Тёмный

TUKIO LA WATATU WAFAMILIA MOJA KUUAWA KWA KUCHOMWA NA MOTO NDANI YA GARI, MUME ASIMULIA A-Z 

Mwananchi Digital
Подписаться 1 млн
Просмотров 9 тыс.
50% 1

Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.

Опубликовано:

 

24 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 31   
@HAWAOMOR
@HAWAOMOR 2 часа назад
Naogopa mungu tustr mm na familia yangu
@YacintaJames
@YacintaJames 3 часа назад
Ukatili huu mpaka lini jamani?? 😢😢😢😢
@mungunimwemakilawakati1299
@mungunimwemakilawakati1299 Час назад
UMEFIKA WAKATI WA KUWEKA SATELITE NCHI NZIMA.
@yosephatMasanyiwa-oh1rl
@yosephatMasanyiwa-oh1rl Час назад
Matukio ya kutengeneza.
@mustwafathabiti2978
@mustwafathabiti2978 Час назад
sio kutengeneza korogwe uku
@rizikimohamed2449
@rizikimohamed2449 3 часа назад
Duuuuh mbona huko tz Kuna shinda ngani
@khadijachacha3156
@khadijachacha3156 3 часа назад
Utekaji umezidi na sikuhizi gari ikisimama pembeni au popote iwe ipo mda mrefu bas gari hiyo inachomwa moto inaonesha ni gari ya watekaji kama unandugu zako wape tahadhar wasieke gari ovyo ata kama sio mtekaji ukieka gar ovyo unaonekana ni mtekaji na gari inachomwa moto
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 2 часа назад
​@@khadijachacha3156umesema ukweli,saivi watu wanaogopa sana magari yanayopaki mahali muda mrefu,hasa porini
@simondogtrainer7498
@simondogtrainer7498 29 минут назад
Nyakati za mwisho😢
@HamisLeo
@HamisLeo 2 часа назад
Matukio km haya yapo tanzania tu
@aboudasilver6541
@aboudasilver6541 3 часа назад
Mbona inatisha sana jamani
@GetrudarCelestineAmede
@GetrudarCelestineAmede Час назад
Hivi haya matukio ni Tanzania t au na kwingine jmn😭😭
@josephinejoseph3919
@josephinejoseph3919 3 часа назад
😢😢
@IsraelMwanga-d4m
@IsraelMwanga-d4m 3 часа назад
1first
@mpefu_4936
@mpefu_4936 3 часа назад
Wanapelekwa mahakamani iweje waachie wananchi wwachinje
@OnesmoEphrata
@OnesmoEphrata 2 часа назад
Satellite iki chungaza Majibu papo Kwa hapo wachomaji wata kamatika AMA HATUNA SATELLITE?????????????
@SophiaKamgunda
@SophiaKamgunda 2 часа назад
Maskini wee jamani mbona hatumuogopi Mungu tukimbilie wap
@gladnesswazir-zz9lk
@gladnesswazir-zz9lk 3 часа назад
😭😭😭🤲🙏
@R10_Rajab
@R10_Rajab Час назад
Mbona hayo sio big issue kwa Chadema?
@MtanganyikaTanganyika
@MtanganyikaTanganyika Час назад
Unamaanisha Nini boya
@binseif2216
@binseif2216 Час назад
Chadema wao ni Aly mohammed tu😂😂 ila kwa wengne hawaoni
@DiwaniMwafongo
@DiwaniMwafongo Час назад
Matukio haya ya holela ni common kipindi hiki cha huyu mwanamke aliyeota mkia, Samia S. Hassan, mama Ambunduli.....raisi wa Tanzania.. Nchi imemshinda!!
@ZeynabAlly-k4j
@ZeynabAlly-k4j 42 минуты назад
Ukuwepo kipindi cha nyerere haya maneno yasingekutoka
@DiwaniMwafongo
@DiwaniMwafongo 34 минуты назад
@@ZeynabAlly-k4j Toa evidence wakati huo..... Mind you , l am nearly 54!!
@DiwaniMwafongo
@DiwaniMwafongo 30 минут назад
@@ZeynabAlly-k4j l am happy kwamba Mimi na wewe tunakubaliana hoja ya msingi kuwa kaota mkia, na mbele sio nyuma!!
@DaudiMakaza
@DaudiMakaza 3 часа назад
Sio police hao
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 3 часа назад
DUH KO NA HAPA MTASEMA N POLICE
@kisinza6077
@kisinza6077 Час назад
Endeleeni kujizima data
@yosephatMasanyiwa-oh1rl
@yosephatMasanyiwa-oh1rl Час назад
Unamuuliza nani sasa akili Mdogo kweli , hao waliokufa unadhani ni watu Gani na unajua ni mchongo gani
@RoseMichael-oz7cy
@RoseMichael-oz7cy 3 часа назад
@sophiakimaro inawezekana kumchukulia mtu RB ikiwa utatoa maelezo yaliyoshiba kwa niaba yke hta km mhusika hajui
Далее
Avaz Oxun - Turqi sovuq kal
14:50
Просмотров 391 тыс.
BlackRock: The Conspiracies You Don’t Know
15:13
Просмотров 1,4 млн
The Amazing MYSTERIES of CATS in Islam
13:33
Просмотров 506 тыс.
MZEE WASIRA AKIZUNGUMZIA MAANDAMANO YA CHADEMA
26:33
Просмотров 1,2 тыс.