Kwakweli kaka shadow naona afathali ubadishe stali zenu ya kuonesha tabia safi ya kuleza waschana kua si mbaya kutunzwa kama almasi au princess kwenye nyumba na kusmamiya vizuri na wazazi ili aweze huyo msichana kua mama bora wa kulea wtt wa kistaarabu,punguzeni mastori ambae inaleta sifa mbaya kwa waschana ,plz