One day corruption will end.. Even if u travel or driving without 👟 is a crime oh my God... Script by Tinny black Written by Aaron bititi Directed by Tinny black BGwoods films
Mambo kama haya ya rushwa ni adui wa haki .Uwezi kununua haki. Maofisa wa police nikukibiana na vitu vidogo. Vidogo mabarabarani. Na kukusanya prsa kutoka kwa wananchi hoyehoye na kusidikisha bidhaa ya magendo .Meh I.G. Bonnet anatakiwe ajiuzulu ameshimdwa na kazi yake. Ofisa wake wanatumiwa wenye mali .