Тёмный
EBM SWAHILI
EBM SWAHILI
EBM SWAHILI
Подписаться
WWW.EBMSCHOLARS.COM
Maswali na Majibu - Maisha ya Ughaibuni
1:45:13
14 дней назад
Unataka Kusoma Chuo Kikuu Marekani?
2:00:39
21 день назад
JINSI YA KUANGALIA MATOKEO YA DV LOTTERY
9:54
2 месяца назад
DV LOTTERY RESULTS .... ARE YOU READY?
9:59
3 месяца назад
Kazi ya kufundisha Kiswahili USA
6:24
4 месяца назад
Комментарии
@MsatiOne
@MsatiOne 19 часов назад
Kuna aina ngapi ya visa
@nsengiyumvaoseki3004
@nsengiyumvaoseki3004 День назад
Asante sana bro. Nilisikiliza video zako na nikashawishika . Sasa naendesha truck na ninaona faida sana
@kevinmushi8209
@kevinmushi8209 День назад
Kama una amini kuna itajikata utulivu wa akili na uvulimivu zaidi na mandalizi nakutoa hofu ya uwoga niambie chuga boy habari za mda huu😢
@karthala6676
@karthala6676 День назад
Asante sana kwa maelezo. Sasa lini tunaweza kuomba Hiyo haki mpiya. Asante
@Silvestar-c1v
@Silvestar-c1v 2 дня назад
Kwan hiyo ni simu unaoi2mia au ni kompiyt maan simu nahic haiwzi kuonesha vi2 Ivo?
@Thyme938
@Thyme938 2 дня назад
🎉🎉🎉🎉
@mohammedrashid2906
@mohammedrashid2906 2 дня назад
Upo ok
@jeremiakyomola4413
@jeremiakyomola4413 2 дня назад
Mwaka huu naomba
@violetcyrillo1945
@violetcyrillo1945 3 дня назад
Pole sana brother. Mungu amponye kijana. Elimu unayotupa ni kubwa na nzuri sana. Ubarikiwe
@ezekielmbonile4082
@ezekielmbonile4082 3 дня назад
Mwalimu mzuri.muwazi.naomba namba yako yenye WhatsApp.
@godwinmsomba6909
@godwinmsomba6909 3 дня назад
pole sana brother, utakuwa sawa kabisa hope kila mtu amekuelewa vizuri sana
@user-oi7gk9ik6g
@user-oi7gk9ik6g 3 дня назад
mm Abrahamu Asheri Mwakang'ata toka Mbeya Tanzania nahitaji kuja kuendesha truck kaka nisaidie mdogo wako
@user-oi7gk9ik6g
@user-oi7gk9ik6g 3 дня назад
kaka naomba msaada wa kuja kuenfesha truck
@MeshackEmmanuel-r9h
@MeshackEmmanuel-r9h 3 дня назад
Nisaidia bro na mm nahitaji sana hiyo job nipo Tanzania
@MeshackEmmanuel-r9h
@MeshackEmmanuel-r9h 3 дня назад
Bro nimekusikiliza nimevutiwa sana hiyo kazi yako nawezaje kufika USA na mm
@Dr.Wangao-x1n
@Dr.Wangao-x1n 5 дней назад
Too late to meet this. Iko na msaada mkubwa Hsana ubarikiwe EMB
@MwasitiShabani-s2v
@MwasitiShabani-s2v 5 дней назад
Mimi kaka nimeishia latano naweza kupatakazi hata zashambani
@francekazoba3212
@francekazoba3212 5 дней назад
Pole sana brother
@Witnessvlog
@Witnessvlog 5 дней назад
It is well kaka. Thank you for everything that you have done to us. Esp Mimi. Take care of yourself and your family first. Sisi tupo tu. Nitakuombea Hakika. Mungu awatendee miujiza
@JohnMsenga-t7o
@JohnMsenga-t7o 5 дней назад
Asant sana kaka kwa elim Yako mungu akubalik
@JohnMsenga-t7o
@JohnMsenga-t7o 5 дней назад
Asant sana kaka kwa elim Yako mungu akubaliki
@needtohear994
@needtohear994 6 дней назад
kias gan kinatosha kwa semister moja plz?
@willylema6994
@willylema6994 6 дней назад
Utakuwa kaka yangu milele daima wewe ni MSHINDI hata kama mazingira hayaoneshi USHINDI✅
@emmykindamba5917
@emmykindamba5917 6 дней назад
Kaka EBM asante kwa maelekezo je Dv rottery 2025 imefunguliwa mwezi huu wa 7 tarehe 4 maana kuna mtu amenitumia via Instagram
@siasia5469
@siasia5469 6 дней назад
MUNGU AKUFANYIE WEPESI KAKA
@siasatza
@siasatza 6 дней назад
Pole sana EBM mambo yatakaa sawa
@jovnechrispine436
@jovnechrispine436 6 дней назад
🔥
@AlexisCongera-so4mi
@AlexisCongera-so4mi 6 дней назад
Kaka najua Mungu atakusaidia kaka na kingine ninaomba urete office nchini Burundi utakuwa umesaidia sana Kaka tunataka na nchi yetu utusaidie kaka niombi kaka
@user-ly3ns9iu1u
@user-ly3ns9iu1u 6 дней назад
natamani kutembelea marekani.
