Тёмный

ULAYA - JORAMU NKUMBI asimulia MAZITO alioyaona akiwa huko, aogopa haya ya KUTISHA, asifia MAZURI 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 38 тыс.
50% 1

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 265   
@anuarymyekakimolo4785
@anuarymyekakimolo4785 9 дней назад
Wew bora ulisafir kwa uchungu huo hongera sana kaka kuna "MANYUMBU" wamesoma nchi hizohizo na wamekua viongozi wa taifa letu lakin ni manyumbu tu , manyumbu, ni manyumbu tu
@borntolearnaway
@borntolearnaway 25 дней назад
Dah nilitamani siku huyu Mwamba tumskie dah SnS ni level nyengine big up
@JuliusMtunguja
@JuliusMtunguja 25 дней назад
JORAM,HONGERA SANA.HATA ECKERNFODE CAMBRIDGE, TANGA WANAFUNZI WALIKUPENDA SANA.KUMBE KUNA VISION KUBWA SANA NDANI YAKO.
@joramunkumbi
@joramunkumbi 25 дней назад
Oooh Nimefurahi kupata Ujumbe wako Mwalimu, Asante Mkuu wangu wa Kazi - Nawe ulikuwa ni Mwalimu wa Kujituma sana na Uliojaa nidhamu
@ramadhanwilbard8196
@ramadhanwilbard8196 2 дня назад
Huyo Jamaa ana chembechembe za Mwl Nyerere.
@SaidKondo-rw8wb
@SaidKondo-rw8wb 25 дней назад
Nimependa jinsi unavyojuvunia kiswahili,safi sana
@africanmandetraveler2847
@africanmandetraveler2847 25 дней назад
Africa kuendelea ni vigumu sababu viongozi wengi ni vibaraka watiifu wa magharibi.
@paschalsafari9747
@paschalsafari9747 25 дней назад
Kabisa
@samirhumud7408
@samirhumud7408 25 дней назад
Sio viongozi hata raiya wao ni watiifu
@omuze1290
@omuze1290 25 дней назад
Ndugu, lenye mwanzo lina mwisho!
@justusngailo9302
@justusngailo9302 25 дней назад
Viongozi wa namna hiyo ni zao la cc wananchi wa hovyo .tukubali ifike pahala waafrica tukubali Kuna sehemu punakwama tubadili namna yakufikiri.
@bcozhenry2698
@bcozhenry2698 24 дня назад
Licha ya utiifu kwa mabeberu ni wezi pia waliokubuhu kabisa
@user-rt7si4kc2i
@user-rt7si4kc2i 25 дней назад
Nakukubali sana kaka uko very smart waswahili bado tuko nyuma saana,
@1961nungwi
@1961nungwi 23 дня назад
Mimi nimefika Chuo Kikuu huko Sweden nikakuta mpaka Canteen ya wanafunzi ndio hiyo hiyo ya Maprofesa: sisu huku tumetenga; utazani mahitaji ya miili yso ni tofauti! !!
@aidanmbilinyi8184
@aidanmbilinyi8184 12 дней назад
Nawezaje pata scholarship huko sweden ndugu
@thadeombani7869
@thadeombani7869 22 дня назад
Amina ubarikiwe sana ndugu yangu kwa makadara ya mwenyezi Mungu ,Mungu tusaidie tupate vijana kama hawa elfu 10,000 ili nchi hii ya Tanzania iamke bado tumelala
@elinurujohn975
@elinurujohn975 2 дня назад
❤ kaz nzuri kaka utakumbukwa sana.
