Тёмный

YESU KRISTO NI MUISLAMU 

Straight Path Dawah
Подписаться 69 тыс.
Просмотров 12 тыс.
50% 1

Please subscribe to STRAIGHT PATH DAWAH channel

Опубликовано:

 

19 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 476   
@azadashock6958
@azadashock6958 Год назад
Allah awalipe kheri kwa juhudi zenu insha Allah
@nassrubushoot5750
@nassrubushoot5750 Год назад
MashaAllah grt job sheikh Ramadan Kuria wish de best at all time
@mosmart4718
@mosmart4718 Год назад
MaashaAllah on one side of the head kuna Koran and on another side the Bible in the middle hikma wisdom. The truth is bitter. Our brother ameona haki iko wapi. Ujumbe umefika.
@mohammedabdallahalazri3238
@mohammedabdallahalazri3238 Год назад
Inafurahisha, wakenya wakiristo lakini watulivu wa kusikiliza na kufundishwa. Tubamuomba awaongoze na wawe waislam kwa msaada na jitihada zenu masheikh wetu, pia tunamuomba Allah awazidishieni kheri kubwa Amiina
@hassanmpemba5747
@hassanmpemba5747 Год назад
Masha Allah sheikh Ramadan kwa ulinganiaji mzuri
@maymunamakungu6265
@maymunamakungu6265 Год назад
MaashaAllah MaashaAllah MaashaAllah. Tunakufuatilia kutoka Tanzania. Jazakallahu lkhayrun
@danielmasunu5851
@danielmasunu5851 Год назад
Allah moon god sisi atumwabudu Mungu mwez, nyinyi mna Mungu wenu sisi tuna Mungu wetu full stop
@ambarnelly6304
@ambarnelly6304 Год назад
Umechoka sana ndugu yangu pumzika kwanza alafu utaangalia na kusikiliza tena
@danielmasunu5851
@danielmasunu5851 Год назад
@@ambarnelly6304 makuna Cha tofaut hapo Zaid ya porojo tu, kwanza Allah maana yake Nini? Kama sio moon god ndio maana mwezi ukipotea mnaweweseka na kuteseka kufunga
@fauziahsalim1054
@fauziahsalim1054 Год назад
Hiyo nikweli Hamuabudu Mungu Muumba nchi na bingu.. afazali wewe umesema kweli kuliko kukataa cha kweli kama wenzako!. Santa kwa ukweli wako!
@danielmasunu5851
@danielmasunu5851 Год назад
@@fauziahsalim1054 Kwa mujibu wa kitabu chenu mtume wenu alisema baada ya kushidwa vita alivyoazisha alisema hivi nyinyi mna Mungu wenu na sisi tuna Mungu wetu nyinyi mna dini yenu na sisi tuna din yetu,
@danielmasunu5851
@danielmasunu5851 Год назад
@@fauziahsalim1054 sio kwamba atumwabudu Mungu wa mbingu na nchi sijasema hivyo Hila Kila mmoja kati ya wakristo na waislam Kila dini Ina amini Mungu wake ndio kaumba mbingu na nchi lkn ujue moon god awezi kuumba mbingu na nchi ni Jehovah ndiye Muumba wa mbingu na nchi, Kwa taarifa Yako hii dini ya moon god ilikopi maandiko na kupindisha taarifa za maandiko ya bible takatifu. Siku zote wanamtafutia sehemu ya kuweka mtume wao ktk biblia lkn wap, mtume aliye lala na mke wa moto wake mmmmh mtihani sana tu
@fayrouzkimeu6310
@fayrouzkimeu6310 Год назад
Hakika Allah umuongoza amtakaye na umuacha kupotea amtakaye,,ss nikufikisha ujumbe Allah, Alhamdulillah a'alaa ne'ematil islaam
@maherzain615
@maherzain615 Год назад
Mashujaa day. Shujaa wetu niww sheikh Ramadan
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 3 месяца назад
MashaAllah
@mohamedhozi8110
@mohamedhozi8110 Год назад
Maashaallah baarakallah mungu awajaze kheri mashekh wetu
@nasseralhabsi1483
@nasseralhabsi1483 Год назад
Jazakum-LLAH khairan. Namwomba Allah awazidishie kila la kheri, amin.
