Тёмный

TRINITY/ UTATU. Pastor Joseph vs Ex- Pastor Ibrahim. ( 

Ibrahim XP
Подписаться 13 тыс.
Просмотров 594
50% 1

#KukuruKakara #XPTV #DEBATE #TALK
MADA: UTATU / TRINITY
Moderator: Abu Raas
Speakers: Ibrahim XP vs Pastor Joseph Kwoma
Tuungane pamoja katika mdahalo wa majadiliano kati ya Ex-Pastor (Akisimamia Tawheed) na Pastor (Akiwakilisha Utatu) itakayokujia live (Moja kwa Moja) kwa XPTV na Abu Raas Media leo usiku kuanzia Saa Tatu Na Nusu (9:30pm/ 21:00hrs) Masaa ya Afrika Mashariki
LINK YA KUTAZAMA LIVE: ru-vid.com...
LINK YA KUINGIA STUDIO: streamyard.com...
(Facebook @ibrahimxptv | RU-vid @ibrahimxptv | Instagram @ibrahimxptv | Twitter @ibrahimxptv | Twitch @ibrahimxptv | Tiktok @ibrahim_xptv | Google Play Store- XPTV

Опубликовано:

 

19 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 14   
@yahyaali3951
@yahyaali3951 7 месяцев назад
Tunawafutilia vyema tukiwa zanzibar, shukran shekh Ibrahim
@nassorsharifu9837
@nassorsharifu9837 7 месяцев назад
Duh! nimecheka sana eti Mungu alikuwa anaongea na mwanawe hata wakristo wengi hawaamini hilo
@F.j84
@F.j84 7 месяцев назад
Al amin na al alameen ni tofauti. Musikurupukie quraan hapo hamuelewi chochote
@F.j84
@F.j84 7 месяцев назад
Wallahi hawa hawako huku wala huku bibilia yenyewe wanaisoma lkn hawaiamini
@F.j84
@F.j84 7 месяцев назад
Yess lazma ujue kiarabu ndio uifahamu quraan... Sio ue muislam hapo umebadilisha maneno
@F.j84
@F.j84 7 месяцев назад
Edward ajiona mjuaji kweli
@F.j84
@F.j84 7 месяцев назад
Hawa wanakuja na hoja kupoteza mada ya utatu kw maana hawana hakika na bibikia yao sasa wataka kuitia unajis Qur'an
@nassorsharifu9837
@nassorsharifu9837 7 месяцев назад
Yesu alijibu kwa sababu watu hawakufahamu waliposikia mwana wa adamu lakini kwa waislamu halina shida hilo. inaonesha mchungaji hajasoma fasihi hata ya kiswahili vyenginevyo asingeuliza hayo maswali
@F.j84
@F.j84 7 месяцев назад
Al amin means muaminifu... Al alameen ni kw Allah maana yake muumba wa dunia zote
@F.j84
@F.j84 7 месяцев назад
Kiburi kingi na wamepotea.
@F.j84
@F.j84 7 месяцев назад
Hawa wamekuja kuvamia quraan wakati bibilia yawachanganya... Quraan tumeenda madrasa for 20 years na bado hatujahitimu
@F.j84
@F.j84 7 месяцев назад
Watu wasomi wenye uelewa salama akili makini ndio wanafahamu
@F.j84
@F.j84 7 месяцев назад
Ukweli wameuona hawana pakukibilia eti sasa watafta speech mark kw quraan ni nini
@F.j84
@F.j84 7 месяцев назад
Hawa wanasoma Qur'an kw chuki
Далее