@lettysalala2504
@lettysalala2504 25 дней назад
Watanzania atuna umoja hata kidogo na hawawezi saidiana
@neemamasimba2981
@neemamasimba2981 13 дней назад
True
@ndimizarohomtakatifurichar9802
@ndimizarohomtakatifurichar9802 25 дней назад
Lahaula lakwata😢😢😢😢
@omuze1290
@omuze1290 25 дней назад
Huyu jamaa anayesimulia is purely sanguine. Anajua kuongea!❤
@EmanuelChisna
@EmanuelChisna 12 дней назад
Ni melankoli as a dorminant character,sangwini ni resecive
@user-xr2hw3om9z
@user-xr2hw3om9z 25 дней назад
Hawa ndiyo vijana Serikali inatakiwa kuwatumia.
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 15 дней назад
DIRA YA MAENDELEO YA TAIFA 2050 IZINGATIE UJENZI WA MIUNDOMBINU STAHIKI. TUMECHELEWA SANA. VIONGOZI ZINGATIENI MAWAZO HAYA
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 4 дня назад
Je atapendwa? huyu amezidi ktk ukweli , hatotakiwa.
@barakamshiu7146
@barakamshiu7146 24 дня назад
This man should be the given presidential candidate chance in 2030... if he win, he will make this country better than the people of his age who are going to take that chance! That is the Fact
@rommyshabby3959
@rommyshabby3959 24 дня назад
Huyu ana sera za ujamaa so kwa nchi kama tz watu wenye falsa za kijamaaa hawawezi kupata nafas
@seketawaissa1129
@seketawaissa1129 22 дня назад
Bingwa kabisa uyuu
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 21 день назад
Eh
@anuarymyekakimolo4785
@anuarymyekakimolo4785 9 дней назад
​@@rommyshabby3959au unaogopa uwezo wake
@anuarymyekakimolo4785
@anuarymyekakimolo4785 9 дней назад
Sawa lakin nawewe pia andika kiswahili, unarudia yaleyale we vip tena
@bagumandongwe8566
@bagumandongwe8566 24 дня назад
Hii interview ilimstahili Bundala, huyu mwamba ni muhimu sana mngemheshimisha sio kumuhoji kiholela hivyo sisemi mtangazaji hajui ila kiwango chake bado kiko chini
@anordgerison8639
@anordgerison8639 24 дня назад
Acha uchawi wewe Roho mbaya Kama ya mbwa .....!!!! Mwaandishi anajua Sana sema amekutana na mtu ambaye n muongeaji Sana
@saidmasoud9004
@saidmasoud9004 10 дней назад
Mtangazaji yuko sana vizuri haku mwintaraki na story ili flow vizuri.
@bagumandongwe8566
@bagumandongwe8566 10 дней назад
@@anordgerison8639 nauhakika unajua kusoma ila sidhani kama unajua kuelewa unachokisoma, …… hamna sehemu niliposema kwamba mtangazaji hajui , unaweza kurudia kusoma comment hiyo tena, kuelewa na kufikiria badi ni halali haijapigwa marufuku bado…
@anuarymyekakimolo4785
@anuarymyekakimolo4785 9 дней назад
Amna wakati mwingine maongez ya kukata kata ya mwandishi kujikuta anajua Lakin ameacha jamaa atoe elimu kwa upana. Kuhoji hoji kihorela syo ujuz Huwa ni ufala wakati mwingine
@BinsiraVena
@BinsiraVena 24 дня назад
Nawe ungeandika kitabu kwa kiswahili Ili kuenzi
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 25 дней назад