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Год назад
Maashallah tabarakallah. Mashehe zetu mnajitahidi. Allah Awape Afya ilimzidi kufikisha ujumbe WA Dini ya haki
@Nora-v1m3p
@Nora-v1m3p 9 месяцев назад
Allah akufanyie wepesi maisha yko n akupe afya njema n elimu n hekm uzidi kueneza dini ya Allah
@faridahkavochi8079
@faridahkavochi8079 Год назад
Mashaallah tabarak Allah
@sulimankarusi8345
@sulimankarusi8345 Год назад
Mashallah ya sheikh
@rashidalfan8274
@rashidalfan8274 Год назад
Assalamu alaykum waarahmatullah wabarakatuh Shukran ustadh Ramadhan
@akeem1221
@akeem1221 Год назад
Kwa kweli hiyo kazi ni nzuri sana, na subra kubwa sana. Allah akuzidishie.
@muhammadhariz1100
@muhammadhariz1100 Год назад
Baarakallahu fiik yaa shekh Ramadhan
@fadumabdullahi217
@fadumabdullahi217 Год назад
In sha Allah
@rbagha5280
@rbagha5280 Год назад
Thank you so much our Sheiks. These sheikhs are working hard to save their brothers from the hell fire. They love their Christian brothers and sisters. They have good intentions, so please listen to them with an open heart. I am from Canada and your lectures strike lessons fairly deep into the heart. Your examples are sweet, and make one think of our short and GHAFLA { deceptive} lives on earth. Bless you my brother. Your knowledge amazes us! May our Christian brothers search for their Creator and accept the One who created them. It is the same God of Christians and Muslims and all humans and everything created. Let us not fight for the sake of holding on to our bias. The Truth stands alone, differences are many. Regards from Ray in Canada
@salmanassor8732
@salmanassor8732 Год назад
Mashallah shehe ramadhani Allah akuzidishie afya njema kwani unawalingania kwa busara na hekima nakupenda kwa ajili ya Allah
@zackynebar6365
@zackynebar6365 Год назад
Mashaaalah☑️
@siwajibufarida7288
@siwajibufarida7288 Год назад
Ma shaa Allah
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 2 месяца назад
MpeYesu Dini Takbiriiiii..Allahu.Akbaru.imeishaHyo
@ahmedsalatbashir4380
@ahmedsalatbashir4380 Год назад
Keep going bro 🤲🤲🤲
@marvelousofzanzibar9556
@marvelousofzanzibar9556 Год назад
MashaAllah Allah akupe umri mrefu kaka Ramadhani
@stoispapi2380
@stoispapi2380 Год назад
Yesu kristo ni muislamu. Uridhike ama usiridhike..ukweli hauwezi kubadilika.
@stoispapi2380
@stoispapi2380 Год назад
@@abdallamkwaju6102 Hiyo nakubali jesus came first .. na Muhammad hakuanzisha uislamu....alikuja nayo maana yake ..ilikuwepo wakati wa nabi ibrahim nabii musa na wengine.
@stoispapi2380
@stoispapi2380 Год назад
@@abdallamkwaju6102 Nilidhani utasema yesu hakuwa muislamu...😂😂umekuja kupinga tu... Clearly unajua you cant prove me wrong.
@stoispapi2380
@stoispapi2380 Год назад
@@abdallamkwaju6102 Mtume wenu ni Paulo. Yesu hawatambui.
@stoispapi2380
@stoispapi2380 Год назад
@@abdallamkwaju6102 kama yesu hakuwa muislamu ...why don't you prove it!!!
