❤❤❤❤wow kumbe Leon alifanana grandfather wake navile nimechungulia baby Santiago pia anafanana na Guka yao wajuu wanafanana na Guka yao and your parents house looks so amazing ❤❤❤❤❤
Hapo pa kuenda nyumbani once kama watu wa Mombasa ni uongo sisi tunapenda kwetu pwani sana toka January mpaka saa hii Niko na mara nne na mwezi wa nane narudi huko so tunapenda kwetu sana tukiwa Nairobi tuko mbali but tunaenda anyway mumefanya poa kutembelea wazazi nawapenda bure