Lkn msisau hong kong tunanyimwa entry wakati atuna visa wanaturudisha tukiwa tunakila ki2 nilitaka siku nimpe kipindi brother sky lkn cjapata namba yake au namba za maraisi wa darspora tujue km tunavisa tupate visa au km awatutaki bac selkali yao ituambie na serikali yetu itoe tamko.big up brother wazungu walishakwenda kitambo atuwawezi
@zuberiismail2972
@zuberiismail2972 11 дней назад
Wanyaturu wanaongea kiswahili fasaha sana, hongera mnyampaa great iq
@babumrisha
@babumrisha 24 дня назад
Broo uko vizuri sana uwezo unao mwanangu keep it up
@user-sy4ku4xm7q
@user-sy4ku4xm7q 25 дней назад
Afrika kinachotuangusha ni serekali zetu,ila kwa maendeleo ya mtu mmoja mmoja sisi tunawazidi mbali wazungu,siku serekali zitajitambua tu tutafika mbali sana ila hatujui siku hiyo itafika lini ya kujitambua basi
@mrcardano1203
@mrcardano1203 25 дней назад
Embu nieleweshe unavyosema kwa maendeleo ya mtu mmoja mmoja tunawazidi
@devothasimbi6495
@devothasimbi6495 25 дней назад
Huenda uko Sawa Holo la mmojammoja
@christiankambuga9338
@christiankambuga9338 25 дней назад
Safi sana mzee nakupata bwana J tokea Captown south Africa 🇿🇦 karibu sana
@mohayussuf2057
@mohayussuf2057 25 дней назад
Waswahili wakifika ulaya au amirika wanajitenga kila mtu kivyake😊
@binzotv2007
@binzotv2007 25 дней назад
Uchawi majungu that why
@evelynemugeni2369
@evelynemugeni2369 19 дней назад
Uchawi,umbea,wivu hakuna anae penda maendeleo ya mwenzake 😢ila Africa ni pazuri sana tatizo maendeleo tu ndo hatuna.
@mr_pork2523
@mr_pork2523 25 дней назад
Hongera sana Joram ww ni mlumbi kwel kwel
@OnesmoEphrata
@OnesmoEphrata 17 дней назад
Upo vizuri mzazi Kwa unavyo chambua na kufuatilia historia ya watu C I A hawaku kufuatilia kweel
@raymondjohn3798
@raymondjohn3798 25 дней назад
Great,nafurahi sana kusikia mengi kutoka kwake, Mimi nipo kusini mwa Afrika nahitaji kitabu hicho,nikipateje?
@mwalitv4555
@mwalitv4555 24 дня назад
Jamaaa ana IQ kubwaaa...
@universalenergy8060
@universalenergy8060 25 дней назад
Unaongea kiswahili kizuri sana ❤❤❤
@shenamtukufu1224
@shenamtukufu1224 24 дня назад
Asante sana Joram
@pauldotto7868
@pauldotto7868 25 дней назад
Asante nishakuelewa❤❤❤
@Aisha-qd2rg
@Aisha-qd2rg 25 дней назад
Wabongo wakikaa pamoja wanawaza kuchukuliana mabwana
@devothasimbi6495
@devothasimbi6495 25 дней назад
Amina uhakika n'a wazo lako
@luisojr3480
@luisojr3480 23 дня назад
Daaa ndo tunachokiweza hicho😂
@jacksonmsendo3478
@jacksonmsendo3478 25 дней назад
Mtaalamu uyu
@peterdeus6093
@peterdeus6093 14 дней назад
Mim huwa najiuliza iv viongozi wètu hawaishi kwenda ulaya iv wao huwa hawapati wivu wamaendeleo, wao ni kuuza rasilimali tu
@michaelndilima6210
@michaelndilima6210 25 дней назад
Tatizo sisi hatuna uzalendo, hasa viongozi , walio wengi wanajali famalia zao , tungekuwa na viongozi . Kama mama samia . Magufuli. Makonda . Tungendelea sana.