@ukimwikibegi
@ukimwikibegi 7 дней назад
Safi
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 7 дней назад
Pole sana sana kwa mtoto wetu Benedict. Migreines ni ugonjwa mbaya sana. Mungu amponye na awatie nguvu familia yote kwa mapito hayo. Hope utaondokana na tatizo la kukosa usingizi. Mungu akuepushe usizoeane na dawa za usingizi.
@Deedah4
@Deedah4 7 дней назад
You are one in a million kaka EBM may God bless you abaduntly......May your daughter have a quick recovery kaka.
@SmilingBubbleTea-vm3nz
@SmilingBubbleTea-vm3nz 8 дней назад
Pole sana Mungu akulinde akusimamie amponye mtoto Amina
@Klelcken
@Klelcken 8 дней назад
am happy to hear that our kenyan brother was used by God to show you a better way... May God bless and protect him wherever he is...
@winfridamdaki5699
@winfridamdaki5699 8 дней назад
Pole sana kaka
@mteimanway9035
@mteimanway9035 8 дней назад
Good advice EBM tumekupata mwamba kabisa
@neemahappyeverafter6181
@neemahappyeverafter6181 9 дней назад
Pole kaka EBM, Mungu akutie nguvu na akamponye mtoto mzuri Benedict
@DivaDevie-kz6uq
@DivaDevie-kz6uq 9 дней назад
Nipo dsm sinza
@homeandaway2811
@homeandaway2811 9 дней назад
Take a break kaka, pumzika mitandao mwezi 1, focus na familia na kumsupport Benedict, pia you need to take care of yourself. Mungu atakutetea, mtakuwa sawa WOTE. In the name of Jesus, mtegemeeni Mungu.
@FaustineTz
@FaustineTz 9 дней назад
Pole sana kaka, kazi yako ni ngumu mno
@esthermachangu4970
@esthermachangu4970 10 дней назад
Pole sana bro nakuelewa
@DrMwanyika
@DrMwanyika 10 дней назад
Pole sana mkuu yani inatakiwa upate muda wa kupumzika jitahidi na kujipenda mwenyewe mkuu unaweza kufanya kazi zaidi hizi ukaishia kuwa na magonjwa ya Depression & Hypertension kwa sababu hapo naona una changamoto za usingizi (Insomnia) na mwishowe unaweza kuleta madhara makubwa zaidi hata performance yako itashuka sana 😢😢
@DMujuni
@DMujuni 10 дней назад
MKUU EBM, Tunakushukuru kwa Jitihada zako za kuendelea kutupigania kwa hali na mali katika kuhakikisha tunapata fursa mbalimbali kutoka ughaibuni, naamini hichi unachokifanya kimeendelea kugusa jamii ya afrika hasa kwa ss wa Mashariki, nakuombea uzima mwingi ww na familia yako vile vile na hao wote wanatimu wote na kwa wanaosapoti hizi platforms na productions kwa ujumla kwa njia moja ama nyingine, naomba kwa wanaofanikiwa kufika huko tafadhali kuweni na Moyo kama wa huyu ndugu yetu EBM pazeni sauti katika masuala na fursa mbalimbali, vilevile na ss wana afrika mashariki tujifunze kupokea kwa moyo wa shukrani kile kinapotolewa na hawa ndugu na kama ikiwezekana basi tuwasapoti kwa hali na mali na kusambaza jumbe hizi kwa walio gizani, JAMANI UMOJA NI NGUVU, TUNAKUTAKIA LIKIZO NJEMA NA YENYE MAFANIKIO HADI WAKATI MWINGINE.
@Limbaboy4life
@Limbaboy4life 10 дней назад
Nimehipenda sana hii interview mimi nahish roanoke Virginia ni ma saa mawili na nusu kufika Durham nitajikaza nikutafute mkubwa
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 10 дней назад
ila kwenye suala la safety hawa wenzetu wametuacha saana, nina manzi wa kizungu sasa akawa interested saana kujifunza kupika ugali, lakini swali lake la kwanza akaniuliza kwanini sivai miwani ya safety wakati napika ugali nikashangaa saana akanambia huoni huo uji uji unaoruka ni wamoto na unaweza kukuingia machoni hahahaha basi nami nikaanza kuvaa miwani wakati wa kupika ugali
@MEJASWEDICHONANGA
@MEJASWEDICHONANGA 10 дней назад
Tungefurahi sana kupata maelekezo zaidi ni jinsi gani tunaweza kutoboa,kwa sababu nasi ni madereva wa magari makubwa ila mbarikiwe sana mahojiano yenu.
@bethngethe9806
@bethngethe9806 10 дней назад
Pole EBM for challenge s you are going through. We pray for your son's recovery. Pole.sana
@user-xd3ci6wn2c
@user-xd3ci6wn2c 10 дней назад
Nice aseèe❤
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 11 дней назад
Na mimi nameza Benadryl, pole Makulilo, stress😢 mambo ni mengi, toka nimekuwa USA. Pole mdogo wangu.