Ila tuongee ukweli cheni hajui kusherehesha kabsaaa sema wanasapotiana tu yaan anamsimamisha dj uku kasahau kama kiti kinaendelea kuzunguka angestopisha vyotee...billnas alichukia😀
Remember hakutaka watu wajue kama Tayari Wako juu... Na watu wote walikuwa wanaangalia mlangoni mc anasema shangilia watu wakawa hawashangilii maana hawawaoni watu mlangoni Akaona a stop kwanza mziki awatayarishe watu kushangiria then ndo miziki uendeleee wakati huo Ile stage Ina zunguka yaan haija setiwa iende na mapigo ya mziki...