@Hamidkaran
@Hamidkaran 14 дней назад
Atuna pesa iyo tukabari😂😂😂
@FilbertMsongela-xt9tq
@FilbertMsongela-xt9tq 13 дней назад
Aiseee vizuri sana jaman
@DaudiMazengoMasterDTEM
@DaudiMazengoMasterDTEM 8 дней назад
Safi sana interview ipo super. Namba iandikwe hapa
@barakamshiu7146
@barakamshiu7146 24 дня назад
THE VERTELLER
@abdillahchikota4303
@abdillahchikota4303 25 дней назад
Wapili ku like
@abuubekaabeid9870
@abuubekaabeid9870 25 дней назад
Huyu jamaa ni Mwalimu au alikua mwalimu wa Math maana lazima uelewe anavyo hadithia😅
@jumannechausa8018
@jumannechausa8018 7 дней назад
Alkuwa MWALIMU WA MATHE
@hamismabula9934
@hamismabula9934 4 дня назад
Tanzania kwa rasilimali tulizonazo, tungeona aibu kwenda kuombaomba misaada na kukopakopa nje huko! AIBU KABISA!!!
@salimali-rf9er
@salimali-rf9er 25 дней назад
Umezungumza vizuri sana kaka, na hivi ndio anavyotaka SETANI(SATAN AU LUSIFA) tuishi huru kabisa, kwa hufuata kitabu chake, tuwache vitabu vye vya mwenyezi mungu tumfuate yeye
@Jeff_Tz
@Jeff_Tz 25 дней назад
I am a Mormon saint a Tanzanian living in 🇹🇿
@shomilecomedytv
@shomilecomedytv 23 дня назад
Napenda sns❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@user-md2xk9js3d
@user-md2xk9js3d 10 дней назад
Safi sana tumepata mengi toka kwako kaka
@Mumewangu
@Mumewangu 25 дней назад
Huyu angalikuwa ni mjukuu wa nyerere ingalipendeza baadhi ya vibagwizo vinafanana
@SamsonEzekiel-or9xc
@SamsonEzekiel-or9xc 25 дней назад
Uko vizuri muno kiswahili
@gabrielkyando2632
@gabrielkyando2632 12 дней назад
Sisi bado sana, tunafikajeeee huko wakati tuna viongozi wanawaza ubinafsishajiii
@tumainieverest9928
@tumainieverest9928 25 дней назад
Ungekiandika kiswahili
@ChukuMrido
@ChukuMrido 25 дней назад
Uko vizuri Kaka duu
@raydanfrenk
@raydanfrenk 25 дней назад
Nakupata mkubwa nipo Canada mwaka wa tatu ila uku Tz atuna ummoja 😢😢
@devothasimbi6495
@devothasimbi6495 25 дней назад
Umoja upi unaoutaka?fuata kilichokuwezasha kuwa ulipo,ukiwa Tz ukikaa n'a Mhaya akiongezeka Mhaya mwingine ikiwa wewe sio Mhaya anakuacha sembuse huko ulipo kwa sasa.
@nicospack3893
@nicospack3893 25 дней назад
Wa kwanza kuangalia hii
@donaldmgunda4970
@donaldmgunda4970 10 дней назад
Leooo nimefurahi hongerenii,wana blog hiii,haya ndoo mamboo ya kutuletea tuyatazame na kusikilizaa,punguzenii,kushabikia mamboo ya ukrainaaaaa na Hamas hayatusaidiii😊
@luisojr3480
@luisojr3480 22 дня назад
Jamaa yuko smart Sana
@adammjomba5814
@adammjomba5814 4 дня назад
Huyu jamaa ana madini kichwani lakini mwandishi wa habari Sio hawezi kuuliza maswali yoyote yupo kama Robots ,
@AishaTabi-e2z
@AishaTabi-e2z 25 дней назад
Asante sana bro ❤
@abdillahchikota4303
@abdillahchikota4303 25 дней назад
Mwambie broh sky amjuishe kwenye watu wa jps please 🙏
@allykwaya
@allykwaya 25 дней назад
PGS anaweza kusaidia kiasi fulani kwenye kujenga fikra na kuhamisha uzalendo.
