Тёмный

TOYOTA CUP | Chama atoa neno baada ya Yanga kuichapa 4-0 Kaizer Chiefs 

Azam TV
Подписаться 2,7 млн
Просмотров 91 тыс.
50% 1

#ToyotaCup: “…..kila kombe ni muhimu” - Clatous Chama kuhusu mchezo wa leo, azungumzia hali ya hewa, awakaribisha wananchi kwenye kilele cha Siku ya Mwananchi.
FT: Kaizer Chiefs 0-4 Yanga SC (Dube 25’, Aziz Ki 45’+3, 63’, Mzize 57’)
Ilikuwa LIVE #AzamSports1HD
#ToyotaCup2024 #YangaSC #KaizerChiefs

Опубликовано:

 

7 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 50   
@HalimaIssa-pu4yt
@HalimaIssa-pu4yt Месяц назад
Chama nakukubali Sana Yanga Bingwa
@elizabethkalinga0822
@elizabethkalinga0822 Месяц назад
Safi sana Chama, Mwananchi
@rukiakyaka1827
@rukiakyaka1827 Месяц назад
Namuomba M/Mungu awawezeshe zaidi wachezaji wetu Inshaallah
@pacomezouzoua9175
@pacomezouzoua9175 Месяц назад
Chama baba🎉🎉🎉
@SimonMayenga
@SimonMayenga Месяц назад
Yanga oyeee❤
@amaniomar1755
@amaniomar1755 Месяц назад
Mwamba ana furaha sana 🎉🎉🎉
@allyjuma2584
@allyjuma2584 Месяц назад
Mwamba wa lusaka💥💥💚💛💚💛💚💛
@Aliziktibiita
@Aliziktibiita Месяц назад
Pongez kwenu wachezaj kutupa raha,mashabik yanga daima mbere nyuma mwiko
@DenisSanga-bj5ud
@DenisSanga-bj5ud Месяц назад
Mwamba kapata kombe la kwanza msimu huu wenzake bado wapo na mahangaiko Yanga raha
@fazo-kl9fu
@fazo-kl9fu Месяц назад
Na anafuraha pia❤❤❤❤🎉
@Stevekapugi
@Stevekapugi Месяц назад
Jamaa anaongea kiswahili safiiii🎉🎉🎉🎉
@nabiljumaothman5912
@nabiljumaothman5912 Месяц назад
Chama baba
@DavalsonMarlony
@DavalsonMarlony Месяц назад
kiswahili kzr kbs😊
@patridabernard9148
@patridabernard9148 Месяц назад
Umetishaa babaa
@GodfreyMwendawila-ff7on
@GodfreyMwendawila-ff7on Месяц назад
Uko sawa mdogo wang
@PanchoValentino-wh7wt
@PanchoValentino-wh7wt Месяц назад
Chamaaaaaaa
@pacomezouzoua9175
@pacomezouzoua9175 Месяц назад
Jamaa anafuraha sana
@DevidMwakajila
@DevidMwakajila Месяц назад
Nioenda kaka umejifunza kiswahili twa totela brother
@prosperkatito1661
@prosperkatito1661 Месяц назад
unabaya kaka❤❤❤❤
@barnabambalamula
@barnabambalamula Месяц назад
Jamaa anaonekana ana FURAHA mnooooo
@josephlorri431
@josephlorri431 Месяц назад
Dube kiswahili yake safi zaidi, hata hivyo wote wanajitahidi sana kujifunza. 'MK14' Kagere hapendi kuongea kiswahili
@ShukuruNembo
@ShukuruNembo Месяц назад
Mwamba umechagua sehemu sahihi
@NyamongoLife
@NyamongoLife Месяц назад
Chama alitakiwa kua Yanga misimu mitatu iliyopita
@EmanuelKabea
@EmanuelKabea Месяц назад
Kunamijitu inasema et kaizer chief et mbovuu
@hamisramadhan-eb3ie