@stoispapi2380
@stoispapi2380 Год назад
@@abdallamkwaju6102 aty kuswalisha na shahada 😂😂 ? Hauko serious
@jumanjenga7682
@jumanjenga7682 Год назад
Masha Allah Ustaz
@ramadhankisingile6539
@ramadhankisingile6539 Год назад
MashaAllah
@wanjikunaomy3287
@wanjikunaomy3287 Год назад
Ma Sha Allah
@cetriclugonyi4452
@cetriclugonyi4452 Год назад
usidanganye watu sinagogi si msikiti na kama utasema ivo basi sinagogi ni mara mbili ya wayaudi na ya shetani Sasa wewe ni jibu yesu aliingia ipi
@ramadhankisingile6539
@ramadhankisingile6539 Год назад
@@cetriclugonyi4452 fungua mwishoni mwa bible ujue maana ya sinagogi
@Nur-al-islamchannel
@Nur-al-islamchannel Год назад
​@@cetriclugonyi4452Yenye iliandikwa ya Luka 4:16 kuna sheitani mbele....tumianga akili
@JeyjeyOkocha-vj2ht
@JeyjeyOkocha-vj2ht 5 месяцев назад
Allah awape kauli njema
@fardoshnassor7847
@fardoshnassor7847 Год назад
Mashallah Allah 💕
@bahatikenia39
@bahatikenia39 Год назад
Mashaalah
@saudahassan3804
@saudahassan3804 Год назад
Mashallah
@azadashock6958
@azadashock6958 Год назад
Allahu Akbar
@issajumamwinyi6191
@issajumamwinyi6191 Год назад
MUNGU ANAPENDA UKWELI NA SHAITANI ANAPENDA UONGO.....RAMADHAN KURIA ANAWAKILISHA SHAITAN allah... AMEZIBWA AKILI NA MACHO .....KWA YOHANA 17:3 "Na huu ndio uzima wa milele: wakufahamu wewe ambaye pekee ni Mungu wa kweli, nakumfahamu Yesu Kristo ambaye umemtuma".......Yeye ANAONA UTUME WA YESU PEKEYAKE.... ANASOMA LAKINI AMEZIBWA KUELEWA KWAMBA UKITAKA UZIMA WA MILELE....MFAHAMU MUNGU NA YESU KRISTO....HAISEMI MHAHAMU MUNGU NA MUSA, ADAM, IBRAHIM AU NABII YEYOTE YULE ALIYEMTUMA.....BALI MUNGU NA YESU KRISTO.... MUHAMMAD AKAGEUZA IKAWA "none to be worshipped but allah and muhammad his messenger" baada ya kukutana na shaitan akiwa amevalia sura ya jibril kwenye pango . Nashkuru Yesu Kristo kwa kunitoa kwenye UONGO HUO,.....
@fauziahsalim1054
@fauziahsalim1054 Год назад
Unaongea usicholijua wala ungejua na kuielewa basi usingejaribu hta kuiasi dini uliyokwa kabla hujakwa kafiri! Anyway ulishaamua ulivyoamua bila kujua unachoamua so endelea kuenjoy ukafiri polepole ukisuburia siku zako uende mbele ya Mungu ukiwa mkafiri huko ndiko utaenjoy vizuri ukafiri wako!! Pole Sana!!
@danielmasunu5851
@danielmasunu5851 Год назад
Aminaaa barikiwa sana Kwa kutambua uongo wa moon 🌓 god allah
@issajumamwinyi6191
@issajumamwinyi6191 Год назад
@@fauziahsalim1054 Nilijiua nilicho kijua ndo nikafanya maamuzi ya busara na kutoka uislamu....msikitini ni uongo mtupu...... Biblia ilikuwa vile ilivo kabla kuja kwa muhammad na dini yake. Hakuna mahala kwa korani allah anasema uislamu ndo dini yake. dini zote duniani zilianzishwa na mwanadamu.... hakuna NABII yeyote alihubiri dini...Mungu hana dini na Yesu pia hakuwa na au kuhibiri dini. habari ndo hiyo.
@danielmasunu5851
@danielmasunu5851 Год назад
@@fauziahsalim1054 wew ndio pole sana maana wanaume wa kiislamu wameandaliwa wanawake wazini nao kwenye mbingu ya moon god je wew utapewa wanaume wangapi Wala na wew kwenye mbingu ya moon god
@issajumamwinyi6191
@issajumamwinyi6191 Год назад
@@fauziahsalim1054 Umemsikia Ramadhan kuria akimdanganya mkristo maamuma kwamba YESU KRISTO alikuwa muislam kwa madai eti aliingia sinagogi ......kuna sinagogi ya wayahudi ambayo ibaada yao wanasoma Biblia.... Mwalimu wako feki anamsomea mkristo Luka 4:16 "Baadaye Yesu akaenda Nazareti, mahali alipokulia. Siku ya sabato alikwenda katika sinagogi kama kawaida yake. >>>> alafu anawachia hapo akidai "unaona, Yesu aliingia sinagogi na tafsiri ya sinagogi ni msikiti..... ukiendelea Luka 4:17 Akapewa kitabu cha nabii Isaya, akakifungua mahali palipoandikwa: >>>>>>> swali kwake ramadhan na kwako....ni kwa korani au Biblia tunasoma kitabu cha nabii isaya???? TUMIA AKILI ZA KUZALIWA KABLA HUJAKURUPUKA HAPA DADANGU.
@Nora-v1m3p
@Nora-v1m3p 9 месяцев назад
Walkm mslm warahmtullah wabarakatuh
@guenterernst5481
@guenterernst5481 Год назад
Mashaallah
@mvungijuma2025
@mvungijuma2025 Год назад
Shekh ramadhan mbona umeondoa donlod
@kimsi682
@kimsi682 Год назад
Allah sio Mungu bwana!. Nani alikukozea mbaya hivi shelkh?
