Тёмный

Tumekutana tena na Shaban Mwampamba...full interview inakuja 

EBM SWAHILI
Подписаться 72 тыс.
Просмотров 5 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

26 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 35   
@narishally716
@narishally716 2 дня назад
Ni kweli kabisa kaka unachokiongea watanzania hatupeani taarifa,ni wachache sana wenye moyo kama wako May Allah bless you more 🙏
@FredWaiyaki-ix7gz
@FredWaiyaki-ix7gz 5 дней назад
EBM unafanya Kazi nzuri..u inspire us...from Kenya.
@nyangomanyama6959
@nyangomanyama6959 3 дня назад
Unafungua kifikra watu wengi sana. Hongera kwa kazi nzuri
@juliuslukumay2619
@juliuslukumay2619 5 дней назад
Daah nimependa spirit mliyonayo. Napata inspiration sana. Asante ku share hii video na Sisi mkuu
@richardgatambia3327
@richardgatambia3327 5 дней назад
Asanteni sana Wana EBM..ijapo Mimi ni mkenya nitajaribu kujaza green card...
@mikidadiabuu4475
@mikidadiabuu4475 2 дня назад
Yan Bila EBM na kaka SHABAN MWAMPAMBAMBA nisingeshawishika dah mungu awalinde Sana nyie watu
@ChifuTozi
@ChifuTozi 6 дней назад
Mku wakazi na mkubali sana uyo mwamba🇺🇲💯💥
@Thyme938
@Thyme938 5 дней назад
Mwenyezi Mungu, awabariki sana.
@AKIDANURUEDSONMLIMAKUTWA
@AKIDANURUEDSONMLIMAKUTWA 2 дня назад
❤LOVE KWENU NA APPRICIATION... KWENU...
@jumawaziri8501
@jumawaziri8501 6 дней назад
honera sana SHABANI Mungu akubariki sana sana
@martinkiogora2002
@martinkiogora2002 6 дней назад
Huyu kaka mungu aendelee kumbariki,,alinifanya nikatamani marekani saana
@haysam6317
@haysam6317 6 дней назад
shabani mwampambe big heart guy❤
@jumawaziri8501
@jumawaziri8501 6 дней назад
hongera EBM keep it up bro
@khalifamwasha6648
@khalifamwasha6648 6 дней назад
Bro Shaban ipo siku tutakutana
@robartMgor
@robartMgor 6 дней назад
I appreciate you brother big up
@ndikumanajafari1914
@ndikumanajafari1914 6 дней назад
Namuomba mungu anisaidie anikutanishe na nyie waheshimiwa wawili napenda sana intervie zenu
@lazarojoseph7541
@lazarojoseph7541 5 дней назад
Tumeomba mwaka huu Natumai mwezi wa tano nitachanguliwa kwa uwezo wa mungu
@SharyMary-s8t
@SharyMary-s8t 6 дней назад
Hapo kwenye kushare information ndiyo janga kwa watanzania Wana uchoyo sana sijui kwann yaan 😭 Wakati ukimsaidia mtu inaweza kuwa akiba y
@christntarugera2263
@christntarugera2263 6 дней назад
Bro, if Mr Shaban has youtube channel, plz share it, we follow him
@johnmwaisunga2339
@johnmwaisunga2339 6 дней назад
Great!
@justinevitus3925
@justinevitus3925 6 дней назад
EBM hongereni endeleeni sana
@Newstv33042
@Newstv33042 3 дня назад
Baba pia mm nakuja marekani
@FredWaiyaki-ix7gz
@FredWaiyaki-ix7gz 5 дней назад
How can I contact shaban..natokea Kenya..
@ALONMWAMPAMBA
@ALONMWAMPAMBA 5 дней назад
Hongera
@Senetalkim
@Senetalkim 3 дня назад
Dakika ya 6.57 nimecheka sana na nimerudia mara 10 kuangalia ilo eneo 😂😂😂
@kanukanute1514
@kanukanute1514 5 дней назад
Kaka tunauliza hiyo office yko inayo husiana na upigaji picha hap dar es salaam ipo sehem gn
@GodfreyJoseph-o4q
@GodfreyJoseph-o4q 6 дней назад
Mimi ninafurahi sana nikiwaona mpo kama bongo
@GodfreyJoseph-o4q
@GodfreyJoseph-o4q 6 дней назад
Dar imekaa poa sana iyo wakuu.
@mgatatemihanga416
@mgatatemihanga416 5 дней назад
EBM jiongeze ongeza 5000 kwenye bei halafu nenda full matangazo REDIO,TV,MAGAZINE
@stevenobunde9345
@stevenobunde9345 6 дней назад
Watanzania wamesoma tatizo tumekumbatia lugha moja tuuu! Na hivyo lugha hii ya pili ni shidaaa!!
@AthumanRashid-er2sj
@AthumanRashid-er2sj 6 дней назад
Kaka konasikiliza
@ZeishaFuture
@ZeishaFuture 6 дней назад
Mi nataka kucheza hiyo ila sielewi kabisa jinsi ya kucheza😢
@abdallahkhamis7663
@abdallahkhamis7663 6 дней назад
Angalia video nyingi nyingine za EBM SWAHILI utajua
@nazarethally9509
@nazarethally9509 6 дней назад
Weka namba ya Whatsapp kaka Shaban mwampamba
@ChifuTozi
@ChifuTozi 6 дней назад
Mku wakazi na mkubali sana uyo mwamba🇺🇲💯💥
Далее
новое испытание
00:40
Просмотров 223 тыс.
Исповедь / Мася
2:47:10
Просмотров 166 тыс.
🎙А НЕ СПЕТЬ ли мне ПЕСНЮ?🕺🏼
3:06:10
JAMES AELEZEA NANNA ALIVYOPATA VISA YA CANADA
34:06
Просмотров 4,5 тыс.
новое испытание
00:40
Просмотров 223 тыс.