Тёмный

TRENI MPYA YA ABIRIA KATIKA JIJI LA DODOMA 

Advanced Engineering Solutions Ltd Tanzania
Подписаться 6 тыс.
Просмотров 158 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 113   
@bonosaugustine6545
@bonosaugustine6545 Год назад
Ahsantee sana Tanzania inaenda kuwa nchi yenye miji mizuri Africa Kama Giant mojawapo katika Africa
@swalehelshabiby5915
@swalehelshabiby5915 Год назад
Tanzania hakuna ufisadi 👏👏👏👍Nawapenda Tanzania from Mombasa with ❤️
@ambaluwanga
@ambaluwanga Год назад
Uliskia wapi?Talk to truck drivers to inform you how corrupt the officers there are.
@yussuphsaleh2165
@yussuphsaleh2165 Год назад
Kitanda usichokilalia hujuwi kunguni wake,,tafuta mkuu wa hesabu za serikali za kila mwaka utajuwa ,, HIYO filamu uliyoweka HAPO ya treni inayopita KWA mbali tukiona jiji zuri, HIYO filam si ya Tanzania usitudanganye
@gilbertowuor6071
@gilbertowuor6071 Год назад
@@yussuphsaleh2165 hu ni mpango mzuri ndugu, hurahia maendeleo ya nchi yako na ya bara la Africa kwa jumla. Mwana Africa mashariki kutoka Kenya.👏👏
@berthatz
@berthatz Год назад
Weee🤣Majambazi huku kila kona..
@margaretmueni4595
@margaretmueni4595 Год назад
Niwafisadi sana tofauti nikwamba wao hawasemi kama Kenya sababu hawana uhuru WA kusema mambo ya nchi Yao kama sisi wakenya
@charlesemmanuel9434
@charlesemmanuel9434 Год назад
Yani display ya picha ni tofauti na uhalisia wa treni yenyewe
@jamesmichaely8646
@jamesmichaely8646 Год назад
Tatizo Lipo Kwa Wale Wapenda Kula Kula
@humphreymachume256
@humphreymachume256 Год назад
Safi sana👍
@tumainimaliti4816
@tumainimaliti4816 Год назад
Kazi iendelee
@tumainimaliti4816
@tumainimaliti4816 Год назад
Kazi iendelee
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 Год назад
Angekuwepo magu angeweza laki?m
@wilsonsikahanga1761
@wilsonsikahanga1761 Год назад
Tunataka matendo kama plani tayari
@amirzuberi980
@amirzuberi980 Год назад
Wazee wa fix hakuna kitu hapo
@adventuressagas
@adventuressagas Год назад
This is a replica of small smart buses.
@michaelrweyemamu1068
@michaelrweyemamu1068 Год назад
Plans nzuri
@alberthkyando980
@alberthkyando980 Год назад
Danganya Toto,aliyeweza Mambo haya ni mmoja tu, waliobaki hayupo itabaki nchi ya kufikirika.
@yusuphwaitara8340
@yusuphwaitara8340 Год назад
master plan nzuri sana big up
@vitarismujuni6889
@vitarismujuni6889 Год назад
Mnatubembeleza tu,qanza hamna Imani
@stephenknutson6256
@stephenknutson6256 Год назад
Just came across your website after I've enjoyed following the progress of the sgr for three and a half years. However, you'll still a dozen languages with closed captions. But there aren't closed captions in any of the listed languages. Although my language is English, what I actually find most disturbing, is that you don't have Swaheli list so that Tanzanians who are Def, don't know what is being said either. Would love to hear about plans for a sgr linking Nairobi to Arusha and then on to Dodama. I also keep wondering why I don't hear anything about the SGR to Kigali. It willalso be interesting to see if a completely new line is built between Tabora and Kigomah, or if a dual track which can be put in place quickly.
@advancedengineeringsolutio6916
Here is the link for English version ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-NudJXVatue4.html&ab_channel=AdvancedEngineeringSolutionsLtdTanzania
@kambamazig02024
@kambamazig02024 Год назад
The plans for SGR line to Kigoma and then to Burundi and Rwanda and Congo are already on plan and onboarding with the Tanzania Burundi segment will be starting sometime next year. The Tabora-Kigoma segment is also in preparations and ready to go.