@mvungijuma2025
@mvungijuma2025 Год назад
Tunakosa faida
@nathanch7766
@nathanch7766 Год назад
Qur'an 22:75-Mwenyezi Mungu HUCHAGUA mitume miongoni mwa malaika na wanadamu. Qur'an 3:33-Hakika mwenyezi Mungu ALIMCHAGUA Adam,Noah na kizazi cha Ibrahim Qur'an 3:42-Na kumbuka malaika wanasema ewe Mariam kwa Hakika mwenyezi Mungu AMEKUCHAGUA na kukutakasa na kukutukuza kuliko wanawake wa Ulimwengu wote. Qur'an 20:11-13 Basi alipofika akaitwa ewe Musa nawe NIMEKUCHAGUA uwe mtume. Qur'an 38:45-46 Na wakumbuke waja watu,Ibrahim,Isaac,Jacob,walikua wenye nguvu na busara upande wa Dini,hakika sisi TULIWACHAGUA kwa lile jambo zuri kabisa. 1-Je huyu Mohammad alichaguliwa? 2-Lipo andiko kuthibitisha?
@bausifarouk1798
@bausifarouk1798 Год назад
Yesu akija ndio atawaambia mungu alimtagua Muhammad.
@Nur-al-islamchannel
@Nur-al-islamchannel Год назад
Quran 21;107,,25;1,,,7:157 Na wewe unijibu mwenye aliwaambia mwende kanisa kwa biblia kama si paulo
@bausifarouk1798
@bausifarouk1798 Год назад
Muhammad anaambiwa aseme kuwa hawa wamechaguliwa na mungu . Muhammad yake anaambiwa aseme yeye ni mtume kwenyu nyinyi nyote.ndio unaona Quran inasomwa dunia mzima
@bausifarouk1798
@bausifarouk1798 Год назад
Hebu nipe andiko yesu amechaguliwa
@bausifarouk1798
@bausifarouk1798 Год назад
Tatizo kiswahili buda ndio shida.wewe ukichumwa na pastor uende uhubiri pahali ina maana pastor amekuchagua wewe.
@KhalidMwijaku
@KhalidMwijaku 11 месяцев назад
Paulo mnaye danganywa kumchukia pia alikuwa muislamu kama Yesu Kristo kulingana na madai yako ya uongo!! Matendo 17:2 Paulo aliingia ndani ya sinagogi kama ilivyokuwa kawaida yake, na kwa muda wa majuma matatu akawa akihojiana na Wayahudi akitumia Maandiko
@RamadanPaul
@RamadanPaul 11 месяцев назад
Si kila muislam ni muumini. Muumin hawez sema yesu ni Mungu. Huyo Paulo kasema yesu ni Mungu, hawez kuwa muislam. Tito 2:13
@KhalidMwijaku
@KhalidMwijaku 11 месяцев назад
Nakubaliana na wewe muislamu hawezi sema Yesu ni Mungu.....@@RamadanPaul???? kwa sababu gani >>>> soma 1 Yohana 2:22 Sio Paulo alisema pekee,,....Hata Mungu namuita mwanae Yesu Mungu - Waebrania 1:8 Yesu mwenyewe alijidhihirisha kama Mungu - Yohana 5:18 Alafu miaka 700 baadaye....jini lilokuwa limevalia sura ya jibril...likamdanganya muhammad kuanzisha dini ya kupinga Kristo na Biblia....ole wako
@issajumamwinyi6191
@issajumamwinyi6191 Год назад
JIFUNZE ELIMU AMBAYO HATUJAWAHI KUFUNZWA MADRASA AU MSIKITINI >>>>>> ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-C28RylU2s7U.html
@danielmasunu5851
@danielmasunu5851 Год назад
Dini ya kupusu jiwe Makkah labda mtadanganya hao wasijisomea wenyewe, eti Kila moto uzaliwa mwislam hahahahahahaaaaaaa
@munakhamis982
@munakhamis982 Год назад
Ht km umesoma lkn ujaelew icho ulichokisoma naamin utaelew pale malaku lmaut akikujia....karbu ktk uislam upate kusalimika
@danielmasunu5851
@danielmasunu5851 Год назад
@@munakhamis982 wewe ndio umesema sijaelewa Kwa uwelewa wako naamin Mungu akubal mfano wa chochote kufanyika na kupewa heshima ya kusamee dhambi yaani ni upangani sijawahi kuona haya dini ya kupusu jiwe jeusi Makkah teeni dini Hila mwisho utaona tu
@munakhamis982
@munakhamis982 Год назад
@@danielmasunu5851 fuatilia ILO suala kwa viongoz wa dini uondolewe icho kinachokutia mashak hakun anaend kuliabudu ILO jiwe jeus km unavyodhan
@danielmasunu5851
@danielmasunu5851 Год назад
@@munakhamis982 Kwan alipo Makkah na ukilipusu unasamehewa dhambi Kwa mujibu wa dini ya moon god
@fauziahsalim1054
@fauziahsalim1054 Год назад
Nawewe pastor wako anakufunzaga nini? Ee ju najua wewe husomagi bibilia mwenyewe isipokwa nikusomewa tu na nko sure ndio kawaida yenu!! So wewe ebu twambie vile unafundishagwa?
