Тёмный

TUKIO LA AJABU!!! MWILI WAKUTWA KWENYE BUTI UKIWA KIFUA WAZI, MASHUHUDA WASEMA 'SIMU ILIKUTWA...' 

Mwananchi Digital
Подписаться 1 млн
Просмотров 6 тыс.
50% 1

Mwili wa mwanamume ambaye bado hajafahamika jina lake, umekutwa ndani ya gari ya Range Rover, eneo la Magomeni Mapipa wilayani Kinondoni, jijini Dar es Salaam. Gari hilo lilikokuwa limeegeshwa Magomeni, halina namba ya usajili wa Tanzania. Eneo lililokuwa gari hilo ni maarufu kwa uuzaji wa magari ya aina mbalimbali ambayo huegeshwa kwa ajili ya kutafuta wateja.
Mwananchi limefika katika eneo hilo kuanzia jioni ya 11 leo Jumanne, Septemba 24, 2024 na kukuta wananchi wamejazana wakisubiri polisi kufika. Baada ya kufika askari polisi wamefanya jitihada za kufungua milango ya gari kitendo kilichochukua zaidi ya nusu saa hadi kufanikiwa kuifungua. Kabla ya baada ya kuifungua milango ya gari hilo askari polisi na watalaamu wa afya waliokuwa hapo walilazimika kupuliza dawa ili kupunguza harufu iliyokuwa ikitoka katika gari hilo. Baada ya kufanikiwa kufungua mlango, mwili wa mwanamume huyo ulikuwa eneo la buti ukiwa kifua wazi huku simu yake janja ikiwa katika miguu yake. Kwa namna polisi walivyoufungua mlango wa buti mwili wa mwanamume ulionekana kama umelala kwa staili ya kujikunja huku ukiwa umevimba.
Mashuhuda Baadhi ya mashuhuda waliozungumza na Mwananchi wamesema gari hilo lina siku ya tatu tangu kuegeshwa katika eneo hilo na walivyoliona hawakutilia shaka kwa sababu ni eneo linalouzwa magari. "Asubuhi kulikuwa shwari hakukuwa na harufu yoyote, lakini kuanzia mchana hadi jioni nilivyokuwa nabeti (kubashiri), nikasikia harufu kali tukajiuliza kuna nini au paka mmoja kafa maana kuna paka wengi hapa. "Hakutujua kama ndani ya gari kuna mtu, lakini kadri muda ulivyozidi kwenda tukaanza kutafuta huyo paka, kilichotushtua ni inzi wengi kuwepo katika gari ndipo tukagundua kuwa kuna mwili," anasema Hamis Hamad anayeishi Magomeni. Masoud Ally amesema: "Gari hili lipo tangu siku ya mechi ya Yanga na CBE (Jumamosi Septemba 21, 2024), wakati napita asubuhi sikuisikia harufu lakini kuanzia jioni hali ilibadilika jambo lililozua hofu kwa wapita njia." Polisi pamoja watalaamu wa afya wameshauchukua mwili kwa ajili ya uchunguzi zaidi.

Опубликовано:

 