@jamesmichaely8646
@jamesmichaely8646 Год назад
Mafisanidi Wakitoka Hillo Litawezekana Na Watu Wote Tukashikamana Kwakufanya Maendeleo Ya Taifa Hillo Mbona Niswala Dogo Sana Kwa Selekali yetu
@mgongolwajoseph6901
@mgongolwajoseph6901 Год назад
Mmm sijui
@nickson3473
@nickson3473 Год назад
challenge nyingi sana , muwatumie vijana wengi walioenda kusoma highway marekani, ukiangalia hizo system zina possibilities za ajali ya hali ya juu sana
@jebellwallace3509
@jebellwallace3509 Год назад
Kamba na kwenda mbele
@richardnganya2311
@richardnganya2311 Год назад
KUSADIKIKA YA SHAABAN ROBERT....
@danielshonde5497
@danielshonde5497 Год назад
Duh kongwa hatupo dodoma maan Srg haijapita kongwa hata hii kongwa haifiki
@kawiche4911
@kawiche4911 Год назад
Labda Jpm Afufuke ndio tutaona matokeo hayo Sina imani na viongozi WA SERIKALI .UFISADINDIO WAMEBOBEA MARA ROYAL TOUR MAREKANI MARA ULAYA KUMZIKA MALKIA MARA KUTEMBEZA BAKULI HUKU NA HUKO AIBU KWA TAIFA TUMELOGWA NA NANI BASI TUWATAFUTE MAPADRE NA MASHEHE WATUOMBEE
@mkalagalevumbi1823
@mkalagalevumbi1823 Год назад
Yale Yale ya kigamboni city
@tumainigkiganja2471
@tumainigkiganja2471 Год назад
Mipango inayoonyeshwa ingekua inatekerezwa kama hivyo, Tz ingekua uchumi sio wa kati, wa kwanza kabisa, na Treni zitakazoletwa sio hizi tunazoona🤣
@nusaania2950
@nusaania2950 Год назад
Mabovu mno
@sultandihomba8790
@sultandihomba8790 Год назад
SGR imegeuzwa .....mmetuletea mibehewa ya kigoma to Dar mnatuambia ya kisasa afu et imefugwa kwenye manaironi cjui ndo zuga .aya bwana let mzungu mm naenda zangu 🏃🏃🏃🏃
@jesusbrother7684
@jesusbrother7684 6 месяцев назад
🤣🤣🤣
@kibeyomuhongo8451
@kibeyomuhongo8451 6 месяцев назад
😢 mbona mnapenda sifa mitandaoni?
@kibeyomuhongo8451
@kibeyomuhongo8451 6 месяцев назад
Sometime ukiwa mshamba usiongee. Maana ulichokoment hata hauijui. Muwe mnasafiri hata nchi zanje
@jimmymakwega3872
@jimmymakwega3872 9 месяцев назад
Kwa utawala wa marais kama JPM yes thats possible, otherwise marais wenu wengine kama hao waliopita...NEVER forget it......
@emmanuelchidongoi9658
@emmanuelchidongoi9658 Год назад
Tunahitaji utekelezaji tu na maelezo. Km kweli ikitekelezwa Dodoma itapendeza sana
@ahmadajafari2569
@ahmadajafari2569 Год назад
Akina tundulisu akiona mambokamahayo roho zinawauma hawapendi maendeleo ya tz,
@didimhutila8985
@didimhutila8985 Год назад
Tatizo lent sio kama wazungu,munatuonyesha hivyo then munatenzeneza tofauti!please jengeni hivyo hivyo.
