Тёмный

TRUMP apewa makavu kwenye Mkutano Mkuu wa Democratic 'Anaweza kuiuza nchi kwa dola moja' 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 15 тыс.
50% 1

Авто/Мото

Опубликовано:

 

26 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 52   
@RaphaelMwasenga
@RaphaelMwasenga 2 месяца назад
Hakika hii sauti ni dhahabu hakika haichoshi kuskiliza bro keep moving big up more ❤❤❤
@JamesMwandoje
@JamesMwandoje 2 месяца назад
🎉🎉🎉🎉❤❤❤...siasa za merekani zinera hamasa kbsaaa....
@AlexGwiha
@AlexGwiha 2 месяца назад
This is america power
@nelsonmrutu371
@nelsonmrutu371 2 месяца назад
TURUMP 2024🇺🇲
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 2 месяца назад
hawa watu sipendi mambo yao ya kupigania ushoga etc .... Na wajue majira ya marekani kuongozwa na mwanamke bado😅
@nixsonmkamba2895
@nixsonmkamba2895 2 месяца назад
😂😅😅
@IsakaMgeje
@IsakaMgeje 2 месяца назад
Watu wanapenda sana kiza kuliko Nuru . Hapo Mashoga ndio wamejaa . Makubwa yanakuja janga ili la Upinde litazidi sana kusumbua Dunia . Lakini Marekani Itaanguka vibaya sana .Putin atachukua point kubwa sana kupitia utawara wa uyu mama Shetani
@sonnyr1899
@sonnyr1899 2 месяца назад
Hawa watu wakishinda tena hali ya uchumi itakuwa tete sana na vita zisokuwa na ulazima.
@JamesMwandoje
@JamesMwandoje 2 месяца назад
Kamal ataketa historia mwanamke anaweza Safiiii🎉🎉❤❤❤❤
@nichoojr.6747
@nichoojr.6747 2 месяца назад
ROBOTI
@MikelSitoe
@MikelSitoe 2 месяца назад
Hawana udemokracia yoyote 😂😂😂😂😂😂
@AndrewFundi
@AndrewFundi 2 месяца назад
First one some likes please 🥺 American
@harithwhite589
@harithwhite589 2 месяца назад
Tunakushukuru kaka sky
@mwatanojames3717
@mwatanojames3717 2 месяца назад
huyu amepata bahat km raisi wetu, mm naamin apata nafas ya urais
@JamesMwandoje
@JamesMwandoje 2 месяца назад
Mungu kma alipanga Harris kuwa Rais bsi itakuwa Raisi wa kwnza kutawala dunia mwanamke
@petronyereresaliboko4047
@petronyereresaliboko4047 2 месяца назад
Napenda tabasamu la kamala tu😊😊😊
@EmanuelNicholaus-of1qg
@EmanuelNicholaus-of1qg 2 месяца назад
TRUMP anashinda huu uchaguzi
@onesterabayo1871
@onesterabayo1871 2 месяца назад
Kamala all the way
@Amry-xx4ps
@Amry-xx4ps 2 месяца назад
SNS 🔥🔥🔥🔥
@GabrielSky64
@GabrielSky64 2 месяца назад
Kiongozi mpya wa Dunia anatafutwa hapa😅
@BunzarMarco
@BunzarMarco 2 месяца назад
Trump hoiii😀😀😀😀
@thelonewolf4429
@thelonewolf4429 2 месяца назад
Hawa ndio mashetani wenyewe sasa
@MichaelMathew-j3f
@MichaelMathew-j3f 2 месяца назад
Hili mwanamke hata halivutii!! Hahahahahahahaa silipendi hata kidogo katika uongozi
@AllyHassan-e2m
@AllyHassan-e2m 2 месяца назад
Hakuna kionqozi mwema marekani sera zao zakinyonyaji ubaquzi wa ranqi ubaquzi wa imani za watu na mataifa yao ni watu wakupenda kuuwa watu wenye misimamo ya kweli ya dini zaidi waislamu ndio maaduwi zao wakubwa hawa watu wanaamini imani za kishetani si vinqinevyo na watu ambao wanapenda maisha ya dunia zaidi na ndio maana wanaoqopa kufa wanatamani waishi miaka alfu moja bila kufa lakini hata munqu anqewajaalia hiyo miaka alfu wanqelikufa pia wana mila mila mbaya zaidi ya shetani waamerica
@MsAggie5
@MsAggie5 2 месяца назад
Wewe huogopi kufa? Kweli wengi wao hawana hofu ya Mungu angalau Trump ana jitahidi, hapendi ushoga na hapendi vita. Tatizo wamerikani wenyewe wanapenda ushetani ningependa Trump ashinde ili vita viishe duniani.
@PerfectGirl-dj7zq
@PerfectGirl-dj7zq 2 месяца назад
