfano ndio wanaume waliumbiwa tamaa na haiwezekani kuyabadili mawazo hayo ila sio wote kuna wale baadhi yao hujizuia na kushindana na tamaa hizo ila namba kubwa nikama hizo tamaa waliumbiwa na hapo ndipo nikasema mwanaume hawezi teseka kwa kuwa anamtamani mwanamke mwingine nichukie ndio ningumu kukubali ila ukiukumbuka msaada wa MWENYEZI MUNGU KUWA BILA YEYE HAKUNA LINALO KUSHINDIKANA bora tuu kuukunjuwa moyo na kukubaliana na matokeo na sikuyakataa juu mwanaume akiamia kutembea na dunia yote utadanya nini nahaziiliki utapigana na wangapi bora tuu kumruhusu awaoe watakao mfurahisha bora tuu mimi nisiwaze uninga ingawa wivu upo ila siwexi upa nafasi upitilize igombane na kila ajae ajee tuu ila mbuzi ale urefu wakamba yake nahio ndio kauli yangu
@pikanaauntzuu1466
@pikanaauntzuu1466 Год назад
Lkn wao ndio viongozi wakua furaha za wake zao ila wanawake tunajitahidi kufanya kila kitu kuwafanya wawe na furaha mdogo wangu anataman kufa sasa hivi kwaajili ya ndoa mumewe kamakura hana kitu zaidi ya chumba kimoja na kitanda leo wana nyuma na magari 3 yamepaki lkn ananiambia dada raha na hivi vyote sina nataman kufa mwanaume anamdharau waziwazi amazumza na wanawake mbele yake tena anamwambia usitegemee mimi kutulia kabisa si unamuona baba yangu anaoa kila siku na mimi siwezi kutulia kabisa bora aoe ujue kaoa lkn yh ni micjepuko tu mwishoa namwambia hakuna kufa km mapenzi ya kwisha dai talaka Allah ameiruhusu talaka kwa wana ndoa yani niliongea nae mpaka sasa katulia anasubiri mambo yakae sawa adai talaka yake maana anamwambia hasa kwamba ukiondoka utakuwa chizi unaondoka unaacha nyumba nzuri hii na magari kwa hiyo wanaume baadhi yao wanaona km mali ni kila kitu na huwezi muacha kwa sababu ya mali wakati mali ni amar tu zikupita mtu kamkuta hata kazi ya maana hana ni kibalua wa kufyatua matufali kwenye sait leo ni maneja wa hardware kubwa tu hakuyapata yoye hayo kabla hajao
@حمدانالحويطي-م8ك
@@pikanaauntzuu1466 Dadangu Mamie kuwa amnyamazie na asimwonyeshe dharao ila akubliane matokeo ila awe mtu waibadani na mwenye upendo kwa kila mtu na asishindane nae na asimbembeleze awe kama jinga kubwa lisilo ona na asimfanyie dharao kwani dharao hazita saidia kitu yeye amfanyie yote ya mke na mama watoto na kama ni ugonjwa wo wote waaina ye yote amwombe ALLAH amusuru maana yeye yugo pale kuwatetea wanandoa haswa walewatesekao juu ya ndoa na ALLAH huwanusuru na kila baya lote maana hukuutafuta huo ugonjwa ila yeye , kwani niwangapi unasikia kuwa mke ana ukimwi na anazaa vyema ila mme nimgonjwa ukimwi ilifikiria ALLAH hatazami matendo na uwaminifu ndani ya yanyumba ya walioko kwenye ndoa nikikwambia hivi mimi yashanikuta Kwanzaa ndoa ikiwa changa tuu ila imagine sikipoteza furaha kwa mda mrefu nilikaa nakamati nahalmashauri wakilishi nawatendaji wakichwa changu nikasema si MUNGU anasema tuombe natutapewa, tutafute na tutapata, tubishe na tutafunguliwa nikamwomba MUNGU anipe moyo wangu wakukubaliana na matokeo na vile alivyo mwema akanipa nikamwomba moyo