@msafiriomary893
@msafiriomary893 Год назад
TATIZO mnapenda kuomba omba tunakuwa watumwa WA WAZUNGU JPM ndio turio muerewa bas nyinyi mnatupga sana,
@reganshao
@reganshao Год назад
Nikiona picha na mabehewa yaloletwa ya tren ya umeme dahhh naumia mno
@jesusbrother7684
@jesusbrother7684 6 месяцев назад
🤣🤣🤣
@juliusmsoffe6523
@juliusmsoffe6523 Год назад
Hizi ni nadharia sijui kama utekelezaji wake kwani hiyo way leave ya kufanya hayo katikati ya mji siioni
@adamsengo1869
@adamsengo1869 Год назад
Huu mji kama utakuwa hivyo kweli niiteni mbwa nimekaa pale.!! Angekuwepo JPM TUNGEKUWA HATUNA MASHAKA
@samiru-xg8wm
@samiru-xg8wm 3 месяца назад
😂😂😂🎉😂umetisha kaka
@herie16m
@herie16m Год назад
Ninaomba kuitumia hii clip kwa youtube channel yangu pls. Ninaomba
@Joseph-lu4yj
@Joseph-lu4yj Год назад
Dododma ya singapore au ab dhab ?
@georgesombi7872
@georgesombi7872 Год назад
Labda mh kasimu Majaliwa akiwa Rais
@ezekielmugishagwe8883
@ezekielmugishagwe8883 Год назад
Sasa subiri uone hizo treni zenyewe zitakazokuja.
@beatussagalani1397
@beatussagalani1397 Год назад
🤣🤣🤣🤣🤣
@greysonsahani2619
@greysonsahani2619 Год назад
Kututamanisha tu afu vitendo amna
@frankmbawala3115
@frankmbawala3115 Год назад
Ngoja nilie kwanza 😭😭😭😭
@ayoubissa977
@ayoubissa977 Год назад
😂😂😂
@emmarkadum8210
@emmarkadum8210 Год назад
😂😂 uwiii uwiii
@fadhiliromwald
@fadhiliromwald Год назад
😂😂😂😂
@theophilmawe9776
@theophilmawe9776 5 месяцев назад
Du..labda naona kama fantasy
@mussamussa8181
@mussamussa8181 Год назад
Apo kwanza nicheke
@mkalagalevumbi1823
@mkalagalevumbi1823 Год назад
Mmmm yaleyale ya kigamboni city
@wilsonsikahanga1761
@wilsonsikahanga1761 Год назад
Hapa ni kiswahili tu hakuna kuweka lugha za wazungu wanapo anza kutupinga sisi tushaanza
@mpendakiswahili3053
@mpendakiswahili3053 Год назад
Na ndio komana na waheshimu watanzania..wacha mabeberu wakae na lugha zao...
@mudysetraveller4565
@mudysetraveller4565 Год назад
Na unatumia mitandao yao hao mabeberu washangaza maze🤔
@mpendakiswahili3053
@mpendakiswahili3053 Год назад
@@mudysetraveller4565 abunuasi huyu, kwani wire hizo wanazo tumia za fibre optics wamezitoa wapi kama si huku kwetu....
@mudysetraveller4565
@mudysetraveller4565 Год назад
@@mpendakiswahili3053 hapo umesema lakini si waona Kwan sisi hatuwezi kzitengeneza wenyewe hizo way paka waje wao wachukuwe kwao watengeneze🤔🤔🤔 shangazo kubwa sana
@totodavis1949
@totodavis1949 Год назад
Watumie kiarabu ?
@daudimpakachoziyanihamisi998
Maji tuu shida
@nakakyumile798
@nakakyumile798 Год назад
Taifa la porojo tupu
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 Год назад
Sana
@philipokarol4876
@philipokarol4876 Год назад
Idadi ya watu Dodoma inakadiriwa kuwa milioni 3 ifikapo mwaka 2050!! Sensa ya mwaka 2022 tayari watu Dodoma ni milioni 3; Badili design ndugu. Ifikapo 2050 Dodoma itakuwa na watu 22 milioni
@advancedengineeringsolutio6916
Dodoma jiji.
