Kwenye issue ya coding kikubwa sana RAM atleast iwe 8GB na kuendelea inategemea na unadevelop nini kama vitu vinahitaji graphics kama games nk hapo RAM inatakiwa iwe 16GB nakuendelea, issue nyingine ni display resolution atleast 1080, na processor pia Core i5 kuanzia 2Ghz inatosha coding