Тёмный

TRUMP awamwagia sifa PUTIN na KIM JONG UN kwenye interview na ELON MUSK, amchana KAMALA HARRIS 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 25 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 85   
@Maryc2G
@Maryc2G 2 месяца назад
Mr. President Trump anapenda Amani na watu wote 👍🏽
@FahmiNassor
@FahmiNassor 2 месяца назад
Hakuna rais yoyote wa marekani anaependa amani wao wapenda mizozo ili waibe mali za watu na kuuza silaha
@Maryc2G
@Maryc2G 2 месяца назад
Simulizi na sauti nawapenda sana kwani you keep inform us on Important news happening in wide world. FREDIRICK BUNDALA, unaijua kazi yako sana, you’re doing the Good job. SNS mko tofauti sana na media zingine Tanzania 🇹🇿, nyie wote huwa mnaandaa topic zenu vizuri. Mimi nikisikiliza habari popote nafuatilia na kila habari mnazotoa ni accurate. Najivunia kuwa na watangazaji wazuri wa kiwango hicho. 👏🏽👏🏽. Guys keep up the good job 👍🏽 🇹🇿🇹🇿
@SimuliziNaSauti
@SimuliziNaSauti 2 месяца назад
Tunashukuru sana Mary
@Maryc2G
@Maryc2G 2 месяца назад
@@SimuliziNaSauti 👏🏽
@nicospack3893
@nicospack3893 2 месяца назад
​​@@SimuliziNaSauti Nawakubali sana Sns kuingia RU-vid lazima nianze na sns Mungu azidi kuwapiganiia nguvu mr FREDICK BUNDALA NA HENDRY MWINUKA DJ SMA NA MASUBI FREDI SAUTI una sauti ya thahabu ndugu yangu mshukuru mwenyenzi Mungu kwa sauti kama hiyo na sisi tunazidi kuwaombea hii BLOG izidi kukuwa na Mungu azidi kuwafungua akili tuendelee kupata madini ya GPS kila wikiendi asanteni sana by NICO PANGA A.K.A PANGA SPACK FROM KARATU ARUSHA
@eliasndomba7937
@eliasndomba7937 2 месяца назад
Safi mno
@christiankambuga9338
@christiankambuga9338 2 месяца назад
Safii
@brianbaltazar6198
@brianbaltazar6198 2 месяца назад
Big sana SNS
@Stans_Tz
@Stans_Tz 2 месяца назад
Mama anaupiga mwingi 👏🏾👏🏾
@barackbrysonramsey
@barackbrysonramsey 2 месяца назад
Hatumfahamu mamaako
@panadomadola3064
@panadomadola3064 2 месяца назад
Wewe unae mtaja mama pumbu la shangazi yako, atuongelehi habari za mama hapa, akili yako aina akili
@labansogomba8753
@labansogomba8753 2 месяца назад
no sleep broo
@Mubarak552
@Mubarak552 2 месяца назад
Kwangu wewe ni mtangazji bora, unaweka alama za kufunga na kufungua, una report uhalisia wanavyozungumza kama inavyotakiwa, u r the best sir، kila la heri Trump, Marekani inakuhitaji
@jhecfoundationtanzania2891
@jhecfoundationtanzania2891 2 месяца назад
Mubarak nakukubali Sana kaka
@DevZone1089
@DevZone1089 2 месяца назад
kweli kabisa
@Maryc2G
@Maryc2G 2 месяца назад
@@jhecfoundationtanzania2891 kazi yake nzuri sana 👍🏽
@GeorgeMahila
@GeorgeMahila 2 месяца назад
Sure
@Maryc2G
@Maryc2G 2 месяца назад
@@Mubarak552 kweli kabisa
@ndibanjegerard1691
@ndibanjegerard1691 2 месяца назад
Hiki kipindi nikizuri sana ila nikilefu sana
@FranckDaniel-cc5rg
@FranckDaniel-cc5rg 2 месяца назад
Trump ni mtu wa amani ila sistim ya marekani inataka vita ni ngumu sana kwa yeye kushinda
@allykwaya
@allykwaya 2 месяца назад
Tena kwa kipindi hichi inahitaji sana, Uchumi wao umeshuka mno, ispokuwa hawazi kuripoti hilo.