@ce-08
@ce-08 25 дней назад
​@@allykwaya hapana kwa GPS labda kama kunakipindi kingine au kama hiyo siku GPS wanaongelea mambo ya uzalendo na maendeleo lakini kuchambua vita sishauri afanye yeye anadunia yake nyingine lakini sio kuchambua vita sababu huyu ni mtu ambae kunavipindi vya dini huwa namuona na akiongea km kiongoz
@ce-08
@ce-08 25 дней назад
Labda kwenye kipindi Cha CHIMBO SCHOOL OF THOUGH unakipata hapa hapa SNS huenda hicho kikamfaa zaidi 🎉
@allykwaya
@allykwaya 25 дней назад
@@ce-08 Nimekupata vizuri. GPS Ikiongozwa na Mtalamu wa fact and logic Dj Smaa, Mwinuka na masubi inakuwaga Babkubwa sana. Sky akiibua hoja na matukio huwa haichoshi kabisa. Salute SNS
@allykwaya
@allykwaya 25 дней назад
@@ce-08 Naaam
@stejasatv7349
@stejasatv7349 10 дней назад
unaogea sana nkumbi
@ahaziamtemela-ys5et
@ahaziamtemela-ys5et 24 дня назад
Smart guy✌️
@cleartzboy
@cleartzboy 21 день назад
Angalia msomi akiongea kiswahil Hana muda na kingerezaaaa chenu na ni msomii
@galileemsangwa9311
@galileemsangwa9311 21 день назад
HIYO INTERVIEW UNGEFANYA NA BROTHER SKY INGETISHA SANA KWELI..ILA HAPO MTANGAZAJI HATA AELEWI AHULIZE NINI😂
@user-ii6gs2jg4g
@user-ii6gs2jg4g 13 дней назад
😂😂😂😂daa we mpuuzi Sana 😂😂😂
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 20 дней назад
MashaAllah ❤
@sule17942
@sule17942 25 дней назад
Umechelewa kutoka man
@MauBonde
@MauBonde 25 дней назад
Mwambie kasahau treni za juu zipo hapa Germany kuna mji unaitwa wurpetal.
@devothasimbi6495
@devothasimbi6495 25 дней назад
Imeenda iyo
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 25 дней назад
Unamaisha mwenzangu na mimi ningefika kutafuta nini wakati Tanzania yetu wenyewe hatuja itembea
@hidayahidaya-vd3ze
@hidayahidaya-vd3ze 25 дней назад
Africa kazi yao dhulma kuuwana kunyimana Uhuru wakupiga Kura rohombaya tumach
@devothasimbi6495
@devothasimbi6495 25 дней назад
Rushwa ndio adui yetu,hupati kazi bila kujuana ni jambon la kushangaza sana
@hajjikhamis1820
@hajjikhamis1820 10 дней назад
Hakuna Ubalozi mdogo wa Tanzania Marekani New York.
@thewalltours
@thewalltours 18 дней назад
facts
@user-kh1tn6yr8b
@user-kh1tn6yr8b 14 дней назад
Sijakuelewa bro kabisa
@AishaTabi-e2z
@AishaTabi-e2z 25 дней назад
Waaaa uko ni kiti ja shetani
@GodfreyMichael-p6n
@GodfreyMichael-p6n 25 дней назад
Unatisha bro
@user-cr4th9lr6b
@user-cr4th9lr6b 5 дней назад
Mnaweza kumtag mama Samia a hone huyu kijana
@sonnyr1899
@sonnyr1899 25 дней назад
Mie nilishanga nilifika Norway nikaona highway 🛣️ zipo chini ya milima ya mawe tena uko chini kwa kuna mabonde ya kupanda na shuka.
@user-xc5mk4ro2z
@user-xc5mk4ro2z 25 дней назад
Nakuelewa joram hutudanganyi kaka ww ni mjuzi wa kila siku
@hamismabula9934
@hamismabula9934 4 дня назад
Mali zinachotwa Afrika, rasilimali zetu zinachotwa kwenda kujenga Ulaya. Tumejaza maviongoz mafisad tu yanauza rasilimali zetu ovyo ovyo tu!