wakumpenda tuu sana nasikumchukia akanipa nikamwomba anizibe masikio nisipende kuwasikiliza watu akanipa nimamwomba anipe moyo wakuridhika akanipa nikamwomba anipe moyo wakusaidia hata kuwatongoza akanipa na mwishowe nikayashinda yote ila furaha yake yeye dadako asikubali ipotee maana atapata maradhi mengi mfano ya moyo, kisukari, vidonda vya tumbo nakadhalika mwambie asibadili cho chote kile aishi tuu kama zamani na kuuchukulia ule semo kuwa kila jogoo baada ya kuyachakura majalala yote lazima alifuate banda lake na hata kama litasahau banda wewe mwombee uzima na amani kila saa mwishowe mbio za sakafuni zitapunguwa kasi na mwisho kuchoka na kutulia na i
@kudrasslaybeautybar8779
@kudrasslaybeautybar8779 5 месяцев назад
Shukran
@AishaMgaya-td7uz
@AishaMgaya-td7uz Год назад
Mashaallah mashaallah mashaallah 🥰 🥰🥰
@Munayya-g2p
@Munayya-g2p 6 месяцев назад
Hapo kwenye KUONGEZA MKE ni pagumu jamani mnatuonea😂😂😂😂😂😂ila in shaa Allah nitalifikiria ila nikiolewa tu atuoe sote siku moja in shaa allah
@Munayya-g2p
@Munayya-g2p 6 месяцев назад
Haya wanaume mko wapi mnaosema mwanaumebhajaombiwa mwanamke mmoja😂😂😂😂😂😂❤❤
@Munayya-g2p
@Munayya-g2p 5 месяцев назад
Wanajifanya hawajasikia maana ibada wanayoipenda nikuzagamuana tuuu🙌🙄
@Faizamideva-bv6oo
@Faizamideva-bv6oo Год назад
Mashallah
@bas2823
@bas2823 Год назад
NOT ALL THE WOMEN OF NOW! THEY ARE MANY WOMEN ARE FAITHFUL N HONEST N LOYAL. SIO KILA MWANAMKE WA LEO NDIO MUHUNI SIO KWELI WENGI WAO WAAMINIFU WAKO NA WANAJISTIRI NAFSI ZAO WALA HAWAKURUKA ROHO NA PESA AU VITU WAMEQINAI ROHO NA MYONYO ZAO PIA. DONT TALK BACK ABOUT ALL THE WOMEN OF NOW. WAKO WEMA WAAMINIFU NA WAKO NDIO TTAMAA HATA HAPO ZAMANI WAKUWEPO WAMINIFU NA WAKO SIO WAAMINIFU SAME KAMA WANAUME PIA WAPO WAAMINIFU NA WAPO SIO WAAMINFU PIA. ZAMANI NA SASA PIA. MAKHLUKU LLAH ALL!
@sharifrajab1166
@sharifrajab1166 Год назад
Jazakallahu khayr
@aishamother9943
@aishamother9943 Год назад
Allahu Akbar
@mayaalrawahy5470
@mayaalrawahy5470 Год назад
Ma sha allah
@DjumaAsuman-e5e
@DjumaAsuman-e5e Год назад
SH allah aakuhifadhi pp pl ulipo
@MchangamweIdd
@MchangamweIdd Год назад
Maasha Alllahu
@ShuraimSoud
@ShuraimSoud Год назад
DUKTUR SHEKH OTHMAN MAALIM..
@esharashid4072
@esharashid4072 Год назад
Tengezenii fitnas nzurii yskuzinii na kitegaa uchumii uwazii wakusaidia technology hiyoo ndio shida kubwa kuwavontol na binadamuu shida kubwa wamesoma lakini wanashindwa marifaa Sasa sett this is best to control thisoky
@abdymmanga6338
@abdymmanga6338 Год назад
Mashallah ❤
@mussaathumani9814
@mussaathumani9814 Год назад
Kwaiyo mungu ana mikono shehe
@sarahjattani7993
@sarahjattani7993 6 месяцев назад
Ndio, mikono miwili
@MariamMohamed-bw8xf
@MariamMohamed-bw8xf 5 месяцев назад
❤❤❤❤❤
@mbusamuyisa1109
@mbusamuyisa1109 Год назад
Inatubidi kumu partage kwa wote
@mariamchembea9089
@mariamchembea9089 Год назад
Basi mie mshipa wangu mmoja wa fahamu unkatika sheikh maana sina wivu kwa kweli😂
@BahatiMbuba
@BahatiMbuba Год назад
Kisa kipo aya ipi ya sura ipi?