@kendwahamisi4903
@kendwahamisi4903 2 месяца назад
Nawapata vizuri nikiwa dodoma
@paschalfausitine7108
@paschalfausitine7108 2 месяца назад
Dodom ipi upo
@jotafungo4622
@jotafungo4622 2 месяца назад
Huyu jamaa hapaki rangi upepo
@PHPJSP
@PHPJSP 2 месяца назад
Kama usilizia sns gonga
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 2 месяца назад
BULLDOZE TRUMP AKIKAA KWENYE KITI DUNIANI WATAKAA KWA UOLEWANO YUPO STERLING TRUMP ❤❤❤😂😂😂
@mohdmohd8428
@mohdmohd8428 2 месяца назад
Allah ampe hekima Raisi wetu S. S. Hassan🎉
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 2 месяца назад
Duuuuh!!!
@mohendemohende8915
@mohendemohende8915 2 месяца назад
🎉 you😮 too much to🎉
@godfreyfrugence4176
@godfreyfrugence4176 2 месяца назад
Duuh
@williammbuzimai5744
@williammbuzimai5744 2 месяца назад
Unaota!!!
@josephgomalo41
@josephgomalo41 2 месяца назад
allah angekuwa Mungu wa kweli ampaye hekima mtu ye yote .. sumaye a.k.a. (zero) hassan asingeuza bandari zetu kwa waarabu wa DP World ambao ni members wa utandawazi au New World Order .. ambao ni wakoloni mamboleo .. wanatunyima Tanganyika haki ya kutumia bandari zetu ili kunufaika moja kwa moja na biashara za kimataifa na kutumia bandari zetu katika kujinufaisha nchi za kiarabu (Arab Emirates) kibiashara na China (ambayo hatuna uhusiano mbaya nayo .. hivyo tunatakiwa kuingia makubaliano na China na kunufaika kwa kutumia bandari zetu sis wenyewe .. hata kwa kulitumia jeshi letu kusimamia uendeshaji wa bandari!) ili faida ya usafiirishaji wa bidhaa za China kupitia Afrika hadi bahari ya Atlantic kwenda bara la Marekani ziwanufaishe wao waarabu na washirika wao .. na sio Tanganyika! Endeleeni kujidanganya .. na kumuona sumaye aka hassan (zero) anaongozwa na hekima zitokazo kwa Mungu!
@Visionofeagle9689
@Visionofeagle9689 2 месяца назад
Trump 2024💪🙏✊
@browskymuba6923
@browskymuba6923 2 месяца назад
Trump ni kweli mropokaji nimble anakurupuka ni mtu selfish somehow mfanyabiashara after all lkn mungu amulinde kwa sababu mtazamo wake uko sahihi zaidi
@muhengamakunga
@muhengamakunga 2 месяца назад
Sasa mna zingua mmeanza kuchoka sie hatukusoma
@mashujaa.2577
@mashujaa.2577 2 месяца назад
Trump yupo vzr Dunia inahitaji Amani
@StevenTaylorx
@StevenTaylorx 2 месяца назад
Trump ni mbaguzi..Ali wahi sema Africa itawaliwe tena
@Aminmwansile-we8vn
@Aminmwansile-we8vn 2 месяца назад
Mchokozi hata siku Moja hajawaifanikiwa putini hatafanikiwa katika vita vyake
@mashujaa.2577
@mashujaa.2577 2 месяца назад
Tunasababu ya kutawaliwa Tena Ni kweli haswa TANZANIA maana inauzwa vipande bipande wachache wanagawana mpunga
@SalumJuma-iz2gj
@SalumJuma-iz2gj Месяц назад
Matangazo yaweke mwisho
@visionstudios6804
@visionstudios6804 2 месяца назад
Mwamba ulali kabisa 😊😅
@yassinmohamed8241
@yassinmohamed8241 2 месяца назад
Viva putin
@panadomadola3064
@panadomadola3064 2 месяца назад
Viva shoga Putin
@allykwaya
@allykwaya 2 месяца назад
​@@panadomadola3064 Huskii aibu kuandika maneno ya hivyo kiasi hicho?
@benedictinelusambo069
@benedictinelusambo069 2 месяца назад
Jaman mm nauliza lengo la Trump na Elon musk kuanzisha hayo majadiliano n Nini?