@badilikakijana4032
@badilikakijana4032 23 дня назад
Umesema kweli
@goodbeatus644
@goodbeatus644 День назад
Mwamba kaongea kwa nusu saa bila hata kukatishwa na mwandishi.
@pembemussa2804
@pembemussa2804 22 дня назад
Waswahili kutoka East Africa hatuna umoja wa kusapotiana km Hawa wenzetu wa ngozi nyeupe Unaweza ukafungua mpk mgahawa lkn ndugu zako wa kashindwa Kuja kula tofauti na wenzetu Wahindi Muhindi mwenzao akifungua hata Laundry wapo radhi atoke hata umbali wa km 5 lkn aende kufua nguo kwa Muhindi mwenzie ampe sapot hiyo ndio tofauti yetu na wao Na ndo maana tumeshindwa kua na umoja wa maeneo yetu binafsi ktk Nnchi nyingi tu tumekua na umoja zaid ktk mambo ya kiuhalifu lkn mambo ya kimaendeleo Zero
@mussamdoe4619
@mussamdoe4619 23 дня назад
Atari sana
@chogsbongo3021
@chogsbongo3021 25 дней назад
Naogopa sana siku vijana wetu wanapo pata nafasi ya kujifunza ughaibuni hawana msaada isipokua wanakuja kuwa wazungu weusi!
@user-nh1pr4uu7f
@user-nh1pr4uu7f 25 дней назад
Tanzania wakiacha ubaguzi nakutengeza kukaribisha maifa mengine ujuzu na ufanisi utajenga inchi imradi kuheshim katiba ya inchi
@user-qz3zl4xt1r
@user-qz3zl4xt1r 25 дней назад
ndio unayo sema nikweli baba na mama ndio wanamakosa ongerasana
@AyshuuAlly
@AyshuuAlly 25 дней назад
😂😂😂😂eti kama mijusii😅😅😅
@georgekabaka377
@georgekabaka377 25 дней назад
Mwamba anajua
@user-dh1sl1yb6x
@user-dh1sl1yb6x 25 дней назад
Sisi tutaendelea kutamani mambo yahuko , kwa sababu africa viongozi hawana akili yaani hayo yanayopatikana huko yalifaa yawe katika nchi yetu ama balaa letu la afrika , hii namaanisha wamagharibi wanaiba mali ya afrika then wankwenda kujenga nchi zao , na wanaosaidia saidia nchi zamagharibi ziendelee ni viongozi wetu wa kiafrika , hivo Mimi nitabaki nawalaani viongozi wakiafrika .
@RaymondPaul-bs7su
@RaymondPaul-bs7su 25 дней назад
Shida iliopo ni viongozi tulionao daaa ni tatizo kubwa
@aasatt78
@aasatt78 25 дней назад
Escow hapati ata nafasi ya kuuliza swali 😂 jamaa anatiririka tu 😅
@RonnieBertin
@RonnieBertin 24 дня назад
Hapo hakuna maswali Kuna story teller na the watcher
@georgekabaka377
@georgekabaka377 25 дней назад
Mwandishi anatajiwa vitu hajawahi sikia anabaki kuitikia tuuu eeh eeh eeh eeh
@zuberiismail2972
@zuberiismail2972 11 дней назад
Hahahaaa utaskia ok,ok, mmh, mhh,
@khalidmzamiru2444
@khalidmzamiru2444 25 дней назад
Wamekua wakiiba utajiri wa nchi za Africa kwa miaka nchi kama Congo 🇨🇩 wanagombanishwa ili wachote Mali, wanaiba mafuta kwa mataifa ya Kiarabu. Leo Mzee Mseven anaanzisha bomba la mafuta eti anaharibu mazingira.Acha kuwatukuza Majizi na Warafi wakubwa hao
@mwlpierre
@mwlpierre 25 дней назад