@omarymakota9773
@omarymakota9773 Год назад
Nilitaka kufa me hp
@LemaEustace
@LemaEustace Год назад
Labda Tanzania ya mwaka 2089
@rasnchimbi
@rasnchimbi Год назад
#bila kuwa na KATIBAMPYA hakuna kitu 🤔
@davidluangisa4515
@davidluangisa4515 Год назад
Ujenzi unaanza lini?
@ezekielmburu3418
@ezekielmburu3418 Год назад
Vision 2095
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 Год назад
Kesho
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 Год назад
Kesho
@mcback4384
@mcback4384 Год назад
@@ezekielmburu3418 Tanzania sio Kenya
@denislazaro818
@denislazaro818 Год назад
kesho
@magorymara5515
@magorymara5515 Год назад
Kule kwenye watu Weng hamjaweka mnaleta huku kisiko na watu itakuwaje
@vitarismujuni6889
@vitarismujuni6889 Год назад
Ila sio qa hisani ya rais km hv leo
@shinipapaya846
@shinipapaya846 Год назад
Ukiona hivi ujue kabisaa ndio tumeludi lasmi kule kule awamu ya 4 ni mwendo wa michoro na tupo kwenye MICHAKATO 🤣🤣🏃🏃
@stewartmdebe4314
@stewartmdebe4314 Год назад
Hakuna kitu ni maneno tu
@abdulkibamba679
@abdulkibamba679 Год назад
Wameshindwa kubalance umeme wa majumbani vp wataweza huu wa mwendo kasi hahaha n kituko
@rajabyasin111
@rajabyasin111 Год назад
Ila hii nchi cju tumerogwa na nani maana hio mipango cjui kama itatimia
@jonimarwa597
@jonimarwa597 Год назад
Ang'ekuwa MAGU kidogo ninge'kubaliana na nyie lakn kwa hawa wengine hakuna chochote hizo ni swaga tu!
@alberthkyando980
@alberthkyando980 Год назад
Bwawa lanyerere tu lipo Kama halipo
@JohnMpesa-t4s
@JohnMpesa-t4s 3 месяца назад
Jpm
@msowamhokole7714
@msowamhokole7714 Год назад
Mapicha Picha tuuu
@rashidkambi4584
@rashidkambi4584 Год назад
Walisha chora hapa dsm miaka 10 iliyopita Tena kwa mbwebwe wakiwa juu ya chopa kilichofata cc mpk Leo
@rosemaryshilla5259
@rosemaryshilla5259 Год назад
Nimekubali kazi inaendelea
@hashimshaban4675
@hashimshaban4675 Год назад
Tatizo kinachoonyeshwa kwenye plan na reality huwa ni mbingu na ardhi
@didimhutila8985
@didimhutila8985 Год назад
Ndio zao!
@kiliantereba6502
@kiliantereba6502 Год назад
Hakuna kitu ni maneno tu na mipango mingi. Ya dar Dodoma yenyewe imeshindikana kwisha. Kila siku ni 90% zisizoisha. Barabara ya kimara city center imeshindikana kumaliziwa tu. Hiyo mipango ni hadithi za nchi ya kusadikika tu
@bozbun3994
@bozbun3994 Год назад
Msiwe mnatuonyesha maana mnachokileta sicho
@mzalendo9678
@mzalendo9678 Год назад
Hamna lolote.mipango mingi lakini utekelezaji ni zero
@msemasungura5651
@msemasungura5651 Год назад
Miaka 100
@amosieliadi1504
@amosieliadi1504 Год назад
Danganya Sana watu
@zefamange7281
@zefamange7281 Год назад
Mama amenunua majeneza
@MamuduAziz-h1z
@MamuduAziz-h1z 7 месяцев назад
Maandalizi ya 2025 kura za wajinga
@erickarangwa949
@erickarangwa949 Год назад
This is nonsense!
@shaulitangaugulumo1597
@shaulitangaugulumo1597 Год назад
Baadaye cku ikifia watatuonyesha reli mitumba
Далее
бабл ти гель для душа // Eva mash
01:00
Ilkinchi hotin oberasanmi deb o’ylabman🥹😄
00:26
Most Useless Megaprojects in the World
16:31
Просмотров 49 млн