@RaphaelAganze
@RaphaelAganze 2 месяца назад
Wewe haujuwi kama wako kwenye kampeni ?.swali la kizushi sana
@espoiraklonda8664
@espoiraklonda8664 2 месяца назад
Wapili naitaji mauwa yangu
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s 2 месяца назад
Waafrika wakoma tumbo joto hakutakua na misaada ya hela za ovyoovyo kudaadeki trump mwamba
@hamzaally2283
@hamzaally2283 2 месяца назад
Hatulali usiku kucha tuwafuatilia
@Stans_Tz
@Stans_Tz 2 месяца назад
Mama anaupiga mwingi 👏🏾👏🏾
@panadomadola3064
@panadomadola3064 2 месяца назад
We shoga Jabar,nsha kwambia usituletee habari za mama hapa, shoga mkubwa we
@ChoroTesla
@ChoroTesla 2 месяца назад
Wenzetu bhana ex president anashiriki mdahalo fresh bila shida njoo kwetu afughanistan sasa
@DevZone1089
@DevZone1089 2 месяца назад
hahahahahah
@ChoroTesla
@ChoroTesla 2 месяца назад
@@DevZone1089 sure kaka sijui tuna matatizo gani na sijui tunaficha ujue midahalo inasaidia kujua viongoz wetu wana mawazo gani mazuri ya kuweza kutusongesha mbele
@DevZone1089
@DevZone1089 2 месяца назад
@@ChoroTesla ni kweli
@ChoroTesla
@ChoroTesla 2 месяца назад
@@DevZone1089 trump alivvyosema africa is sh*** ***oles hakukosea
@DevZone1089
@DevZone1089 2 месяца назад
@@ChoroTesla 😂
@donaldmgunda4970
@donaldmgunda4970 2 месяца назад
Hutapataa urais wewe mzeee, enderea kujikombaaa kwa putting
@margarethkiatu5546
@margarethkiatu5546 2 месяца назад
Before you were very posting a lot about Biden/ Trump??? What's happened now? He is under water. You believe everything Trump said, asked yourself when he was president ( Trump) why he didn't even invite that guy? Again asked yourself. By the way there's no even Russian embassy in US. This is the country of law. He is facing sentencing on September, hopefully you will post this one too. I beg you will post the DEBATE against Kamala on September 10.
@AgustaZaile
@AgustaZaile 2 месяца назад
Madness
@Zuhuranadadoita
@Zuhuranadadoita 2 месяца назад
Wote ndo wale wale toka nijuwe trump anawapenda Israel Sina hamu naye 🙌
@Pedeshee01
@Pedeshee01 2 месяца назад
Wote ni wale wale kweli ila asiyejua atashabikia tu,Huyu si alitoa amri ya kuuliwa kamanda sulleyman.akahamisha ubalozi wa marekani kutoka Tel Aviv kwenda jerusalem kitu ambacho wenzake hapo nyuma hawakukifanya.akaitambua miinuko ya Golan ya siria kama ni ya israel.Siasa za marekani ni zile zile tu.
@mchjohnmasegese8193
@mchjohnmasegese8193 2 месяца назад
Sasa wewe unataka Israeli achukiwe na watu wote.
@mchjohnmasegese8193
@mchjohnmasegese8193 2 месяца назад
Sasa wewe unataka Israeli achukiwe na watu wote.
@ndizindeleti761
@ndizindeleti761 2 месяца назад
Izlaeli inatakiwa ikemewe kw mauji ya wanawake na wtt lakini malekani na nato inawatetea pamoja na kuchukua maeneo y wparstina
@IsackIsacksamson
@IsackIsacksamson 2 месяца назад
Achen udini israel inapaswa kulindwa kwa nguvu kubwa mana iran ina nia ya kuifuta kwenye raman ya dunia na ameweka makundi ya kigaidi kila upande
@janiafaomaa5120
@janiafaomaa5120 2 месяца назад
TRUMP ANAONA KUSHIDWA HANALAKUSEMA ATARUDI KWAO ALIKOTOKA BABAYAKE UJARUMANI KAMPOZA TESLA ALIKUWA ANAMSAPOTA TRUMP KAMPUNI YA TESLA IMEPATA HASARA 2.7 BILIONI BAIDEN NA UBAMA VAIS PRISDETI SEREKALI INA ISAPOTA KAMPUNI YA G M C
@peteremmanuelymatwimatwiem3258
@peteremmanuelymatwimatwiem3258 Месяц назад
Sawa😂😂😂
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 2 месяца назад
Coment chache why? 😂😂😂
Далее
TURKEY | A Muslim Superpower?
13:52
Просмотров 159 тыс.
I get on the horse's nerves 😁 #shorts
00:12
Просмотров 2,9 млн
Wait for it 😂
00:19
Просмотров 1,4 млн