Wewe unaona wezi lakini viongozi Wenu Waafrika wanaodai wanalinda rasilimali zenu kumbe wao ndio wanaiba lakini kwaajili ya matumbo yao ila kama wageni hao wanaiba kwaajili ya maslahi mapana ya nchi zai
@thewaukweli2183
@thewaukweli2183 24 дня назад
Hivi Swali ameulizwa ni lipi ?😁😁😁
@saidymbagalla6622
@saidymbagalla6622 25 дней назад
Mzee wa Ulumbi nielekeze hapo kwenye bwawa la kuogelea wa mnyama nikatalii😂😂
@user-nh9sp7di4u
@user-nh9sp7di4u 20 дней назад
🎉🎉🎉🎉🎉
@deocresmodest6148
@deocresmodest6148 24 дня назад
Utafusiri icho kitabu kwakiswaili ili watanzania wengi wafaidike mambo mazuli mnayaficha kwenye ruga ya kigeni umepanga kuinua watanzani wape ruga yao
@user-xb2qd6ik6d
@user-xb2qd6ik6d 24 дня назад
Siyo ruga bali ni lugha
@musamagulu2023
@musamagulu2023 25 дней назад
Kwa maneno yako tu sisi waafrika inatubidi tuyakatae kabisa hayo mambo ya wazungu yanaenda kutuharibia tamaduni zetu za kiafrika. Wanataka wote twende motoni washenzi tu hao
@jbkfilmsglobal
@jbkfilmsglobal 24 дня назад
😂😂yeah hapa Vancouver kuna beach watu wote wanakuwa naked kabisa 🙌🙌
@mc-omoro2366
@mc-omoro2366 9 дней назад
Persian ni Iran sio Syria , Mzee wa Fikra tunduizi hapo ulikosea.
@AlexMnyagatwa
@AlexMnyagatwa 24 дня назад
Sisi ambao hatukuona tuleteeni hayo usitutamanishe Bali yateteni
@lisawilliam2491
@lisawilliam2491 25 дней назад
so deep
@Shalom2018
@Shalom2018 13 дней назад
Ni kweli kuhusu lugha ya kwetu kiswahili wazazi wengi hawajali hilo wanakimbilia lugha nyengine,lkn nchi nyengine kama waarabu,wahindi na baadhi ya nchi watoto wanaongea lugha za kwao pia,mimi watoto wangu nawazungumzisha kiswahili mpaka kuna mwaka mmoja nilimpeleka mtoto klinik na nesi aliniuliza mtoto wako unaongea nae lugha gani?nikamuambia kiswahili,akaniambia ni vizuri sana kuhusu lugha ya huku ataijua tu akienda skuli au akicheza na wenziwe,jamani lugha ya nyumbani ni vizuri kuijua pia,utakuta wengine eti wanawapeleka watoto kufundishwa kiswahili wakati baba na mama wanaongea ni aibu,tabia hiyo ipo kwa watanzania,warundi na baadhi ya nchi ingawa sio wote,hata kama mzazi mmoja sio Mtanzania pigania wewe Mtanzania mwanao akijue kiswahili
@harounzuberi8179
@harounzuberi8179 25 дней назад
Mlumbi kumbuka hayo yote wameyafanya kwa sababu walituletea utumwa na wakapora Mali zetu ndio maana wamenufaika hivyo
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 24 дня назад
Maisha yao ni ya upotevu hawajafanikiwa.
@leonardmartine662
@leonardmartine662 16 дней назад
Amekueleza faida zao na asala zao so kazi kwako lipi la kulichukua
@cleartzboy
@cleartzboy 21 день назад
Kwani uyu ni mtoto wa Nyerere au
Далее
The Most Elite Chefs Ever!
00:35
Просмотров 7 млн
Joramu Nkumbi = USIFE KISA UHUSIANO , KISA ULULU,
6:16
The Most Elite Chefs Ever!
00:35
Просмотров 7 млн