Mmmmhh kelvin why you jamanii adi naliaa ungepambania penz lako bnaaa ungepona tyuu sas utawaacha wasichana wangap ...okie najua ni movie ni nzuri ongeraaa kelvin kipenz ❤❤❤
Congrat for good job donta familly naomba mujue nawapenda nyote sana ilove u all.😄😍😘🎉🎉🎉.nim mayada bayser aka.. munaa kutoka darresalam jamani naombeni like zenu wapendwa..😍😘😍✨😍...
Yani movie inaelimisha sana I wish nipate mwanaume kwenye mpnz ya dhati 🤗 ambae anamuacha mtu anaempenda kwa ajili apate furaa tu💋 unajuwa kutunga mpk unaboa😂
Ila kaka mwendelezo wake unakuwa unatukatili mengi ila ukwel nataman ningekuona ulipo kelvin nikupe ata mkono maana ni kijana ambae saiv unanifanya nifatilie sana move zako
Heeeeeeee maskini pole unajua wengi tunapitia wakati mgumu kuhusiana na mahusiano yetu allah afanye wepesi amin amin amin ahsante kwa mafundisho yenye elimu kubwa ndani yake