Тёмный
No video :(

TUKIO LILILO WALIZA WATU WOTE UKUMBINI SKU YA NDOA ,BIBI HARUSI AMWAGA MACHOZI NDOA YA AHABU & ZELDA 

WAJINA TV
Подписаться 207 тыс.
Просмотров 75 тыс.
50% 1

#wedding #ahabu #zelda

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 41   
@elinakithi6978
@elinakithi6978 Год назад
Hongera sana mumeweza
@sarashedy6538
@sarashedy6538 3 года назад
Mna saut nzuri sana mkeo pia ni mzuri Mungu awapiganie awatie nguvu katika ndoa yenu nimewapenda bure yaani
@carlosmuhehe4347
@carlosmuhehe4347 3 года назад
Hongera sana Ahabu ,mungu awatangulie katika ndoa yenu
@user-um1ch3gn1e
@user-um1ch3gn1e 11 месяцев назад
Barikiwa
@mamak2466
@mamak2466 3 года назад
Nimeona vizur kumbe ni Kares studio. kasulu oyeeeee. Kasulu ya sasa sio Kasulu ya zaman
@luhekelondelwa9714
@luhekelondelwa9714 3 года назад
Wimbo mzuri barikiwa dada
@emilianamtama5275
@emilianamtama5275 2 года назад
Nimebarikiwa sana,hasa na ujumbe wa nyimbo,binti ni mrembo Tena mwenye Tabia njema nimewapenda buree
@upendodagras9371
@upendodagras9371 3 года назад
Kaka wj hiistair nimependa mno umejua kuikonga nafsiyangu kwastaili hii lakipia pongez kwawanandoa sautinzur mungu awalindie ndoayenu
@gladysmmbone1101
@gladysmmbone1101 3 года назад
Wooow,,so wonderful,,may God bless this marriage 🙏🙏
@lydiamageta6621
@lydiamageta6621 2 года назад
Nimewapenda bure,nyumba yenu ikawe Mbingu ndogo
@abrahamsontimothy8948
@abrahamsontimothy8948 3 года назад
Hii broo umetisha mm niameangalia harusi kwako nilipitwa kutokaana na majukumu ila mungu awatangulie kao mke mzurii sana salute kwake kijana #wanaimba sio mchezo
@hekimachota3468
@hekimachota3468 2 года назад
Hongereni wapendwa harus nzur had raha mungu awabariki xana
@felisterveronica5452
@felisterveronica5452 2 года назад
Nawapenda sana ndoa njema wimbo wenu kila siku najfunza
@libbemwamposhi4305
@libbemwamposhi4305 3 года назад
Jamaniiii daaa😭😭😭😭
@libbemwamposhi4305
@libbemwamposhi4305 3 года назад
Mpaka Raha MUNGU awatangulie katika safarii yenuuu🤲🤲🤲🤲
@hellenkyongo9150
@hellenkyongo9150 3 года назад
My almighty God bless you marriage
@josephinemichael1514
@josephinemichael1514 3 года назад
Kazi nzuri bro👍👍
@dianamichael4619
@dianamichael4619 3 года назад
Mungu azd kuwainua nimewapenda bure.......mpendane hvohvo
@jumamagina9684
@jumamagina9684 3 года назад
Mungu.awatangulie,ktk,maisha.yenu.yakawe.ya,upendo.na,haman.teleee
@gadyjamohamed1350
@gadyjamohamed1350 3 года назад
Hongera sana imependeza
@patriciantakije1135
@patriciantakije1135 3 года назад
Jamani Mungu awatangulie
@lizzybahati3739
@lizzybahati3739 2 года назад
Amen
@jastinbosco6006
@jastinbosco6006 3 года назад
Safiii Sana wajina video production imeanza kuwa mbunifu watu wameshazoea kwenda sijui garden na kadharika apo saw Sasa kumbe kasulu tunamaeneo mazur kwa video kias hicho safiii wajina safiii fanya video za tofauti pepea jamaa yangu wengine wanabaki kuongea wew sepa tu!!!
@jastinbosco6006
@jastinbosco6006 3 года назад
Safi Sana apo saw
@silasomolosylus1772
@silasomolosylus1772 2 года назад
Thanks
@johnkatagala5740
@johnkatagala5740 Год назад
Esi
@johnkatagala5740
@johnkatagala5740 Год назад
Ex
@sarashedy6538
@sarashedy6538 3 года назад
Dada anasaut nzur san jmn
@mwansitymbaruku1159
@mwansitymbaruku1159 3 года назад
Jmn naomb wimbo jina lakr
@faithgabriel7326
@faithgabriel7326 3 года назад
Huo wimbo wa huyo Dada siwezi kupata please
@violetkerubo7878
@violetkerubo7878 3 года назад
Wow May God bless you all 🙏🙏
@lucieomari2491
@lucieomari2491 3 года назад
🙏🙏🙏👌👌👌🔥🔥🔥😍😍😍
@sophiaonwonga9784
@sophiaonwonga9784 2 года назад
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@mamak2466
@mamak2466 3 года назад
Studio gani hiyo wajina?
@concetakinyua7517
@concetakinyua7517 2 года назад
Nani anaimba hii wimbo
@dianaabas8775
@dianaabas8775 3 года назад
Hongeren sana
@getrudamulambo4659
@getrudamulambo4659 2 года назад
Hongereni maharusi, pia naomba kujua account yao RU-vid inaitwaje?
@jackyluns8224
@jackyluns8224 3 года назад
Wajina bi harusi kabla hajaolewa alikuwa anaimba kwaya gani ili tuingie RU-vid
@jackyluns8224
@jackyluns8224 2 года назад
@@wajinatv3033 haipo
@mwansitymbaruku1159
@mwansitymbaruku1159 3 года назад
Naomba jina LA wimbo jamani
@violetkerubo7878
@violetkerubo7878 3 года назад
Imagine pia Mimi nimewatch Hadi nimelia vile wazazi wamelia bye mungu akubariki
Далее
BABA YANGU KIPOFU Full episode /34/ #love
30:22
Просмотров 118 тыс.
Timings hated him #standoff #timing #meme
00:14
Просмотров 469 тыс.
SNAKE BOY | ep 35 | SEASON TWO
30:48
Просмотров 102 тыс.
MTIHANI MGUMU ALIOPEWA AMINA SIKU YA SEND OFF YAKE
21:58