@hamisramadhan-eb3ie Месяц назад
Chamaaaa😂😂
@JonathanTryphone
@JonathanTryphone Месяц назад
Chama kiswahili sahiv upo full
@JanuariMchuno
@JanuariMchuno Месяц назад
Yanga bingw
@paulchaula6796
@paulchaula6796 Месяц назад
Chama anajua kiswahili
@saidmlemeta8083
@saidmlemeta8083 Месяц назад
Huyu jamaa yuko kwenye form sana bado
@vicenttarimo2203
@vicenttarimo2203 Месяц назад
Alipo kua Simba misimu mitatu Simba haijapata chohote zaidi ya ngoa ya hisani hata alivo ondoka hakuna hasara simba
@user-hd1nn5fw3f
@user-hd1nn5fw3f Месяц назад
Mwamba wa Lusaka
@RashidMuhunzi-pr5xj
@RashidMuhunzi-pr5xj Месяц назад
MWAMBA WA LUSSAKA
@user-fr3dl1mb4h
@user-fr3dl1mb4h Месяц назад
Mwamba anafuraha sana
@user-zm3ei8tt6h
@user-zm3ei8tt6h Месяц назад
🎉😂chama
@BistinaSamwel
@BistinaSamwel Месяц назад
Nani huyo
@muhammadmuhammad5043
@muhammadmuhammad5043 Месяц назад
Nimwanzo Mzuri Kwavile Wananchi Mashabiki Muzidi Kusapot Wachezaji Wetu Ili Tuendelea Kubeba Macombe Wanasema Wauhili au Warabu Nyota Njema Inaonekana Mapema Ykiswahili Inasema Alfajiri Kwahiyo Imeonekana Kupatika Kwa Cop Jana..
@user-jq7is1hp7w
@user-jq7is1hp7w Месяц назад
🎉 🎉💚💛💪
@remidusmwanandenje-yy5gs
@remidusmwanandenje-yy5gs Месяц назад
Ubaya ubwela😂😂😂😂
@fredrickmapesa7377
@fredrickmapesa7377 Месяц назад
Mwamba
@amaniomar1755
@amaniomar1755 Месяц назад
Wa Lusaka
@NasanNyungu
@NasanNyungu Месяц назад
We
@SalumMkambala
@SalumMkambala Месяц назад
Yng bingw makombe yt
@JumanneOmary-ez3oh
@JumanneOmary-ez3oh Месяц назад
Mwamba wa lusaka
@SimonMayenga
@SimonMayenga Месяц назад
Saf kabisa yanga😅😅😅😅😅
@kassidpandu866
@kassidpandu866 Месяц назад
Daa huyu ni Mzee isee sura tu inasema apumzike
@Prince-rafael
@Prince-rafael Месяц назад
Amna mpare ashawai penda maendeleo ya mtu Hawa watu wanawivu Sana na nilishaliona mapema Sana kuwa urejeo wa manara utompendeza Ali kamwe dogo ako na roho ndogo sana huyuu😏😏
@khamisomar889
@khamisomar889 Месяц назад
Umetumwa kumchafua ali kamwe mana kila kona nakuona na koment moja tuu,mwisho hadi habari za misiba utaanduka upuuzi kama huu
@mustaphawelder7022
@mustaphawelder7022 Месяц назад
Chekelea tu Ila huna namba hapo, utakaa benchi mpaka ukome
@kinyanyaonline3658
@kinyanyaonline3658 Месяц назад
Punguza roho mbaya utafanikiwa
@user-pv3ip3uk2s
@user-pv3ip3uk2s Месяц назад
Chamaaaaaaa
Далее
ПРИКОЛЫ НАД БРАТОМ #shorts
00:23
Просмотров 2,8 млн
Нарвался на сотрудника ФСБ⚡️
01:00
Ip Man 2 | The Boxing Competition
15:57
Просмотров 7 млн
Harmonize - Yanga Bingwa (Official Yanga Anthem)
3:33
Просмотров 839 тыс.