@esharashid4072
@esharashid4072 Год назад
Sasaa hii ndio fremmwork kuwenii na subra tuoneveinskwenda pia shidaa nyeginee ni dragzyywanapaga mipagoo mukuwe na subra kwasababu yakuharibu mipagoo oky nilitowa idiaa Sasa wanatakuni control mim wachaniwajuwe wotee niliwaona kabisa
@bas2823
@bas2823 Год назад
DO U EXCEPT YR WIFE TO HAVE ANOTHER MAN!? IF!? U CANT! ALSO LADIES CANT EXCEPT HER HUSBANDS TO MARRIE ANOTHER WIFE. KWA SABABU NYIE WANAUME HAMNA UKWELI WALA HAMUWEZU KUWAPENDA WOTE WAWILI SAWA SAWA. HAYO MAMBO YA HADITHI ZA ZAMANI HUJUWI ZIMETUNGWA NA WANAUME ONLY ILI WAPATE KUOWA WAKE WENGI KWA UCHU WAO TUU BAAS HAWAWEZI WAKE WAWILI!? JE!? WATAWEZA WAKE WENGI WA NNE!?? U CANT LOVE THEM THE SAME AS U TALK ONLY U SHOW U LIKE TO TALK MAMBO YA MAPENZI NA KUOWA TUU SHEKHE WEYE HUNA JENGINE ILLA UCHU NA KUTIA FITNA WANAUME NA WAKE ZAO KUWAOWA WAKE WENGI HUO NI UFITNA MKUBWA TENA UNOUFANYWA. MKE MMOJA HAMUMUWEZI MMO TUU KUJIPA NA KUJIONESHA TUU.😢
@AzaShamba
@AzaShamba Год назад
Hujui ulitendalo, ALLAH AKUSAMEHE
@Faizamideva-bv6oo
@Faizamideva-bv6oo Год назад
😂😂kabisa herikuwa blibli
@Faizamideva-bv6oo
@Faizamideva-bv6oo Год назад
Mungu nikubu
@ummujab6323
@ummujab6323 Год назад
Mashallh nimependa mawaidha yakoo mungu akujaliye mwishoo mwema
@IbrahimMambo-wo2jw
@IbrahimMambo-wo2jw Год назад
Mashallah shee wetu
@patrickvieira8866
@patrickvieira8866 11 месяцев назад
Andika vizuri bc
@haoranyusuf6164
@haoranyusuf6164 Год назад
A
@elqadirdaraja5290
@elqadirdaraja5290 3 месяца назад
Misteke
@dickikahese9681
@dickikahese9681 Год назад
mashaaalwah shekhe othman maalim mungu akuongezee kheri zaidi na maisha marefu
@MADRASATISWADAQALLAHUNYARUGUSU
Poa
@rezicky
@rezicky Год назад
MA SHAA ALLAH
@jeanpaulharerimana2687
@jeanpaulharerimana2687 6 месяцев назад
Mashallah
@Hatifissa-l4p
@Hatifissa-l4p 8 месяцев назад
Mashallah
@pilifarhani6049
@pilifarhani6049 6 месяцев назад
Mashallah
@zaituni-im6yk
@zaituni-im6yk Год назад
Mashalah
@Man-p4m
@Man-p4m Год назад
Mashaallah
@ziadaskitchen5060
@ziadaskitchen5060 Год назад
Mashaallah
Далее
Othman Maalim - Baada Safari Ya Israa Wal Miiraj
58:42
Mambo ma 8 muhimu maishani
27:47
Просмотров 46 тыс.