24 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 37   
@tanzanitetv
@tanzanitetv 8 минут назад
Tuombe Mungu tu
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 21 минуту назад
I naonekana watu wengi humaliza visasi na dhuluma kwa kuuwana . Mtu anaona Eti ndio suluhisho kumtoa mtu uhai lkn ni kujidanganya tu.
@tupegigwensajigwa2629
@tupegigwensajigwa2629 Час назад
Dunia ina mambo hii MUNGU tusaidie
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 Час назад
Nahis atakuwa ni mmiliki aliuwawa.Mungu atusaidie jamani sijui nchi yetu imekumbwa na nini jamani.
@AshaMwamba-i7g
@AshaMwamba-i7g Час назад
Mwaka huu tutaona mengii Sana daaaaaa inaumaa
@emmanuelmmbaga5209
@emmanuelmmbaga5209 13 минут назад
Elewa neno mwili.... 😢😥😭😭😭
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl Час назад
Suhbuhanallah. Inalillahi wainailahi rajuun😭mtihani
@brother_majesty
@brother_majesty Час назад
HATA SHETANI ANASHANGAA
@EstherYoram
@EstherYoram Час назад
Hivi hilo eneo la kuuza magari harina cctc camera?
@juliuskitaluka1206
@juliuskitaluka1206 Час назад
Changamoto kubwa sana
@mr.yahzadochuno7914
@mr.yahzadochuno7914 54 минуты назад
Jesus lord 💔💔🩸🇹🇿
@MungoMungo-nx3ir
@MungoMungo-nx3ir 55 минут назад
Jamani polisi hawahusiki msiwasemeseme
@rasnchimbi
@rasnchimbi Час назад
Cctv kamera ni muhimu kuwepo maeneo hayo,hurekodi tukio tokea lilipoegeshwa.
@Rich-wo
@Rich-wo Час назад
Tumrudie Muumba wetu tu hatuna mtetezi na mlinzi zaidi yake
@aediayumgo8546
@aediayumgo8546 Час назад
Drama zinaendelea watu wanatekana wanasema mamlaka 😅😅
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward Час назад
Drama kweli, kama wewe ni Mtawala hauoni kwamba una wajibu kwa hayo?
@abuumuhammad7133
@abuumuhammad7133 20 минут назад
Maneno yako fact maana ndio tujuwe baadhi yetu Watz.tumekuwa tuna roho mbaya sana
@abdulrazack9577
@abdulrazack9577 32 минуты назад
Hadi tuuishe wote
@StellaJohn-dz6gv
@StellaJohn-dz6gv Час назад
Mweee😭😭😭
@innomaja6592
@innomaja6592 Час назад
U7
@DaudiMakaza
@DaudiMakaza Час назад
Police hao
@evaemil856
@evaemil856 Час назад
Get simu number kujua imeandikishwa kwa nani na number zilizoingia na kutoka pia mara ya mwisho kuwa hewani, postmortem, vin number Ya gari kujua mmiliki ni Nani.
@asantechota8974
@asantechota8974 2 часа назад
Halafu mnasema polisi wetu ndio wanateka watu na kuwaua aaaah umakini tu unahitajika
@boniphacesululu5428
@boniphacesululu5428 2 часа назад
Wewe ni polisi mbona unajitetea mnoo au ndo muuwaji
@yohanakateko
@yohanakateko Час назад
Kazi ya polisi ni kulinda raia na mali zake ko uyo kama kadanja walishindwa kumlinda
@jassonnelly3445
@jassonnelly3445 Час назад
Kuna watu wanatembelea upepo na kuwapa police mzigo ila taratibu tu mtajia kuwa tunauwana wenyewe
@sharifanyumayo6314
@sharifanyumayo6314 Час назад
Kiufupi nimehic kitu saiz mtu anafanya jambo Kisha anajivika jina la polic Kisha siye wananch tunaamin polic kafanya jambo Hilo, walouwawa na mganga na kuzikwa SI ndugu walisema polic ila so hivyo tuwe makini jmn
@sharifanyumayo6314
@sharifanyumayo6314 Час назад
Kiufupi nimehic kitu saiz mtu anafanya jambo Kisha anajivika jina la polic Kisha siye wananch tunaamin polic kafanya jambo Hilo, walouwawa na mganga na kuzikwa SI ndugu walisema polic ila so hivyo tuwe makini jmn
@Fatima-v9k6f
@Fatima-v9k6f Час назад
Tanzania kila sku mauwaji munatia aibu majirani
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 35 минут назад
Kwa hiyo tukusaidieje?
@avitusmichael5
@avitusmichael5 Час назад
Jamaa yameua yakawaachia na ndinga kali
@princemichael3023
@princemichael3023 Час назад
Kuna watu hawana shida na hivyo vitu wanashida na roho yako tu
@yustomwaisomania2587
@yustomwaisomania2587 Час назад
Mama kasema Drama ko wacha Drama ziendeleee
@yohanakateko
@yohanakateko 2 часа назад
Mama alisema ni drama ti
@Rich-wo
@Rich-wo Час назад
Tumrudie Muumba wetu tu hatuna mtetezi na mlinzi zaidi yake
Далее
Истории с сестрой (Сборник)
38:16
Свожу все свои тату (abricoss_a_tyt)
00:35
When Players Sacrifice for Team ❤️
00:32
Просмотров 7 млн
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Просмотров 3,4 млн
Captagon : breaking bad au Moyen-Orient
29:19
Просмотров 18 тыс.
BETTY MUTINDA BURIAL
Просмотров 738
PROFESA TIBAIJUKA ACHAFUA HEWA CCM
6:53
Просмотров 6 тыс.
10 Symptômes du Diabète
10:59
Просмотров 1,5 млн
Истории с сестрой (Сборник)
38:16