Тёмный

Tunataka hii nchi iendeshwe kistaarabu na kwa haki- OMO 

Zanzibar Kamili TV
Подписаться 77 тыс.
Просмотров 2,9 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

12 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 9   
@fadhilahaji7929
@fadhilahaji7929 3 месяца назад
Ahsante OMO LLAH AKUPE UWEZO
@omarmohammed5157
@omarmohammed5157 3 месяца назад
Mimi nawashangaa sana Wazanzibar kuungana na watangnyika juharibu nchi yao kwa tamaaa za madaraka
@shahiraismaily2433
@shahiraismaily2433 3 месяца назад
OMO, umenifurahisha sana na mithali yako ya panzi analiwa na Huku anacheka
@labunaabouna6122
@labunaabouna6122 3 месяца назад
Lkn zenjibar ya.leo ndio maisha yke.mgeni ndio Ana hadhi
@omarramadhan5111
@omarramadhan5111 3 месяца назад
Zanzibar ilihijumiwa na Nyerere na kufika kumuuwa Mzee karume alipoona Mzee karume hautaki tena Muumgano WA dhuluma na Muumgano huu ulikuwa miaka Kumi tu
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 3 месяца назад
Zanzibari ni kubwa sana kuna arthi emefutwa mombasa NA somalia zanzibari sio nguja NA pemba tu
@user-cy1od5xr8x
@user-cy1od5xr8x 3 месяца назад
Lakni namuamini sana OMO huyu ni mzalendo wa kweli
@ALIKHAMIS-un4fv
@ALIKHAMIS-un4fv 3 месяца назад
Eti ulimi haujatahiriwa 😂😂hapa nimekuelewa kiongozi hajui hata kusema chakula 😂😂anasema chakura halafu anatuvimbia waxawa
@user-cy1od5xr8x
@user-cy1od5xr8x 3 месяца назад
Kwa wanafiki waliokuepo na watu wa bara waliopandikizwa ni kazi kubwa kuipata Haki ya waZanzibari
Далее
Mansour afunguka katika kipindi cha Sauti ya Wazalendo
41:46
Ali Karume Ccm Wamesahau Mema Yangu
7:56
Просмотров 7 тыс.
UTAMU WA MAHARAJAN
Просмотров 4
MKONGWE KARUDI KATIKA FANI
1:07
Просмотров 27 тыс.