@samxx411
@samxx411 Год назад
Wallah wakristo wanaamini kuwa uislamu ni dini ya haki ila kuna mambo tu yanawapeleka nayo ni:- Kiburi, mazoea na woga Hizi pumzi tunazovuta zinatutia sana kiburi hata kupinga maandiko ya Mungu, maana Mungu ameweka wazi kila kitu na ameshasema katika qurani
@danielmasunu5851
@danielmasunu5851 Год назад
Mimi ndiye mkristo nieleze dini ya kweli Kwa lipi zuri kwamba kununua wanawake malya ni ruksa ktk uslamu au jihad na mauaji au kuruhusu wanamume kunyonya maziwa ya mwanamke asiye mke wake lipi elezea
@husseingabo5497
@husseingabo5497 Год назад
@@danielmasunu5851 sasa we unajua nini wewe ni mjinga katika mambo ya dini we unasema jihad hata yesu mwenyewe kaamrisha kuua watu kasome Luka 19-27 yesu anasema Kwa wale maadui zangu wasiotaka niwe mfalme wao waleteni hapa Kisha mkawaue hapa hapa mbele yangu tatizo wewe huna elimu kuhusu haya mambo
@husseingabo5497
@husseingabo5497 Год назад
@@danielmasunu5851 na Kwa Aya gani au Hadith gani inayosema watu wanunue Malaya au ndio unajitia ukichaa ?
@husseingabo5497
@husseingabo5497 Год назад
@@danielmasunu5851 yaani hoja zako zote ni pointless hazina ushahid wowote wa kimaandiko
@samxx411
@samxx411 Год назад
@@danielmasunu5851 uislamu ndio dini ya Mungu na manabii, Islam ni neno la kiarabu kwa kiswahili ni unyenyekevu, yesu anasema " jitieni nira yangu na mjifunze kwangu kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo" ikisha amesema "utafuteni unyenyekevu" hata matendo yake yalikuwa ni ya kiislam, hakulewa, alifundisha Mungu mmoja, hakuwahi kuingia kanisani ila aliingia msikitini. Wewe wapi ktika biblia imesemwa ukristo ni dini??
@guardianofthebibleftdavidw4001
This daawaandists guy's are just very ignorant ,sasa mnakuta watu na kuwaonyesha venye mnajua maandiko
@ambarnelly6304
@ambarnelly6304 Год назад
Pumzika umechoka sana
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah Год назад
Wewe hujazuiliwa Una Uhuru WA kutuonyesha unachokijua
@guardianofthebibleftdavidw4001
@@StraightPathDawah the fact that Mohammed was a false prophet is undisputed.That false prophet is said to have received the most stupid book in history 🙄 the Quran which it has disgusting ayats like the sun sets in a muddy pool in Quran 18:86 which is the just a blink of how ignorance has been transferred from 14th century to now by the caliphates of islam,we are sorry 😞 that your daawagandists such as STRAIGHT PATH like assessing to people who have no know how even in their own religion Christianity which this Daawagandist Ramadhan kaguo takes advantage of them to confuse them.Lemmie challenge him to find and try to explain his lies to literate people in Christianity and apologetics.STRAIGHT PATH DAAWAH and his devilish canning to people with low knowhow of religion 😉 is just the biggest joke in modern apologetic.I challenge him to come and try to twist his ignorant teachings on me and he will get the true throttle of literacy
@paulinekyalo9474
@paulinekyalo9474 Год назад
​@@StraightPathDawah Umefuata Pastor Ezekiel ukachoka kwa sababu Waislamu wanaenda kwa kanisa lake.Sheikh Ramadhan unakuaga idle sana.Utashawishi Wakristo waache dini waingie Uislamu lakini itakuuma sana mwishowe cz even Somalis are going to New Life Church
@paulinekyalo9474
@paulinekyalo9474 Год назад
Ubaya mnatumia dini kugawanya watu ama kueneza chuki.Naomba Mungu afungue watu macho wafuate dini inayoleta amani
@Sal.0
@Sal.0 Год назад
UKRISTO sio DINI, na WALA NENO 'ukristo' hai patikana katika Bibilia! THEREFORE, hai fai MTU kuwa 'Mkristo' Kwa sababu SIO DINI. 'UKRISTO' uli letwa na Wazungu, walipo TUNGA vitabu vinao itwa Biblia, kule 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 in 1611AD. Therefore, 'Ukristo' ni CULT ulio anzisha na KaMZUNGU. Na Biblia la KWANZA ku ANZA ku SAMBAZWA Duniani ili kuwa la KING JAMES Bible, ilio TUNGWA in 1611AD! This is WHY HAI FAI kuwa 'Mkristo', Kwa sababu ni CULT Ya KAMZUNGU!