Elewa kwamba marekani ni nchi ya kibeberu inaamini kwamba ili iendelee kuwa hai kiuchumi lazima nchi zingine zife kiuchumi Ila trump yeye yupo tofauti kidogo ndo maana kipindi chake hakukuwa na vita yoyote kitu kilichopelekea sanators wa marekani kumuondoa madarakani kwa figusu ingawaje wananchi walikua wanampenda Kwa mm naamn trump akiingia madarakani tutavuta pumz
@MsAggie5
@MsAggie5 2 месяца назад
@@PerfectGirl-dj7zq Sana tutapumzika kusikia watu wanakufa hovyo lakini nahisi America shetani ndo anatawala usikute hawatamchagu ili shetani aendelee kujitukuza. Vita viendelee damu za watu zimwagike, ushoga na utoaji mimba uendelee ili waendelee kumchukiza Mungu.
@PerfectGirl-dj7zq
@PerfectGirl-dj7zq 2 месяца назад
@@MsAggie5 n wakati wa marekan kudondoka Kama ilivyowahi kutokea kwa mabeberu wengine Kama Roman empire na British empire Watu wamechoshwa na manyanyaso yake kuua watu wanaopigania maslahi ya nchi zao Kama gadafi nk Hivyo ndo sababu mataifa Kama Russia china north Korea Brazil india yameungana na kutengeneza umoja wao lengo ni kuaminisha Dunia kwamba tunaweza ishi vizuri tuu bila mmarekani Hivyo hata akishinda Kamala Harris ndo anaenda kuanguka vizuri maana atataka kundeleza uchochezi wa vita halafu watu hawatamnyamazia tena
@MikelSitoe
@MikelSitoe 2 месяца назад
wezi wa khura hawa 😂😂😂😂
@vibetz9991
@vibetz9991 2 месяца назад
Tunamtaka Trump 🎉
@EmanuelNicholaus-of1qg
@EmanuelNicholaus-of1qg 2 месяца назад
Mimi pia sio hawa Wa democrat
@mmungajieanpirre4655
@mmungajieanpirre4655 2 месяца назад
🤫🤫🤫🤫🤫🤫
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 2 месяца назад
Mimi asiyewapiganiya wapalestini simuungi mkono
@MsAggie5
@MsAggie5 2 месяца назад
Kati yao wote hakuna anayempenda mpalestina. America unaongozwa na mayahidi japo Trump hapendi vita lakini hawezi kuwapa kisogo Israel
@Stillrunlikeaball
@Stillrunlikeaball 2 месяца назад
Raisi ajae wa America ni Kamala Harris eka kumbukumbu ya text hii
@nassercurtis9579
@nassercurtis9579 2 месяца назад
Kimya kingi ndio chenye mshindo, Mark my word Trump anarudi kitini.
@allykwaya
@allykwaya 2 месяца назад
​@@nassercurtis9579Naamini hilo kwasababu wamechoshwa na vita na uongo
@CalebThomas-ie4zy
@CalebThomas-ie4zy 2 месяца назад
Tupe hbar za islaeli kaka
@donaldmgunda4970
@donaldmgunda4970 2 месяца назад
😂😂😂
@muhengamakunga
@muhengamakunga 2 месяца назад
hawa jamaa sio poa wana jua trump aki ingia tu biashara ya silaha kwisha
@AfzalShah-gp5oj
@AfzalShah-gp5oj 2 месяца назад
Tramp ndo mbaya zaidi vita vitaendelea mpaka mkome
@IceCube-o6s
@IceCube-o6s 2 месяца назад
​@@AfzalShah-gp5ojWacha ufala kondoo hii angalia history ya Marais wote wa Marekani wa hivi karibuni huoni ni nani amekaa Madarakani bila kuwa na Vita ni Trump pekee.....inaonekana unapenda kuamini propaganda sana msee 🫤🫤
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 2 месяца назад
​@@AfzalShah-gp5ojhapana fuatilia kipindi cha trump hapendi vita Fuatilia uone alipoingia yeye na walipkua hawa! Mtoa comment yuko shihi
@TheBossOdhis
@TheBossOdhis 2 месяца назад
Uongo ​@@AfzalShah-gp5oj
@DjskillsTboiyprincess
@DjskillsTboiyprincess 2 месяца назад
@@christinewomanoffaith5479trump alikuwa rais kipi kilimfanya ashindwe urais?
Далее
Ванька пошел!!!! 🥰
00:18
Просмотров 681 тыс.
DEMONS ARE ATTACKING BRAWL STARS!!!
09:08
Просмотров 12 млн
skibidi toilet 77 (part 4)
05:20
Просмотров 11 млн
FULL SPEECHES: Michelle, Barack Obama address DNC
58:16
ДОРАБОТАЛ АВТОВАЗ #shorts
0:19
Просмотров 2,4 млн