@Sal.0
@Sal.0 Год назад
@@issajumamwinyi6191 TOWA ANDIKO katika Bibilia mzima ambao ina SEMA :"Ukristo unatokana najina la YESU kiristo"! POROJO yako ndefuuuuuu, ulio 'Copy n Paste' hapa, peleka GIKOMBA! TOWA ANDIKO, WEWE, mufuasi wa NDACHA! Hatu deal na MTUMBA hapa!
@issajumamwinyi6191
@issajumamwinyi6191 Год назад
@@Sal.0 Wacha jazba bro....tuna fundishana tubaini ukweli na uongo. Ndacha ni nini??? mimi ni Mkristo...manake na mfwata Yesu Kristo...Mkristo...na tabia zangu ni Ukristo.... Unatumia tu akili za kuzaliwa maana ya ukristo unatokana na nini????...hehehehe.... ni kama mimi nikuulize utoe andiko allah mwenyewe kasema uislamu ni dini yake......HAMNA na umeamini blindly!! allah wa korani ni bubu haongei!! Njoo kwa Yesu Kristo bro uiokoe nafsi yako kabla hujaondoka duniani leo...good luck!!
@Sal.0
@Sal.0 Год назад
@@issajumamwinyi6191 Nime ku ambia uonge na MA ANDIKO! Sitaki kusikiliza blah blah ZAKO munao tumia ku DANGANYA Watu, HALAFU ku itisha SADAKA! WaKristo ni CONMEN tuu! Kwanzaa HAKUNA MTU anaye itwa 'Yesu'. Yesu ni NENO tuu, ambao mume Tafsiri kutokana na jina laku PANGA la KiZUNGU la JESUS from the King James Bible, ilio TUNGWA na wazungs! KWA hivyo, HATA hakuna MTU aitwaye 'Jesus'! Jesus is a FICTITIOUS name that was invented by the KaZungus! UNA SEMA, "Njoo Kwa Yesu", lakini HAKUNA MTU aitwaye Yesu! SASA, tuta DO NINI? 🤔🤔
@paulinekyalo9474
@paulinekyalo9474 Год назад
Uislamu ni cult kama Ukristo pia.Haifai kuwa Mkristo vipi,watu watazidi kuwa Wakristo na hakuna kitu utafanya!!!!
@issajumamwinyi6191
@issajumamwinyi6191 Год назад
@@Sal.0 Andiko nimekupa lakini kawaida yenu mnasoma hamuelewi manake mmezibwa macho na akili na majini!!
@asyasuleiman7687
@asyasuleiman7687 Год назад
Ma shaa Allah
Далее
For my passenger princess ❤️ #tiktok #elsarca
00:24
kukuru kakara uliza uijbiwa na ust Ali k
45:48
WAKRISTO WAUPOKEA UISLAMU KWA ROHO SAFI HUKO CHEPNYOGAA
1:21:18
PASTOR ATAFUNA MANENO BAADA YA KULEMEWA NA HOJA
1:40:26
JOURNEY TO ISLAM - RAMADHAN KURIA
28:21
Просмотров 3,3 тыс.
ALLAH SI MUNGU WA KWELI (NDACHA Vs SASAKA)
1:31:19
Просмотров 81 тыс.
MAMBO YANAOPUMBAZA ROHO
57:38
Просмотров 4,5 тыс.